Muguka traders vows to challenge ban of Muguka business in Mombasa & Kilifi counties in court

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 120

  • @AthmanHamid-gx2bn
    @AthmanHamid-gx2bn 8 месяцев назад +14

    Pia sisi tuko tayari kufa lakini miraa isiingie ..kama mbaya mbaya ..musituletee ushoga

  • @fredrickkarisa1528
    @fredrickkarisa1528 8 месяцев назад +1

    Hiyo hata mka eka sheria kule wenyewe na watoto wenu sisi wa pwani hatuna haja nayoo mbona twalazimishana,,

  • @benardombasa7994
    @benardombasa7994 8 месяцев назад +2

    What are some of the benefits of muguka to a human body?

  • @coolbz133
    @coolbz133 8 месяцев назад +4

    jamani tushasema watu wote mombasa hatutaki mugokaaa hebu eleweni

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 8 месяцев назад

    Kwani ni lazma muuzie watu wa Pwani??? Pumbavu akili ndogo sana. Jingazzzzz

  • @oyay2821
    @oyay2821 8 месяцев назад +4

    Eti mogokaa ni food stuff?

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 8 месяцев назад +9

    KIMEWARAMBA HATUTAKI MIRAA WAPWANI THATS ALL

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 8 месяцев назад +3

    Kuleni wenyewe sisis hatutaki huo uchafu wenu tafteni mimea ingine ya kulima

  • @coolbz133
    @coolbz133 8 месяцев назад

    uzeni kwenu hatutaki mugokaa

  • @omarratibu9709
    @omarratibu9709 8 месяцев назад +6

    Sio Mombasa pekee hata kajiado hawataki Mugokaa Elforet pia hawataki Mugokaa Taita Taveta pia kwaio watu hawataki Mugokaa full stop

    • @FrancisKusero
      @FrancisKusero 8 месяцев назад

      This a bad business....imagaribu watoto kuwa useless
      Why do this people they can force people to poison

    • @FrancisKusero
      @FrancisKusero 8 месяцев назад

      Money earned when others loosing their children is very bad..this plant should be uprooted...this is a drug..period

    • @FrancisKusero
      @FrancisKusero 8 месяцев назад

      Scientifically it has been proven to be harmful.....
      See how merru people speakthey all are effected on speech

    • @rashidbaya1354
      @rashidbaya1354 8 месяцев назад

      Hatutaki mgoka msa uzeni huko kwenu

  • @EshaOmar-i2h
    @EshaOmar-i2h 8 месяцев назад +3

    Sisi tunataka ugoro unga etc hatutaki mugokaa khalas rehabilitation centers fungueni kwenu

  • @ramadhanikenga274
    @ramadhanikenga274 8 месяцев назад +2

    Kama hakuna mahali kwa kuuza mogokaa na miraa peaneni mbuzi na ng'ombe wakule na hamuwezi kutulazimisha hata muende kotini bado hio biashara hatuitaki mombasa na pwani kwa ujumla

  • @ShedrackTunje
    @ShedrackTunje 8 месяцев назад +2

    Aaah huyu jamaa 😂,eti mwenda wazimu,wacha hakili yako wewe ifanye kazi

  • @mwanarusimusa3620
    @mwanarusimusa3620 8 месяцев назад +1

    Kwani huko kwenu hakuna watu.uzeni huko.sisi wa pwani tuachieni mnazi wetu.

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 8 месяцев назад +3

    Kwani soko ni Mombasa na kilifi peke yake pelekeni kaunt zingine

    • @ANTONYMUNENE-oh7vm
      @ANTONYMUNENE-oh7vm 8 месяцев назад

      Yaingia Somalia 20 tones mtu wangu 7tones Canada

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 8 месяцев назад +1

      @@ANTONYMUNENE-oh7vm kma huko soko liko sawa mbona mkazane na Mombasa na kilifi hata taitataveta kwale tanariver na lamu wakifunga pelekeni kaunt zingine soko liko wazi

    • @kabuthakabutha9472
      @kabuthakabutha9472 8 месяцев назад +1

      ​@@ANTONYMUNENE-oh7vmvizuri Sanaa. Kama mwapeleka nchi za nje, si Mombasani hatulitaki

    • @ANTONYMUNENE-oh7vm
      @ANTONYMUNENE-oh7vm 8 месяцев назад

      @@kabuthakabutha9472 kwani Mombasa sio Kenya?

  • @abdulrashid8488
    @abdulrashid8488 8 месяцев назад +1

    Swali je munategemea mugokaa kupata maisha au munategemea mombasa kupata maisha na kusomesha watoto kama mombasa hatutaki mugokaa mukauze kwengine wacheni kulia lia

  • @gracekahunda
    @gracekahunda 8 месяцев назад +1

    Uchungu wa nn Sasa Kama kilifi na Mombasa hazitaki!! Haja gani mlete Sasa!! Kwani ni lazima muuzie Mombasa na kilifi kwendeni na hukoo

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 8 месяцев назад +1

    LETENI MBOGA SIYO MAJANI YASIYOELEWEKA,KWANI MUNATAKABKUMALIZA MOMBASA,SI MUKULE WENYEWE,NENDENI NA HUKO

  • @HASSANNzai-y8g
    @HASSANNzai-y8g 8 месяцев назад

    Hatutaki mugokaa bring for us tomatoes and vegetables muko kwenye giza.

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 8 месяцев назад +1

    JAMANI WEEE WEEEE.KWANI NI LAZIMA SU MUUZE KWENU HATUTAKI WATOTO WETU WANAUMUYA,JAMAANNIIII WEEE.LETENI VIAZU MBOGA VITUNGUU MAEMBE NA KJ,WAAAA NI LAZIMA HATUTAKI FULL STOP.UNDESTAND.

  • @michaelkauku9714
    @michaelkauku9714 8 месяцев назад +1

    Washezi nyinyi, kuleni hizo muguka na watu wenu. parents are crying day and night because of muguka. Shame on you muguka farmers

  • @ismailstar526
    @ismailstar526 8 месяцев назад +4

    Mugukaa uzeni kwenu mashoga nyinyi

    • @ANTONYMUNENE-oh7vm
      @ANTONYMUNENE-oh7vm 8 месяцев назад

      Umbwa wewe

    • @abdulrashid8488
      @abdulrashid8488 8 месяцев назад

      @munene we ni nyoka kama hio ni kitu Ya maana uzeni huko kwenu kwani lazima kumuzia mtu kama hataki kununua

    • @KennedyMutuku-u3k
      @KennedyMutuku-u3k 8 месяцев назад +1

      mjinga wewe kama ukuli miraa si uwachie wale wanakula wakule

    • @kabuthakabutha9472
      @kabuthakabutha9472 8 месяцев назад

      ​@@KennedyMutuku-u3kgovernor ambae tumempigia kura ndio ameikataa through an executive order. Hata linthuri hapa hawezi toboa

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 8 месяцев назад +1

      😂😂

  • @Moody-qz9zg
    @Moody-qz9zg 8 месяцев назад +3

    Wacha ujinga hatutaka hizo vitu bana

  • @gasperkiwo6109
    @gasperkiwo6109 8 месяцев назад +1

    Is coast the only place to sale mugoka???

  • @Moody-qz9zg
    @Moody-qz9zg 8 месяцев назад +2

    Uzeni kwenu lazima gani mpaka coast kwani,?

  • @ShedrackTunje
    @ShedrackTunje 8 месяцев назад +2

    wachawi tu nyinyi,uzeni kwenu kwani lazima muuze coast

  • @fredrickkarisa1528
    @fredrickkarisa1528 8 месяцев назад

    Tuna jua mlisoma kizungu mingi simka uzie hao wazungu mnao waongelesha hicho kizungu chenu,wacha neni na watu wa Mombasa please,,,we want to change our future,,we had been stupid for a long but this time give us a break please,,

  • @mohamednagib2594
    @mohamednagib2594 8 месяцев назад

    Warudi kwao Embu 😅😅😅

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 8 месяцев назад +1

    Simkauze uko mbele kwani ni lazim mombasa.....sio governor na sisi pia hatutaki mugokaaa endeni uko nyinyi ndio mwendaaa habithil amal

  • @TheCaptain-y9n
    @TheCaptain-y9n 8 месяцев назад

    Hskuna tofauti ya miraa na muguka, tuunganeni watu wetu

  • @hamisirajab880
    @hamisirajab880 8 месяцев назад

    Huyu kichwa yake sio nzuri kwaani ni lazima muuze mombasa si muuze county zingine acheni kulia kulia bana

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 8 месяцев назад

    Acheni hasira kuleni wenyewe sisi hatutaki atakortini endeni coast hatutaki miraa kama inaleta pesa jiuzieni wenyewe

  • @johncotter4016
    @johncotter4016 8 месяцев назад +2

    Unaongea kwa madharau sana mogoka sio chakula

  • @MitchellErmina
    @MitchellErmina 8 месяцев назад

    Leteni viazi tamu au sukuma na vitu za maana kwani hujui inaitwa pwani ya kenya mbele jijazie hatutaki mgukaa kule huko au peleka somalia adis ababa.kwani kuna lazima iliwa huku coast ng'oeni hizo miguksa shambani kama vile mliharibu kahawa

  • @omarratibu9709
    @omarratibu9709 8 месяцев назад +2

    Kwani Mombasa ndio lazima muuze mugokaa mbona hamuendi kajiado mkasema hivyo

  • @AbubakarMahadhi
    @AbubakarMahadhi 8 месяцев назад +1

    Ati chakula wah hiyo ni kali,unakula kilo ngapi ndio ushibe

  • @fredrickkarisa1528
    @fredrickkarisa1528 8 месяцев назад

    Kwanini mna lazimisha watu wa Mombasa kula mugokaa kama hatu taki hatutaki sio lazima,,kuleni wenyewe wameru watu wamobasa hatu taki mugokaa tume kataa

  • @aminahussein9482
    @aminahussein9482 8 месяцев назад

    County zote wamekata kaeni Square 😅😅😅

  • @mohamedhadad6008
    @mohamedhadad6008 8 месяцев назад

    Kwa nn wanalazimisha kuuza majani hata Mbuzi anagoma kula! Mombasa msikubali kabisa

  • @HakeemAbdulkareem-l9q
    @HakeemAbdulkareem-l9q 8 месяцев назад

    Hapo sawa umeongea ukweliy waongeza na bangi juu

  • @EricAbega-n1e
    @EricAbega-n1e 8 месяцев назад

    Panda mimea mengine jamani,kubali matokeo haitakikani popote

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 8 месяцев назад +1

    PELEKENI MUGUKA TANZANIA PLZZZZZ

    • @johnlobuin4212
      @johnlobuin4212 8 месяцев назад

      Huko wata fungwa miaka 15 bila faini.

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 8 месяцев назад

    WACHA UJINGA WEWE MUMERU PWANI HAKUNA
    MOKONGA TENA🤣🤣🤣🤣

  • @bakariali8928
    @bakariali8928 8 месяцев назад +1

    kiukweli wameru hawatumii mgoka wanauza tu ndio sababu wanapana marufuku iondolewe ,hakuna mgoka msa mkishindwa home is the best meru

  • @fredrickkarisa1528
    @fredrickkarisa1528 8 месяцев назад

    Tuleteni ova cado,but mugokaaa very big noooooo,,,,

  • @shabbyofficial_
    @shabbyofficial_ 8 месяцев назад

    Hawa si walisema watu wa coast tunadepend on them mbona sasa inaonekana wao ndo wanatutegemea

  • @josephnjogu9341
    @josephnjogu9341 8 месяцев назад +1

    It is quite unfortunate that Muguka- the only crop unique to our traditions is under attack. The reality is that cannings, prevalent in Kenyan schools by female teachers, and mothers’ violence to their own children are by attachment theory the two culprits in childhood trauma. Latest scientific knowledge is that ACEs build in toxic stress and predestine victims to substance addiction, affect health, flawed character behavior and creative intelligence across a lifetime. Leave miraa alone-and own up the systems mistakes and apologize/compensate to the victims.

  • @FrancisKusero
    @FrancisKusero 8 месяцев назад

    This merraa mugoka and ellisit drinks issue....the govvernor is right ...if the you have to save a whole generation,,you have to annoy some businesses.
    All counties must ban this mugoka

  • @Moody-qz9zg
    @Moody-qz9zg 8 месяцев назад +3

    Hatutaki miraa coast thats all

  • @aminahussein9482
    @aminahussein9482 8 месяцев назад

    Hatutaki kura zenuyeeee zetu zamtoshaaaaaa

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 8 месяцев назад +1

    Kma mkotayari kufa hata watu wa mombasa na kilifi pia wako tayari kufa pia hyo kitu isiingie

  • @gonasaidjuma2700
    @gonasaidjuma2700 8 месяцев назад

    Ww unawazimu karibu upate majibu uleteni Kwa lazima tuone

  • @yusufsinamengisaidi9540
    @yusufsinamengisaidi9540 8 месяцев назад

    maneno mengi unalazima gani uwuze mombasa mbone embu hamukaye kibalaza mukira mugoka

  • @stephenngila827
    @stephenngila827 8 месяцев назад

    Matusi yanini /kwani unauza kwaguvu

  • @ismailstar526
    @ismailstar526 8 месяцев назад +2

    Hatutaki

  • @aminahussein9482
    @aminahussein9482 8 месяцев назад

    Hatutaki lazima biyashara hiyo

  • @kabuthakabutha9472
    @kabuthakabutha9472 8 месяцев назад

    Hapa linthuri wenu hata RUTO hatoboi. THE PEOPLE of Mombasa ndio wameikataa. yani nyinyi musome na muendelee lakini watoto wetu walegee.

  • @faridsafari8556
    @faridsafari8556 8 месяцев назад

    Vitisho tu hivyo.kama mbaya itakua mbaya mzee. Si pia hatuogopi mafala nyinyi

  • @hassanadash
    @hassanadash 8 месяцев назад

    Halafu munataka evidence kama mogokaaa ni mihadarati,huyu ndio evidence

  • @fredrickkarisa1528
    @fredrickkarisa1528 8 месяцев назад

    Wacha ujinga,una maanisha watu wote wanao kula mugokaa walikua wana kula madawa,shenzi kabisa tume kataaa hatu taki mugokaa mombasa,,,kama ni cash crops si mkule wenyewe,,,

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 8 месяцев назад

    Kuleni nyie sisi hatutaki pakq nyie

  • @HASSANNzai-y8g
    @HASSANNzai-y8g 8 месяцев назад

    Kuleni nyinyi mnalazima mulete mombasa??

  • @johnkahindi3184
    @johnkahindi3184 8 месяцев назад

    Unapigia nani kelele,sikama nichakula simpike

  • @yusufsinamengisaidi9540
    @yusufsinamengisaidi9540 8 месяцев назад

    kitu chochote chakataza kulala siyo kizuri juu uyo anadayi kuwa dreva wanakula wasilale

  • @bahatichenje6224
    @bahatichenje6224 8 месяцев назад

    Sisi wati wa mombasa ndo tulimtuma gavana wetu afanye hiyo, sasa kama sisi wenyeji hatutaki nyinyi nikina nani mje na biashara yenu kuharibu watoti wetu

  • @ahmedaljabri5891
    @ahmedaljabri5891 8 месяцев назад

    Uzia kwenu sio lazima, ujinga wako peleka kwenu

  • @winniekarimi607
    @winniekarimi607 8 месяцев назад

    Msiforce things mguka and miraa are as different as day and night. Respect gvnor don't be abusive. Majani itapelekwa kanisani na nani? Tofautisha mguka naia miraa tumechoka kuwabeba mgongoni shukeni sasa

  • @amaribrahim6561
    @amaribrahim6561 8 месяцев назад

    Wewe mdomo mrefu njoo na hizo gari na wewe uwe ndani ndio utajua hujui ngombe mdomo kubwa hatutaki takataka na hatutaki kujua kama munahasara hio sio shida yetu..

  • @MaryDaad
    @MaryDaad 8 месяцев назад

    Kwani lazima muuzee pwani

  • @coolbz133
    @coolbz133 8 месяцев назад

    hatutaki stimulation zenu

  • @ShedrackTunje
    @ShedrackTunje 8 месяцев назад +1

    Huyo linturi ni mwizi tu

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 8 месяцев назад

    kwenda uko wacha kusema gavana wetu hana akili ni wewe ndio huna akili sema wewe ndio uko tayari kufa hakuna chakula eti mogoka ni chakula wacha upuzi wewe nenda ukauze kwenu sio hapa hatutaki mugoka kwenda kabisa na lugha yako chafu nenda mkauze huko kwenu wewe nenda mwenyewe kortini tumekataa walio tayari wapelekeeeee hakuna hiyo

  • @johnkahindi3184
    @johnkahindi3184 8 месяцев назад

    Ww hunatofauti na mjinga

  • @123dakyanus
    @123dakyanus 8 месяцев назад

    Miraa mogokaa ni mbaya, inavunja familia, inaharibu watoto, inaleta watoto kutoroka shule inaenedelea kubaka wasichana, ina zaidisha uwizi . Mogoka ni haramu katika dini zote. mogoka ni mbaya hataka mtakufa bila kuuza nyote mfe,
    Limini ndizi limeni chakula wasenge nyinyi.

  • @aminahussein9482
    @aminahussein9482 8 месяцев назад

    Pambaneni na hali zenu

  • @abubakartahir9912
    @abubakartahir9912 8 месяцев назад

    In america canada London ukishikwa ni6 year’s in prison wewe umbwa unauza ugonjwa

  • @Moody-qz9zg
    @Moody-qz9zg 8 месяцев назад

    Wacha tuanze na hio miraa kuanza hapo hapo ingine inafuatilia bana

  • @khamisibro2106
    @khamisibro2106 8 месяцев назад

    Wewe fanya heshima na governor wetu kuma wewe

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 8 месяцев назад

    Uzeni kaunt zingine kma ni kitu ya maana

  • @ahmedaljabri5891
    @ahmedaljabri5891 8 месяцев назад

    Mjinga wewe kwenu muna kuza kwetu munauza Fala wewe, uza kwenu mule nyinyi kama ni chakula

  • @mwanarusimusa3620
    @mwanarusimusa3620 8 месяцев назад

    Nauwache matusi wewe unaye ongea ujinga.

  • @MohamedNyundo
    @MohamedNyundo 8 месяцев назад

    Wacheni,pang,ang,a,miraa,kwenu

  • @johnaviha2441
    @johnaviha2441 8 месяцев назад

    It's a waste of time,try and find different market.

  • @gulftranspoters1762
    @gulftranspoters1762 8 месяцев назад

    Mkule mabaki pelekeni somali

  • @zawadipurity8578
    @zawadipurity8578 8 месяцев назад

    munaexplain mingi, story mob, hatutaki jaba kwani nini hamuelewi apo, uzeni kwenu, kama vile sisi twauza kwetu, lazima n ya nini, acheni tukule unga wetu kuleni matawi yenu. achaneni na magava wetu,

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 8 месяцев назад

    sema ukweli una ushahidi hatutakiiiiiiiiii kuleni huko kwenu ni chakula yenu hakuna kutishiana tutapigana na zote you are stupid eti gavana ametumia mihadharati wacha zako kabisa eat the plant alone nyinyi hamli na sisi hatutaki muguka hakuna hatutakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hata uimbe uruke hata wewe huogopwi wachaneni na mombasa hatutaki uzeni kwenu mbona mombasa?

  • @highhigh7476
    @highhigh7476 8 месяцев назад

    Mambie DP.sheria ya pombe

  • @yusufsinamengisaidi9540
    @yusufsinamengisaidi9540 8 месяцев назад

    wewe wacha uwongo wako ajali nyingi zasababishwa nakukosa kulala

  • @IgnatiusSanya
    @IgnatiusSanya 8 месяцев назад

    Mogoka niyawatu wajinga 😂

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu 8 месяцев назад

    Uzeni kwenu musituletee

  • @highhigh7476
    @highhigh7476 8 месяцев назад

    Big nooooooo

  • @gasparyguyo3041
    @gasparyguyo3041 8 месяцев назад

    County government iko na bunge zake MAKENDE wewe

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 8 месяцев назад

    Kula wewe na watoto wako

  • @alihoka_001
    @alihoka_001 8 месяцев назад

    Natoka Mombasa, mugokaa utaingia tu, kanyeni watoto wenu, pili hawa jamaa wako na strong scientific reasonation, pili governor hana mamlaka kupinga sheria/katiba, that's illiteracy, there's a procedure to follow, kama marufuku aanze bugizi kwanza ,

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 8 месяцев назад

      Twakujua wewe ni customer wa gux... Wewe na wenzake mukitaka kuuza gux uzeni huko bara lakini coast tumekataa kwani Sheria ni Quran ?!

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 8 месяцев назад +1

      Bro always kuwa patriotic na kwenu mwanangu mi pia nilikua na reason kama wewe lakini nikajiuliza ingekua ni sisi tunaproduce izi vitu tunapeleka bara unadhani wangekubali hawa watu ? Afu jiulize mbona wanaforce kuleta Mombasa si wauze kwengine... Tena hawa waliongea shit wakisema wacoast tunawadepend wao sasa vile wanaforce inakaa ni wao ndo wanadepend on us

  • @RAJ-R64
    @RAJ-R64 8 месяцев назад

    miraa na mugokaa itauzwa mpende msipende