TUMETENGENEZA SERA NZURI KWA SEKTA BINAFSI-RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 июн 2024
  • “Tumetengeneza sera nzuri wapate faida hivyo tupate gawio. Kwa hiyo nawashukuru sana kwa hatua hii. Lakini pamoja na kujipongeza serikali sera zetu, mazingira tuliyoyajenga lakini pia niwapongeze wenzetu kwenye kampuni, watendaji na wenyeviti wa bodi.
    "Nawapongezeni sana kwa kutumia mazingira bora kufanya biashara na kupata faida. Nazipongeza Bodi za Wakurugenzi, Menejimenti za makampuni haya kwa kufanya kazi kwa bidii na hivyo kupata faida iliyosababisha leo muweze kutoa gawio kwa wabia wenu tukiwemo sisi serikali," Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.

Комментарии •