Tunda man.... I'm here your one fan from kenya.... Kuna ngoma yako moja siipati kabisa... (tunda ft buibui nenda).... Please upload hii track. #tundaman
Nipo Urambo Nakumbuka nilitwa kwenye Mahafari Ya form four Tabora Boys nilipiga pikipik nikawahi tukiwa DK music aka Music mnene Ma dj waliokuwepo walikuwa wamechemka nikapita zangu studio nikaburn CD hii ndio ngoma ilijuwa imefika nikashika Nuwmark 88 nikatashika kipaza nikajitangaza ukumbi mzima wa Tabora boys ulishangilia nikawapa Menu yangu ya mziki huku kwa mbaaali Saut ya huu Wimbo we nililetewa Viroba wala sikujua vimetoka wapi😂😂😂
Enzi hizo nilikuwa nina daftari maalumu la nyimbo za bongo fleva mashairi yako kichwani naandika nyimbo kama zote 😀...... ❤❤❤❤
Wewe ni mimi kabisa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@@SalmaSalmahamisi 😂😂
😂😂 Ati daftari
@@truckingwithfauz7089 oh yeah 🤣
Then what happened 😂😂
Nyimbo zinaendelea kuishi sana hizi 2024
Kiukweli mimi kwa mtizamo wangu madem wa bongo nawakubali kwa asili 💯✔🔥🔥🔥
Hii nyimbo ilinidatisha kwa watanzania nkatoka busia 🇰🇪 nkaoa tanga 🇹🇿 kilomita 1005 mpaka Kesho tupo wote
Nimeicheki TikTok nkaikumbuka kweli tundaman alvyopiga mziki
Nipo uko tu bado 2024
Huu ndio mziki mzuri bongo
These memories maze..more love from Kenya 🇰🇪🔥🔥
Those days hakuna mbishii....Chidi killed it plus Tunda💯
Reehhhhhhhh👏👏👏
Duh umenikumbusha mbali sana huu mziki
Who is listening 2024❤
Me here,may 2024
Hii njo real bongo fleva till 2023 is so 🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶 good music
#Chidbenz🔥🔥🔥
Je t'ai écouté durant toute mon enfance en RDC❤
tears on my eyes when i remember the dem dayz .
Hii ngoma kabisa,yaani ikanipa bidii nimfwate demuwangu. Asante Tundaman
Nyimbo za maadili...
Penda sana hii
Kajara masanja enzi zake
Let's Go This Is Another Banger 2024🎉❤🎉🔥🔥
Manekeee eeeh eeeh eeeeeh 🎶🎶🎶🎶
2024 still on 🔥🔥
Duhh! #TundaMan tumemiss hizi #Flavour
when chid was Benz wapi likes za 254
Yaah big up sana brother tunda
Old is gold 😍🔥🔥🔥
Nlikuwa la 5 ,mwalm wanga anaitwa ino aliupenda sn, makirinya school
Tundaaaa uliua jamen
Chidi Benz they love this sound...
Tunda man.... I'm here your one fan from kenya.... Kuna ngoma yako moja siipati kabisa... (tunda ft buibui nenda).... Please upload hii track. #tundaman
Mzur nakupend Sanaa humzki
Here for old good memories 💞
Tangia mapenz na ziki hadi leo mm n shabiki yako
Nyimbo unatisha kabisa uyu
Nostalgia hit me so hard 😢
Hizi ndio zilikuwa nyimbo achanane na matapeli
Nipo naidownload 2024 ❤️❤️❤️
Uko Swa Brother
Hili goma Dah rudia tena na Chidi
❤❤❤still hot here in Zambia
Whose here 2024.
NA MBONA NIKAMA TUNDAMAN HAKUMUONA NEILAH 🤣🤣🤣
My favorite song 🔥🔥
Huu mziki utaishi milele
Tunda gani hilo😅
🎵🎶🎶 noma tunda
Chid benz enzi zake
Bonge la ngoma
I remember my ex when I was in prison
We used to love this song na my grandmother
❤❤❤Masha...Allah
Mimi nakumbuka ex wangu nikiwa prison
My fav song❤2024
🎉
🔥🙈🔥🔥🎶🎶🎶
Bingwa
du aisee 2024
Fire until further notice
Chid benz
Mekutana na song hii tiktok
🔥🔥
Safi Sanna
Duuuuh
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Old old 2023
Ulichelewa ku upload kwa account yako lakn sio mbaya bado watu wataangalia
Love from Kenya
Hot
Tupe mpya @tundaman
Uyumuziki uwuheruka ryari
2008 2009 uko
2023 hapa
Alafu Mbona umechelewa ku upload kwa Acc yako? Siku zote hizo watu wamepiga hela
Unachezea account vp ww
❤️🥺
❤❤
Tunda wakweli
22-12-2023🎉🎉🎉
Nipo Urambo Nakumbuka nilitwa kwenye Mahafari Ya form four Tabora Boys nilipiga pikipik nikawahi tukiwa DK music aka Music mnene Ma dj waliokuwepo walikuwa wamechemka nikapita zangu studio nikaburn CD hii ndio ngoma ilijuwa imefika nikashika Nuwmark 88 nikatashika kipaza nikajitangaza ukumbi mzima wa Tabora boys ulishangilia nikawapa Menu yangu ya mziki huku kwa mbaaali Saut ya huu Wimbo we nililetewa Viroba wala sikujua vimetoka wapi😂😂😂
Mahafali sio mahafari
Omi
Those days Kali sana