DIDDY ALIWAFANYIA VIBAYA WATU 100, YUPO MTOTO WA MIAKA 9, WAKILI AAPA KUSHUGHULIKIA KESI ZOTE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 81

  • @paticotz2513
    @paticotz2513 Месяц назад +25

    Mtupumzishe sasa kila maali didy didy amjui kama ndo mnazidi kusaport huu ujinga watoto wanokua wanaanza kuwaza huu ujinga

    • @jonaycemoshi7261
      @jonaycemoshi7261 Месяц назад +4

      Sawa kabisa.Maana kila kukicha taarifa ndo hiyo hiyo tu!Let's concentrate on the most important things in our life.

    • @NjoziSofia
      @NjoziSofia Месяц назад +4

      Ndo lengo lao kuu

    • @chichasam9032
      @chichasam9032 Месяц назад

      Ujingaa sana mambo ya ulaya mnasambaza bongo inausu nn...ujinga sana

    • @AdhmirSalum
      @AdhmirSalum Месяц назад +2

      Leo lao ni kutangaanza ushoga haya ndio matangazo yao wala hawezii kufungwa wanatangaza ushoga tu ili watu waone ni jambo la kawaida tu . Mungu atatulinda

    • @D.P.O
      @D.P.O Месяц назад

      Na wameshatuingiza kwenye mtego tayari kila kona wanapromoti upinde

  • @wachimbavisima
    @wachimbavisima Месяц назад +14

    cha kushangaza wenye kesi chafu wote ni watu wenye asili ya Afrika tena walitaabika kutafuta maisha na wakafanikiwa wakati hakuna watu wenye michezo ya hovyo kama wazungu na hutawahi sikia kashfa zao

    • @HUZZAMSUZNAKISIMBA
      @HUZZAMSUZNAKISIMBA Месяц назад +2

      WAFRIKA WACHACHE WANAELEWA MIPANGO HII UKIONA UNA MAONO SHUKURU MUNGU.

    • @wachimbavisima
      @wachimbavisima Месяц назад +1

      @@HUZZAMSUZNAKISIMBA wazungu ni watu wenye roho mbaya za chinichini hawapendi kuona mtu mweusi ananyanyuka hizi kesi za hawa wenzetu si za kushabikia hata kidogo kesi za michongo tu hizi

    • @WahuBoth
      @WahuBoth Месяц назад +1

      Musisahau mtu mweusi akipata ana sifa kuliko mzungu ndio maana weupe Awana Mambo mengi kuzd mtu mweusi wa American weusi Wana jikuta 🥴💪🚶 Sana awa singiziwi

  • @ABELSyprian
    @ABELSyprian Месяц назад +3

    Wa africa wakitoboa wanatengenezewa kesi za uongo kisha mali zao hutaifishwa na kuishia gerezani... wazungu hawataki kuamini kwamba watu weusi wana akili na huwezo kuliko wao..

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p Месяц назад +1

    Kwann hizi kesi huwa zinawapata watu weusi tu ila sijawahi kuskia watu kama Bill Gates, Elon Musk, Jeff Bezoes ila ni watu weusi tu, lengo lao ni kuwashusha kwa maana inawauma sana wakiona watu weusi wakiwa ni matajiri na wenye fedha nyingi kuliko wazungu wenyewe!😢 inaumiza sana!!!!

  • @jameswissa9981
    @jameswissa9981 Месяц назад +3

    Marekani kupididiana ni kawaida kwa taifa hilo,
    Akina pididdy wako wengi tu!

  • @sixmelody4349
    @sixmelody4349 Месяц назад +2

    Watu mia hakiwepo na diamond simba la masimba dangote

  • @yohanakateko
    @yohanakateko Месяц назад +8

    Natamani didy arudi uraiani

  • @neemazakrino9411
    @neemazakrino9411 Месяц назад +3

    Wameanza kwa r Kelly now didy kesho Kanye west list inaendelea wazungu hawatupendi watu weusi

  • @Dorolifeathome
    @Dorolifeathome Месяц назад

    Wenae tangaza ubakaji na mauaji yanayo tokea kwenye inchi yako huko. Ya diddy achana nayo. Mbona mnazidi ku mgandamiza uyu mweusi mwenzenu kwa mambo msio kua nayo na uhakika. Tulizie sisi tunao hishi marekani ndo tukwambie hawa watu bado wana ubaguzi wa rangyi kiasi gani .

  • @Sheillahmussatango
    @Sheillahmussatango Месяц назад

    We need free diddy we need our brother to be free hii nikutaka kufuta Africa ya kujitegemea kwenye uso wa dunia kuweni na maarifa

  • @RedentaLumato
    @RedentaLumato Месяц назад

    Mimi sn neno true God is know ❤😂😮😅

  • @DivineWisdom-o8y
    @DivineWisdom-o8y Месяц назад +1

    Bill Cosby walisema amebaka wanawake 60....wanazidi kumaliza matajiri weusi

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu Месяц назад +1

    Kama watu maarufu walikwenda wenyewe kwa didy haina haja ya kumlaumi kinachoendelea hapo ni kutaka kumpoteza mtu mweuc wazungu wanafanya matukio mangapi ya kinyama mbona hawakamatwi wakafungwa

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 Месяц назад

    Mungu ndiyo anajua ukweli Kama nikweli ama siyo kweli ila kama nikweli umewafanyia hifo ulaniwe kabisa

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 Месяц назад +2

    Sasahivi mpaka watoto wanamsemo wapiddy sasa
    Sijuh tutaacha lin misemo kama hii

  • @lucusshamte9161
    @lucusshamte9161 Месяц назад +1

    Na Domondi mbona hajaenda kushitaki au kwakuwa Yeye alitoa Kwa hiyari yake😂😂😂😂

  • @Moriskatuku
    @Moriskatuku Месяц назад +1

    Diddy anafaa afungwe maisha. Atubu akiwa uko gerezanj.

    • @Dorolifeathome
      @Dorolifeathome Месяц назад +1

      Vip alikupaka futa? Mbona waongea kama una ushaidi wakujionea live

  • @hilarymtepa9811
    @hilarymtepa9811 Месяц назад +1

    Sasa mtoto wa miaka 9,diddy wa nini???

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 Месяц назад

    Acheni kutangaza ushoga mbona hayo mambo america ni kawaida 2

  • @YoungLewis7
    @YoungLewis7 Месяц назад +1

    Didy mnyama😂😂🙌

  • @HassanLikoko
    @HassanLikoko Месяц назад +5

    Wanao sema na diamond 💎 atakwenda shitaki weka like apa

  • @AzizaSaidy-m6e
    @AzizaSaidy-m6e Месяц назад

    Tumechokana na ddy 😢

  • @SamWako
    @SamWako Месяц назад +1

    Anguko la mtu mweusi, Waafrica mnafurahia

    • @HUZZAMSUZNAKISIMBA
      @HUZZAMSUZNAKISIMBA Месяц назад

      HAWAELEWI WAFRIKA WENZETU WAFATA MKUMBO... MUNGU WAO MZUNGU

  • @redtk2971
    @redtk2971 Месяц назад +1

    SASA NDIO NAELEWA KUWA HII NI FIGISU TU YA KUMHARIBIA JAMAA HIKO KITU CHA MTOTO WA MIAKA 9 NAPINGANA NACHO KESI ZOTE HIZO ZA KULUMBIKIZIWA WAZUNGU SIO WATU WAZURI KWA KWELI

  • @muhambwetvonline
    @muhambwetvonline Месяц назад +2

    Kwenye hao 100 mond ni namba ngapi

  • @BalakaMakuza
    @BalakaMakuza Месяц назад

    Dainamoo kaliwa sio

  • @SarahShija-d2l
    @SarahShija-d2l Месяц назад

    sasa kama walipenda ganda la ndizi wasifanyiwe jmn😂😂😂

  • @DjskillsTboiyprincess
    @DjskillsTboiyprincess Месяц назад

    Nyinyi mnaosema Marecani ina support mashoga,Mtoto wako akiwa shoga unaweza kumfanya nini?

  • @abdulmagwe3439
    @abdulmagwe3439 Месяц назад

    Mzungu mjanja sana anatangaza ushoga kijanja waafrica tuone ni kawaida 😂

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c Месяц назад

    Kesi inasimamiwa na mzungu didi kaisha

  • @RamaSimbila
    @RamaSimbila Месяц назад

    WATANZANI TUACHEN MANENO TUSHITUKE HII NI USHOGA UNATANGAZWA KUPITIA MASEREBULETI ILI MUONE NIKAWAIDA TU

  • @DavidJohn-i2d
    @DavidJohn-i2d Месяц назад

    Yaani na ninyi watangazi mna akili kweli? MAREKANI inasapoti Sana ushoga Sasa P.didd ana shida gani Kama serikali inaunnga mnko

  • @johnbarnaba8675
    @johnbarnaba8675 Месяц назад

    😂😂haloo hii imekaa vibaya Sana kwa pidid

  • @diehansi
    @diehansi Месяц назад +2

    Huyu jamaa kunyanyasa watoto ndipo alifeli ila kwa Mastaa Mimi Namuunga mkono kwa hoja ya heshima ya kudumu, mfno Diamond angemfira harmonize ingekuwa heshima ya kudumu na leo Harmo asingeleta dharau

  • @MussaShamte-n1x
    @MussaShamte-n1x Месяц назад

    Diamond ameshtaki ama anapenda

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад

    Ayo tumechoka nahiii habari

  • @5araalharmi474
    @5araalharmi474 Месяц назад

    😮😮

  • @NokiMbona
    @NokiMbona Месяц назад

    Nchi ya Marekani ina sapoti ushoga mbona huyu did wana muandama sana au ubaguzi wa rangi

    • @adambakari9276
      @adambakari9276 Месяц назад +1

      Wanasapot mashoga kwa anae taka kuwa shoga lkn si kumuingilia mtu bila rizaa yke kwa kumlaghai kwa pombe au kinguvu kwa wasanii wezake kuwadanganya atawapandisha kuwa wasanii wakumbwa

  • @trisamhombo
    @trisamhombo Месяц назад +1

    Jesus Is Coming 😢

  • @HuguetteKeza
    @HuguetteKeza Месяц назад

    Ivi Kuna walifu wakuzid wazungu!! Kwanini sisi wa Africa hatulioni ilo tunabak tunashangilia kinaco mukut mwezetu??!! Apana kwakwel

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 Месяц назад

    promoshin ya ushonga hii achaneni na hiz habar mana ata uko kwa ushonga umepasishwa

  • @Hodarikindofficiel
    @Hodarikindofficiel Месяц назад

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩✊

  • @mariambucumimaria5787
    @mariambucumimaria5787 Месяц назад

    😢😢😢

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky Месяц назад

    Achaneni sasa na hizi habari zenu za machoko

  • @Lifestyl9
    @Lifestyl9 Месяц назад

    Like hapa

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 Месяц назад

    Kuna uongo upo

  • @Osm-li8fj
    @Osm-li8fj Месяц назад

    Makubwa

  • @yohanakateko
    @yohanakateko Месяц назад

    Didy wanamchafua tu

  • @M2SUMUJUMNNE
    @M2SUMUJUMNNE Месяц назад

    Aya wanaokataa watu wameliwa

  • @ElzaMungure
    @ElzaMungure Месяц назад +1

    Na diamond yup jmn

  • @HashimSalim-y1z
    @HashimSalim-y1z Месяц назад

    Usengee tuu kama hamna habari ombeni serekali iwape ajiraa