Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Asante sana sana bin Seif Mungu Awarehemu Seif Salum na Machaprala.Umentoa machozi ya memories bro.Bless.Greetings from Muscat.
Allah rahmaĺaah
Hiii nyimbo inaniumiza sannna nasijui nifanyenini
Hakika Allah amewakumbuka waja wake mungu awarehemu waliotutangulia
@@fiqqhishuab2883pole
Both Machaprala and Seif Salim Allah awarehemu
naipenda xn na nikisikia nakumbuka mbali xn it my best song
Yakale dhahabu hakikaAllah warehemu waja wako hawa na wenzeo wote akinaAsha simai,faudhia AbdullahBikidude,bakari Abeid, na wengine wote
Amin Allah awasamehe makosa yao
Masallah!! Kweli nilaumu nini? Macho ama moyo?♥
macho ndio yanze lawama yy ndio yaloona moyo ukapendaaaa
@@latifamohd6891 kuona sio tatizo vingapi unaona mbona hutamani moyo ndio ulaumiwe
usalaumu kimoja laumu vyote viwili,jicho halina pazia na moyo hauana akili
Matatizo ni moyo
Hizi ndo ladha watu napenda sio mipasho ya sasa vidole juu ...
Hakika
Nalaumu macho yangu kwa sababu ndio ilotangulia
laumu vyote viwil usilaumu kimoj no comments allah awarehem na awasameh
hata mi najiuliza
Asante sana sana bin Seif Mungu Awarehemu Seif Salum na Machaprala.Umentoa machozi ya memories bro.Bless.Greetings from Muscat.
Allah rahmaĺaah
Hiii nyimbo inaniumiza sannna nasijui nifanyenini
Hakika Allah amewakumbuka waja wake mungu awarehemu waliotutangulia
@@fiqqhishuab2883pole
Both Machaprala and Seif Salim Allah awarehemu
naipenda xn na nikisikia nakumbuka mbali xn it my best song
Yakale dhahabu hakika
Allah warehemu waja wako hawa na wenzeo wote akina
Asha simai,faudhia Abdullah
Bikidude,bakari Abeid, na wengine wote