I pray 🙏 to my father LORD Jesus that he help you not only to listen to Gospel but you listen to him his voice is the best thing which you can't explain to the world poeple 🙏🙏❤️ feel loved by our saviour brother @Alex Otieno
@@jennifermahamba7445 She's talking about how she loves God and everything about Him(the blessings,the trials and tribulations, how He fulfills etc).Napenda means i love.
Jaman nipo hua nazipenda Sana hiz nyimbo zake ila dada yangu Kuna kitu ulikosea ndio Mana nyimbo zako zasahizi hazina hisia walasio nzur kwenda kwa jodevi na akakupa hela uliuza nyota yako pasipo kujua mungutu awalinde wote wasani mulio enda
I never used to listen to gospel song but of late I now believe in miracles ❤️ and indeed God has done alot in my life I will never stop lifting His name high kwa Yesu kuna Raha
Ninakumbuka mbali mno kila nikiusikiliza huu wimbo nakumbuka nikiwa chuoni mwaka wa 1 bt all in all Ninaenda kila kityu kutoka kwako YESU Kama dada shusho anavyo imba🙏
2024 and it is still a hit
Lovely 🌹 song
God's deeds are beyond measure!!Napenda neno,kila kitokacho kwa Mungu ni kizuri!!still blessed mom.
Kila kitu kitokacho kwa BWANA tazama ni chema sana!
08.05.2024 Ninapenda mpaka mwisho!
I never believed in Miracles. I have seen one. Me listening to Gospel music ni maajabu na muujiza.
God is good all the time!!!
I pray 🙏 to my father LORD Jesus that he help you not only to listen to Gospel but you listen to him his voice is the best thing which you can't explain to the world poeple 🙏🙏❤️ feel loved by our saviour brother @Alex Otieno
Although I don't no the meaning this ur album has inspired me please intappret in English
Amen
@@jennifermahamba7445 She's talking about how she loves God and everything about Him(the blessings,the trials and tribulations, how He fulfills etc).Napenda means i love.
Napenda nione ukinitendea, Napenda nione ukinibariki
Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda nione ukiniponya, Napenda nione ukinifariji
Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako Bwana mimi napenda
Napenda nione ukinitendea, Napenda nione ukinibariki
Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda nione ukiniponya, Napenda nione ukinifariji
Napenda nione ukiniinua, Kila kitu kwako Bwana mimi napenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Yesu eeh Mimi napenda
Mambo yako nayapenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Napenda neno lako, Napenda Hekima zako
Napenda sifa zako Yesu, Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda hukumu zako, Napenda huruma zako
Napenda rehema zako, Kila kitokacho kwako mimi napenda
Napenda neno lako, Napenda Hekima zako
Napenda sifa zako Yesu, Kila kitokacho kwako napenda
Napenda hukumu zako, Napenda huruma zako
Napenda rehema zako, Kila kitokacho kwako mimi napenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Mfalme nakupenda
Habari zako nazipenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Napenda utawala wako, Napenda ahadi zako
Napenda njia zako Yesu, Na mafundisho yako
Na ukarimu wako,
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Napenda, Napenda
Kila kitu kwako mimi napenda
Napenda oh Napenda
Kila kitokacho kwako Napenda
Asante
@@mzungusarge5599 karibu
Merci pour la chanson complète. Soyez béni. 😭😭😭💓🙏
Thank you 🙏 ❤
0b
2023 Still listening to this song, very good song 😘😘😘😘😘
Wimbo wangu huu🎉 nitacheza siku nakata keki kwenye sendoff yangu
7 years down the line and the song has never fade
Napenda nione ukibariki familia yangu 🙏🙏🙏🙏 2023 🔥🔥
mkono wa Mungu aunaga kikomo kiukweli napenda
01/09/2024
Napenda Nione
Napenda kila kitu kitokacho kwako Mungu na kama hakijatoka kwako nitangoja hadi chenye kinatoka kwako kifike❤❤
Qui est là en 2025? Que Dieu vous bénisse 🙏🏽🙏🏽
Am back i was children when i first listed this song .Christina shusho ,barikiwa sana🎉🎉❤❤
Jaman nipo hua nazipenda Sana hiz nyimbo zake ila dada yangu Kuna kitu ulikosea ndio Mana nyimbo zako zasahizi hazina hisia walasio nzur kwenda kwa jodevi na akakupa hela uliuza nyota yako pasipo kujua mungutu awalinde wote wasani mulio enda
Beautiful women with sweet voices😘😘😘 Christine sweetheart nami nakupenda uzidi kubarikiwa
Leo 2024 bado wimbo huu kwangu ni firee
Wimbo ni wa kila mtu
Kila kitu kwako Yesu Napenda nyimbo yangu pendwa naishi nayo….👏👏
💕 From Florida...........YES Beautiful.
❤napenda 2024.
Can't get enough of this song,I love everything about and from you Jesus Christ.stay blessed dears sisters for this anointed song.
Yesu napenda nione ukinitendea,unitendee kwa utukufu wako.
November 2024
Kila kitu kwako bwana mimi napenda
Napenda🙏 bado 11/6/2024 wimbo wa kubariki
Hallelujah Hallelujah
I do not know the language, but it gives me joy
Napenda nione ukiniponya napenda ukiilinda familia yangu..napenda ukinilinda na maadui zangu na matatizo 🙏
Who's here in 2024
Me😊😊
Yay 😀😀😀🤩🤩🤩
❤❤❤
I'm here 2024
@@rosenamisi3376 🥰
Watch 3 time's but still like new just for now
Mimi enyewe shusho Nakupenda sio Kama fun Niko Inlove♥️♥️♥️♥️
Let's close the year with this guys please 😢.... napenda ❤
Tafaza maman Christiane tuna lomba remx iyi wimbo
Gospel will never lose it's taste❤❤❤❤🔥
I wrote the wrong 9
Always ❤️
Gospel Sunday !.milele FM!.
When I was young 😭😭😭😭😭
I never used to listen to gospel song but of late I now believe in miracles ❤️ and indeed God has done alot in my life I will never stop lifting His name high kwa Yesu kuna Raha
A
Wow! Great
The things the Lord has done in my life...I will to give generations testimonies
Geraldine,umelalia Christina kwa mgongo karibu uanguke , lakini wimbo iko poa .Asanteni kwa colabo,
Napenda
Wimbo huu naupendaa sanaa .ila unanikumbusha siku ya kuondokewa na mama mzazi. Wimbo huu uliimbwa siku ya mazishi ya mamangu. Rip
Kila kitu kwako yesu napenda
You’re songs always bring me closer to God…God bless you Mom
This song oh my... reminds me of my late mum. Dear mum continue resting in peace
😥 very sorry
Napenda mapenzi yako 💯 ata Kama azi fanane zangu
This song touches me so much am from Zambia. And am 14 yrs I don't understand the language
Ohhhh that God bless you, wanderful and blessed song that shows all miracles of our almight God
Yesu wee....Mimi nampenda.
I rarely listen to gospel music but This one touched me deeply,kudos to shusho and Geraldine
Thanks our lovely sister from Tanzania, your songs never fade away.
Siezi maliza week kama sjaskiza hii nyimbo ❤the song
I didn't know 8 yrs already😮
Am living testimony
❤❤❤❤bado millennial tuko hapa
Ça me rappelle beaucoup des choses cette chanson 🥲🥲🥲
God is doing wonders today, just by listening to this song Napenda🙏🏾🙏🏾
Bado napenda huu wimbo 2022
Who is with me
Ninakumbuka mbali mno kila nikiusikiliza huu wimbo nakumbuka nikiwa chuoni mwaka wa 1 bt all in all Ninaenda kila kityu kutoka kwako YESU Kama dada shusho anavyo imba🙏
Be strong,testify never give up
I don't know where this friendship went.aki rafiki wote ni wa kipindi tu maishani
I like your songs Shusho. Most of them are from the bible verses. May God bless you
Woooo nzuri Sana my dada
Thank you Ms. Shusho for this incredible masterpiece. May God continue blessing you. "Nampenda kweli"
Waoh am glad get ths song ave bn searching fr it long tym, God always faithful,, God blss you all
Amen
Nice song am blessed with the songs
Napenda nyimbo zako zote,, ubarikiwe mam, zabariki
Listening to this as a kid back in 2012 pale QTV🙏 BE BLESSED YOU ALL.
😭😭😭 Kila kitu kwako mimi napenda 🙏🙏
Napenda sana Kila kitokacho kwako Maulana
Hv YESU akibariki kipaji chako nani wa kusema ni
Napenda Napenda nyimbo zako dada shusho am blessed may God bless you too dear ♥
Wao napenda Kila kitu Cha Yesu, blessed ladies
This song is a blessing to me....mungu awabariki my sisters and all those who made it possible.
Napenda kila kitu kwako napenda
napenda nione kini tendea
This song blesses my heart. God bless you servants of God. I follow you as you follow Christ. Love you.
Gloire au seigneur
napenda ❤
Nabarikiwaka sana n'a hizi nyimbo❤❤
Napenda ukuu wako bwana 🥰🙏wimbo wangu pendwa
Napenda kila kitu kwako napenda mungu🙏
I like that song very much
Ameen napenda nione ukinibari mungu wangu
Why a sweet song like this have small number of views
This lady is so blessed, I love her songs.
Wooow!!! I love this song be blessed Christine more grace
I remember when this song would come on the radio and I would run I and put my ear 👂 next to the radio
A big tune that never gets old much love
Napenda napenda kila kitu kwako mm napenda
So lovely song, hongera Christine Shusho
2024 God as done it for me
Huu wimbo unanibariki mnoo
Nampenda Huyu Yesu😘😘😘😘
This is one of her best songs ❤️
I love Jesus and God blessing and lt is powerful
Just heard this song. I love it
That song i liked it since 10 years ago
Yeah ofc she has a beautiful voice
@@Summymo Thanks
Hallelujah YESU napenda kila kitu kwako na penda
05/15/2024 ❤❤❤
Mambo unanifanyia mungu wangu napenda na nitazidi kupenda 2022
Still blessed in Jesus's NAME
Courage mingi kkangu.
Napenda kila kitokacho kwako Yesu
Huuuum huuuum Napenda ni wimbo wenye nasafiri mbinguni
Niko apa DR Congo mji unaitwa Lubumbashi nimefuraiwa sana n'a wimbo hiyi
I love it
Amina. ..
Napenda !napenda!🇰🇪🇧🇭🙏🙏🙏