Jomri - Mapenzi (Official visualizer Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 48

  • @denniskapella.3345
    @denniskapella.3345 15 дней назад

    Bonge la songi bonge la mdundo

  • @yonapaul1383
    @yonapaul1383 2 месяца назад +1

    Oya ndan ya mitetemo ya frequency

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 3 месяца назад +4

    Ulisema kufanya ngono ni kutoa energy 😂😂😂😂

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂wee mlindokoooo....
    daaah....

  • @AmosiTimoteo
    @AmosiTimoteo 19 дней назад

    Si huwa unasema hakuna Mungu,uliumbwa na nani sasa? Mrindoko mzinguaji sana

  • @ricardolocha5962
    @ricardolocha5962 3 месяца назад

    Big up sana man ...bonge ya ngoma

  • @bettymachibya5250
    @bettymachibya5250 Год назад +1

    Big-up

  • @josephenos5301
    @josephenos5301 3 месяца назад

    salute jah man

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 Месяц назад

    Nimesikia kuwa umeumbwa kwa ajiri ya mambo mawili ambayo ni kumwabudu aliyekuumba na kumpenda huyo mwanamke, sasa sielewi motivation yako ipo ktk hali gani mchokonozi….

  • @Sirtbreaker
    @Sirtbreaker 2 месяца назад

    It's emotional and beautiful song🔥

  • @linusdenis310
    @linusdenis310 Год назад +1

    Best love song 2023

  • @dag5726
    @dag5726 Год назад

    Hongera sana

  • @anthonymathias6442
    @anthonymathias6442 Год назад

    Hongera sana Kaka

  • @AmosiTimoteo
    @AmosiTimoteo 19 дней назад

    Uliumbwa na hakuna Mungu wasenge nyie waganga njaa tu kumbe

    • @titusjairo6482
      @titusjairo6482 15 дней назад

      Kwani ukisikiq neno mungu unaelewa nn?!

  • @neoclausmrindoko859
    @neoclausmrindoko859 Год назад +1

    🔥🔥🔥

  • @michaelndosi
    @michaelndosi Год назад +1

    You got a good voice man!

  • @GameChumaTz
    @GameChumaTz 2 месяца назад

    Mlindoko family

  • @aarontumaini4248
    @aarontumaini4248 Год назад +1

    Hongera kijana

  • @kimogajr
    @kimogajr 3 месяца назад

    Hii Ni wachokonoziii😂😂😂

  • @HarryHerman-i9e
    @HarryHerman-i9e 10 дней назад

    Kipindi wasabato wanatafuna sadaka zako

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 3 месяца назад

    Wachokonoooozi 😅

  • @Mr.Banton
    @Mr.Banton 25 дней назад

    🎉

  • @jomri6214
    @jomri6214  Год назад

    Dedication to the lovers.

  • @Sirtbreaker
    @Sirtbreaker 2 месяца назад

    🔥🔥

  • @SITTASIMON
    @SITTASIMON 18 дней назад

    Za kuambiwa changanya na za kwako mrindoko is just mwanadamu kama mwanadamu mwingine yeyote has no any perfection.. kupinga kila kitu haimanishi una uelewa kuliko watangulizi waliotengeneza formula za maisha cha ajabu mr mrindoko anaishi kama wanadamu wengine alichofanikiwa ni kutengeneza content kazi aliyo nayo ni kutafuta wafuasi na wengi wa wafuasi anaowapata ni mafala kama msemo wake! Wanatumia akili ya mrindiko hawana challenge yoyote kila atakachokisema utasikia uko sahihi, una akili kubwa, mkombozi wa Africa, wise man a'n etc.. msichokijua ni anatafuta kula maana ndyo kazi aliyoichagua lazima acheze na akili ya watanzania! Tena kwa kutumia psychology ya mitaala ya wazungu na rejea za wazungu... ambao kila kukicha anawalaumu! Finaly mrindoko ni mtafuta ugali kama walivyowatafuta ugali wengine!

  • @godfreymwenesho1770
    @godfreymwenesho1770 3 месяца назад +1

    Aliumbwa na nani akikupe wewe tu?

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 3 месяца назад

    Mapenzi shikamoo,,, hadi Mchokonozi anaendeshwa 😂😂😂😂

    • @StevenPeter-sg7zo
      @StevenPeter-sg7zo 3 месяца назад

      Hahaha kwani mchokonozi pia si ana moyo 😂😂

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂

    • @josephjohanes9327
      @josephjohanes9327 3 месяца назад

      Hapo bado alikuwa anajitafuta namna ya kueleweka katika jamii na taifa zima

  • @shareefkamtande
    @shareefkamtande 3 месяца назад +1

    Mchokonozi limefinyiwa kwa ndani mpaka anaanza kuimba pumba😂😂😂

  • @andalusianandy
    @andalusianandy 2 месяца назад

    Katika moja na mbili za kutafuta ugali

  • @StanslausWakazi
    @StanslausWakazi 2 месяца назад

    😂😂😂😂 daaah awa waseee. Niwahuni tu ktk Moja na mbili za kutafuta ugali maana anasema hakuna mungu Leo aliumbwaa mbn Wana tuchanganyaa😂😂😂

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 2 месяца назад

      Hawa wanaenda na uelewa wako maana we ukiambiwa hakuna Mungu si unaogopa

    • @asentertainmenttz3128
      @asentertainmenttz3128 2 месяца назад

      Mungu ni sehemu ya sanaa ndiyo maana kamuhusisha kwenye kazi ya fasihi

    • @witnessmarley5391
      @witnessmarley5391 22 дня назад

      Nimependa jibu lako​@@asentertainmenttz3128

  • @adamsprotus1235
    @adamsprotus1235 2 месяца назад +1

    Check with an artist Krgt Bughaa from kenya.. incase you need his contact I will give you.. most of your music seem to hav a such melody having alot of fans from kenya

  • @bettymachibya5250
    @bettymachibya5250 Год назад +1

    🔥🔥🔥

  • @MalongoBuza-e3z
    @MalongoBuza-e3z 4 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥