Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Ngomaa kali sana
Thanks my brother , hii imenipa nguvu sana 💪🏽
Jamani mnasaidie kumwambia masauti kuwa mm najichanqa kvyovyote vile nije nipate naye hata audio moja tu maana namkubalii sanaaaa..
@@HaithamKim uckate tamaa sister kim
Kuliko kali
@@HaithamKim Rest well ,So painfull
Tunaoirudia hii ngoma 2024 tjuane
Kifo hakina mwnywe tulo kuja baada ya dadaetu kututoka tujuane kw like plz mbele yake nyuma yetu
😢😢
Wale ambao bad nyimbo za haitham wetu bado wanazo kweny sim flash plz like zangu hapa
Kama mnampenda haitham Kim gonga like hapa
Unabidii nipenyongeza😋😜🤪
Yani choki kusikiliza hii ngoma kali kinyama yani💗
Hii imeenda🔥🔥🔥🔥
@@julyalfred7611mwimbaji ameenda mbele ya haki piaa 😢😢
Sijui kwann nyimbo kali kam hii haikujulikn enzi za uhai wake jmn😢😢😢kifo wewe unatusafisha dunian
Tunaorudia rudia hii ngoma zaidi ya mara moja kwa siku tujuane hapa
2024 ngoma yangu pendwa
Jmn leo haupo😢😢😢😢😢dah kifo hiki
😢😢😢Daah hii ngoma inaniumiza sana maana ilikuwa favorite😢😢
Mimi nakubali basi nitaka kazi na wew
Rest in paradise dada. Your legacy will not be replaceable!
Jaman kuna watu wanaimba asee dada usirudi nyuma wimbo mkali sana
Aya dada sikupingi mdogo wako
Hii nyimbo tamu kupitiliza...fanya collabo na Kusah!!
Kitu kizuri sikuzote akijifichi unakipaji mdada😋😋
Mungu akulaze mahali pema dada etu 😢😢😢😢
Ngoma kaliii sana sana sana umetisha ila naitaji kufanya kolabo na ww
Unajua sana mziki mpka unakera
Unyama mwingi kwny ili ngoma jitahid mrembo naona unapoenda voice imekaa sehm salam chupa ya ujazo umeua twnde mjini taratib iv iv
Wee dem cjui unakwama wapi🙌🙌🎵🎶 unajua sana afu mjini auendi kivile ....shida management or promotion nindogo mno
Goma tamu mno sichoki kuisikiliza
Kali Sana
yaan HAITHAM nampenda bureee yaan daah bongo tunakwama wapiii... mama be blessed yaan nakupendanga bureee na unajuaaa
Hii ngoma kali sanah nairudia rudia tuuh 🔥✋👍👍🔥✋✋✋
Mnakoment baada ya kufariki huo sio upendo
Kwaheri dear, mbele yako nyuma yetu
My favorite song ❤ R.I.P Haitham 😭💔🕊️
Daah kumbe na dir sniper ni mkali kwenye mambo haya pia mmetisha kinoma yaani
Nimekuja baada ya kusikia kifo chako pumzika salama kipenzi
NAKUPENDA MAMII FIKA MBALI IPO SIKU UTAFANIKIWA TU USIKATE TAMAA
🥰🥰🥰awii
Jamani Haitham anaiba jamani kwann hapewi support na wenzake jamani😢😢😢
Haitham why umeenda Umetuachaaa nimeliaa sanaa 😭😭😭😭😭
Sniper 😀😀😀 manake kwanza nchekeee
Moja kati ya kazi yako iliyokutambulisha Haitham Kim Rest in peace
dahh rest in paradise my friend 😢😢
My love anaitwa Warda namuita Warida, sasa unaweza waza sababu yangu ya kuipenda hii nyimbo.
Mwenyezi mungu amrehemu in shallah na ampe nguvu mume wko in shallah ili amlee mtoto wenu in shallah
From kenya...Nimeipenda sana
My favorite song bt nlkuw cjuw n nan ali imba kumbe n ww daa aky ple xna nmekujuwa wakti taar umefarki Dunian 😢😢😢😢😢😢
Beautiful song...Mario yuwapi mfanye collabo
😢Rest in peace, ulikuwa my favorite female artist, from 254🇰🇪
Rest in peace H Kim
I still love her ❤❤❤
Verse kinanda sauti imetuliaaa kazi nzuri haitham
Imekaa kijanja sana
Ngoma Kali nimekuja kuicheck baada ya kuiona kwa uwoya
Mziki mzuri 💯👌Vocal💯👌Sauti💯👌Nayy mwenyewe mzuri💯💯👌👌
ukaniumiz
Skuwahi kuja kuview huu wimbo ...ila this song to be honest it's very nice 🔥🔥🔥🔥❣️
Rip @haithamkim 😢😢😢😢Innalillah wainaillaih Rajiuun
Yan unajuw mdada hongera San mala kwanza nilijuw ni nyimbo ya mbele huko kumb ni hp dah ningekuw na uwez ningekuzawadiy kit ila ongez kasi Zaid utakuw wa kimataifa
Jamani kajiondokea 😢 ulale salama ❤ 0:58
Lala salama kim nakupenda sana unajuwa
All the way from KENYA hii song nimeikubali sana...kazi safi
Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee Noma, Muziki Taratibu Aiseeee Noma Sana 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪💜💜💜💜💜💜💜❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hit song tuliojua hiii baada ya kufa kwa haitham kim
Nice one unajuaaa Sana keep pushing
Tuliorud hapa baada ya kifo chake tujuane na tuseme R I P mavumbini tutarudi
Nyimbo nzuri vina vya kati viko balinda.Hongera
Dah dunia mapito jmn r i p mdada mzur
Daaaaah inauma Acha tu rip tutaku kumbuka daima
Ngoma kali sanaaaaa
Ongera san nyimb kali san utafika mbal san💪
Nimekuja huku baada ya kusikia umekufa nilikua cikujui kbx hy RIP
Tuliomjua baada ya tuzo kwa kale kawivu Kwa zuchu😂
Mbon sijakuelew
Pumzika kwaamani kipenzi cawatu😭😭😭😭😭😭 allah akusameh zambii zako
Good kazi
REST IN PARADISE 🕊️Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hazikawii kwisha#rip haitham
hahahaaa kwan kuna wanadam wanaezaliwa na wanaume
@@swaumumgala201 dear nimeongea ki maandiko, kwenye seriously tuwe seriously
Mungu akurehem dada 😅😅😅😅😅
Rest Easy baby girl till we meet again
Mwenyezi mungu akuponye na maradhi ulio nayo
Nyimbo Kali sana dada,,big up Sana
Rest in peace 😭😭 kufa usifiwe ishi uzomewe nenda vita umeimaliza 😭😭
Hii ngoma Kali sana for really sijui Kwann aipewi airtime ya kutosha
Ety leo umelala, pumzika kwa aman dear
Ivi hatukonae tena Daah😢😢
Rip. Jmn pole Wana familia poleni mapema Sana umeondoka Mungu tusamehe na umsamehe
Lazwa pema peponi😢😢😢😢😢😢😢😢
Kali sana jaman mwenye jina la mwanangu haitham hongera momy
Naipenda san hii nyimbo
Umeupiga mwigi kwenye hii ngoma 🥰✌️
Daaah roho imeniuma
Jamani hiiki ni kipaji nyiee embu angalie nyie mlomsaini huyu dada
Mm nakukubali xana...
Jamn umenikosha miee good song 🥰🥰🥰 congratulations young lady🥰🥰
Ase nyimbo mzuri Sana napia mdada unasuti mzuri💓💓💓💓
Pole ukapumzike sasa
Upumzikeee kwa amn
hii nyimbo naipenda sana
Nimeumia
🥰🥰🥰🥰jamn
Pumzika Kwa amani .
Naikubali umeuwa
Ogopa beat🔥nice voice nice video🔥unyama
gopa beats
Dada unajua sana
😢pumzika kwaAmani kipenz
Punzika kwa aman my dear na mwenyez mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
Mwanao analia huku jaman
Dhaa hizi ndio ngoma zakusapoti jaman dada anaimba kwa hisia hongera Sana nafasi yako ipo
😢😢😢😢😢😢😢 ulale salama dada ang

Mziki mzuri 💯👌
Vocal💯👌
Sauti💯👌
Nayy mwenyewe mzuri💯💯👌👌
ukaniumiz
Skuwahi kuja kuview huu wimbo ...ila this song to be honest it's very nice 🔥🔥🔥🔥❣️
Rip @haithamkim 😢😢😢😢Innalillah wainaillaih Rajiuun
Yan unajuw mdada hongera San mala kwanza nilijuw ni nyimbo ya mbele huko kumb ni hp dah ningekuw na uwez ningekuzawadiy kit ila ongez kasi Zaid utakuw wa kimataifa
Jamani kajiondokea 😢 ulale salama ❤ 0:58
Lala salama kim nakupenda sana unajuwa
All the way from KENYA hii song nimeikubali sana...kazi safi
Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee Noma, Muziki Taratibu Aiseeee Noma Sana 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪💜💜💜💜💜💜💜❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hit song tuliojua hiii baada ya kufa kwa haitham kim
Nice one unajuaaa Sana keep pushing
Tuliorud hapa baada ya kifo chake tujuane na tuseme R I P mavumbini tutarudi
Nyimbo nzuri vina vya kati viko balinda.Hongera
Dah dunia mapito jmn r i p mdada mzur
Daaaaah inauma Acha tu rip tutaku kumbuka daima
Ngoma kali sanaaaaa
Ongera san nyimb kali san utafika mbal san💪
Nimekuja huku baada ya kusikia umekufa nilikua cikujui kbx hy RIP
Tuliomjua baada ya tuzo kwa kale kawivu Kwa zuchu😂
Mbon sijakuelew
Pumzika kwaamani kipenzi cawatu😭😭😭😭😭😭 allah akusameh zambii zako
Good kazi
REST IN PARADISE 🕊️
Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake hazikawii kwisha#rip haitham