Niwe mkweli kipindi Cha uhai wako sijajua kma wewe Msanii but nilivyoona unapostiwa Sana imebidi nikutafute ila Watanzania tujifunze kuwapenda watu wakiwa hai na sio Hadi wazidiwe au wafe ndo tuwape Maua yao
It's very sad and early to loose this soul 😥,,,,imekuwa siku yangu ya kukujua kupitia mziki wako ila hatuna uwezo tena, twakuombea dua upumzike Kwa Amani dada🇰🇪😭😭😭
Kiukweli wee dada unakipaji sana🙌 unatakiwa management nzuri kila kitu kitanyooka...nenda hata kings music au WCB au Nandy MusIc kaombe wakusaini.....wee unakipaji sana....I am your fan from Malawi
ohoooooo hii nyimbo nimeisikia ikipigwa redioni nikaingia RUclips kuitafuta nakutana nakifo chako dear kumbe nanyimbo niyako dar achanilie kidogo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Imagine unajua msanii baada ya kifo chake na kumbe alikua Bonge la msanii na nyimbo nzuri jamani wabongo mmewadidimiza mbona Hawa wasanii mnaleta wajinga kina zuchi wasiojua kitu
Baada ya kuskia kifo chako nimeludi tena nikuangalie kamwixho daaah nimetumia xana we dada mbn mapema ivo mtoto jaman mtoto 😭😭😭eeeh mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema Leo Kila mtu kakupost uko insta lakn ulivo umwa walikupost wachache sana 😭😭😭😭
Nimekukaja baada ya kusikia kifo chako, pumzika Kwa amani mrembo, kama nawe umekuja baada ya kifo chake gonga like tuendelee kumuombea Dua😢
Hata mim
Hata mimi😢
What a pain daah😢
Rip
Hata mm r.i.p haitham kim
Tuliokuja kuangalia Leo Tr 1 September baada ya kusikia kifo chake like hapa tujuane
Tupo
Pumzika kwa Amani mwanafamilia wetu , mungu awe nawe uendapo 🙏🦁😭😭😭😭😭😭😭💐 Naomba ugonge like kama unampenda kipindi hichi kigumu😭😭😭😭
Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke HAZIKAWII KWISHA TULIOBAKI TUZIDI KUJITAKASA
Niwe mkweli kipindi Cha uhai wako sijajua kma wewe Msanii but nilivyoona unapostiwa Sana imebidi nikutafute ila Watanzania tujifunze kuwapenda watu wakiwa hai na sio Hadi wazidiwe au wafe ndo tuwape Maua yao
😢Rip big siz 🕊
Your music will forever sing in our hearts 💕...ni njia ya kila binadamu pia ..pumzika salama
Naomboleza from Kenya, ndio nimekujua sasa baada ya taarifa ya kifo chako,you were a legend girl, rest easy.
Pia Mimi hapa nmemjua Leo na ngoma Iko sawa😭
Leo nimekukumbuka Sanaa haitham isee hujafa hijaumbika MUNGU akulaze mahali pema peponi
Tutakukumbika sana dada🎉🎉😂😂
Tutakukumbuka daima dada😭😭😭😭😭😭😭😭
Allah amrehem Mja wake akuna. Mkamilifu tusamehe yarabb 🤲💔😭
Nimekuja baada ya kusikia amefaliki maana nilikuwa simjui kbs tujuane
Mm nilikuw cmjui kabsa nilivyockia kfo ndo nimemjua mungu akupe kaul thabit
Wangapi wanaitazama kwa kuludia zaidi ya mala 4 kwa siku❤
❤ 0:55
Pumzika dear 😢😭😭 hii ni ngumu kumeza kabisa dah! 😭😭 Bado siamini kabisa 😭😭
Sikuwahi kumfahamu ilibidi niingie youtube kumtafuta dah 😢kumbe ni msanii mzuri tu na ngoma zake kali sana R.I.P sister et haitham
Ooh Gosh!!! kifo kitu Cha kawaida ila hakizoeleki 😢😢😢
Punzika kwaaman inshaallah Allah yupamoja naww😭😭😭😭
Oh!Life without Jesus is vanity,Maisha bila Yesu ni Bure.
Rip Big Sis, your music will forever stay in our hearts
Duh! R.i.p qty nikichelew kukufaham know nakufaham umesha tabgulia mbele za haki,,pumzika Kwa aman haitham😭😭😭
It's very sad and early to loose this soul 😥,,,,imekuwa siku yangu ya kukujua kupitia mziki wako ila hatuna uwezo tena, twakuombea dua upumzike Kwa Amani dada🇰🇪😭😭😭
Bahada ya kifo chako ndo nakuja kuangalia ngoma zako all in 😢 all pumzika kwa amani haitham kim mungu akupunguzie adhabu 😢
R. I. P one of the gud female artist in our country tutakukumbuka kwa kazi zako nzuri ulizotuachia
Dah ninekuja Kukuangalia Baada Ya Kuskia Kifo chako Pole sana
Jmn nimejua kua ni mwanamziki baada ya kuona kifo chake mungu akulaze pema mdada
Mmh ndo haupo tena dunian mungu tupe mwisho
Dada yetu kafa ,,,ila kaacha athari mbaya,,,,wasanii mutakuja pata ufahamu lini,😢😢😢Jamani
Waache kujikweza, pia wamrudie Allah hii Dunia sio yao
Rip legend Kenya twawapa polee
ooooh mungu ilaze mahali pema pepon Ameni..😱😱😤😤
Kiukweli wee dada unakipaji sana🙌 unatakiwa management nzuri kila kitu kitanyooka...nenda hata kings music au WCB au Nandy MusIc kaombe wakusaini.....wee unakipaji sana....I am your fan from Malawi
She is gone😢😢
ohoooooo hii nyimbo nimeisikia ikipigwa redioni nikaingia RUclips kuitafuta nakutana nakifo chako dear kumbe nanyimbo niyako dar achanilie kidogo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pumzika kwa Amani dada,nilikua sikujui ndio nimekuja kusikiliza nyimbo yako walau ata moja
Pumzika kwa amani S*
Angekua alikua ni somaji wa Quran saii ndio tungekua tuskiza lakini tuna siskiza nyimbo allah akusamehe na adhabu za kabri mdogo wangu
Mungu Wang wimbo wangu pendwa kumbe umeuiamba wewe mmy oky pumzika kwa Amani 😭😭
I wish ningekujua mapema nikupe sapoti na mapema anyway rip I will always remember you
Rest easy girl😢😭😭😭 you'll forever remain in our ❤🙏🙏🙏
Nenda salama ,,mbele yako nyuma yetu
ngoma moto sana
mazurr yako daima yatadumu
Imagine unajua msanii baada ya kifo chake na kumbe alikua Bonge la msanii na nyimbo nzuri jamani wabongo mmewadidimiza mbona Hawa wasanii mnaleta wajinga kina zuchi wasiojua kitu
Nilikua simjuw kabisa huyu msani
Tuondoke na video sasa 🌝🌝
Kweli upendo mwingi huja mfu ukishakufa yani nimejikuta nakuja kum search 😢😢 huku RUclips nimwone vzr
Haitham pumzika Leo wewe wengi tupo nyuma yako😢
Nimekuja kukutizama baada ya kifo chako nilikua sikujui
RIP Tanzanian Princes our hearts are broken your songs and spirit will live forever ❤
Dah dada umeniuma kizuri akidumu pumzika kwa amani
Tutakukumbuka daima jmn my sister
Kifo chake kimekua gumzo Sana daah
r.i.p haitham kim kwenye gmu yetu ya mziki bado tilikuitajii
M mwenyewe baada ya kufa ndo nkajua kumbe wimbo n wake
Mungu akurehemu
Rest in peace Haitham kim mungu amuraze Mahara pema peponi 😭 🙏
Ata mimi ndio leo naingia
Nyimbo nzuri sana
Jaman pole sana ndugu jama namarafikiii😢😢
Mbn alikuwa yupo vizuri alafu hata hatukumjua au tatizo lilikuwa nini daaah we mrembo pumzika kwa amani
The real meaning of production
Director wayani umetisha Sana hakika we ni mkubwa sasa
Mungu kwanza
Ndiyo nimejua leo kama umeimba ww mpendwa lala salama my😢
Mungu akupumzishe Salama mpaka
Nimekuja kusikiliza Baada ya kusikia kifo Chako poleni familia.
Big ups ila huvuni wanipanda kwa maana ya kifo
Mh kumbe kweli
Allah ndo kila kitu polen familia sote njia yetu 1
Pumzika Kwa amani dear
Pumzika Kwa Amani my
Ndio nimejua leo kumbe alikuwa ni msanii
Huu wimbo naupendaga sana Sita sahau mchango wa huu wimbo katka kipind cha mahusiano magumu nliyo pitia r.i.p. 😥😥
Walai kifo ndo imefanya nimjuwe pumzika Kwa amani
Pumzika kwa amani sister
Haitham pole Kwa Mauti iliokupata my your soul rest in peace
Rip haitham pumzika kwa amani.nacheki video zako baada ya kusikia umefariki.nyimbo zako daima ndio zifanya ukumbukwe
Nyimbo nzuri sana....sikuwahi hata kuisikia.
Yani Leo ndo nakujua baada ya kifo chako 😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤
sani boy sauti km marioo kama na wew umeskia ivyo gonga like hapa twende zetu
😭😭😭 ndoumetuacha ivoo
Daaah ulikuwa mkali sana sema support ulikosa dada pumzika 😢kwa amani 🙏🇹🇿🕊️💔
Rest easy. May God comfort the family, friends and fans at this discomforting moments
Pumzika kwa amani
Nilikuwa Kwa super metro boom Derek akaangusha mix nikasikia Huu wimbo,kibao chapendeza
Baada ya kuskia kifo chako nimeludi tena nikuangalie kamwixho daaah nimetumia xana we dada mbn mapema ivo mtoto jaman mtoto 😭😭😭eeeh mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema Leo Kila mtu kakupost uko insta lakn ulivo umwa walikupost wachache sana 😭😭😭😭
Allahuma ghfir laha wa Rham ha
pumzika kwa amani
😢😢😢😢😢😢 kitoto kizuri kinaenda hivi hivi pumzka mama inallilah wainailah Rajun.
Inaum jmn hkun aliekuwa anamfwatilia lkini hata alikuwa ametulia Tuli anakufa ndo watu wanaanza kumjua dah
Nilikua simjui jamani R.I.P
Yoo rip dada tutaona wangu 😢🥹😭😭
Tunakukumbuka uku haitham
Mwenyez Mungu ailaze roho yako mahali pema pepon, pumzika kwa amani HAITHAM😭😭😭😭😭😭😭😭
Imgn mi ndio namskia lkn alikua msanii mzuri
Kazi kari sana
Alikuwa mrembo sana😢RIP #
Me mwenyew ndo nimekuja kuangalia video yak rip
Duh baada ya kifo kusikia mekuja kutazama...pumzika😢
Jamani poleni inaumiza
Nilikuwa sikujui baada ya kusikia kifo chango ikabid Nije nikuchungulie daah😢
Jamani 😢😢😢kifo siyo kijuri Jamani
Mmmmmmh jaman rest internal life our siz😢😢😢😢😢 hta nlkuw ckujuw nmekuja kuangalia video zko baada ya ww taar umefarki Dunian 😢😢😢😢rest in peace 😢😢