Ipo haja Kwa viongozi ngazi za kijiji, kata na wilaya na mkoa kupata semina ya uongozi na kuwa na utaratibu wa ndani ya wilaya/mkoa wa vikao kazi . Kusemana kwenye majukwaa haitasaidia sana, ingawaje ni sehemu ya kuonesha uwajibikaji!
Hakuna watu ninao wachukia kama wafugaji walikula mahidi ya dada yangu walivyo ulizwa wakasema hawajakula wao mifugo ndo imekua na wakasema kokote nendeni wao pesa wanazo ni washenzi sana wa tabia
unaongea kweli ila tatizo ni viongozi wetu wankata na wakilimo na migugo hawana time ya kutatua migogoro hiyo hata hapa dar eneo la chanika wanachunga ngombe sana na vibustani vya walalahoi vinaliwa lakini hakuna msaada
Viongozi angalieni mnavyokuwa mnazungumza na wananchi. Fanyeni kazi kama timu. Kiongozi wa mkoa ulitakiwa uwe msemaji wa mwisho baadaya wenzako kuongea. Vinginevyo badalaya kutatua migogoro mtaizalisha mingi
Dada inaonyesha unapendelea upande moja kwann unagandamiza wamasai? Muwapereke basi huko mnakotaka kuwapereka, naona hii ishu ya ngorongoro imeleta chuki kubwa kwenye kabila hili
Raisi mwenyewe aongei kama wewe Dada cheo ni koti la kuazima. Usitake kujifanya Mungu mtu ati wewe utawaambia wakae wakae wewe nani ?kuwa na kauli unaoongea nao ni watu wazima tena hata kiumri kuwa na staha ya mdomo. Hata usipoongea kwa kufoka wataelewa tu kumbuka hata mtoto ukimgombeza huwa ndio hasikii.Heshimu watu
Upo vizuri sana mkuu mungu akubaliki sana kazi iendelee
Ubarikiwe RC wetu tutetee mji huo umejaa dhulma...
Siipend CCM lakin huyu mama akigombea urais Nampa
kenya Au Hapa Tz
Hongeraaaaa mno mkuu..mungu akulinde
Huyu kiongozi kweli mungu akubariki kiongozi
Mama samia ana majembe sema wachache wana muangusha
Mashaallah mama..hapo.hapo
Aminaaa
Mikwala
Shughuli pevu.
Viongozi wa chama mkasome siasa na utawala
LUGHA HIYO SIYO YA KIONGOZI
Nakupenda bure Mungu akutunze mno
Well said Dada wa Mkoa❤
hayo uliyoyasema ukisimamia kweli ya mungu utakuwa mfano mzuli sana inaonekana hutaki mzaha kwenye majukumu yako
Ipo haja Kwa viongozi ngazi za kijiji, kata na wilaya na mkoa kupata semina ya uongozi na kuwa na utaratibu wa ndani ya wilaya/mkoa wa vikao kazi . Kusemana kwenye majukwaa haitasaidia sana, ingawaje ni sehemu ya kuonesha uwajibikaji!
Mmmh. Uko sawa
Kweli mkuu wa mkoa umenena mazuri sana
Uko vzr my mom
walahi watu wa namna hiyo wawe kuni siku ya kiama.
Yuko vizuriii mkuu wa mkoa
Chapa kazi mama
CCM wana maneno sana
Hakuna watu ninao wachukia kama wafugaji walikula mahidi ya dada yangu walivyo ulizwa wakasema hawajakula wao mifugo ndo imekua na wakasema kokote nendeni wao pesa wanazo ni washenzi sana wa tabia
Ndio viongozi wa TONDORONI KIRUVYA KIBAHA... Wakina KUNAMBI wanawapiga watu hela kwene eneo la Jeshi.. Nawatu wanachanga tu majibu hakuna..
Honger sana mkuu wa mkoa fanya kazi. Uongozi ni wito na mweny zimungu awasimamie ktk majukum yenu
unaongea kweli ila tatizo ni viongozi wetu wankata na wakilimo na migugo hawana time ya kutatua migogoro hiyo hata hapa dar eneo la chanika wanachunga ngombe sana na vibustani vya walalahoi vinaliwa lakini hakuna msaada
Ongera kiongozi, pambana nao hao
Wapangieni watu , ktk maeneo yao ,wakulima, na wafugaji ili migogoro isiwepo
Afadhali mama wewe uko vizuri sio makongoro alikuwa kama comedian kama agrey mwanry..soma hiyoo engineer ngapi uko
.
Watanzania ndo wanataka uwe mkali vinginevyo wakuona bongo lala,Piga kazi mdada
Mbn eneo la makatanini lipo hapo lakini mnaliangalia tu watumishi wako wafatilie wanadanganya watu hasa uyo mkuu wa wilaya anadanganywa sana
nani kasikia lambalamba kama mm
Kwann ujifunge bendera ya tanzani
Hakika mkuu nimekuelewa sana
Wagombeze tu kunasiku na ww utakaa ujisikie ulivyo kuwa unaongea
Kuna viumbe wana kera ndugu yangu, yaani kuna watu wanaona raha mwingine akiteseka, wacha Dada aseme
Viongozi angalieni mnavyokuwa mnazungumza na wananchi. Fanyeni kazi kama timu. Kiongozi wa mkoa ulitakiwa uwe msemaji wa mwisho baadaya wenzako kuongea. Vinginevyo badalaya kutatua migogoro mtaizalisha mingi
Dada inaonyesha unapendelea upande moja kwann unagandamiza wamasai? Muwapereke basi huko mnakotaka kuwapereka, naona hii ishu ya ngorongoro imeleta chuki kubwa kwenye kabila hili
Wamasai watu? Wakorofi kishenzi ni ivyo tu tunaishi nao.
@@TunuMbega-g2ywamasai sio watu hata kidogo wafedhuri kushinda maana yenyewe ya ufedhuri
Wafugaji wengine wana shida wanachojali ni mifugo sio ubinadamu
Dada vp mbona mkali hivi
hata wewe ungekua RC kwa hapo ungewachekea au ungewaimbia nyimbo za I love you acha kumkatisha tamaa angalia nyakati
Raisi mwenyewe aongei kama wewe Dada cheo ni koti la kuazima. Usitake kujifanya Mungu mtu ati wewe utawaambia wakae wakae wewe nani ?kuwa na kauli unaoongea nao ni watu wazima tena hata kiumri kuwa na staha ya mdomo. Hata usipoongea kwa kufoka wataelewa tu kumbuka hata mtoto ukimgombeza huwa ndio hasikii.Heshimu watu
Ovyo Tu dadeki mikwala vichambo.hana la maana