Pamoja na kuwakumbuka wasanii hawa🙏, hongereni lakini pia muwakumbuke na wanaotekwa na kuuawa kila kukicha huko mtaani. muwakamate wasiojulikana haraka iwezekavo.😷
Jokate akili kubwa, Hongera sana Steve nyerere mwenyekiti, hongera sana Monalisa katibu, Hongereni sana pia watu wote mliohudhuria leader's club viwanjani hapo kuwaombea na kuwaenzi wenzetu waliotangulia mbele ya haki Amminna inshallah
Nàmpenda stivu Nyerere anajitoa na yapo anaptia matusi na kashifa lkn ajakata tamaha mungu hawabariki na hawaremu wariotanguria mwere za haki
Kweli kabisa anajitoa nawala hajari maneno ya watu
Kabisaa
Kila sehemu akitokea mmoja kujitoa lazima jambo lifike mbali na lazima akili UTATOLEWA na kuchukiwa
Amen Yarrabb
❤
Pamoja na kuwakumbuka wasanii hawa🙏, hongereni lakini pia muwakumbuke na wanaotekwa na kuuawa kila kukicha huko mtaani. muwakamate wasiojulikana haraka iwezekavo.😷
Innallah Wainnallah Rajiunni
Hongereni sana watanzania kwa umoja wenu nikiwa Kenya 🇰🇪 niko pamoja nanyi
😢😢😢😢njia ya kila mmoja muhm ni DUA.POLENI WANDGU MMEFANYAKITU KIZURI.INAWAZDISHIA UPENDO
Mama kanumba na wajukuu wake mungu aliye mpa
Hongera sana kaka styve nyerere
Mtoto kafanana na sajuki maashallaha
Steve Hana sauti ya mamlaka nakuona mbali sana bro❤❤
Mkumbuke kusali tu ndo kitu cha msingi basi
Kanuba tutakukumbuka milele😢😢😢pengo halizibiki kamwe
Mingi awajalie waliowakumbuka Marehemu wetu,Mungu atawakumbuka pia akhera
Mingi ni nani?
N@@kassimrajabu7805mungu
😂😂😂😂😂😂😂
Wastara anaongea vizuri sana
Saana
Joket anaongea sana yaani kama walee wageni rasmi wa kwenye mahafar hadi wanachosha😂😂😂
Jokate hongera ❤❤❤
Jokate akili kubwa, Hongera sana Steve nyerere mwenyekiti, hongera sana Monalisa katibu, Hongereni sana pia watu wote mliohudhuria leader's club viwanjani hapo kuwaombea na kuwaenzi wenzetu waliotangulia mbele ya haki Amminna inshallah
Jokate is good leader 🎉
Mungu awaepushe na adhabu ya kabri amin
❤🎉🎉
Mh.Jokate 🎉
❤
So sad sajuki daughter
Mama Kanumba❤
Vyoo je vimekarabatiwa
Mama kanumba
❤❤❤
❤❤