Wafanyabishara wa nafaka walia na faini kusafirisha mazao.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 окт 2024
  • Zaidi ya malori 100 yenye shehena ya mahindi yaliyokuwa yamekwama katika eneo la njia panda kwa takribani wiki moja hatimae yameruhusiwa baada ya kulipa faini ya kati ya sh laki tano hadi sh laki nane.
    Wafanyabiashara na wakulima wanaosafirisha nafaka hizo wamelalamikia masoko ya mazao ya kilimo wakihoji vikwazo vingi wakati wa kutafuta masoko huku serikali ikitoa ruzuku kwa wakulima kuwainua

Комментарии • 7

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Год назад +1

    Selikali mbovu Awamu 6 watu wamepita bila kupingwa?

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Год назад

    Sisi tunalima kwa tabu mazao yetu tunataka kuuza mnakwamisha watu kufikia walaji .kwani kama ni kazi rahisi njoni mlime tumechoka na serkari hii .tumechoka na nyinyi mungu upo wapi hawa kwa nini wasife tumechoka

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael Год назад +1

    UNAPASWA UWE NA KIBALI, LESENI, TAX CLEARANCE NA ATOMIC CERTIFICATE.
    KAMA HUNA HIVYO, NI BORA ULIPE FAINI HALAFU UKAJIPANGE KWA UPYA KULIKO KUPOTEZA MZIGO WOTE.

    • @nshashisaguda
      @nshashisaguda 6 месяцев назад +1

      Ni vitu Gani vinahitajika ili niweze kusafirisha mazao ya biashara kutoka eneo moja kwenda jingine

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Год назад

    Msipeleke nche chakula jamn mnajari kupata pesa tu hamuangalii janga la njaa linaloweza kutokea

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 9 месяцев назад

    W

  • @christamankoka5700
    @christamankoka5700 Год назад

    Achana na hiyo biashara utafilisika.