Hongera Sana mzee kamanda,kwa umri teule miaka 96. Aisee... na bado kumbukmb,sauti na uoni ni angavu. Heri ya umri mrefu pamoja nami. Mungu ashukuriwe.
Best interview ever. Hawa ni mashujaa SANA AMBAO wanahitaji kuenziwa SANA.. ukiangalia maisha ya mzee huyu yamkini ni ya duni SANA. Sijui serekali yetu inawatambua je au waenzi watu kama hawa.. Naona TV chogo.
Waislamu walijitoa sana kwa Nyerere wazee kama ho waikiislam wapo wengi waliopigania Uhuru kijitoa muhanga lakini Leo wanadharauliwa na wajanja wa mipango wazee walikuwa wakweli hao sio sisi vijana waleo
Kuna mzee mmoja,niliwahi kumwona kipindi cha waziri mkuu Salimu Ahmed Salimu, anafanana na huyu mzee nayeye alikuwa anaonja chakula, nilikuwa namuona mroho sana,sasa nimeelewa.Ila hiyo kazi ngumu sana jamani, na ni ya upendo mno.Kipindi hicho waziri mkuu alikuja kutembelea JKT Makutopora.Hongera sana mzee.
Inauma Sana kuona mambo kama,watu wanajimilikisha mapesa na kununua saaa za gharama wakati wazeee wetu wanateseka ,shenzi kabisa hawa viongozi bure kabisa
Cha kujifunza hapa ni uzalendo. Kusimama kwa maslahi ya wengi. Sio watu wanajisogeza kwa viongozi na wenye vyeo na kujifanya "chawa" Lengo ni kujenga urafiki huku wakiwanyofoa kwa mtindo wa kichawachawa kunyonya damu. Chawa hawa ndio wanawachanganya viongozi wetu. Viongozi tafuteni wazalendo wa kwenda nao sio hao machawa.
Raisi Mkapa ni Raisi wa mwisho kutuongezea wazee pensions hivi wengine mnaona sawa tu! Kwa kweli ninyi viongozi mnawakumbuka wacheza mipira lakini sisi ni Raisi Mkapa tu aliyeliona hili jamani tunaishi kwa mateso sana laki moja ninyi hata sitting allowance zenu kwa masaa mnapewa shs. Hizo? Nasi tulitumika tena kwa bidii katika serikali hii. Tunaomba mtukumbuke kama mnapenda sisi tuendelee kuishi kama binadamu wengine.
Nyerere Angekuwepo leo Angekuwa 101 Yrs, Ati huyu anasema Alikuwa Mlinzi wa Mwalimu Nyerere Ndio Tu Kaoa hana hata Mtoto??? Huyu Mzee Ana Miaka Mingapi?
Kweli serikali yetu tukufu iwangalie kwa jicho la pekee wazee wetu kama hawa kweli walifanya kazi nzuri sana tena sio kwa ubishoo ila ni uzalendo kutoka ndani ya rohoo zao kabisa
Nyerere hakuanzisha TAA acha mambo yako. Nyerere alikuwa mmoja kati ya waasisi 17 wa chama cha TANU mwaka 1954.TAA imeanzishwa mwaka 1929 pengine hata wewe muonja chakula ulikuwa hujazaliwa
Mwaka 1929 huyu mzee hajazaliwa? kwa umri wake amepishana miaka mitano tu na nyerere means amezaliwa mwaka 1927 acheni kuongea upuuzi bhas kama hamna akili timamu
Kuna wazee wengi ambao wamekuwa na mchango mkubwa kwa taifa hili,,ni vema wakaenziwa na kusaidiwa waishi vema,,Chasamba ni Shujaa kama mashujaa wengine
Sasa miaka hiyo laki moja kama milioni wewe nawe umezaliwa juzi tuulize sisi tulitumia sumni shilingi moja mpaka shilingi ishilini we ulikuwepo zamani laki Hela nyingi
@@tinnahagustinolyelu4247 umemsikiliza vizuri mzee anasema kwa yaani hii 2023 analipwa laki moja kama fao lake la uzeeni kwa kila mwezi,kitu ambacho kwa enzi hizo ilikua kubwa yaani miaka hiyoo na siyo hii 2023 ulipwe laki moja ndugu haitoshi kivile.
Safi sana mzeee kw upendo huo wa kujitoa mhanga💐💐💐
Mashaa'Allah mwenyez Mungu akuhifadhi baba na akujalie mwisho mwema yarabiy
Hongera Sana mzee kamanda,kwa umri teule miaka 96. Aisee... na bado kumbukmb,sauti na uoni ni angavu. Heri ya umri mrefu pamoja nami. Mungu ashukuriwe.
Best interview ever.
Hawa ni mashujaa SANA AMBAO wanahitaji kuenziwa SANA.. ukiangalia maisha ya mzee huyu yamkini ni ya duni SANA. Sijui serekali yetu inawatambua je au waenzi watu kama hawa..
Naona TV chogo.
yes
Dar24Media hamjawahi kuniangusha. Haya mahojiano yamenifunulia mengi kuhusu UTHUBUTU MAISHANI. Endea unachokiamini. Just big up guys. 🔥🔥🔥
Geoff hata mimi nimejifunza kitu, hawa wazee walikuwa very patriotic and trustworthy
Safi sana
Duh boc wang hongera sana ingawa cc hatuna changamoto hzo sana ktk kuonja chakula ila hongera
Hongera nyingi kwa Mzee wetu huyu, Mungu amhifadhi na kumbariki sana.
Kwa muonjaji huyu ni hakika Nyerere hakula kitimoto
Asante sana mzee
Hongera kamada
Mwenyezi Mungu azidi kukutunza mzee wetu
Historia nzuri. Mwandishi umehoji vizuri ila nadhani kuna tatizo katika kumbukumbu kutokana na umri wake kuna sehemu anachanganya matukio
Kweli. Zambia, Malawi, Samora...Ila linabakia hizi historia muhimu sana Kitaifa
Interesting history, ubarikiwe sana mzee!!!!
Amepewa upendeleo wa Mungu kwa kuwa na afya nzuri sana ya mwili....Miaka 95? Anaonekana wa miaka 75...!! Mungu akubariki...
Duh hatari sana
Ni kweri iyo tamaduni
Yakuonja chakula nikubwa
Sana dunian kote
Huyu mzee yupo vizuri
Waislamu walijitoa sana kwa Nyerere wazee kama ho waikiislam wapo wengi waliopigania Uhuru kijitoa muhanga lakini Leo wanadharauliwa na wajanja wa mipango wazee walikuwa wakweli hao sio sisi vijana waleo
Huyu mzee alikuwa mkweli kama walivyo waislamu wote ni wakweli kundi la watu sasa hivi linatuharibia kwa unafiki wao..!
mahojiano mazuri sana ila mngenogesha na picha za mzee kipindi hicho
Anayetukuzwa ni Mungu tu! Achana na hiyo habari ya atukuzwe!
Nimeipenda Sana kazi yako mzee
Ongelaa
Kuna mzee mmoja,niliwahi kumwona kipindi cha waziri mkuu Salimu Ahmed Salimu, anafanana na huyu mzee nayeye alikuwa anaonja chakula, nilikuwa namuona mroho sana,sasa nimeelewa.Ila hiyo kazi ngumu sana jamani, na ni ya upendo mno.Kipindi hicho waziri mkuu alikuja kutembelea JKT Makutopora.Hongera sana mzee.
Habari, kiukweli naomba wizara husika iwaangalie kwa kuwatafuta walipo na kuwahandle,ili kuimarisha uzalendo zaidi kwa watumishi tuliopo!!
Nimewaza kitu nika Google chap , kumbe miaka ya 1960 Population ya TZ ilikua Milioni 10 tu .
Walikuwa simple sasa hebu ona haya majizi ya siku hizi wanavyofuja mali
Hahaha
Duuuh nchi yetu inamambo mengi sn yn
Inauma Sana kuona mambo kama,watu wanajimilikisha mapesa na kununua saaa za gharama wakati wazeee wetu wanateseka ,shenzi kabisa hawa viongozi bure kabisa
Akila itakuwa watu wausalama wa Taifa wamepita hapo na kuona hakuna madhara.
Dah huyu Mzee hastahili kuwa anapewa hela ya mboga huku mijitu ukiwa busy kuiba pesa za umma
Mjaluo wa Musoma, Mzee Apiyo?
Ilikuwa ubabaishaji na ukosefu wa ujuzi na uzoefu kwani unaweza ukaenda. Je ukitoka unajua kinachoendelea? Trials and errors.
Huyu mzee nihazina
Inakuaje huyu mzee Apate pensheni ndogo hivi
Hizi ndizo laana
Duh! Jamani huyu mzee ni kiwango cha rais, serikali jitafakari la sivyo dhambi kubwa inatukabiri
Pesheni ya wastaafu itazamwe ni aibu watu wengi waliolitumikia taifa kwa uaminifu wanaadhirika mitaani.
Angalieni maisha yake 😢
Miaka 96 bado ana kubukumbu nzuri
inakuwaje kama ni slow poisoni?
Laki 1 Pension
???
Yaani laki moja kwa mwezi ? Duh
Huyo mzee anatakiwa aweanapewa milioni moja kwamwezi
Kwa Kazi yake ngumu na kujitoa na kuhudumu naomba hiyo pensheni iangaliwe kwa watumishi mahiri kama hawa ,wenye historia kuntu!!
Ningependa kumwomba rais Samia amtazame mzee huyu ,na amwongezee penshen.
Cha kujifunza hapa ni uzalendo. Kusimama kwa maslahi ya wengi. Sio watu wanajisogeza kwa viongozi na wenye vyeo na kujifanya "chawa" Lengo ni kujenga urafiki huku wakiwanyofoa kwa mtindo wa kichawachawa kunyonya damu. Chawa hawa ndio wanawachanganya viongozi wetu.
Viongozi tafuteni wazalendo wa kwenda nao sio hao machawa.
Mwalimu akija sasa hivi akute bandari zinauzwa😭😭
tafathali serikali watazameni wazee awa muwatunze laki moja kwa maisha ya sasa ni kidogo mno.
Ni aibu kubwa sana pensioni ya huyo Mzee ni laki moja Tanzania tupo wapi
Yanakula majizi ya nchi
Mtu Muhimu kama huyu analipwa laki dah
🔥🔥🔥🔥🔥
Ndo mnampa laki mija hapana hapana muonfezeeni
Raisi Mkapa ni Raisi wa mwisho kutuongezea wazee pensions hivi wengine mnaona sawa tu!
Kwa kweli ninyi viongozi mnawakumbuka wacheza mipira lakini sisi ni Raisi Mkapa tu aliyeliona hili jamani tunaishi kwa mateso sana laki moja ninyi hata sitting allowance zenu kwa masaa mnapewa shs. Hizo? Nasi tulitumika tena kwa bidii katika serikali hii. Tunaomba mtukumbuke kama mnapenda sisi tuendelee kuishi kama binadamu wengine.
🎉
IPO siku tutakuja kudai uhuru. Kwamara yapili.
Nyerere Angekuwepo leo Angekuwa 101 Yrs, Ati huyu anasema Alikuwa Mlinzi wa Mwalimu Nyerere Ndio Tu Kaoa hana hata Mtoto??? Huyu Mzee Ana Miaka Mingapi?
Mzee ana miaka 96
Kwa sababu hujui hesabu ndio maana huoni wamepishana miaka mingapi leo Mel angekuwa na 101 na huyu ana 96 huoni watofautiana miaka mitano tu.
Mpatieni pension yake
Kweli serikali yetu tukufu iwangalie kwa jicho la pekee wazee wetu kama hawa kweli walifanya kazi nzuri sana tena sio kwa ubishoo ila ni uzalendo kutoka ndani ya rohoo zao kabisa
Kinyiramba tunaita nyama ilyokaushwa "mintanda"
We jamaa😂😂😂
👍🤜🏼
Mzee anamadini adimu sana
Nyerere hakuanzisha TAA acha mambo yako. Nyerere alikuwa mmoja kati ya waasisi 17 wa chama cha TANU mwaka 1954.TAA imeanzishwa mwaka 1929 pengine hata wewe muonja chakula ulikuwa hujazaliwa
Mwaka 1929 huyu mzee hajazaliwa?
kwa umri wake amepishana miaka mitano tu na nyerere
means amezaliwa mwaka 1927
acheni kuongea upuuzi bhas kama hamna akili timamu
Kuna wazee wengi ambao wamekuwa na mchango mkubwa kwa taifa hili,,ni vema wakaenziwa na kusaidiwa waishi vema,,Chasamba ni Shujaa kama mashujaa wengine
Katibu huyo mjaluo wa musoma alikuwa Timothy Opiyo.
SIO NYERERE ALIOANZISHA CHAMA CHA TANU WEWE MZEE MUONGO
Huyo katibu jaluo wa musoma anaitwa Apiyo Dede
Nacho omba serekali wamuangalie Na wa mmpe zawadi ili iwe funzo kwa wengine
Jaluo huyo ni Apiyo Odede
mtangazaj mtafute mzee Butiku itakuwa njia rahisi ya huyu mzee kupata msaada sababu yeye bado yupo angalau kariibu na hz serikali... maoni tu
Testa
Yaani wanatakiwa walelewe na serikali lakini laki moja kweli mshahara wake tutapataje baraka nchini
Hii nchi hovyo sana mzee kama huyu wa kulipwa laki moja ehh.unaweza kuwa sirias na nchi yako lakini nchi yenyewe haipo sirias.Ufisadi umejaa tu.