YAHAYA BIHAKI AIBUKA MSHINDI KTK MASHINDANO YA ADHANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 15

  • @AdiraMaysara
    @AdiraMaysara 7 месяцев назад

    Mashaallah Allah awaongoze wote wapo vizuri 8:05

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg 7 месяцев назад +1

    Sheikh Swalehe safi saana

  • @shabanmuhoro3342
    @shabanmuhoro3342 7 месяцев назад +1

    Maa shaa Allah wote wako vizurii sanaaa

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg 7 месяцев назад +2

    Muhsin Salum Allay.
    Imam Bukoba, naomba namba zako za Simu

  • @ashbytz634
    @ashbytz634 7 месяцев назад +1

    walikuwa wanaangalia vgezo gan

  • @AbdullyJuma-bl3qo
    @AbdullyJuma-bl3qo 7 месяцев назад

    Yahya mungu akuongezee kipaji chako uko vizur Sana mwamba

  • @almasiabdallah3563
    @almasiabdallah3563 6 месяцев назад

    Hapa kwa kweli Mimi mwenyewe sijaelewa

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n 7 месяцев назад +1

    Mtihani kwa kweli umma huuu

    • @mrjagenmuuz5704
      @mrjagenmuuz5704 7 месяцев назад

      Mtihani gani unouzungumzia wewe kwani apo wanapiga disco????
      Au ndo wanapata dhambi ety kwakua wanashında adhana??

  • @hans_tech0015
    @hans_tech0015 7 месяцев назад +1

    Wametumia vgezo gan au

  • @MakameMufadhil-n8d
    @MakameMufadhil-n8d 7 месяцев назад +1

    Sasa wanaangalia nini hasa cha kuzingatia

    • @OmanOman-vb4uj
      @OmanOman-vb4uj 7 месяцев назад

      Vipo walivitaja majaji vigezo vyao

  • @burhanhusseintv4879
    @burhanhusseintv4879 7 месяцев назад +2

    kuna haja ya hao majaji pia nao tuwachuje maana hawafai kuwa majaji wala hawajui radhaa ya adhanaa nzuri, mtu wa nne ndo alipaswa kutuwakilisha, au mtu 9.

    • @mudysule5495
      @mudysule5495 7 месяцев назад

      Broo majaji wapo sw. Watu hawaangalii saut tu bali kuna vit kakokea katk adhan yy mwenyewe kajua makosa yke no 4. Ww umawez ukalew na saut lkn watu wanaangalia vit ving shukran

  • @AbdullyJuma-bl3qo
    @AbdullyJuma-bl3qo 7 месяцев назад

    5:06