GAMONDI AWEKA HISTORIA | RAMOVIC ATABIRIWA MAKUBWA| WANATAKA KUKANDWA | KULIA NI DALILI ZA KUSHINDWA
HTML-код
- Опубликовано: 1 дек 2024
- Wakazi wa Tandika kwa Chihota wafunguka juu ya ujio wa kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic huku wakidai Ujio wa Kocha huyo ni Jambo kubwa na wanaimani kubwa sana na viongozi wao.
#chapakubwamedia #Weinformweentertainweinspire