Taarab: Utalijua jiji A

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Swahili/Taarab music by Afua Suleimani (East African Melody) Tanzania

Комментарии • 822

  • @SuzyCarey
    @SuzyCarey Год назад +42

    Who’s here 2024 ❤

  • @deejeynelly2292
    @deejeynelly2292 11 лет назад +13

    I am Kenya Luhyia i cant do without taarab...taarab zinafunza...kimafumbo

  • @petermakokha3026
    @petermakokha3026 6 лет назад +189

    Who is still listening to this hit song in 2019. Kazi safi aisee

  • @bm635csi
    @bm635csi 12 лет назад +23

    This type of songs are from the coast of Tanzania and mainly the island of Zanzibar. One of the most beautiful beaches I have ever seen

  • @Okwash1
    @Okwash1 12 лет назад +11

    I'm Kenyan Luo...Taarab is the best Music out of East Africa and it gave birth to Bongo Flavor.

  • @Ellena_Williams
    @Ellena_Williams 13 лет назад +10

    Mostly Taarab comes from the East African coast, Tanzania & Kenya; Dar es salaam, Zanzibar and Mombasa is where the main audience is located but Taarab is growing and is enjoyed even in Tanga.

  • @kenmtitu9137
    @kenmtitu9137 4 года назад +1

    Afua suleiman hapa ulinimaliza kabisa mamii

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 9 лет назад +6

    Vituko vya maksudi sibure leo umerogwa, ahsante dada zetu kwani munaamuwa kuzungumza kikwetu sannnnnnnnnnnnnnnnna

  • @rengwa
    @rengwa 14 лет назад +3

    men from mombasa i never used to listen to taarab but now nostalgia kicking big time love and miss mombasa and taarab swahili hoyeeeeeeeeeee

  • @najmakikula4929
    @najmakikula4929 4 года назад +18

    Huu wimbo naupendag2020 sikuwai kuchok wangap tunatazam had leo

  • @sirafla
    @sirafla 11 лет назад +30

    Merci beaucoup pour cette belle musique. Je suis du Mali mais je suis contente d'entendre cette musique de l'Est. Restons unis, tous, enfants d'Afrique.Asante sana kwa ajili ya muziki huu mzuri. Mimi ni kutoka Mali lakini nina furaha kusikia muziki wa Mashariki. Kubaki umoja, kila watoto wa Afrika. Thank you very much for this beautiful music. I am from Mali but I'm glad to hear the music of the East. Remain united, all children of Africa.(Thanks Google trad)

  • @franciskirago4795
    @franciskirago4795 2 года назад +3

    I'm beginning to love taarab... I'm sure I'm not late..

  • @dotienoo
    @dotienoo 3 года назад +14

    2021 and still very fresh! Nani ako nami? Sitoki sibandukiiii.

  • @annejustus2563
    @annejustus2563 11 лет назад +19

    I love the poetry in Taarab! Kuna mafumbo ambayo ni kazi kwa msikilizaji kuchambua huku akifurahia midundo!

  • @fatumajuma7950
    @fatumajuma7950 5 лет назад

    Utamaliza mizizi waganga Na waganguzi......upooooo kwake hupati nafasi Mimi ndio yake pumzi

  • @onlinemovie8580
    @onlinemovie8580 3 года назад

    Bibi yangu huyu bi afua mke wa mzee madaki mashallah

  • @maxamedwow
    @maxamedwow 11 лет назад +39

    I AM SOMALIa man I love taarab the best music EAST AFRICA :) :)

  • @hamiskengwa5869
    @hamiskengwa5869 4 года назад +7

    Tunao skiliza ladha ya taarabu 2020 twende sawa apa like

  • @zilleygleydan
    @zilleygleydan 2 года назад +2

    Hadi 2023 bado hauchuji

  • @babalevo3227
    @babalevo3227 3 года назад +2

    Taarab nzuri sanaaa kuliko zote kama upo hapa mwaka 2021 gonga likee

  • @victoriaprincess5777
    @victoriaprincess5777 5 лет назад +2

    Am here after Ken wa kuraya clip on citizen Tv

  • @farashuuali6344
    @farashuuali6344 12 лет назад

    Eti andazi wanywea togwa Nakumbuka togwa ya lindi kwenye unyago ni mda mrefu jamani. i can't wait to go back this year.

  • @iddymubarakwakaso1757
    @iddymubarakwakaso1757 8 месяцев назад +5

    27/05/2024 till now we listern to music I remember nilikuwa mdogo
    Utamaliza mizizi 😅😅

  • @Okwash1
    @Okwash1 8 лет назад +94

    The song is never aging....Who else is still listening to it in 2016?

  • @tinershayo5397
    @tinershayo5397 4 года назад +2

    Watamaliza mizizi waganga na wauguzi😄😄😄

  • @dougefresh414
    @dougefresh414 17 лет назад +1

    Vituko vya makusudi..ushamba umekusidi...I love this video...............

  • @altratech3457
    @altratech3457 6 лет назад +53

    2019...poleni lakni nipo hapa hapa

  • @phy7s745
    @phy7s745 5 лет назад +20

    Miss old days when this songs played in a car family 😭😭💔💔💕💕

  • @MAJIK_FINGAZ
    @MAJIK_FINGAZ 13 лет назад

    WANAWAKE WAPWANI JAMANI ..MWAPENDA MAPEPE JUU YA WANAUME WASIO NA UJUZI WAMEPENZI..MWAPIGANAPO KWA MANENO SI WAUME TUNAWALALA NYOTE..TAMUU SANAAAA...

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 2 года назад

    Watu wanatoka mbali ona sidi wa huba alikua kama mtoto mdogo🥰🥰

  • @RioIpo
    @RioIpo 4 года назад

    Bi Afua Suleiman ulijua kumtikisa Khadija Kopa mpk aliamua kukujibu kwenye nyimbo yake ya Nalijua jiji

  • @mamitojuma7060
    @mamitojuma7060 7 лет назад

    Oo utalia mwenzangu jiji utalijua nampikia maandazi na chain ya tangawizi we mwenzangu.

  • @buashraf
    @buashraf 16 лет назад

    Chachacn umejaribu kuunukuu huu wimbo lakini hujasadifu. Hujapata mashairi vizuri. Kibao kizuri hiki. Kisikilize mara nyingine!

  • @Kouglizia
    @Kouglizia 11 лет назад +10

    Thank you for the precision, but I am not from East Africa so I don't understand the language. I can only go by the melody and the dancing.

  • @cynthiaodhiambo6094
    @cynthiaodhiambo6094 2 года назад +2

    Taarab inaflow kama maji baharini

  • @omarkhamis8848
    @omarkhamis8848 3 года назад

    Hii mwanamama alikuwa anajuwa kuimba kweli💟💟💟🔥🔥

  • @mgichigo
    @mgichigo 14 лет назад

    Pole Dada. natumai hukumdhulumu hapo kabla. Aliye wako bado ako.

  • @Teacher_Hassan_Lemunje
    @Teacher_Hassan_Lemunje 4 года назад +13

    2021 who else agreeing this was and is favourite taarab
    💯💯💯💯💯

  • @brianmithia2930
    @brianmithia2930 9 месяцев назад

    Shukran kwa Watunzi na Waimbaji,Mziki Mtamu, Ladha Hatuongezi😎💯👍🥰

  • @shikufm9690
    @shikufm9690 4 года назад +1

    2021,taarab ndo kiboko chao😅😅😅kaja kwangu kampokea.....

  • @slimthuggfella101
    @slimthuggfella101 6 лет назад +3

    Zenjibar!! very beautiful voices and beautiful people, beautiful island the list is endless... love you Zenjibar from Mombasa Kenya

  • @adamumukoma5705
    @adamumukoma5705 11 лет назад +4

    dhisxx is the best melody i ever listen tuu

  • @ayiekosalim933
    @ayiekosalim933 12 лет назад +13

    Nikampa vitu adimu, kwako hajajiona, amri akasalimu - lol - I love the lyrics and the double meanings

  • @caliphcorleone1779
    @caliphcorleone1779 Год назад +2

    2023 tupo apa pia muziki muzuri 🤞🏾🙏🏾

  • @lishchelangat3712
    @lishchelangat3712 4 года назад +65

    2020 and quarantine has brought me here.

    • @evianmoge5476
      @evianmoge5476 4 года назад +2

      Me too😂,2020🇰🇪

    • @fredirungu5243
      @fredirungu5243 4 года назад

      @@evianmoge5476 ,sdds,ssss.d.ssd,s.s,s.ddddsdssdd.ssdsßddd%%%d,DDD.DDD.SD.xsd.s.sss%%&&d,SDS,sdßdsssßs sdddsxssßssddßdddddds

    • @duncanotema
      @duncanotema 4 года назад

      Come and translate for me.

    • @noussroitiloutoufi2873
      @noussroitiloutoufi2873 4 года назад

      @@evianmoge5476 apm111⁰⁰⁰p

  • @darmillionaire
    @darmillionaire 11 лет назад +29

    Well .. now you know. This kind of music is about the words. There's a heavy message in the words. They don't even have to dance.

  • @severasambayazzz6632
    @severasambayazzz6632 6 лет назад +23

    Hata ukinilaumu wako nishamchukua..2019mpo??

  • @suzanfelix8065
    @suzanfelix8065 3 года назад

    Bwana kapata wazimu kashindwa kuvumilia kwangu akatia timu tiba nikampatia weuweeeeee

  • @evansouma8570
    @evansouma8570 6 лет назад

    Afua Suleiman ndo mama yao. My favorite taarab vocalist. Leads with authority and directive.can't get tired of watching n listening to her songs

  • @sokaarreeze2691
    @sokaarreeze2691 9 лет назад +8

    Lol! Badala ya soda baridi. .....like it

  • @zebrascool
    @zebrascool 2 года назад +1

    from lpndon ❤ love mu brothers and sisters

  • @bivensofficial8866
    @bivensofficial8866 3 года назад

    Nzuri sana kbsa

  • @liibaanotmaan6720
    @liibaanotmaan6720 4 года назад +4

    this song never get old nani bado anskiza from somali mogadisho 🇸🇴 sielewe vzuri lkni nskiza tu tamu sana😄😁 21-3-2020

  • @maxamedwow
    @maxamedwow 12 лет назад +11

    I am somalia I love taarab the best song East Africa

  • @khairatdaizy5973
    @khairatdaizy5973 4 года назад +1

    2020 muko wapiii..... Love from Uganda 🇺🇬

  • @buashraf
    @buashraf 16 лет назад

    Kuna waimbaji wanaojitungia mashairi ya nyimbo zao. Mara nyingi wanaotunga mashairi na wanaopanga lahani ni watu tofauti. Waimbaji wengi hawawezi kutunga mashairi seuze kupanga lahani. Hata naghama wanazotumia baadhi yao inabidi wapewe mafunzo maalumu. Hiyo hoja ya nyimbo za Mzee Yusuph sijui lakini inayumkinika. Ukitazama kanda nyingi za muziki wa taarabu ya kisasa, huwa wameandika watunzi wa mashairi na pia wenye kupanga lahani. Natumai mwenzio jibu langu limegonga ndipo!

  • @philemonongaongasike4131
    @philemonongaongasike4131 9 лет назад +15

    Wimbo nzuri mno... Wanifanya niwaze mbali. Pia nilisalimu amri kwa wakati wangu.

  • @silasandwehe182
    @silasandwehe182 8 лет назад +37

    This song is the most flowing and ageless taarab I have listened and danced to.

  • @rexxsimba
    @rexxsimba 8 лет назад +7

    Madam Afua Suleiman at her best ...!!
    A well composed son with great melodies and message ...
    **

  • @tiktokcompilation-am10
    @tiktokcompilation-am10 2 года назад

    From comoros 🇰🇲 i love this musique swahili

  • @rubengaally8476
    @rubengaally8476 Год назад

    Khadija kopa alijibu hii
    Aliwaambia nishalijua jiji nendeni mwananyamala pale kuna kituo na hamuishi kuhanana

  • @loicekamau5791
    @loicekamau5791 4 года назад +1

    Lou lou hassan ni yeye amenileta hapa

  • @faridaajonye3343
    @faridaajonye3343 8 лет назад +123

    Who's watching it in 2017???

  • @blessedbethy
    @blessedbethy 4 месяца назад

    202 ndio mimi huyo.

  • @mamujally3814
    @mamujally3814 8 лет назад +3

    ucheshi na tanabasamu kanijaalia manani...
    nimepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni...
    "naipenda tu yani mistari ya kikweli"

  • @fatimadidadida9633
    @fatimadidadida9633 5 лет назад +12

    I love this song Allah awajaliye kheri na awastiri hata kesho akhera ❤️❤️❤️

  • @naomychemeryn2053
    @naomychemeryn2053 6 лет назад +2

    Who else is watching in February 2019? Love love this song

  • @ngantepaul2697
    @ngantepaul2697 6 лет назад +3

    When I visited DSM in 2011 and was introduced to Taarab, it's been such fun listening to this genre of music drifting.

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 2 года назад

    Sawa kabisa ATAJUA JIJI YANI MPE EE"

  • @kaninikaseo
    @kaninikaseo 5 лет назад +1

    "......Penzi ulimdhulumu visa ukamfanyia,,, chachandu vitamu tamu bwana hukumpatia..... 💃🏿💃🏿💃🏿🕺🏿

  • @peterotieno2198
    @peterotieno2198 6 лет назад +1

    this is like gospel it will remain relevant as long as mankind exists. good Job mum

  • @mariammasoud9555
    @mariammasoud9555 6 лет назад +1

    kapenda yangu nidhamu,na utulivu nyumbani,pamoja na ukarimu,wa ndugu na majirani

  • @mymunajabiri5796
    @mymunajabiri5796 5 лет назад

    Mashairi yametulia had raha

  • @bossbaiby3329
    @bossbaiby3329 5 лет назад

    Kwake hupati nafasai mm ndio yake pumzii pigaa keleleeee😍😍😍😁

  • @hellenababydoll2551
    @hellenababydoll2551 12 лет назад

    Nice Song utalijua jiji pokea chako kibomb shoga nakutumia ata ukinilaumu Wako nimesha mchukua apo chacha

  • @musaogony727
    @musaogony727 8 лет назад

    ucheshi na tabasamu kanijalia manani......nmepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni........kwake upate hupati nafasi mimi ndiye wake pumzi......." Naipenda tuu....nafeel kwa mishipa...mistari ya kweli""

  • @shabankapsaly1945
    @shabankapsaly1945 11 месяцев назад +1

    still listening in 6/3/2024..old is gold

  • @stellamuema639
    @stellamuema639 8 лет назад

    Napenda mavazi yao, sio kama siku hizi wanavaa vibaya.

  • @sheimaaabdallahsheimaaabda8200
    @sheimaaabdallahsheimaaabda8200 7 лет назад +222

    Nani bado anakubali hapa gonga like💋👌

  • @AsmasaidiTitu
    @AsmasaidiTitu 2 месяца назад

    Miaka hioooo viziwa vinameaaa

  • @fatumaosman3936
    @fatumaosman3936 8 лет назад +3

    Lol aisee nyimbo kweli 👍🏻👍🏻👍🏻

  • @golflima5392
    @golflima5392 5 лет назад +2

    Miss this type of Taarab 😭😭

  • @antheriusaudax5956
    @antheriusaudax5956 6 лет назад +1

    Aise hii imenikumbusha mbali big up artist

  • @abdallahhusseinmashombo152
    @abdallahhusseinmashombo152 3 года назад +1

    This reminds me 2005, on my wedding ceremony, a lot of good memories,,,, time flies,

  • @mariamsungi9620
    @mariamsungi9620 6 лет назад +3

    Hahaaa mwenzangu huna ujuzi kaja kwangu nimemtulizaa haaaaaaaa upo

  • @asnathasannhasannsalumshab327
    @asnathasannhasannsalumshab327 5 лет назад

    Hongera zimfikia huko aliko japo kafa ila daaa so p maneno kumtu hay kutoka kwa wajna wang mwanan hawa

  • @agnessndemela2879
    @agnessndemela2879 5 лет назад +32

    Happy new year 2020 niko naburudika najisong taaamu lisilochuja

  • @alexamuli8308
    @alexamuli8308 2 года назад

    Penda sana hii,nyakati hizo KBC ilikuwa moto pasi na Khadija Ali n.k

  • @nizammakokha9047
    @nizammakokha9047 6 лет назад +1

    I like Rhumba n Taarabu music so much.

  • @musakingson8137
    @musakingson8137 6 лет назад

    Hii imenikumbusha safari zangu za dar kahama! Hadi la raha

  • @anthonydaud5955
    @anthonydaud5955 Год назад +4

    Tuliokuja baada ya kumsikia @roma like za kutosha apa

  • @salaxxassan6352
    @salaxxassan6352 9 лет назад

    kwa kweli Ime ni pendeza....hongera

  • @douglasorangi9035
    @douglasorangi9035 5 лет назад +3

    kwako kapotea njia hehe ... November 2019 still as fresh as they come. This is real music

  • @danstanpanga7376
    @danstanpanga7376 6 лет назад

    Huu ndo muziki unaburudika huku unapigwa maneno unanyoooka daaaaaaah.....
    Kuna watu ni zawadi hapa duniani.

  • @zuhurabashora2296
    @zuhurabashora2296 2 года назад

    Naupenda saba

  • @catherinedonald9931
    @catherinedonald9931 2 года назад

    Hatari 💃💃♨️🔥🔥🔥nyie

  • @husnamustafa4783
    @husnamustafa4783 6 лет назад +2

    😍😍wako nisha mchukuwa

  • @meshackisavwa9497
    @meshackisavwa9497 4 года назад

    Naipenda taharabu,hongera

  • @IreneMuthoni-og5sq
    @IreneMuthoni-og5sq 6 месяцев назад

    Nipo hapa 2024 julai🔥🔥🔥

  • @khanniebaraka1515
    @khanniebaraka1515 3 года назад

    Niko hapa kukumbuka mama zangu walivo zitwanga kisa hii nyimbo tanga moja