KOCHA MWENDA APAGAWA NA KIKOSI CHA SIMBA AMWAGA MAUA KWA VIONGOZI WA SIMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024
  • #simba #tanzaniapremierleague #football #simbasc #simbanayanga #sports #tff #worldcup #yangasc

Комментарии • 16

  • @BarakaMwaikenda-ty1bt
    @BarakaMwaikenda-ty1bt 3 дня назад +2

    Safi sana mwenda

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 4 дня назад +4

    Huyo mjinga sana,aliwahi kusema anajuta kuwa kwann alichagua kushabikia simba.toka siku hyo nolimwona maviii

  • @KaisiBruber
    @KaisiBruber 3 дня назад +3

    Mwenda wewe kigeugeu sana

  • @jumaoketho4319
    @jumaoketho4319 3 дня назад +1

    Wewe labda ni mwana muziki, sioni kama mpira unakuhusu

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 дня назад +3

    Uyo hajielewi tu kama inawezekana jina lake amaliziwe tu baada ya mwenda aitwe mwenawazimu litamfaa zaidi fyuuuuu 😏

  • @nicholouskennedy9813
    @nicholouskennedy9813 3 дня назад +1

    Kwa wale wanaotaka kujua sifa za mkurya orijinal wamuangalie huyu kwenda. Huyo ndo mkurya Sasa ukizubaa anakupiga ngumi

  • @SalumuRashidi-in1jz
    @SalumuRashidi-in1jz 21 час назад

    Mnaomponda wote munakosea bora hawa waliokuwa wanakosoa ili viongozi wajirekebishe kuliko waliokuwa wamekaa kimyaa

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 3 дня назад

    Mwenda mwanasimba mwenzangu usiwe unaiponda timu yako hata kama Haifanyi vizuri ni Bora ukae kimya

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 3 дня назад +1

    Wacheni kumponda Mzee mwenda hakuna mwana Simba halikuwa hana yafulaiya

  • @issahamis581
    @issahamis581 3 дня назад +1

    mnafiki wewe una rorote

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 3 дня назад

    Yani uyu jamaa Toka anaita wachezaji wa Simba et nitakataka et kasoro was 2 tu, nilimchukia mpakakufa

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 3 дня назад +1

    Mjinga ww hujui kitu

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 4 дня назад +2

    huna lolote mwenda ww snich tu