Mke wa Dr Remmy Ongala aeleza mumewe alivyougua hadi kifo chake 'Aliugua kwa miaka 10' - Part 2
HTML-код
- Опубликовано: 4 дек 2024
- Mke wa Marehemu Dr Remmy Ongala, Toni, anaeleza ugonjwa uliosababisha kifo cha mumewe na maisha baada ya hapo. Rafiki yake, Cosmas Chidumule anasimulia jinsi Remmy alivyoamua kuokoka baada ya kuugua
#ChillnaSky
Mama anaheshima mpaka basi.🌺
Hongera sana Mrs Remy Mtoro Ongara uliitendea haki nafasi yako ya umama, Mzee Cosmas Chidumule Mungu akuzdiishie umri mrefu ili uzidi kumtumikia, Bado unaonekana uko strong.
Interview bora kabisa hii 🤗 Hongera sana Mama Ongala
Nimempenda sana huyu mama. Mungu akupe maisha marefu mama. Mzee wetu Dr. Remmy aendelee kupumzika salama uko alipo na sisi tupo tunazienzi kazi zake.
Unamoyo""
Wadada wa mjini mjifunze huyu mama anajua kiingereza vizuri,lakini anahojiwa kiswahili na anajibu kiswahii sasa ngoja wahojiwe kina mwafulani,kiingereza kiingi na kibovu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 really Mzee
Kkkkkkk....alafu kingereza chenyewe hawajui kkk
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍
Maskini she's so innocent n kindness
Real love! I loved his songs especially narudi nyumbani song.
intelligent mother big up mama Remmy
Mwandishi umejipanga vizuri sana interview yako ni bora sana. Mama Ongora na Chidumule wako vizuri sana kujibu maswali. Kongole kwenu nyote. Safi sana!!!!!!
Betty wewe ni yule mwana wa chalamila
Aiseeee hyu ni SUPER BIBI.safi sana ndo tunatakiwa tuishi ivo😍💟2we na upendo jaman.dunia mapito.she so funny 🤣.kindly, humble ,so calm and intelligent. Chidumile ana mengi🤗🥰
He was the legend..,haitawahi kutokea. Ujumbe haswaa kwa maisha, siyo mziki wa sasa wa hovyo tu.
Kuna picha pembeni hapo Throwback ya ya fundi Ongala na pisi yake ya kizungu kipindi hicho..such a lucky guy
❤Bless her Very intelligent and humble woman ❤
pole snaa mama remmy Allah akutie nguvu🥰🙏
Hongera shemeji mzungu kwa kua na upendo wa kwel
Mzungu anapenda kweli
Asante kwa kanda hii na mama Mungu amlinde kwa zote masalio ya maisha humu duniani.
Ndugu Cosmas pia hongera Kaka. Wewe ni chombo nzima Mungu anatumia kueneza Neno lake jinsi alivio tumia Musa kukomboa wana Israeli. Bado unakazi , jinsi hivohivo maisha ya huduma Mola asha kuongeza.
Mzungu akipenda amependa kweli.
Hipo hivyo aisee sio Dada zetu wengi wanatabu sana
@@Mpakauseme mbona mm najua kupenda kweli
@@zuleyvendor6577 sdhani wanawke wa kitanzania wengi wamekuwa na uwigaji wa matendo ya mapenzi ya kizungu lakin si kuwa na mapenzi ya dhati kupenda kindakindani, fedha wameitanguliza mbele na mambo ya kimalidad
mi napenda kweli ila kupata akupendae ndio balaa na mapenzi na hela vitu viwili tofauti kabisaa
Kwani wa afrika awapendi?
Pole sana mama ...nimeamini wazungu wana mapenzi ya dhati si kama hawa binti wetu
Asnt ..sana ..Mrs Ramdhan ongala ...umenifurahisha sn ..kusema ..Mungu ndie muweza wa kila jambo sisi wanadamu tunajaribu tu ..chini ya uongozi wa Mungu ...Mungu ndio kila kitu .....Mungu kwanza alafu mengine yanafuata ....
Hii ndiyo Interview ya kipekee sana kwakweli kuanzia Mwandishi wa Habari mpaka Wanaohojiwa Mrs.Ongala pamoja na Chidumule, Mwenyezi Mungu awabariki Inshaallah!
Cosmas Chidumule(kaka yangu) siku zote katika maisha yangu nimekuwa nikimuheshimu sana. Leo nimezidisha kiwango cha heshima kwake. Mrs Remmy pia nakupa pongezi nyingi
Mungu atakusaidia
Hongera bibi ubarikiwe sanaa
Hongera mama sijawahi ona hekima Kama yako hongera Sana pia baba chidumule
Cosmas Chidumule uwa napenda sana kusikiliza nyimbo zenu.
Mapenzi ya kweli yapo kwenye moyo ukipendwa na mzungu umependwa mzungu Ana akili sana hii historia angakuwa mama wa kiswahili huyo mtoto wa nje pangechimbika nimempenda huyu mama ❤️
Ukweli ni kuwa siyo wazungu wote Wako na moyo huu,najua nachokisema.Wanadamu wako na hurruka tofauti tofauti,wako wamama wa Kiafrika ninaowajua wanaoyafanya haya huyu mama anayafanya.Nikisema haya siondohi pongezi kwa huyu mama,pongezi nyingi kwake.Sema nataka tuondoe mawazo mabaya tuko nayo juu ya wa Africa,wa Africa tunajitazama kwa ubaya, udhaifu tu,mambo ambayo hata wenzetu pia wako nayo.Napenda ifahamike kuwa wazungu kupitia media zao wanatangaza sana yale mazuri yao na huku kwetu tuko busy sana kuzungumza mabaya na madhaifu tuko nayo.Na hili lime promotiwa sana na wazungu,ukiangalia reports toka media za wazungu juu ya Africa,utaona habari mbaya tu,mfano vita njaa,watu kuchinjana ,barabara mbovu na mengi yanayofanana na hayo kana kwamba hakuna zuri ndani ya Africa.Tubadilishe mtazamao,tuondoe kuyazungumza na kuyatazama tu mabaya tuko nayo,tuyaangalie na tuyazungumze mazuri tuko nayo.
Sahihi lakini mbona Sara wa Harmonize kashindwa??
@@kapendalubowa534 Nimefurahi kuwa umesema sahihi,ni ukweli kabisa kuwa ni sahihi.
@@johnchitanda8966 Nimekulia kwenye mazingira ya kulelewa na mama wa kambo wamama wa kiafrika wana roho mbaya Sana kulea watoto wasiokuwa wa kwao, Nadhani 80%wako na roho mbaya.Nina experience,na evidences,acha kabisa,Kama kwa wazungu wapo Basi Africa Ni maradufu.Mama Toni Mungu akubariki Sana.Kuna Jirani yangu anafanya kazi bungeni Yuko vzr kiuchumi, watoto wake wanasoma Feza,Ila Kuna binti yake wa marehemu kaka yake alimaliza la 7 akafaulu hakumpeleka,badala yake alimchukuwa aje kufanya uhousegirl kwake,baada ya mwaka 1 watu wamemsema Ndo kaenda kumtaftia sekondari ya kata,Sasa Huyu mama kumsomesha mtoto wa mumewe shule ya gharama Kama wa kwake, anastahili pongezi
@@johnchitanda8966 hata Kama sio wote ila waswahili tuna roho mbaya ukweli ndo huo
One of the best interviews ever! We need more stuff like this one! Keep it up!
THIS IS THE THIRD TIME AM WATCHING THIS SHOW..I WISH THIS
SHOW AND ALL OF DR. REMMY'S
MUSIC SHOWS.
DR REMMY ONGALA. IS A LEGEND
THAT COMPOSED AND SANG MEANINGFUL USEFUL ADVICE THAT
AFFECT EVERYBODY'S LIFE.
IN THE WHOLE OF AFRIKA,TANZANIA
IS THE BEST.
CORRUPTION CANCER IS UNDER CONTROL.ALL SERIES OF TANZANIA
PRESIDENTS ARE WORTH AND DESERVE PRAISE.
Mungu akupe miaka mingi na heri duniani
Very good interview
Shukrani sana sns kwa kutuletea hii story👏👏
This lady Toni is awesome and intellectual. God bless her.
Hongera sana mama yetu tume enjoy interviews nzuri sana tuna kupenda sana Allah akupe afya njema bila kumsahau baba yetu cosmas lila la kheri
SUPER BIBI.... Love conquers ALL❤️❤️
"Mtoto hana kosa... ni baraka" 👌🏾🙏🙏
Hi ndizo interview sio maupumbavu Kila siku Mara Diamond kafanya hivi Mara Tanasha Mara zari..hongera Sana bundalaa
Hongera mama Remy msalimie mwanao (God )
I have learnt something new from this great interview
pole mama Remy
Hongera super bibi mama Remmy. Wajukuu tujifunze jamani upendo wa dhati katika familia zetu.
Mama mpole ana heshima keep it up. Tuna tamani kuwa ona watoto wao
Asante Sky kwa interview nzuri
Hongereni mama yetu kwa mapendo
I Love you mum and GOD protect you and your family
Is she your mother?? I'm just asking
hongera mama lemi
wewe ni mama bora
Legend Dr Remmy Ongala
Hongera mpaka. Sasa bado. Unatupa. Historian.mungi. Slubariki
Sky sauti yako tu nikisikia naijuwa japonisikuone , manshaallah unasauti ya kipekee unasauti mzuri unaelekea umeshiba dini mtiifu,Niko Oman nakupata vizuri.
Salamu zikufikie fredrck Bundala nilipenda sana kuskia kipindi chako cha uliza ujibiwe kwa Radio free Afrika nikiwa mdogo 2006
Mama Toni mzuri sana. Ametulia. Hongera mama
🤣nimecheka Sana kwamba ah kweli remi iko na sura mbaya kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 love doesn't ask why .... Hawa ndo wanawake kila mwanaume anahitaji
Ana sura private 🏃🏃🏃🏃
@@milkanyevu8471 😂😂😂😂private tena aki watu mna vituko
@@janekikoti2179 private kweli si uongo 🤣🤣🤣🤣
Sura private haha
Mama nimekupenda😍mungu awe na wewe.
Wadada wa kibongo washamba
Nimempenda sana uyu mama
Leo nimefurahi sana na kuburudika na mazungumzo pamoja na mama Ongala. Hongera sana Fredrick Bundala kwa ujuzi wako. By the way nawapata vizuri kutoka Birmingham.
Asante sana
Oooooh Mashallah hongera sana kweli my bro maneno yenu ni manzuri kabisa
Nimefrahi sana kwakweli hii interview sasa
Poleyake uyo mama jmn nikweli aijawai kitu km iyo hongera sana mumii
Sky una aina ya uanahabari wa kupendeza sana. Siku ututafutie Nyaisa Simango,nusura wa MV Bukoba na sasa ni bosi serikalini. Thank you for this meeen♨️
Hongera mama
Mama hongera sn.
Mama Mungu akubariki uishi maisha marefu
Mungu ampumuzishe kwa Amani
Thanks sns
Lemi ongara tunamkumbuka saana Mungu amuweke Mahali pema peponi
Upendo wa dhati
Nashkur sana mama yetu kumsifia rais wetu dctr Maguful ,mungu amlinde na maaduw na amjaalie busara na hekma ktk uongoz wake aamin ,Magufuli oyee na safii pamoja sanaaa
Magufuri anahusika nini hapa
Badala ya kumshukuru Mungu unamshukuru magufuli kuwa yeye ndio kafanya nini.?
Jina la sky,,kitambo sana RFA balaaa
sweet love!cheers mum
Apumzike kwa Aman
Mam❤ Nimekupendasan
Hongera mama Toni
Inapendeza sana kuwa na Mama mwenye hekima na busara kama wewe. Mungu akubariki Sana
It is worth to have a wife that is gracious and humble. God bless her abundantly.
Awwwwww so sweet jamani
love you mama ongala love you ongala friend you are the best friend ever much love you bundala iam wactching from drc zaaire god bless you
Mungu azidi kukupa Maisha marefu.Mama
Kidogo kidogo ulituka nikiwa Australia; ni wimbo niliupenda sana na mara moja moja bado nauskiliza kwa sababu ya melody na rhythm yake
Nimejifunza kitu kikubwa sans juu ya huyu mama mashallah
Ata Mimi nimejifunza nimejisikia huruma tunavyowanyanyasa watoto wa nje japo dini haitaki lakini mmmhhh
Kweliiiiiiiii wazungu wanajua mapenzi ya kweliii nitaoa mzungu mm
Pamoja sns
Heko!!! You are fine gal.
Interview nzuri sana. Mama ana busara sana. Big Up kwake na Mungu ambariki na aendelee kumpa faraja na afya njema.
Nanzurukuru sana nawapata vnzri kutoka kenya
Mfano wa kuigwa huyu mama
Mashallah Hadi raha
Huyu mama amebarikiwa sana
Nice
That's true
Mama Dangote aje huku asikie Maneno ya busara. Mtoto Hana makosa. Aache kubagua DeeDaylan
Kabisaa kitanda hakizai haramu wahenga wali shasema
kweli
Leo wa tano kuangalia video
Wooow big up mama🤝🇰🇪
Wa kwanz leoo
pole xana mama
Pole sana mama Ongara
Dah mama anaupendo huyu mpk raha
Hivi umwambie aly Kiba, daimond, harmonize aimbe live kama hivyo halafu aimbe kiusahihi kama alivyorekodi wapi utasikia piga kelele
Dimpo la sky jamanii mweeh😋😋
Babysky nisamehe mwenzio nimeona dimpo la mmeo😃😃
Mme wa mtu huyo😃😃😃
God bless you mummy🙏🙏
Ukitaka kuona mtu wa Peponi mwangalie huyu mama. Pepo anampatia Mwenyezi Mungu mtu anayejali watu wengine. Aliyoyafanya huyu mama hata wanaodai dini hawafanyi!
Dah ila babu yangu remmy alikua anakojoa pazuri
Pole Mama
Mzalendo wetu.
xclusive sikuwa nikifahamu kuhusu chidumule ni kaka yake Remy pia Tom ni mtoto wa Remy thanks Sky
Dada Prisca Remy na Chidumule siyo ndugu wa kuzaliwa walikutana kimziki, Remy ni mkongo kutoka Zaire na Cosmas Chidumule ni Mngoni kutoka Songea, Ila walishibana wakawa kama ndugu.
Dada Prisca kwa nyongeza Cosnas Chidumule alianzia Bendi ya Mlimani Park,ndiyo alieimba ule wimbo wa " Usipate tabu Neema" au mtunzi wa wimbo uitwao Barua kutoka kwa Mama wa DDC MLIMANI PARK ambao ni kisa cha kweli kinachomhusu mwenyewe.
@@felixmagulu6142 Nashukuru Kwa ufafanuzi felix
@@priscaprisca2569 Tuko pamoja mdada!
Story ya kusisimua