Pastor nilivofika niliomba Mungu anipe neno kupitia kinywa chako, litakaloniponya na yote nnayopitia ili nisiondoke Kama nilivyokuja. Then nikatulia baada ya hapo Kuanzia mwanzo Hadi mwisho wa mahubiri kwa kila kifungu, point, sub-point ,Hadi mifano it was like you were talking to ONLY ME.... ilikua kama Mungu amekupa uangalie the whole movie of My ENTIRE LIFE tangu mimba yangu inatungwa tumboni mwa Mama Hadi sasa ili uje kuniponya. Na kiukweli nimeponywa sanaaaaa. May God keep you for us kwasababu vijana wa Tanzania tunakuhitaji Zaidi hata ya unavyoweza kudhani. ISHI KWAAJILI YETU TAFADHALI.
BWANA ndiye mchungaji wangu sitopungukiwa na kitu natabiri kwa jina la YESU wiki hii ninaanza kazi kwa jina la YESU😍 Asante YESU kwa kazi hii uliyonipa🙏🏼
Asante MUNGU nimepokea nimekuw mtu mpya tena nimevuka kiwango❤
Pastor nilivofika niliomba Mungu anipe neno kupitia kinywa chako, litakaloniponya na yote nnayopitia ili nisiondoke Kama nilivyokuja. Then nikatulia baada ya hapo Kuanzia mwanzo Hadi mwisho wa mahubiri kwa kila kifungu, point, sub-point ,Hadi mifano it was like you were talking to ONLY ME.... ilikua kama Mungu amekupa uangalie the whole movie of
My ENTIRE LIFE tangu mimba yangu inatungwa tumboni mwa Mama Hadi sasa ili uje kuniponya. Na kiukweli nimeponywa sanaaaaa.
May God keep you for us kwasababu vijana wa Tanzania tunakuhitaji Zaidi hata ya unavyoweza kudhani.
ISHI KWAAJILI YETU TAFADHALI.
Amen 🙏 😢
Mungu wetu wa mbinguni azidi kukuinua na kukutumia. Unatubariki sana🙏. Mungu akubariki zaidi na zaidi.🙏
BWANA ndiye mchungaji wangu sitopungukiwa na kitu natabiri kwa jina la YESU wiki hii ninaanza kazi kwa jina la YESU😍
Asante YESU kwa kazi hii uliyonipa🙏🏼
Ameen Baba, leo kila neno ulilolitamka lilikuwa na ujumbe wangu May God bless you always🎉
God bless you Pastor
GOD IS SENDING ANGELS TO MY LIFE NOW 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ameeen
Mungu akutunze baba
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻
Amen Amen 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Nimeludia hii ibada kama mara kumi
AMEN,MY TOMORROW IS SECURED 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
i receive
Amen 🙏 ❤🎉
Mchungaji ubarkiwe nikumbke kwa prayer
Mchungaji ututafutie wakutafasili wengine kingeleza kinapita😂😂😂😂
Amen 🏣👏👏👏
👏👏🙌🙏❤️
🙌😊
Unaongea kingereza kingi tutaelewa nn ambao atujui kingereza
Auchoshi
Past wakatimwingine sikuelewi unafundisha vizuri rakini mbona hukemei mapambo kusuka nywale mekapu wanja nawakati neno la MUNGU linazuia
Past zuia mapambo Mungu hapendo
Pastor wetu hafundishag kuhusu mapambo rafiki angu sahau hilo haji kuliongelea never
Amenaaa
amen