ASKARI ALIYEMKOSHA RAIS MAGUFULI NA KUPANDISHWA CHEO

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 202

  • @abelmkope1327
    @abelmkope1327 3 года назад +11

    Namuombea kwa Mungu daima ni mtetezi wa wanyonge

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 года назад +45

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!

    • @mage5371
      @mage5371 2 года назад

      I don't mean to offend you, but know politicians well and you wont get carried awah by sth like reduction of salary.

    • @DottRoBroc
      @DottRoBroc 2 года назад

      @@mage5371 I agree that politicians and officials are corrupt. However Magufuli was an exception because it has kept the purity of its origins. I reiterate my absolute esteem for Magufuli the first to report the scam of the world health dictatorship (fake tampons and vaccinations)

    • @abdultaddy2729
      @abdultaddy2729 2 года назад +7

      @Roberto Brocchini Bruv am are Tz citizen yu spilited full facts bro am filled with tears missing this dude i love yu bro

  • @fidelndege1317
    @fidelndege1317 3 года назад +8

    Sauti umeboresha sana ndugu hongera kwa kazi yako mbaya

  • @rahimasaid6721
    @rahimasaid6721 6 дней назад

    Masikini Mungu akurehemu

  • @noelbernard6390
    @noelbernard6390 Год назад +3

    Jamaa badala ya kutaja namba yake kataja Jina, Mama kataja namba yake ya kazi Rais kaona umakini wake kampandisha cheo

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 года назад +5

    Shall we met in heavenly Father God kingdom...RIP JPM

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op Год назад +1

    People's President..💪💪💪

  • @bagumahopatrick7614
    @bagumahopatrick7614 3 года назад +12

    The way you loved your citizens was unique

  • @mussahancy6591
    @mussahancy6591 2 года назад +3

    Mwamba siamini mpaka leo kama umekala moja kwa moja

  • @alexchungu9505
    @alexchungu9505 4 года назад +34

    Mbona hakuna sauti.. kuweni makini na kazi zenu

    • @fahimabdalah5491
      @fahimabdalah5491 3 года назад

      Wajinga hao

    • @vumiliamwakasyuka2911
      @vumiliamwakasyuka2911 2 года назад

      Jamani hatakuja tokea.raid kama wewe baba yetu kipenzi malaika wakulinde huko uliko unakumbukwa sana

  • @manuelchogo1234
    @manuelchogo1234 3 года назад +4

    Nampenda Mahufuli na tabia yake ya kutii kanunii za kikazi za sehemu tofauti licha ya yeye kua raisi

  • @deetv538
    @deetv538 3 года назад +13

    Kapandishwa cheo kwasababu alipouliza jina lake kataja namba yake ya kazi hivyo ndio askari anatakiwa afanye yule mweniwe kataja jina la kwao alilipewa na baba ake

  • @taanimedia6489
    @taanimedia6489 4 года назад +8

    camera hazikua za bongo 5 picha ni ya camera kutoka ikulu so hakutaka tujue mh rais ameongea nn msimlaumu jaman ... nimempenda askari kanzu na smg 😃

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz 2 месяца назад +1

    Mbona sauti imekata

  • @mathiaskanyenze248
    @mathiaskanyenze248 4 года назад +2

    Mbona sauti ni kubwa sana da inaumiza masikio ukitaka kuskia vizuri mbaka upunguze,

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 года назад +12

    Wazee wa media mbona sauti ni kubwa sana?jaribuni kupunguza sauti jamani mtaua masikio yetu😀

  • @mrpoulmidia7516
    @mrpoulmidia7516 27 дней назад

    Nani kasikia sauti ya mashine ikikokiwa hahaha😅😅😅😅😅😅

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 года назад +2

    Mwandishi wa habari upumbavu ni yule anaerekodi tukio la mtu anaezama na maji ili kuitaarifu dunia jinsi alivokufa badala yakuokoa

  • @abdulmelele7322
    @abdulmelele7322 Месяц назад

    Sema huyo dada sasa hivi ana nyota tatu central polisi mpka sasa hivi ila roho yke Mungu mwenyewe shahidi 🤲🙏

  • @amosikabalata6381
    @amosikabalata6381 4 года назад +22

    Mm ninae tumia Tecno toleo mwanzo kabisa, sauti kama imezidi hivi

  • @georgeavelin815
    @georgeavelin815 2 года назад

    My president

  • @petertabitha287
    @petertabitha287 Год назад +1

    Sasa huyu anaambiwa anaitwa nani anataja majina yake ya kwao jaman anasahau aliyesimama mbele yake ni afande wake -rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na amir jeshi mkuu anasahau lazima ajitambulishe kiaskari kwa kuanza force no yake cheo nk

  • @issakalenge2557
    @issakalenge2557 4 года назад +3

    Mbona kuna jamaa kapigwa kikono mwanzo kabisa sijui kafanyaje. Alikuwa anataka kukimbilia ndani na Rais jamaa wa suti nyeusi akampiga stop

  • @florakankutebe3987
    @florakankutebe3987 4 года назад +7

    Nakuelewa magu, kiongozi shupavu.

  • @dairahally5471
    @dairahally5471 Год назад +1

    Uy nd Rais daaah!!!
    Ina lilah wa inna liah rajuun

  • @ahmedmesh120
    @ahmedmesh120 4 года назад +2

    Clip it has no sound in the middle

  • @vigezo
    @vigezo Год назад +4

    We will miss you Magufuli

  • @whitemusic1419
    @whitemusic1419 4 года назад +11

    Mpaka iphone yangi imeblast
    ...sauti iko juu sana

  • @meshackemmanuel5156
    @meshackemmanuel5156 3 года назад +1

    Kamanda kanifuraisha kweli alivyo mpiga stop uyu hona mwanzo

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 4 года назад +7

    Akisha saini tu cheo kimepanda....mambo ya nchi kavu hayo nyie wamajini tulieni

    • @bakariissa3160
      @bakariissa3160 3 года назад +1

      Hahahaha jamaa kazuiliwa mlangoniiiiiiii

  • @winfredbespoke8440
    @winfredbespoke8440 4 года назад +9

    Mmekopi na kupesti, ndo tatizo hili! Muwe mnaenda kwny matukio na nyie! Sauti hakuna

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 года назад +4

    Rais wa mfano duniani

  • @magrethndola6988
    @magrethndola6988 2 года назад +2

    Tutakukumbuka kwa mema

  • @AmosCharles-tu3ji
    @AmosCharles-tu3ji 5 месяцев назад

    1:07

  • @kurashigesir8709
    @kurashigesir8709 2 года назад

    Hamna sauti ujinga tu

  • @abdullahabdallah6368
    @abdullahabdallah6368 2 года назад

    Makuma nyie sauti iko wap

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 года назад

    JPM Hao Wana Habari Tumbua Awakufai

  • @fadhiliswaleh9940
    @fadhiliswaleh9940 3 года назад

    Chanel ya kisenge sana hii

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 Год назад

    Rip jpm

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence6234 3 года назад +1

    Rais huyu si mtuazime

  • @mattarmuhammed1330
    @mattarmuhammed1330 3 года назад

    Mbona sjaskia kauli ya magufuli yakusema kama kampandisha cheo

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 11 месяцев назад

    mld ayo taarifa zako ni uhakika sn uendelee hivyo bila mihemko yyt tunakutegemea San juu y khabar

  • @ommylisttz5539
    @ommylisttz5539 4 года назад +4

    ndio nini. Amna saut mnatuzingua

  • @kidoh_tz
    @kidoh_tz 2 года назад

    I mis you dady

  • @mbuguaaida8470
    @mbuguaaida8470 3 года назад +1

    Ok

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 4 года назад +6

    Tunao tumia IPhone sauti tumepata adi mwisho kweli magufuli noma

    • @emmanuelyjoseph2957
      @emmanuelyjoseph2957 4 года назад

      Wewe achaaa zako mbona m nokia imekubali kutoa sauti nisimuu bwan sema hawajierewii haoo ya

  • @amonykayun6913
    @amonykayun6913 3 года назад

    Mnarush vp tukio halina sauti

  • @jumasaid8777
    @jumasaid8777 4 года назад

    Hatujasikia chochote rais wetu

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 3 года назад

    Sauti

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 2 года назад

    Baba ivi Kuna wakukusahau ww labda wapida diri

  • @goodmorningafrica6409
    @goodmorningafrica6409 3 года назад

    Saut

  • @klietacb496
    @klietacb496 4 года назад +1

    Nilijua simu yng mbovu,sisikii sauti

  • @wellydusenge3499
    @wellydusenge3499 3 года назад

    Sauti hamna kwanini mnai posti haina sauti lakini

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 2 года назад

    Hi

  • @abdihemedi8478
    @abdihemedi8478 3 года назад

    Wasenge

  • @joshuayoile6149
    @joshuayoile6149 3 года назад

    Sauti mliuza, muwe mnahakikisha kabla hamjapost.

  • @keydeeentertainment9587
    @keydeeentertainment9587 Год назад +1

    Niwapongeze Sana hii media kwa clip bila sauti,,, kwa uhakika mnafanya kazi hovyo sana😂😂😂😂

  • @mugwehudson3474
    @mugwehudson3474 4 года назад

    Sauti kapotea 0.45 min

  • @evaristievaristmoshiro3853
    @evaristievaristmoshiro3853 4 года назад

    piga kazi mkuu

  • @victormkaka973
    @victormkaka973 3 года назад

    Tunaotumia simens kama sauti inaumiza maskio ivi

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 4 года назад +3

    Kigezo gani cha kumpandisha cheo!! Mm hapa kuna ? Mark mzee JPM🤐

  • @algenomodesthmsamba3046
    @algenomodesthmsamba3046 3 года назад

    No milladi ayotv tu nyie no

  • @ibrahimu2877
    @ibrahimu2877 3 года назад

    huu ni upuuzi unaweka taarifa then unakata saut unamaanisha nn sasa

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 2 месяца назад

    Wakati huo IGP wa Sasa Afande Wambura alikuwa just a SACP tu😅 kama Afande Theopista Mallya(RPC Dodoma) ila maisha ni fumbo aisee😅😅

  • @sikudhanjuma3987
    @sikudhanjuma3987 3 года назад

    Alafu rais w tz anaga maringo Yuko simple tu

  • @andersonmarco1523
    @andersonmarco1523 4 года назад +3

    Yaani sauti mpaka unapunguza mpaka mwisho lakini bado inakuumiza masikio😂!!

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 3 года назад +1

    Ww mtt utakuw wakatwa

  • @papafikiri
    @papafikiri 4 года назад +2

    Hakuna sauti (natumia iphone pia)

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 4 года назад +2

    ahaaaaa😁😁😁😁😁😁

  • @mameritharugarabamu6111
    @mameritharugarabamu6111 2 года назад

    😢😢

  • @jumanneswala4591
    @jumanneswala4591 2 года назад

    Mbona mnatoa sauti kwa nini?

  • @mickeykibabu6999
    @mickeykibabu6999 4 года назад +1

    Nyie mafala sauti mmepeleka wapi

  • @victorsimfukwe5309
    @victorsimfukwe5309 4 года назад

    Mnazinguwa video nzul inakosa saut

  • @enockomer8504
    @enockomer8504 2 года назад

    Bon grafi

  • @UTVtzONLINE
    @UTVtzONLINE 3 года назад

    Bongo 5 ndio wakwanza Bongo online tv Ila ndio mbulula wa mwisho

  • @asheryjoseph3371
    @asheryjoseph3371 2 года назад

    Vyuo

  • @idrisaabdallah961
    @idrisaabdallah961 4 года назад

    Habari yenyew haina sauti

  • @dr.mgungo1429
    @dr.mgungo1429 3 года назад

    Sauti hamna

  • @simongasper7523
    @simongasper7523 3 года назад

    Sasa mnafunga audio ee

  • @abuumo9637
    @abuumo9637 3 года назад

    munatuhangaisha kumbe hamna sauti

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 4 года назад

    Wanaolalamika hawapati sauti woote wa Tecno

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 года назад

    Darajani palee

  • @caslidajosephat8912
    @caslidajosephat8912 3 года назад

    Kumanina zetu hakuna sauti mnatuekea ya nini?

  • @meshackmganga6948
    @meshackmganga6948 3 года назад

    Unaweka clip Haina hata sauti

  • @agentespionage419
    @agentespionage419 4 года назад

    Mnafanya vitu vya kubahatisha nyie livideo halina sauti mnazingua tu

  • @mmariherieli2917
    @mmariherieli2917 3 года назад

    Umesikia raha kuondoa sauti

  • @mugishagibson587
    @mugishagibson587 3 года назад

    Sisikiiii

  • @emmanuelyjoseph2957
    @emmanuelyjoseph2957 4 года назад

    Nyuuuuu mbona kimyaaa sasaa

  • @theking6320
    @theking6320 4 года назад

    Mnazinguaaa

  • @mimikeny
    @mimikeny 3 года назад

    Ndo nini sasa 🤣🤣😂

  • @emmanuelyisaac5996
    @emmanuelyisaac5996 3 года назад +1

    Sija subscribe 🤣🤣

  • @JKGJICHOMAKINIONLINE
    @JKGJICHOMAKINIONLINE 3 года назад

    Futa tu mana akuna saut

  • @jumafadhil9981
    @jumafadhil9981 4 года назад +2

    Ni sawa na mtu anakuhadithia story kwa kichina na mwisho anakuambia"bac bhn hivo ndo ilivyokuwa" huelewi hata imekuwa nin hahahaha

  • @mimikeny
    @mimikeny 2 года назад

    Et ndo Bongo 5 🤣😂 ndo nn sasa kimepostiwa au ili jipost?

  • @privatestudiotz
    @privatestudiotz 3 года назад

    Haina sauti mbona

  • @mustafaussisulubu3515
    @mustafaussisulubu3515 4 года назад

    Acheni kusumbua watuu

  • @bilioneamwegole5138
    @bilioneamwegole5138 3 года назад

    Jamaa ni moto

  • @jacksonhonorat3078
    @jacksonhonorat3078 4 года назад

    Wahuni mjn

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 3 года назад

    Bongo5 ovyoooooo....

  • @mussabinford8644
    @mussabinford8644 3 года назад

    Ndo nin SAS au boraa liende focus kweny point co boraa unawek ktyu afu hakihusian