TAZAMA GOLI LA MEJA YA KISASA ALOFUNGWA CR7 :NDULI ANAWEKA YA KUTISHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 33

  • @williammsigwa8526
    @williammsigwa8526 Год назад

    Nduli nae kapata mteremko🙌🙌🙌

  • @charlesmaganga8430
    @charlesmaganga8430 12 часов назад

    Hapo mixer kakosea kweli

  • @Munyama675
    @Munyama675 3 месяца назад

    Hili ni moja ya goli la kifala sana.. CR7 hakupaswa kuingia mapajani, alitakiwa kwanza kuitoa keta ya nyuma kumalizia steps

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Год назад +1

    Naskia kashinda 3 nduli tuwekee hayo mengine tuone

  • @stellabijela2238
    @stellabijela2238 6 дней назад

    Goli gani?🤔

  • @MbwanaMwazoa
    @MbwanaMwazoa 6 месяцев назад

    Hiiiii ilikua sareee na sio goliiii

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Год назад

    Kakosea kula hapo kwenye mixa, agepata sare

  • @meshackjoseph2289
    @meshackjoseph2289 Год назад

    ile ngumu ndo ilimaliza bao😅

  • @AdilMedir
    @AdilMedir Год назад

    ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅

  • @Mtituboy
    @Mtituboy Год назад +1

    Tunakupongeza ila usibague,hakuna hata ambayo Ronaldo amemfunga mtu ukaweka .kila siku anazofungwa ronaldo

    • @qaisalqais6633
      @qaisalqais6633  Год назад

      Magoli ya Ronaldo nitayapost Juma nne
      Ronald vs Sisco (honey goal?)
      Ronaldo vs kiwembe (mwanaukome)
      Ronaldo vs shuku(real talent)

    • @kassimdadi5406
      @kassimdadi5406 Год назад +1

      Poa na magoli mengine Naskia nduli kafunga 3

  • @KakotMsongole-o4v
    @KakotMsongole-o4v Год назад

    Mkuu reta namagoli.Ronaldo

  • @eddiedonald7483
    @eddiedonald7483 Год назад

    Hawa mafund wanafikiria adi wanakoaea, goli gani ilo la kufungw sasa?

    • @qaisalqais6633
      @qaisalqais6633  Год назад +1

      Ukiona fundi kafungwa basi hata ww unafungwa

    • @eddiedonald7483
      @eddiedonald7483 Год назад

      @@qaisalqais6633 kaka eeh ilo draft ad hapo nduli alipopiga mixer ni droo sena cr7 alifikiria sana ad akajichanganya

    • @allymsukulu
      @allymsukulu Год назад

      @@qaisalqais6633 kaka kafanye analysis kwa kina uteletee huu mchezo vizuri
      Ila mi nimeona move ya nduli mara baada ya ronaldo kuweka kete konan karibu na single kona ya nduli ni move ngumu sana
      Si nyepesi kama watu wanavyo fikiria

  • @BobanKiko-xs1hs
    @BobanKiko-xs1hs Год назад +1

    Tuwekee na mapambano ya dogo shuku fundi wetu

  • @ridhiwaniswaleh7878
    @ridhiwaniswaleh7878 Год назад

    Wapewe mechi ya maludiano.

  • @wherethefanstarts5302
    @wherethefanstarts5302 Год назад

    Mafundi wanafikiria wanafungwa magoli ya ajabu ajabu mnoo😅😅

    • @qaisalqais6633
      @qaisalqais6633  Год назад

      Draft ni mchezo mpana San usiache kuchunguza step za mafundi tumekuzidi san

  • @salumzambwi8941
    @salumzambwi8941 Год назад

    Hilo bao kafungwaje cr7, mbona jepesi sana kufungwa fundi mkubwa kama yeye. Imekuaje ameanza kuziba hiyo kete ya nyuma?

    • @allymsukulu
      @allymsukulu Год назад

      Move alofanya nduli baada ya ronaldo kumaliza konani karibu na single kona ya ronaldo ni move ngumu sana jaribu kuifuatilia utagundua sare si yawazi sana

  • @Mtituboy
    @Mtituboy Год назад

    Magori ya Ronaldo hujawahi kuleta

    • @qaisalqais6633
      @qaisalqais6633  Год назад +1

      Magoli ya Ronald yapo tayar kesho nayaweka

    • @qaisalqais6633
      @qaisalqais6633  Год назад +1

      Kesho nayaweka

    • @kassimdadi5406
      @kassimdadi5406 Год назад

      Poa

    • @ashery1368
      @ashery1368 Год назад

      Ronado kazngua kwenye Kula hyo mixer ilikua sare

    • @stanleyndelwa7491
      @stanleyndelwa7491 Год назад

      Sijaelewa bado kwanini wa bluue hizo kete 2 alizozibia King aliiitoa badala ya kumtoa huku aingie king mbona ilikua inakuja kutoa sare maana angeingia King na kula kete ya bure