SHEKH WA MKOA WA DAR AKIWA HEDARU AFAFANUA SIKU NGUMU YA QIYAMA NAMNA MTUME ATAKAVYOWAOMBEA WA/DAMU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 18

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh Год назад +1

    waislamu mashabiki kbs kazi wamebakiza nikusema Mashaallah!

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 Год назад

    MASHAALLAH SHEIKH WALID

  • @harunarashid1650
    @harunarashid1650 Год назад

    Mashallla Alihabibi Allah akuripe heri

  • @W.Engineer125
    @W.Engineer125 Год назад

    Mashallah ♥️♥️

  • @siraajjumaathman2125
    @siraajjumaathman2125 Год назад

    Ungelikuwa ukiijua dini usingelisema haya Allah akuongoe

    • @JumaBinAbdallah
      @JumaBinAbdallah Год назад

      Maashallah sheikh walid, Allah akuhifadhi uzidi kutupa faida

  • @abdillahbarua
    @abdillahbarua Год назад

    ❤❤❤

  • @dolanuhu7778
    @dolanuhu7778 Год назад

    Goli tano tena

  • @dullahkuchi8736
    @dullahkuchi8736 Год назад

    Acheni kushukhulika na maulid Hali ya kuwa uislamu unaporomoka

    • @imamurawdhwah1035
      @imamurawdhwah1035 Год назад +1

      Ww umeshungulika na nini

    • @AminCoaf
      @AminCoaf Год назад

      Hapo ni sehem 1 wapo yakuujenga uislam

    • @dullahkuchi8736
      @dullahkuchi8736 Год назад

      sio kweli Alhabiib mtume hakushukhulika na Khabar za maulid na Wala sio katika sehem ya kuupeleka uislamu mbele

    • @dullahkuchi8736
      @dullahkuchi8736 Год назад

      @@imamurawdhwah1035 kwani ww unashukhulika na nini

    • @dullahkuchi8736
      @dullahkuchi8736 Год назад

      ​@@AminCoafwakristo ndio wanaadhimisha kuzaliwa kwa Yesu wao sisi waislamu sio Mila yetu iyo siku ya kuzaliwa mtume sunna kufunga na sio kusheherekea

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Год назад

    Kwa nini hamsemi kuhusu Palestina
    Kwani wanauliwa waislamu tuu
    Palestin wapo wa kristo
    Na kanisa la miaka zaidi ya elfu limevunjwa na Israel
    Wao mayahudi hawamini ukristo wala uislamu
    Mbona mumeka kimya
    South Africa ni wakristo
    Wanawapinga Israel

    • @sadiqselengu4197
      @sadiqselengu4197 Год назад

      Wewe umevamia ndgu yangu...
      Kina sheikh Walid alhad wamezungumzia Palestina mpk kwenye membar za Ijumaa..
      Usije kwa chuki na hasadi sababu umeyaona Maulid.