Asante Yesu kwa neno lako naamini limekuja kwa ajili nipate kufunguliwa kutokna na vifungo vya maisha, kazi, na biashara. Nimepona na malango yangu yamefunguka katika jina la Yesu Kristo
Katika jina La Kristo Yesu Alie hai wiku hii ya Leo malango yanfu ya milele yamefunguka Asante Bwana kwa kulituna neno linihudumie na kuniponya malango yamefung ka zab 24;10🙏
Eeeeeee Mungu Wangu utufungulie malango yote yaliyo fungwa ktkt maisha yetu.uwafungue Watoto wngu.familiya yngu uwafangue.kwa jina la yesu Ameeen kubwaaaa sana 🙏🙏
Baba natamani mwanza ndo ungekuwa hapa nilipo kasumbalesa zambia nahisi ningesha kuwa vingine kiroho lakin MUNGU hana umbali kiroho naomba anifungulie malango yote yalio kuwa yamefungwa pamoja na watoto wangu na ndugu zangu.barikiwa sanaaaa mtumishi ameni
Kwa JINA LA YESU KRISTO NAFUNGA LANGO LA MAUTI NA KUZIMU NA NAFUNGULIA LANGO LA MILELE LA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA NA UCHUMI WETU NA KAZI ZETU NA CAREER ZETU NA UZAO WETU
Asante Yesu kwa neno lako naamini limekuja kwa ajili nipate kufunguliwa kutokna na vifungo vya maisha, kazi, na biashara. Nimepona na malango yangu yamefunguka katika jina la Yesu Kristo
Asante yesu ...Nina amrisha malango yaliofungwa katika maisha yangu na familia yafunguliwe katika jina la yesu
Amen 🙏 lango langu lenye limefungwa naomba mungu naamini litafunguliwa kwa katika jina la yesu🙌🙌🙌
Kwa jina la yesu na funga lango la magonjwa nafungua lango la mafanikio katika jina la yesu
Naamulisha milango yangu yawe wazi kwa jina la yesu
Mtumishi ongera sana umetufungua wengi kwakukusikiliza TU nimeshafunguliwa ufahamu Asante sana
Mchungaji you have being my mentor I can see am going very far through your words
Amina
Ibadan ya pili napataje neno lake?
Asante
Mungu anifungue walinitesa sana nitawatesa wao Sasa kwajina layesu
Ameen,mtumishi wa Bwana,Mungu akubariki sana
Barikiwa sn mtumishi,mimi na pendaga
Ee Mungu niletee Barnaba wangu wa kinitoa hapa nilipo🙏 niwwze kusonga mbele.
Amen
Thenkyou Jesus
Emen🙏Emen barikiwa mtumishi wa mungu Asante kwa neno la mungu, unatufundisha kusimama katika Imani God bless you so,so much Amen.
Katika jina La Kristo Yesu Alie hai wiku hii ya Leo malango yanfu ya milele yamefunguka Asante Bwana kwa kulituna neno linihudumie na kuniponya malango yamefung ka zab 24;10🙏
,
Mchungaji wewe ni mwalimu.
Mungu akubariki sana.
Amen, Amen
Nimejiungamanisha na madhabahu hii.
Asante mtumishi kwa NENO LA KRISTO YESU
Ubarikiwe mtumishi
Eeeeeee Mungu Wangu utufungulie malango yote yaliyo fungwa ktkt maisha yetu.uwafungue Watoto wngu.familiya yngu uwafangue.kwa jina la yesu Ameeen kubwaaaa sana 🙏🙏
Asante mtumishi wa Mungu UBARIKIWE
Amina Pastor
Amen baba nakufatiliya nikiwa Australia mtumishi wamungu kwasababu yaneno .unayo katika kanisalako baba mungu akutiye nguvu.
Uniunganishe namimi baba
Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Baba katika jina la Yesu komesha jaribio lolote la kuondosha uhai wa mshirika yeyeto wa kanisa la JRC🙏
Baba natamani mwanza ndo ungekuwa hapa nilipo kasumbalesa zambia nahisi ningesha kuwa vingine kiroho lakin MUNGU hana umbali kiroho naomba anifungulie malango yote yalio kuwa yamefungwa pamoja na watoto wangu na ndugu zangu.barikiwa sanaaaa mtumishi ameni
My mentor my God given spiritual father God's remain upon you
Amen Ameeeen
Mchungaji hakika unanibariki sana
Ameen napokea lango langu lifunguke
Amena mtumishi
Ubarikiwe sana mchungaji
Always feels blessed by Godly teachings thro' you here at Gigiri police Westlands nairobi city...God bless you welcome home sir
Pppp
Pppppp
Pppppp
Pppppp
Barikiwa sana baba
God bless you man of God....your blessings to me sir
Mimi napenda niwe karibu na wewe Bwana niwe nawe, univute niwe karibu na wewe Bwana🙏
Aminaaa
Baba asante, kwa wema wako
Amen Amen
Aminaa 🙏🙏🙏
God bless you
.......umekuja kwa wakati pastor
Kwa JINA LA YESU KRISTO NAFUNGA LANGO LA MAUTI NA KUZIMU NA NAFUNGULIA LANGO LA MILELE LA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA NA UCHUMI WETU NA KAZI ZETU NA CAREER ZETU NA UZAO WETU
Amen
Ame
Please can yu check da volume...online we strangle alot..especially earphone uses
Amen 👏👏👏
Ameèeeeeeeeen!!!!
Kanisa lipo Mwanza
Wow
hii ibaada yalin jama
👏👏👏👏👏
Wengi tumefunguliwa Kwa kupitia huduma hii mi nitaendelea kuombea huduma hii adui ameshindwa Kwa jina la Yesu aliye hai
Kabisaaa tumuombeee huyu baba
Hili kanisa lipo wap jamani
Shetani koma
Very powerful massage from God,plz need your contact plz
Amen 🙏🙏🙏
Amina mtumishi
Amina🙏🙏
Amina
Amen
Ameeen
Amen 🙏