ZAINAB ONLINE TV
ZAINAB ONLINE TV
  • Видео 3 651
  • Просмотров 1 271 805

Видео

MAELEKEZO JUU YA DUA YA MUBINI//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 25 часов назад
MAELEKEZO JUU YA DUA YA MUBINI//SHEIKH ABUU JADAWI
DUA YA MUBINI SABA AMBAYO HUFUNGUA VIFUNGO VYA KICHAWI//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 86 часов назад
DUA YA MUBINI SABA AMBAYO HUFUNGUA VIFUNGO VYA KICHAWI//SHEIKH ABUU JADAWI
FAIDA ZA SURATUL YAASINI INA PONYO ELFU MOJA//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 2411 часов назад
FAIDA ZA SURATUL YAASINI INA PONYO ELFU MOJA//SHEIKH ABUU JADAWI
DUA YA JUMAMOSI //SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 222 часа назад
DUA YA JUMAMOSI //SHEIKH ABUU JADAWI
HADHARA YA MAULIDI MTAA WA UNGUJA JIJINI MWANZA KWA USTADHI MASUDI
Просмотров 212 часа назад
MAULID YA MTUME(S.A.W) MTAA WA MBUGANI MWANZA
SHEIKH HASSAN KIBURWA ANAWAALIKA KUHUDHURIA KTK NDOA YA BINTI WA SHEIKH ABUU JADWI
Просмотров 484 часа назад
SHEIKH HASSAN KIBURWA ANAWAALIKA KUHUDHURIA KTK NDOA YA BINTI WA SHEIKH ABUU JADWI
SHEIKH SUNGU SUNGU ANAWAALIKA KTK NDOA YA BINTI WA SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 4712 часов назад
SHEIKH SUNGU SUNGU ANAWAALIKA KTK NDOA YA BINTI WA SHEIKH ABUU JADAWI
SHEIKH ABUU JADAWI ATOA MUWALIKO WA NDOA YA BINTI YAKE KTK MAULIDI YA MTUME NYEGEZI
Просмотров 7314 часов назад
SHEIKH ABUU JADAWI AWAALIKA KATIKA MAULID YA BINTI YAKE MBUGANI SKONI MWANZA
MAPENZI YA MTUME YANATAKIWA KUA KTK HALI YA HATARI KABLA YA HALI YA AMANI //SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 11416 часов назад
MAPENZI YA MTUME YANATAKIWA KUA KTK HALI YA HATARI KABLA YA HALI YA AMANI //SHEIKH ABUU JADAWI
QASWIDA KTK MAULID YA MTUME(S.A.W) IBANDA MWANZA
Просмотров 4819 часов назад
QASWIDA KTK MAULID YA MTUME(S.A.W) IBANDA MWANZA
MTUME(S.A.W) NI MBORA WETU WA NYUMBA NA NASABA//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 11019 часов назад
MTUME(S.A.W) NI MBORA WETU WA NYUMBA NA NASABA//SHEIKH ABUU JADAWI
QASWIDA YA HARUSI YA JADIDA BINTI ABUU JADAWI// SHEIKH MASASI
Просмотров 54День назад
QASWIDA YA HARUSI YA JADIDA BINTI ABUU JADAWI// SHEIKH MASASI
MUALIKO WA NDOA YA BINTI WA SHEIKH ABUU JADAWI JADIDA ADAM
Просмотров 83День назад
MUALIKO WA NDOA YA BINTI WA SHEIKH ABUU JADAWI JADIDA ADAM
MAELEZO JUU YA MUBINI SABA//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 10414 дней назад
MAELEZO JUU YA MUBINI SABA//SHEIKH ABUU JADAWI
DUA YA JUMAPILI //SHEIKH ABUU JADAWIADAWI
Просмотров 13214 дней назад
DUA YA JUMAPILI //SHEIKH ABUU JADAWIADAWI
DUA YA JUMAMOSI //SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 5714 дней назад
DUA YA JUMAMOSI //SHEIKH ABUU JADAWI
UMUHIMU WA MUBINI SABA //SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 24814 дней назад
UMUHIMU WA MUBINI SABA //SHEIKH ABUU JADAWI
QUR-AN TUKUFU //SHEIKH MACHACHARI
Просмотров 6221 день назад
QUR-AN TUKUFU //SHEIKH MACHACHARI
SABABU YA MTUME (S.A.W) KUITWA MUHAMMAD//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 13521 день назад
SABABU YA MTUME (S.A.W) KUITWA MUHAMMAD//SHEIKH ABUU JADAWI
MAULIDI YA WILAYA ILEMELA JIJINI MWANZA
Просмотров 10928 дней назад
MAULIDI YA WILAYA ILEMELA JIJINI MWANZA
MAANA YA NENO HAFLA YA MAULIDI //SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 12728 дней назад
MAANA YA NENO HAFLA YA MAULIDI //SHEIKH ABUU JADAWI
MAELEKEZO JUU YA DUA YA DUA YA UDONGO
Просмотров 4728 дней назад
MAELEKEZO JUU YA DUA YA DUA YA UDONGO
DUA YA JUMA MOSI/SHEIH ABUU JADAWI
Просмотров 5128 дней назад
DUA YA JUMA MOSI/SHEIH ABUU JADAWI
SWALATU ALA NNABIYYI MADRASATUL-GHAZALI MAHINA JIJINI MWANZA
Просмотров 6328 дней назад
SWALATU ALA NNABIYYI MADRASATUL-GHAZALI MAHINA JIJINI MWANZA
MAULIDI INAYO ASILI KTK KITABU NA SUNNAH SHEIKH ABUU JADAWI// MAULID KWA SHEIKH MUHAMMAD SAID
Просмотров 14128 дней назад
MAULIDI INAYO ASILI KTK KITABU NA SUNNAH SHEIKH ABUU JADAWI// MAULID KWA SHEIKH MUHAMMAD SAID
DUA YA ZINGUO LA MWILI//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 55Месяц назад
DUA YA ZINGUO LA MWILI//SHEIKH ABUU JADAWI
MAELEKEZO UMUHIMU WA KUFANYA ZINGUO//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 88Месяц назад
MAELEKEZO UMUHIMU WA KUFANYA ZINGUO//SHEIKH ABUU JADAWI
DUA YA KUONDOA MABALAA TAREHE 13/10/2024
Просмотров 89Месяц назад
DUA YA KUONDOA MABALAA TAREHE 13/10/2024
UIKIWA NA DALILI HIZI ASILIMIA MIA MOJA UTAKUA UMEROGWA//SHEIKH ABUU JADAWI
Просмотров 245Месяц назад
UIKIWA NA DALILI HIZI ASILIMIA MIA MOJA UTAKUA UMEROGWA//SHEIKH ABUU JADAWI

Комментарии

  • @HemediAbu-ph8kd
    @HemediAbu-ph8kd 14 часов назад

    Mungu atujaliye mwishomwema

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu День назад

    Mtume anasema katika mwili kuna kiungo kikitengenea umetengea mwili wote, kikiharibika umeharibika mwili wote, nayo moyo.

  • @happycosmas2235
    @happycosmas2235 2 дня назад

    Mtu yeyote anayeslim akitokea ktk uroman kwa kuifata that ya imani ya uislam, ndg imani yke kwa Allah inakuwa zaidi ya wale ambao wamezaliwa ktk uislam, kwa kuwa ktk roman uzama sana ktk iman sasa ile akihama nayo ktk dini ya haki, wallah usimtanie akiomba jambo kwa Allah hujibiwa chap na kwa vitendo. Wale mmnaopenda kutwambia tumevamia ktk dini yetu tunajifanya tunajua, ukweli tunaoslim kwa dhati ya dini si kufata kitu, basi msitutanie wala hatufanani na waliosoma uislam tu lkn imani na hofu hawana. Dada Hingera, kila kukisha unavyozd kusoma na kuelewa utakuwa unaumia kwanini sikujitambua mapema.

  • @OmbeniChaula-r2u
    @OmbeniChaula-r2u 3 дня назад

    Shee ukiota umejinyea afu ukomtoni unatembea kuufuata mto unako toka inakuwaje

  • @TatuKivugo
    @TatuKivugo 3 дня назад

    Allah akuongeze dada Layla.Nakuombea upate mume mwema atakaekuongoza ktk dini ya haki

  • @OmarBenga-b8s
    @OmarBenga-b8s 3 дня назад

    Mimi niliota maiti inabebwa kwenyegari alafu ipo kwenye Sanduku na mtuuyo simjui

  • @KingZiller
    @KingZiller 4 дня назад

    Shekhe Mimi nimeota msanii maarufu aliekufa ameeniita njian nikaenda akaniomba msaada wa pesa nimaidie nikamwambia saa iv sina pesa naenda huku nikirudi nitakupa nisubiri halaf nikashtuka inamaana gani shekh

  • @HusnaHassan-x2o
    @HusnaHassan-x2o 4 дня назад

    Masha Allah

  • @abbysayd-sz2ne
    @abbysayd-sz2ne 6 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @bahatinahemed723
    @bahatinahemed723 7 дней назад

    Karibu sana dada katika njia ya haki mwenyezi mungu akulipe InshaAllah nakupenda sana

  • @MohamedibrahimMwatembo
    @MohamedibrahimMwatembo 8 дней назад

    Allah akurahamu mufti wetu Issa Bin Simba m/mungu akupe kivuri huko uliko aamiaam

  • @RamadhanKhasan-f6o
    @RamadhanKhasan-f6o 8 дней назад

    nakutakia kila la heri dada leila karibu sana katka uislam

  • @HaliaKheri
    @HaliaKheri 8 дней назад

    ❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🤲🏼🤲🏼

  • @ShadiaMohammed-rg6sy
    @ShadiaMohammed-rg6sy 9 дней назад

    Mashallah Allah(s.w) akulipe kheri sheikh wetu naa Allah akutamkishe kalima yake🤲

  • @HusnaAbdallah-of1hn
    @HusnaAbdallah-of1hn 9 дней назад

    Mashaallah dada karibu kwenye dini ya haki Allah ameamua kukuongoa hata Mimi nilikuwa mkatoliki lakini nilivyoingia kwenye dini ya haki nimeujuwa ukweli namuomba Allah ajaalie hata kizazi changu kisiingie kwenye ukristo

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 9 дней назад

    Dada Layla unaweka kupata mtihani lkn kuwa namsimamo Allah atakusimamia inshaAllah

  • @BjleonardBhianda
    @BjleonardBhianda 12 дней назад

    JOHN1: 5 In the beginning was the one who is called the Word.The word was with God and was truly God. From the very beginning the Word was with word.And with this word,God created all things.Nothing was made without the word.Everything that was created received its life from him,and his life gave light to everyone.The light keVeps shinning in the dark,and darkness has never put it out. JOHN 1: 18 No one has ever seen God,The only son ,who is truly.God and his closest to the Father.has shown us what God is like. JOHN 14:6 I am the way,the truth,and the life, without me no one can go to Father.

  • @PaulMkhoi
    @PaulMkhoi 12 дней назад

    Ni haki ya mtu kuamua ni wapi anaenda kuabudu lkn ukisikiliza rafudhi yake anaongea kama sio mtanzania, asije akawa anasema alitamani kuvaa kwa kujisitili kumbe ikawa njia ya kujificha ili asijulikane. Binafsi simpingi kuwa muislam kwani kwa nchi yetu hatuna udini yaani waislam na wakristo wanakaa pamoja na kusaidiana, mf nimewahi kuchangia kiasi cha pesa kwa ajili ya ujenzi wa muskiti mkuu wa chamwino - Dodoma.

  • @azidajaden1847
    @azidajaden1847 13 дней назад

    Maa Shaa Allah Tabarakallah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AhmedRazakaFaouzia
    @AhmedRazakaFaouzia 15 дней назад

    Mungu atujailie mwisho mwema Inshallah

  • @somoeGodhana
    @somoeGodhana 16 дней назад

    Asalam aleikum mimi niliota niliona nyoka kaja nyumba kwababangu akaingia ndan tulipomuona nakuanza kumtafuta akapotea aliingia kwenye shimo akapotea je hii inamaana gan

  • @SudyMohamedy
    @SudyMohamedy 16 дней назад

    Hongera sana dada hapo ulipo ikitokea mungu kakuchukua unaenda peponi moja kwa moja

  • @HamzaYusuff
    @HamzaYusuff 16 дней назад

    Masha'allah ❤❤❤

  • @EmalSebandata-ki2tr
    @EmalSebandata-ki2tr 17 дней назад

    Manshaalla ujumbe mzito

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 17 дней назад

    Mwache apotee/hotelini umeendakufanyanini?

    • @LukaJackson-k9k
      @LukaJackson-k9k 7 дней назад

      yesu kristo wanazaleti alikufa aka fufuka mhammadi aliazatu namifupa yake ipo chini mpaka sasa, walio hai, watamfata alie hai, wafu wata mfata mfu,

  • @givenmlelwa841
    @givenmlelwa841 18 дней назад

    Ameeeeeeeen

  • @amosathuman7366
    @amosathuman7366 18 дней назад

    🎉 mashallaah

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 18 дней назад

    yapo dada umefanya vibaya kukataa Yesu kuwa si mwana wa Mungu hapo no saw na kumkufuru Mungu na na dhambi mbaya sana ila unayo nafasi ya kutubu Mungu ni mwenye Rehema

  • @MedadiMigeleo
    @MedadiMigeleo 18 дней назад

    Islam siyo dini ya Mungu,ni kwa ajili ya kutawala dunia,hakika asiye kili kwamba yesu ni bwana na mwokozi wako hakika hitoingia hutouona ufalme wa Mungu!

  • @mzanzastudio6077
    @mzanzastudio6077 19 дней назад

    Maashaallah, hiyo ndiyo sifa ya dini ya haki, ukiisoma kiundani lazima utaiamini

  • @DebwaniYusuph
    @DebwaniYusuph 19 дней назад

    ALLAH Akujalie. Mume mwema

  • @sharifaomar2082
    @sharifaomar2082 19 дней назад

  • @MohammmedBakar
    @MohammmedBakar 19 дней назад

    Umechaguwa dini ya haki.Bilayla,mashallah.AIlah akubaariq.

  • @PasuaKichwaa
    @PasuaKichwaa 20 дней назад

    Mashaallah dada mungu akupe maisha marefu na mwisho mwema

  • @BrotherKaka-j4z
    @BrotherKaka-j4z 20 дней назад

    Bakwata kikundi Cha wahuni tu

  • @BrotherKaka-j4z
    @BrotherKaka-j4z 20 дней назад

    Acheni njaaa mashekh nyinyi mashekh mashetani

  • @WakinadTweve
    @WakinadTweve 20 дней назад

    Dada kumkataa Yesu kuwa sio Mungu imekula kwako think twice

  • @WakinadTweve
    @WakinadTweve 20 дней назад

    Wajinga ndio waliwao umeingia kwenye mtego kwa miguu yako mwenyewe

  • @hardyhategekimana8205
    @hardyhategekimana8205 20 дней назад

    Welcome sister !!! Allah akupe kila la kheri na akuzidishie elimu!!!

  • @omarbai2604
    @omarbai2604 20 дней назад

    Mashallah Allah akuzidishie Imani na utulivu wa nafsi

  • @YussuphMbarouk
    @YussuphMbarouk 21 день назад

    Jn nimeota nip ktk mava na nip na maiti Kila nnayemuita aje anisaidie kumzk yule mait bc hakun alokj na hy mava hat sijui n mava ya wap .je hio ndot inamaan gn

  • @HamisKhalfan-w9m
    @HamisKhalfan-w9m 21 день назад

    Baraka llahu fihs Allah azidi kukuweka tuweze kufaidika

  • @hasanimust6177
    @hasanimust6177 21 день назад

    Mashaalah karibu

  • @ZubairSaid-q4h
    @ZubairSaid-q4h 21 день назад

    Mashallah dada allah akupe iman

  • @FatmaAbdi-i3y
    @FatmaAbdi-i3y 21 день назад

    Alhamdulilah

  • @FatmaAbdi-i3y
    @FatmaAbdi-i3y 21 день назад

    Mashallah tabarak allah karibu kwenye dini ya haki dada ❤

  • @sayedamohammed4641
    @sayedamohammed4641 21 день назад

    Allahu Akbar

  • @PauloTunday
    @PauloTunday 21 день назад

    Huyu dada hajaimarishwa/hajaimatika kama mkatholiki coz hajapata kipaimari na asingepewa nadhiri ya kitawa kama bado hajapata kipaimara tunakutakia kila kheri huko uliko sisi tunasema haukuwa wa kwetu ndyo maana ulikuwepo ukatholiki ukatoka ukatholiki na Waambii waisilamu ukweli kuwa ulikotoka ukatholiki Tunaabudu M ungu moja tu katika nafisi tatu yaani Mungu hakugawanyika Mungu aliyekuja kama mwanadamu huyu ndiye Yesu Mungu anayekuja kila Muda wote kutuponya kutusaidia Mungu aliye ktk roho ndiyo roho mtakatifu hatutaki tupotoshwe Na dhaima ulipo usimsahau yesu yaani Isi bin mariamu awe nabii wako daima sisi wakatholiki tunawapenda waisilamu coz sisi wote uzao wa baba ibraim na tuliona neno la wazi Mungu akiongea na hajiri sisi hatuwezi pinga Mungu

  • @JosephineMalongo
    @JosephineMalongo 22 дня назад

    Sheikh nimeota na mtu tulikua tukifanya nayeye anatengeza flour na kuosha hiyo flour mahali tulikua tukifanya kazi na alikua mkubwa sehemu fulani maana yake nini.

  • @AMOSZIBWE
    @AMOSZIBWE 22 дня назад

    AAA mwaipopo uko vizur kumbe umempeleka hoterini ndiko umesemea unamtamani maliza tamaa yako ameingia Cha kike