Shalom Pastor .. Yaani leo nimewatch choir nikakumbuka kitu... Mijadala ya sadaka sasa tuache kikweli kweli maana hiyo entertainment tunayopata tu ilitakiwa watu waingie na kiingilio... Wanaoenda twanga pepeta si wanalipia? Na tofauti hapo ni maneno tu ya kwao ya duniani ya kwetu ya kilokole.. Wanchoir wanajituma kweli kwelikweli kama ni band inayoingiza hela.. Watching from UK

I wish ningekusikiliza sijaolewa!!!!
Lkn hata sasa nitakuwa better na wote ambao BWANA atanipa watakuwa better kwa mafundisho haya
Ee Mungu tena sisi hapa vichwa vya family twaja mbele yako twakuomb kupokea dunia mpya ya kuzitunz mbavu zako
Hiki kipindi nasoma kitabu cha Yeremia nikijumlisha na Haya mafundisho
Mungu nisaidie nipate kitu cha kunivusha kwenye haya maisha
Asante baba nime isikiliza mara 3 Sasa Mungu akutuze na azidi kukupa afya jema tuzidi kuwa imara nime pata kitu changu kwa kweli ❤❤🙏🙏🙏🙏
Mwalimu mzuri wa kingereza kwa waumini wake, sio wote wana kipaji hicho.
Yuko vizurisana
❤
Amen Amen Amen 🙏
Ameen pastor Kila unachokifundisha Leo kikawe mbegu kwenye maisha yangu🙏
Barikiwa sana Man of God and your ministry... You changed my mindset
Amen Baba Yangu.
Sitabahatisha Maisha, Nitaelekezwa na Roho Mtakatifu.
Ameen am blessed mungu unipe ufunuo kwa kila jambo takalo lifanya ili nisipoteze 🙏🙏🙏
Amen my lovely Pastor
Mtunza maagano huko hapa
Amen welcome arusha😊
Ameenii
The praise wao
Ameeen
Am 00:07:36
Amen