Most Awaited video is here baby daddy Amekataa mtoto niwa JB Soo Sad 😭

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @غديرسعيد-س2ذ
    @غديرسعيد-س2ذ Год назад +131

    Team JB mko wapi tusherekee na jb wetu anapochukua mtoto, congratulations to JB

  • @MonicaIce
    @MonicaIce Год назад +36

    JB is very matured... money and maturity is two things very different.. congrats JB

  • @ruthchebet7256
    @ruthchebet7256 Год назад +74

    The kid is an angel and is innocent please JB take the kid for God's sake and may God protection upon you all

    • @dolphine62
      @dolphine62 Год назад +1

      JB hawezi alanza kisirani since day one

    • @ElizabethWangai-ij8bf
      @ElizabethWangai-ij8bf Год назад

      Aky hii yote niju y mtoi s sad😢

    • @nellychelagat720
      @nellychelagat720 Год назад

      Aje sasa tena na alishapita na siz ya queen

    • @estherwanjiru9885
      @estherwanjiru9885 Год назад

      Nani mwingine anaona kama Mimi atí Jb wanafanana na huyu jamaa?? Woiyeee kumbe ndio maana queen akampenda coz aliona Jb in him😢😢😢

  • @shinnyinnocent1288
    @shinnyinnocent1288 Год назад +29

    MOHA, JB IS YOUR FRIEND, YOU DON'T DO THAT TO YOUR FRIEND, IT'S NOT ALL ABOUT THE VIEWS... SOMETIMES YOU HAVE TO VALUE FRIENDSHIP MORE THAN THIS

    • @evelynlyimo1557
      @evelynlyimo1557 10 месяцев назад

      Truer friends handle hard stuff and solve matters concerning relationships,,kudos to moha now there's closure to this confusion,,queen revenged na kikamramba,so she should take her baby and raise it fairly well

  • @RabecaMweete-iy4sm
    @RabecaMweete-iy4sm Год назад +71

    Queen l have my brother here in Zambia so please come here he will take good care of you and your kid as here we don't refuse looking after step children

  • @rosedalius3996
    @rosedalius3996 Год назад +16

    Wah 😢this is hearting me alot ,sijui ka nivenye sipendi dramas 😢bt quenee lea mtoi the baby is so innocent ata mm nalea na sina shida .God atakupea a man who will appreciate u & your baby🥰.Always keep God 1st .

  • @jacklinemusenya415
    @jacklinemusenya415 Год назад +27

    I can never stay with this kind of man in my life,msee ni mtoxic in the name of he helped this lady😢😢😢

  • @janetmutua1822
    @janetmutua1822 Год назад +9

    The baby is soo cute and innocent Jb take the mother and kid and move on kids are blessing

  • @EuniceAwino-d2r
    @EuniceAwino-d2r Год назад +24

    Moha acha ufala,Dem amesema alilala na Wycliffe before aende na ako sure mtoi ni wake,stop forcing JB

    • @Annabelle-z7u
      @Annabelle-z7u Год назад +3

      Mohaa si timamu kichwa

    • @JossyMunyua
      @JossyMunyua Год назад

      Alilala na both the same week.

    • @violetmokaya622
      @violetmokaya622 Год назад

      ​@@JossyMunyuakitu sielewi ni kwani huyo JB alikuwa ametoka Qatar something is not adding up

    • @Naomie-g9h
      @Naomie-g9h Год назад

      Huskii alilala na the two the same week jb akiwa wa kwanza

  • @catenjoro375
    @catenjoro375 Год назад +42

    Queen run for your life huyu mwanaume atakuua ako so immature and toxic kaa na jb 😢

    • @ahadq3792
      @ahadq3792 Год назад +2

      how came ni wa jb mtoto ako 1yr and half ,so jb alienda qatar 2yrs sahi its almost 4yrs hawa watu wako na drama😂🤣🤣😂

    • @andy22442
      @andy22442 9 месяцев назад

      That's what you get for being a liar, how can you get pregnant and give birth then unakuja na mtoto 1 year 7 months claiming its mine,,, naaah even huyu jamaa was soft mimi hadi the whole street would flood kwani. Silly cheap woman after all the help

    • @StephenNjonge-t1e
      @StephenNjonge-t1e 8 месяцев назад +1

      Huyu mbwana abate anaonekana mi baba mtoto,I wish kama ingeku😢😢wa mimi ningemlima,a chre huwo ujinga wake.Wangapi 😢ata wangapi wamenunulia wasichana ma plots na wanaachana

  • @harrietkatushllme6960
    @harrietkatushllme6960 Год назад +51

    I wish JB and Queen would just take the kid for DNA test instead of arguments because the baby is innocent

    • @benardkasuku7092
      @benardkasuku7092 Год назад +3

      Point of correction; JB, Queen and Moha. The DNA should be done on the kid and the two men.

    • @emmyshantel2211
      @emmyshantel2211 Год назад

      ​@benardkasuku7092 but the mother is the one who knows the mother of the kid na kwa airport alisema mtoi sio wa JB

  • @marymurimi9853
    @marymurimi9853 Год назад +6

    Ata kwa dawa siwezi ishi na mwanaume wa vita😢 queen you better run for DNA

    • @Vellyne-m2g
      @Vellyne-m2g 11 месяцев назад

      We should also understand that he is also heartbroken

  • @micahkariuki1322
    @micahkariuki1322 Год назад +19

    this 2 guys jb and wycliffe looks the same.. they're like brother's 😊

  • @Frilindah
    @Frilindah Год назад +7

    Mtoto anaita JB Daddy aky JB chukuwa malaika God atakbless

  • @carolynecheruto2167
    @carolynecheruto2167 Год назад +22

    Usijali imagine hata baby daddy akatae mtoi wako usiwe na stress you take care of your baby uko mrembo sana

    • @marynasim2615
      @marynasim2615 Год назад

      Aky ajipe moyo tu akubali the situation Mimi Wang alikataliwa baadaye alimtafuta nikikumbuka huwa nalia lakini kwa yote tunaachia mungu kwanza atleast wewe queen Mimi nilikuwa bado shule form two 2018 ilibidi nikae home then nirudy shule after kuzaa ,,,,so better you wacha kiruhusu kujiumiza zaidi kwa hawa wanaume pliz😢😢😢

    • @galaxyqwer7438
      @galaxyqwer7438 Год назад

      Ananishagaza sana huyu dem nn inamsubwa nako napesa mm aki nahii roho yangu kunaujinga ziwezi nisubwa

    • @bentamakinia
      @bentamakinia Год назад

      Jb pia wewe learn to patient kurukia mama ..ngoja mtu ajieleze and silent is the best silent ..kiherehere

  • @dominicngetich6356
    @dominicngetich6356 Год назад +4

    Congratulations JB damu inafutana see the kid JB ndo babake mtoi

  • @debbieMemoo
    @debbieMemoo Год назад +95

    Ladies mbona mnanunua love aki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wacha ni comment pole pole the same lady anaforce JB ni JB amelala na siz wake the first thing na badoo unataka akuwe wako??queen you are not serious take care of your kid and be a single mum si uko na pesa? Period stop drames,,,,,,baby daddy tunajua anaruka sai but behind we know anampenda mtoi wake sini kijana anyway JB expect tu juu queen alinunua love kwako😂😂😂ladies mtanimaliza kama huna nyota kama mimi tusubirii tu wakati wetu itafika sasa ukinunua😂😂😂😂😂😂team single pita hapa na kalikes 👍 tukisonga

    • @carolineakinyi6871
      @carolineakinyi6871 Год назад +7

      Ni kama haoni jb alilala na sister na ndo anamkatalia ni kama network imepotea 😂😂😂 heeeh wacha nioshe hammam ya waiguru Pole Pole

    • @debbieMemoo
      @debbieMemoo Год назад +4

      @@carolineakinyi6871 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mimi heri nichekee juu Sina Nyota na Sina hiyo nguvu ya kununua mapenzi🤸🤸

    • @carolineakinyi6871
      @carolineakinyi6871 Год назад +1

      @@debbieMemoo watu tunakimbia na laban kwa warabu na wengine wanakimbizana na mapenzi hiyo nguvu mm natowa wapi wacha tusongee mbele tukisubiri nyota ikuje 🤣🤣🤣

    • @debbieMemoo
      @debbieMemoo Год назад

      @@carolineakinyi6871 🤣🤣🤣🤣🤣aki tusubirii Mimi Hana Sina hiyo nguvu ya kuchat nikibeg love kitu saa mbili nimelalisha mwili niamkie kesho but kununua wasichana wanazidii

    • @everlineeverlinewamalwa243
      @everlineeverlinewamalwa243 Год назад +1

      ​@@carolineakinyi6871nakwambia hata sai nmeshika glass ya laban😂😂

  • @LuckyBonita
    @LuckyBonita Год назад +8

    Let's go for DNA 🧬 now I feel like the baby is a Ugandan ❤❤❤ period JB bring mtoi belongs to you my dear just queen is giving out a baby bcz that Man is violet

    • @kwagalacissy73
      @kwagalacissy73 Год назад

      U know l wish they can give him to me

    • @ziporahpeace
      @ziporahpeace Год назад

      😆😆😆😆 Ugandans joke alot😆😆😆

  • @carolineakinyi6871
    @carolineakinyi6871 Год назад +9

    Moha chunga wasikutowe matumbo course hata sijuwi ni nini wanashikana masharti surely watu tuko gulf na tunalea pekee yatu watoi na hata kuwa huyu mmoja mwenye Queen ameshindwa bby girl hauko serious na maisha

  • @Thekasukusfam
    @Thekasukusfam Год назад +5

    As a medic, the only advice I can do Let them do a DNA, you never know whom she met during the fertility window!! Then teen delete na drama

  • @florencenekesa8243
    @florencenekesa8243 Год назад +10

    I rebuke the spirit of desperation in Jesus name,but huyo MWANAUME mwingine hata nikipewa bure siwezi ,Mtu mvayolence kwangu is a big nooooo

    • @Maria-ju9by
      @Maria-ju9by Год назад

      Mtu hawezi jicontrol mafeelings zake vayolence ata kwa camera na kwa nyumba itakuaje

    • @florencenekesa8243
      @florencenekesa8243 Год назад

      @@Maria-ju9by imgn Kwa camera anafanya hivo hata hataki kujali the innocent bby

    • @annmurimi3130
      @annmurimi3130 Год назад

      Ata mm I can go for him hasira ako nayo weeeee😢😢😢

    • @FaithkeruboObiero
      @FaithkeruboObiero Год назад

      Amen 🙏🙏

    • @FaithkeruboObiero
      @FaithkeruboObiero Год назад

      Uyu mwanaume n mwenye namjua ooooh God 😢

  • @josykitua505
    @josykitua505 Год назад +2

    Queen take your baby this men if they need you they will do the dna your the one who carry the bby 9months bby is are blessings frm gulf

  • @jecintawanjiku9858
    @jecintawanjiku9858 Год назад +96

    Hata mtoto amependa Jb😂😂😂 ameona huyo jamaa mwingine ni wa vita. Nimesikia JB akixgezesha mtoi anasema ta ta ta na mtoi anacheka. Twende nalo JB😂😂😂❤❤❤

  • @munyaolydia2925
    @munyaolydia2925 Год назад +4

    Baby is a gift from God... Many pples are crying outside to get one😢..JB mnamatch na queen..take the Baby akuna kitu God aezi fogivie

  • @lucywakanyi849
    @lucywakanyi849 Год назад +33

    Mbona mnaleta mtoi kwa camera mkifanya unjinga huyu mtoto amekosea nani...shame on you mama mtoto love your kid that what all you have in this world zingine ni vanity

    • @user-Ambani
      @user-Ambani Год назад +3

      Na ameishi kusema aty maisha yake ni private na anaweka mtoi public 😢

    • @Chebiancacherry
      @Chebiancacherry Год назад +1

      Please shout😢

    • @LizKamau-ev5tj
      @LizKamau-ev5tj Год назад

      Sure

    • @florencemwihaki4423
      @florencemwihaki4423 8 месяцев назад

      The baby should not be brought kwa camera... atleast you guys should hide his face.
      AMA atleast asikuwe kwa drama

  • @catenjoroge8158
    @catenjoroge8158 Год назад +5

    Akii nasikia kama naweza chapa huyu msichana mbona lazima uolewe surely 😢😢😢😢😢 mbona unaforce mapenzi si umulee mtoi wako hata mbila baba 😢😢😢

  • @JanetKan-xw5bo
    @JanetKan-xw5bo Год назад +47

    Jb might be the father of this child even the attachment between baby and him is awesome for queen hajui mtoi ni wa nani because she smashed with both guys at same time.... but all the best jb take care of this beautiful angel you never know

    • @غديرسعيد-س2ذ
      @غديرسعيد-س2ذ Год назад +4

      🎉No because of the duration they left each other

    • @EUNiCEMaish
      @EUNiCEMaish Год назад +1

      No Siwa jb coz the queen alienda 2yrs n mtoi ni WA 1& half so hazipelekani

    • @JanetKan-xw5bo
      @JanetKan-xw5bo Год назад

      @@EUNiCEMaish but I had jb saying he had her before she travelled to Canada and same tym she was with the other guy.... but my few of things I think jb is still in love with queen bado na anapenda the baby

    • @esthernjoroge7819
      @esthernjoroge7819 Год назад +2

      But JB alisema hawajawai have sex wala kiss na queen 🤔

    • @JanetKan-xw5bo
      @JanetKan-xw5bo Год назад

      @@esthernjoroge7819 they smashed just watch again that episode but jb was telling moha not to refill that secret in the camera

  • @carenvibes5200
    @carenvibes5200 Год назад +4

    I feel JB unnecessary fights and arguments she and JB said they never had a thing before going to Canada the girl is confusing think she's just looking for a male figure in her life,,,,I love the siz she really stood up for the small siz wow JB has a big heart sooo proud of you may God bless you with a beautiful woman who will cherish and love you honestly

  • @julietnelima3253
    @julietnelima3253 Год назад +13

    Kwani siku hizi unaeza pata mimba through messages mchunge sana haki teamstrong 💪💪 vipi huku

    • @carolineakinyi6871
      @carolineakinyi6871 Год назад +2

      Hii nayo ni noma 😂😂😂 wacha niteremshe laban kwanza nakuja

    • @selinacharo9350
      @selinacharo9350 Год назад +2

      @@carolineakinyi6871😂😂ww kama una nyonga acha ju mimba zaingia online sasa 🤨🤨

    • @carolineakinyi6871
      @carolineakinyi6871 Год назад +2

      @@selinacharo9350 🤣🤣🤣 sasa wenye wako kenya wanaharibu mapenzi na sisi team strong tutafanya aje

    • @rebeccahmoraa
      @rebeccahmoraa Год назад

      Laban ijaisha kwa thalaja

    • @galaxyqwer7438
      @galaxyqwer7438 Год назад

      Ujinga😂😂

  • @GraceKuria-tz6xt
    @GraceKuria-tz6xt Год назад +2

    Mungu siunipe mtoto kijana aki oh my God,jb chukua huyu mtoi aki ,jb si pia wewe ulikua umepote naukachukuliwa na watu wengine aki

  • @Ta-bby_001
    @Ta-bby_001 Год назад +109

    Team strong thumb's up tukisonga na laban abegi 😂😂😂. MOHA good to see you back at your feet's work hard till your idols becomes your rivals🫰

    • @dorothyosoko8982
      @dorothyosoko8982 Год назад +2

      I'm having my Romans here

    • @اللااتتل
      @اللااتتل Год назад +3

      😂😂hivi tutaolewa ama tuendelee na laban

    • @nancymijide614
      @nancymijide614 Год назад +2

      DNA please Jb

    • @Ta-bby_001
      @Ta-bby_001 Год назад +1

      @@اللااتتل tunaolewa na fulus😉😂😂😂

    • @stellahokworo3947
      @stellahokworo3947 Год назад +2

      Kuolewa na fulus,khubus na Laban sio mbaya team strong 💪 kuja hapa

  • @aurickyenze5780
    @aurickyenze5780 Год назад +4

    Of course Wycliffe has to get disappointed having helped the girl to travel to Canada for greener pasture! It's a serious matter

  • @janemasakhwe5333
    @janemasakhwe5333 Год назад +9

    JB,Moha is not a true friend.Jitoe mapema.

  • @lilianokindo2176
    @lilianokindo2176 Год назад +16

    A man who starts a fight especially kwa mwanamke n mavi kinyenzi, choo ya kanjo , akili sewage, mbwa , chimpanzee😢😢😢😢 jb u are great

    • @Kateykatey8737
      @Kateykatey8737 Год назад

      wuueeh 🤭

    • @mimim4045
      @mimim4045 Год назад

      The lady is not innocent either. She was playing both the guy's.

    • @laureenmuneemakau2917
      @laureenmuneemakau2917 Год назад

      😂😂😂😂 kila kitu yote mbaya

    • @annmurimi3130
      @annmurimi3130 Год назад

      😂😂😂aaaauuuiiii all hii matusi yote ni mtu mmoja

    • @dennismutua1252
      @dennismutua1252 Год назад

      But why? chimpanzee is innocent 😂😂😂

  • @matete900
    @matete900 Год назад +49

    😢😢😢so painful kusikia mtoto akilia yaani munapingana juu hamutaki mtoto please ebu muniletee niwaonyeshe

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n Год назад +6

      😢ata mamake mtoi ndio mjinga akona pesa then awazi lea mtoi wake

    • @KgsHffk
      @KgsHffk Год назад +5

      Mama ni mjinga kiasi gani wanaume si wazuri mtoto ni wako na uko na pesa hakuna mzee mzuri my sister Mimi mzee alisema mtoto katika yako sai mtoto ni mkubwa please My dear

    • @matete900
      @matete900 Год назад

      @@liliy-u3n yaani nimesikia vibaya sana watu huwachwa na watoi wanne na wanalea but how comes one kid anashinda watu huku Kenya mmmh team fulus wacha tupambane na hawa wetu tuliachiwa

    • @ashamjeni292
      @ashamjeni292 Год назад

      ​@@liliy-u3nkabisa sai akuna time ya kubembeleza mwanaume,

    • @matete900
      @matete900 Год назад

      @@KgsHffk huyu yafaa achapwe Ako na bahati sijahome but dac nikifika nimpate na hii upuzi naambia moha apeleke mtoi kwa department ya watoto tukapewe wakiona

  • @janetmueni5156
    @janetmueni5156 Год назад +6

    It's so unfortunate, you're fighting and the kid is crying

  • @kitchenwithrosu532
    @kitchenwithrosu532 Год назад +3

    The baby looks like jb and the affection between the kid and jb can clearly be seen. My thoughts though.

  • @eddahkilimo6026
    @eddahkilimo6026 Год назад +4

    JB n queen you deserve each other n you look so good together

  • @RuthMwarenge
    @RuthMwarenge Год назад +6

    True and wise men don't fight but solve issues calmly...

  • @raelobiele3328
    @raelobiele3328 Год назад +1

    Yes wicky pole love kweli inauma aftrr kumusaidia afike mahali ako aki 26:30

  • @8261namarome
    @8261namarome Год назад +12

    JB you have the caring father heart. Take the kid

  • @josephineontiri7600
    @josephineontiri7600 Год назад +1

    Jb is agood man i wish jb will accept that gift from God and take care of her God will open doors for her

  • @dorothyosoko8982
    @dorothyosoko8982 Год назад +41

    Team strong 💪💪 never buy love to a man. Love your kid 😍😍😍..

  • @DaisyJepchumba-y2h
    @DaisyJepchumba-y2h Год назад +2

    Queen go with JB I see the way he is carrying your son😢😢 JB we love you❤.

  • @faithwanjikugitau83
    @faithwanjikugitau83 Год назад +3

    Moha please 🙏🙏 talk to queen she has money mwambie angalie mtoto wake sio lazima akuwe na baba haaaiii

  • @ceciliamusavi-c8w
    @ceciliamusavi-c8w 2 месяца назад

    What a man? He is so violent and so commanding. He is just a beast. Pelekeni mtoi DNA na story

  • @ruthchebet7256
    @ruthchebet7256 Год назад +6

    Wooii nyinyi mnatesa the kid mnipee huyo smart baby akuwe wangu Naona amtaki pls

  • @MaryMuthoni-w7f
    @MaryMuthoni-w7f Год назад +1

    Ooooh my God nmelia juu y the innocent kid aki it's painful Kuona mtoi akikanwa 😭😭😭

  • @kihemboann607
    @kihemboann607 Год назад +12

    This doesn't deserve the girl's love 😢JB is a perfect guy for her❤ watching all the way from Saudi Arabia

    • @Regina-mz9dd
      @Regina-mz9dd 11 месяцев назад

      Sasa wewe unayejitangaza mahali uko nani amekuliza Acha ufala

    • @sajusalimsaidad8090
      @sajusalimsaidad8090 10 месяцев назад

      A stupid guy fighting ladies 😢

  • @KendyJames
    @KendyJames Год назад +1

    I have the baby and am so huppy nalea peke yangu na ninadate bt sijqmuingiza kw isues za mtoi i solve it myself uyu dem alee mtoi wake na ka awezi anipee nimulelee i love toto bana kwanza ni mcute sana❤❤❤ msilete mtoi kwa izi isues mbele za camera hes young kukua kwa macamera mapema ivi ebu mukisolve siz ya queen anaeza shikilia mtoi mukimaliza mumuchukue sasa

  • @AnneKenya
    @AnneKenya Год назад +32

    Jb the baby is so cute and innocent, take him as your own. God will bless you

  • @elizakinuthia9218
    @elizakinuthia9218 Год назад +1

    Mimi nitoke canada ukuje kunipiga nahiyo mikono mieusi.....siwezi katan😢😢😢😅😅😅

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 Год назад +3

    Jb chukua huyu mtoto ak8wa mkubwa atapata maisha yake achana na mwanaume mjinga anakataa huyo mtoto atakua baraka kwako.

  • @Fatuma-ri6di
    @Fatuma-ri6di Год назад +1

    Ppl are going to witch doctor to get mtoto but for your there ignoring Mtoi ,may God bless you jb

  • @chesangberyl146
    @chesangberyl146 Год назад +4

    JB take the baby ama mfanye DNA nyinyi ni wanaume

  • @JenniferAdhiambo-en7si
    @JenniferAdhiambo-en7si Год назад +5

    Huyu jamaa anaboo,team jb hoiye 💪💪

  • @rachaelmwende9227
    @rachaelmwende9227 Год назад +4

    Moha......wacha izoo why are you forcing things.......the mother knows the father

  • @DorcaBoyani-u2q
    @DorcaBoyani-u2q Год назад +2

    So painful kuona mtoi anafightiwa Wala anakanwa so painful 😢😢

  • @preciouskyompaire5214
    @preciouskyompaire5214 Год назад +3

    Queen 👑 is so beautiful jb is calm u deserve each other

  • @edithnjendu444
    @edithnjendu444 Год назад +1

    Simple waache kuzungusha mtoi if both of them wanakataa mtoi wafanye tu DNA without all this violent....and for the queen be straight forward who's the father hii blame game iishe

  • @florencenekesa8243
    @florencenekesa8243 Год назад +4

    Deadbeast ,kazi ni kupeana mamimba wakiruka,yy alisikia vizuri JB hajawai lala na huyo Dem,Kuna wanaume wengine ni masufuria Sana😂😂😂anakataa mtoto na maybe mtoi ni the next zakayo yaani toru😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @carolineakinyi6871
      @carolineakinyi6871 Год назад

      Waaah niuwe 😂😂😂eti masufuria ni ukweli kabisa utazaa aje mtoto then unakataa eti sio wako

    • @florencenekesa8243
      @florencenekesa8243 Год назад

      @@carolineakinyi6871 😂😂😂😂😂😂😂usikufe mama

  • @domtecmedia7072
    @domtecmedia7072 3 месяца назад

    You have done bad when I see those guys fighting vi run mad cz you r the cause,🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kadkadzo7543
    @kadkadzo7543 Год назад +4

    Queen achana na hao majangili lea mtoto wako haezi kushinda,uko mcute na utapata bwana mwenye atakupenda jinsi ulivyo na mtoto na uache ujinga wa kudate wanaume zaidi ya mmoja

    • @easygirl5047
      @easygirl5047 Год назад

      Pia uyu queen ni limalaya fulani. Hajui pia mtoto ni Wanani

    • @kadkadzo7543
      @kadkadzo7543 Год назад

      @@easygirl5047 🤣🤣ni kweli ju wote aliwa serve the same time akiondoka

  • @Abu488
    @Abu488 Год назад +1

    JB take the child and God will help you,it doesn't mean whoever spend the resources should take responsibility

  • @janetkanini2233
    @janetkanini2233 Год назад +9

    Queen nipee uyu mtoi nkulelee uoleke na JB.... The kid is too cute kuingizwa kwa izi drama za mapenzi.

    • @orokokemunto4769
      @orokokemunto4769 Год назад +1

      Ako na ujinga sana kwani lazima alete mtoi kwaset nmechukia sana

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 Год назад +1

      Aki surely me acheni nibakie single nilee wanangu juu wajani text eti wanataka kuja so acha nibakie kuona dramaz tuh 😢😢😢 wasome watakuja ku appreciate 🎉

    • @HappynessJose
      @HappynessJose Год назад +1

      Mtoto anafanana na Jb pua 😅😅😅

    • @FransiscahMuindi
      @FransiscahMuindi Год назад +1

      Exactly and whatever they a doing now in physical it is happening in spiritual realm hope people can know life is spiritual

    • @FransiscahMuindi
      @FransiscahMuindi Год назад +1

      Exactly and whatever they a doing now in physical it is happening in spiritual realm hope people can know life is spiritual

  • @millyshii170
    @millyshii170 Год назад +1

    Mtoi atakuja ku grow na one day akakuja kuona hii video na atafil akiwa rejected queen take care of your kid your right man will come who will love you and your kid😮😮

  • @RuthMutheki-o3w
    @RuthMutheki-o3w Год назад +4

    We all need that sister in our lives

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Год назад +1

    Subhanaallah mungu wangu tusitili wanaume mnataka kulala na wanawake mkipata watoto mnawarutuka huko kenya kuna mambo mazito jamani nendeni mkafanye DNA Msipigane huo ni ufara wanaume wanapigana sababu ya mwanamke 💔💔💔💔

  • @nshimirimanjaja6130
    @nshimirimanjaja6130 Год назад +4

    Queen ni malaya awo analala nama boys ngapi??😢😢😢 mungu wangu weuh

  • @jamesnzangya4938
    @jamesnzangya4938 Год назад +1

    JB kid yours according to queens stmnt on how she gave all good bye as she leaves, assume the rest and take the family 💯💯

  • @jalianabiira9404
    @jalianabiira9404 Год назад +6

    Asalamu-alyekum warahamathulahi wabarakathuhu
    To be honest this man is not violent any other man can react according to the situation remember he's human and has feelings for the lady

  • @luigipellegrini92
    @luigipellegrini92 Год назад +1

    The mother should come out clean and say who the daddy is .... JB is also innocent here not only the baby, bcz he never knew there was someone before him!!!

  • @veronicaatieno8580
    @veronicaatieno8580 Год назад +5

    I don't blame these men,I blame the lady

  • @EmmahAdhiambo-o5i
    @EmmahAdhiambo-o5i 2 месяца назад

    JB you're a good person upendi vita chukua mtoi uende nayo

  • @harmonysafetymedcare
    @harmonysafetymedcare Год назад +29

    The sister is so protective. ❤

  • @DorryDolin
    @DorryDolin Год назад +1

    Queen please dear siz be careful with your kid,,, don't force issues relax first.

  • @MukuiNjeri
    @MukuiNjeri Год назад +12

    Queen don't act so desperate kwa wanaume😢 fanya DNA if at all you need to know the Daddy😢 you can raise your child na utaget mtu atakupeda na mtoi wako... don't false anyone to be dad

  • @ruthfavouredmurangiri6365
    @ruthfavouredmurangiri6365 Год назад +1

    This is heart breaking....ondoeni mtoto kwa dramas....This will bring trauma to him please

  • @rippleventures4466
    @rippleventures4466 Год назад +6

    Kwani the lady doesn't know the father😅😅😅😅

    • @LinetKageni
      @LinetKageni Год назад

      Harafu si i think alipata ball akiwa majuu how comes baba ako kenya😂

    • @lastbornkenya2142
      @lastbornkenya2142 24 дня назад

      ​@@LinetKagenihakuwa amesema alipata ball akiwa wapi. Hakuwa amesema how he landed Canada coz hapo ndio tungejulia.

  • @essywaweru3778
    @essywaweru3778 Год назад

    The child resemble JB. And queen you did good hukuabort .. i salute you gal

  • @maggynish6904
    @maggynish6904 Год назад +40

    JB is a mature man

  • @roselineakoth-d4n
    @roselineakoth-d4n Год назад +1

    JB usiwache mtoi queen amechanganyikiwa sana mwende DNA haki i feel for the baby innocently huyo ni wewe tipically

  • @gracekaki5053
    @gracekaki5053 Год назад +8

    Finally the dady is on set

  • @YuniahJoshua
    @YuniahJoshua Год назад

    Jb plz jukua mtoy anaweza kuwa baraka kubwa kwako aja kurushanisha mtoy ivyo mungu atakasirika na nyinyi mtoy ako innoncent

  • @rakivrakiv3023
    @rakivrakiv3023 Год назад +6

    Can't wait to hear 😂😂❤❤, the first one to comment

  • @teclakagai754
    @teclakagai754 Год назад

    Queen just take the bby God wil uplift you kindly sorry for this aki its soo painful men why doing this to women surely😢😢😢pole mommy all be well

  • @danielnyakaru
    @danielnyakaru Год назад +4

    JB na Wyliffe ni kama wanafanana,kweli madem😂😂😅

  • @rosemwangi-yp9ol
    @rosemwangi-yp9ol Год назад +1

    This guy nicoward in this error you cannot fight a woman. A child is a blessing am hurt hoo. This is traumatizing the child wooiye. Poor child. Mpaka katoto kanalia imeniumiza sana.

  • @liliannjega6578
    @liliannjega6578 Год назад +4

    Who will advise this young girl not to subject her kind to this kind of drama. Internet never forget

    • @ireneanyango1629
      @ireneanyango1629 Год назад +1

      Moha ndio inafaa amkataze but pia moha hajafikiria

    • @brendajumah9487
      @brendajumah9487 Год назад +1

      ​@@ireneanyango1629Moha amefurahia juu hadi sai amegeuka JB anabonga tu mbaya

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 Год назад

    Jb jb please can you take this lady with her kid mungu mungu mungu

  • @dansiranikuze923
    @dansiranikuze923 Год назад +5

    You guys can do DN

  • @josphinenyatero7948
    @josphinenyatero7948 Год назад +2

    MOHA PLEASE TELL QUEEN THERE ARE SO MANY SINGLE MOTHERS TAKING CARE OF THEIR CHILDREN. ATOE MTOY KWA HIZI UJINGA IS A MTOTO NA MAPENZI NI DUNIA MBILI TOFAUTI

  • @chemutaijaneth568
    @chemutaijaneth568 Год назад +10

    Really feel for the innocent kid

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph2528 Год назад

    Uwee waiting dis bbdad on show weuweu noma sanaa fire 🔥 thn 🔥 uwee drsmazzzzz, will never end

  • @AidahSquad
    @AidahSquad Год назад +3

    Jb He is soooo Mature ❤

  • @Sheilamurgor
    @Sheilamurgor Год назад +1

    Congratulations JB sis kama tram strong we are happy

  • @liliannjega6578
    @liliannjega6578 Год назад +6

    Queen take care of yourself and your kid

  • @emmakavumbi-uv1oq
    @emmakavumbi-uv1oq Год назад

    Watu c mko na joks aky😂😂😂acha nkunywe laban yangu tu pole pole nkichek drama

  • @DorryDolin
    @DorryDolin Год назад +12

    JB can be a father regardless of not being biological father

  • @Naomi-fl3hz
    @Naomi-fl3hz Год назад

    🙆🙆🙆🙆🙆🙆eeeh wicky wetu unaeza pigana hivi hebu leta mjukuu nyumbani wacha mahasira 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂