Maafisa tisa wa usalama wamesimamishwa kazi Bahati, Nakuru kutokana vifo vya pombe haramu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 авг 2021
  • Maafisa tisa wa usalama wamesimamishwa kazi katika eneobunge la Bahati, kaunti ya Nakuru kufuatia vifo vya watu 10 vilivyosababishwa na pombe haramu juma lililopita. Mratibu wa Bonde la ufa George Natembeya akitangaza hatua hii amesema kuwa maafisa hao wana siku 21 kutoa sababu za kutosimamishwa kazi kwao

Комментарии • 8

  • @nancykenyan7385
    @nancykenyan7385 2 года назад +2

    Good job....this iswhat we want in our country

  • @juniormutula1814
    @juniormutula1814 2 года назад +3

    Natembeya kudos, proper job

  • @liliannyakoa3358
    @liliannyakoa3358 2 года назад +1

    Good job 👌 round hii hakuna mchezo

  • @christineokwiri4720
    @christineokwiri4720 2 года назад +1

    Congratulations 👏 to my country

  • @mwangiben4436
    @mwangiben4436 2 года назад

    Good job mr natembea.I challenge all the 2022 political leaders aspirants to be in the forefront in fighting against the illicit pombe in their local areas cos this is the best time for them to show wanjiku that they are ready to serve our country with a lot of dedication. ☺☺☺KENYANS SHOULD WAKE UP AND WARN POLITICIANS THAT CONVINCING WANJIKU IN FUNNY AND USELESS WORD LIKE " HASLER, BOTTOM UP, DYNASTY...ETC IS JUST NONSENSE.WE NEED CONFIDENT LEADERS WHO CAN STAMP OUT ALL KIND OF IMPUNITY IN OUR COUNTRY

  • @petermakaumutuku9150
    @petermakaumutuku9150 2 года назад

    That was not fair.These people were not given Alcohol by police, they drunk hiding from the authorities.

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 2 года назад +1

    Kkkkkkkkk sasa leo hawatalala watashinda wakisunguka Kwa maboma za watu wakitafuta pombe sasa hawatashukulika na wezi tena

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 2 года назад

    Baada ya hiyo tujiendelezeni kushughulikia zile za kizungu kwaajili pia zina dhuru afya za binadamu