Mimi sio Mwislamu lakini siku zote namkubali sana Sheikh Kipozeo. Yaani kiufupi ni mtu mzuri sana. Ningetamani niingie msikitini siku moja nimsikilize tu nicheke kidogo.
Mzee huyu Sheikh Kipozeo atakuwa ana akili na kipaji kikubwa sana cha kuzungumza na watu. Hata Kisaikolojia inaonesha kabisa kwamba ili watu wakusikilize vizuri huna budi kuwachekesha kidogo la sivyo wanaweza kuchoka na mawaidha yako wakaanza kusinzia.
God bless us and all Muslim❤
MA SHA ALLAH
Much love to u sheikh wng ALLAH azidi kukulinda
🙏🙏🙏
Allah akbar
Ma shaa allah qiswa kizuri sana sheikh ila mumekifupisha
Jazaka Allah khaira shekh kipozeo
Mashaaallah
Masha allha
Allahu akbar
Maashallah shekhe wangu
mashaAllahu mashaAllah jazzakh Allahu kheiri
Mimi ni mkristo, Ila huyu sheikh!!! Mungu wake anaemuamini amjaalie sana...napenda sana kumsikiliza
Aamin yaarab
Mungu akuongoze umfuate usiishie tu kumsikiliza
Huyu ndio sheikh wa Africa
Hyu n ibrahim au adam...
Allahu Akbar
Uyu jamaa uwa sichokagi kumsikiliza, mungu ampe maisha malefu
Uyu ni sheikh kabisa acheni masiyara. Tumusikilize kabisa anayilimisha wayisilamu wote.yani Mungu amulinde kila libaya
Mungu ukupe nguvu
😮😮😮
Muendelezo jaman haya mawaidha hayafika mwisho
Safiii
Pomoja sana
kwahiyo mtu wa motoni anaweza kuuliza "mbona naingizwa motoni kwa madhambi ambayo mungu aliisha andika ntafanya?"
Kuonyesha chakike😂😂😂😂 shekhe kanifurahisha
Poa😭😭😭🙋🙋🤲🤲🤲
Huyu jamaa bhana, Mungu anaweza kila kitu anaweza kukuotesha cha kike, halafu uone watu watakavyo kushambulia hahahaaaa
🤣🤣🤣jambo hlo linawatishia wanaume🤣
Mimi sio Mwislamu lakini siku zote namkubali sana Sheikh Kipozeo. Yaani kiufupi ni mtu mzuri sana. Ningetamani niingie msikitini siku moja nimsikilize tu nicheke kidogo.
@@stephenmnkande8192 Yeah, jamaa anachekesha sana, ila ukisoma comments nyingi za waislamu zinaonyesha anawakela wengi.
@@daudimichael7338 sheikh kipozewo anafundisha wayisilamu kabisa.labda wenye husida ndo wanakereka
@@idrissamustafabukenya6110 Ebu jaribu kufuatilia comments zao kwanza, pengine zitakusaidia kuelewa kama wana husuda au wana ukweli fulani.
sheikh kipozeo ana pumu? maana anavyopumua inaonekana ana tatizo
Subhallah Kwanini.Masheikh Wetu Husa TZ.Na Zan.B Mutowa Maisha Lazima Mutafute Kitu Ili Mchekeshe ??? Kama Hapa Tayari Katia Uchepe ???
Kwani wewe waislam wakifurahi unakereka nini!?,yani watu wengine cjui mkoje yani hamna wema.akh
@@mramsayo1025 amezowea wale wakiongea na hasira kama wataliban dini sio lazima uwe na hasira ndio uwe na dini hata mtume alicheka na masahaba zake
Mimi nachukua faida inayopatikana hapa, mambo ya KULETEANA RAADI ni ya kwenu ninyi mnaojiita wenye elimu ya kukosoana kumbe nyote hovyo.
Kwani sheikh Kipozewo amefanya kosa gani? Allah umujakiye kabisa uyu ana umuhimu katika wisilamu
Mzee huyu Sheikh Kipozeo atakuwa ana akili na kipaji kikubwa sana cha kuzungumza na watu. Hata Kisaikolojia inaonesha kabisa kwamba ili watu wakusikilize vizuri huna budi kuwachekesha kidogo la sivyo wanaweza kuchoka na mawaidha yako wakaanza kusinzia.
Kids ni mussa na Adam si ibrahim
Kisa
UTENZI MPYZ HURUMA KWA MAYATIMA ruclips.net/video/vXaCVwHoLsE/видео.html
issaabdulrahmaan2