Uko sahihi sana dj sma sekta binafsi ziko vizur sana mfano tu ni sekta ya mawasiliano sekta wako vizur sana ingekuwa serikali isingeweza tungekuwa tunakaa hata wiki bila kuwasiliana mfano sekta ya umeme tu changamoto zake sio poa
Personally, sikupenda service ya pale Morogoro SGR nilivyokuwa narudi Dar. Walikuwa wanataka tutoe vitu vyote vyenye hasili ya maji kutoka kwenye mabegi na masanduku zetu, kama mafuta ya kupaka, perfume, maji ya kunywa n.k. kwakweli sikuwaelewa. Sasa kama mimi nimeenda Moro kulala na kurudi siku ya pili, kwanini nisibebe hivo vitu? Wanataka niviache huko Moro for what? Ni vitu vyangu personal na nilikuja navyo from Dar. Na pia kuto ruhusu hata maji ya kunywa kweli? Sikufurajishwa na hilo. Itabidi wabadilishe system kwa kweli. Mbona SGR station zingine wanaruhusu.
@@djsma255 Dua kaka tunakupenda zaidi kwa uchambuzi wako nzuri na kipaji cha ajabu kutabiri mambo kisha yanatokea kweli Allah akuzidishie kila la kheri katika harakati zako za kutufahamisha mambo mengi weye pamoja na wenzako nawakubali sana
Tunawaweka watendaji wazembe wasio wajibika ndio maana utaona hayo wanapewa ni familia za viongozi sio wawajibikaji hayo hauwezi yaona kokote duniani sijui ni ugonjwa vile miradi ya mabilioni harafu uzembe WA Hali ya juu hebu muwe mnatoa taarifa zaidi
Serikali inatakiwa isimamie hivi vitu visije vikachakaa. Mfano bus rapid transport, mwanzo zilikuwa nzuri sana, sasa ni mbovu hatari, zinapiga kelele hovyo kabisa,milango mibovu baadhi, serikali isimamie irekebishe.
Watanzania wakipewa watu binafsi wanasema mama anauza nchi kelele kibao..Watanzania wanashida...angalia bandar nk
Leo mmetucharaza na kutunyoosha kweli kweli, nimekaa kusubiria GPS na haiji na hamu ya kiamsha kinywa pia hakiji, aaaah Leo mmetuweka sana aaiisee
Uko sahihi sana dj sma sekta binafsi ziko vizur sana mfano tu ni sekta ya mawasiliano sekta wako vizur sana ingekuwa serikali isingeweza tungekuwa tunakaa hata wiki bila kuwasiliana mfano sekta ya umeme tu changamoto zake sio poa
Personally, sikupenda service ya pale Morogoro SGR nilivyokuwa narudi Dar. Walikuwa wanataka tutoe vitu vyote vyenye hasili ya maji kutoka kwenye mabegi na masanduku zetu, kama mafuta ya kupaka, perfume, maji ya kunywa n.k. kwakweli sikuwaelewa. Sasa kama mimi nimeenda Moro kulala na kurudi siku ya pili, kwanini nisibebe hivo vitu? Wanataka niviache huko Moro for what? Ni vitu vyangu personal na nilikuja navyo from Dar. Na pia kuto ruhusu hata maji ya kunywa kweli? Sikufurajishwa na hilo. Itabidi wabadilishe system kwa kweli. Mbona SGR station zingine wanaruhusu.
Bro Sma, tunasubiri FUSE kwa hamu ni muda sana hujatupa uchambuzi
Kuna kitu kizito nandaa
@@djsma255 Dua kaka tunakupenda zaidi kwa uchambuzi wako nzuri na kipaji cha ajabu kutabiri mambo kisha yanatokea kweli Allah akuzidishie kila la kheri katika harakati zako za kutufahamisha mambo mengi weye pamoja na wenzako nawakubali sana
duu leo ndani ya sekunde nimewahi
From Nairobi nawapata
Kipindi kizuri sana leo.
Tunawaweka watendaji wazembe wasio wajibika ndio maana utaona hayo wanapewa ni familia za viongozi sio wawajibikaji hayo hauwezi yaona kokote duniani sijui ni ugonjwa vile miradi ya mabilioni harafu uzembe WA Hali ya juu hebu muwe mnatoa taarifa zaidi
Wakwanza 🎉
Jaman kaka Ally umepita iringa kimya
Kweli lkn gharama itaongezeka mnoo itakuwa kama kwenda kigamboni
Mi nafikir ile boarding watu wasisubiri ukija unafanyiwa ukaguzi unaingia una subiria ndani ya tren ilikupunguza msongamano usio wa lazima
Hapo kwenye wanyama yule moja uliemta ni ( Swala na sio swaraaaa)
Kumbe umeelewa
Mme tunyoosha aiseee
Serikali inatakiwa isimamie hivi vitu visije vikachakaa.
Mfano bus rapid transport, mwanzo zilikuwa nzuri sana, sasa ni mbovu hatari, zinapiga kelele hovyo kabisa,milango mibovu baadhi, serikali isimamie irekebishe.
Mnazngua leo mambo gani haya bhana yani tumesubir sana alaf mnatuletea habari za sgr
😂 😂 😂 😂 😂 Wanatuchanganya asee
Hapana ni vitu vyetu mhim sana
🙄🙄duuuh
DJ SMA = VAN DIESEL wa Bongo (joke)
😂😂
GPS ⚡️🔥🔥🔥