Mpina auwasha MOTO Bungeni ashtua Serikali uhaba wa DOLA; Anena azimio la ITIFAKI ya biashara SADC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 авг 2023
  • Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye mjadala wa Azimio la Bunge kuhusu itifaki ya biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika wa Mwaka 2012 unaoendelea bungeni leo Alhamisi, Agosti 31, 2023.

Комментарии • 14

  • @denisyohana8104
    @denisyohana8104 9 месяцев назад +1

    ila mpina,shikamooo🙌🙌

  • @simonsheremia3645
    @simonsheremia3645 9 месяцев назад +2

    Kuna watu wamekaa kama makatuni tu humo,hawaelewi kinachoendelea 😂😂

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 9 месяцев назад +1

    mpina akili kubwaaa saana. wengine wanamshangaaa. kwanini Hali rushwa hay Tanzania. amkeni tukataee ushenzi huu

  • @mukhusinathuman6596
    @mukhusinathuman6596 9 месяцев назад

    Ndio anafaa kuwa Rais kulingana na ari ya nchi ilivo

  • @anaclethmeshack7944
    @anaclethmeshack7944 9 месяцев назад +1

    Mpina anapigwa vita sana kila mahali lakini ni mbunge pekee ambae ana akili sana na weledi mkubwa wa kuchambua mambo kuliko mbunge yeyote nashangaa kwanini hateuliwi kuwa wazari kwenye wizara nyeti.
    Binafsi nampenda sana Mpina.

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 9 месяцев назад

      Mpina ni Mbunge mzalendo ambaye pia ni wa Kanda ya ziwa, watu wema na wazalendo ambao kundi fulani tunahisi limeamua wakae pembeni, lakini Mpina ni mtu mwenye kujua na mwenye kushauri vyema Serikali, tatizo ni hawakubaliki tena, sasa hivi kila mwenye vinasaba vya ki- MAGUFULI anawekwa pembeni

  • @robsonmjuni346
    @robsonmjuni346 9 месяцев назад

    Nimeamini Luaga Mpina ni msomaji mzuri

  • @user-zf4nx2jy2l
    @user-zf4nx2jy2l 9 месяцев назад

    mpina haja nunuliwa

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 9 месяцев назад

    Luhaga mpina ni mbunge wa taifa manake ndio mbunge anae ongea ukwel kuliko wabunge wooote na anaakili nying kinoma

  • @AlekizandaNyeve-vb5in
    @AlekizandaNyeve-vb5in 9 месяцев назад

    Heko Mpina

  • @lumumbasembuli7807
    @lumumbasembuli7807 9 месяцев назад

    Trillion 200 au billion..!?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 9 месяцев назад

    Mpina hamia chadema achana na hayo mavuvuzera wanachumia matumbo yao

  • @mussakunenga8866
    @mussakunenga8866 9 месяцев назад

    Hakuna anayepiga makofi

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 9 месяцев назад +1

    huyu ndo kiongozi mwenye akili kubwa namzalendo. halisi. aliye. baki. ndani ya ccm wengine. machawa hawana weledi. wanaawaza uteuzi tu.
    akili zao zimehamia tumboni natamani ayaue mabunge mengine coz yanawaza Dili tuuv so sad