FURAHA KWA KIJIJI CHA SHANGA ISHAKANI KUPATA MSIKITI WA SUNNAH |LAMU VISIWANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024
  • #genz #rejectfinancebill2024 #alhaajartvkenya #mombasa
    SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE
    Instagram: Alhaajartvkenya
    Twitter: Alhaajartvkenya
    Facebook: Alhaajartvkenya
    RUclips: Alhaajartvkenya
    © Al Haajar TV Kenya 2024

Комментарии • 76

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 4 месяца назад +1

    Mashallah jazakallah khaira tuko pamoja kwakila hatuwa inshaallah

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 4 месяца назад +1

    Subhana Allah sheikh bachu uko vizuri Ma Shaa Allah

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 4 месяца назад +5

    Inshaallah tuwekeeni hio playbill ama till number ili tulifanye hili kwa ajili ya Allah na kutengeneza akhera yetu

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 4 месяца назад +1

    Masha allah tunaomba namba

  • @ibnuyussuf
    @ibnuyussuf 4 месяца назад +1

    Masha Allah mungu awape wanye wali toa ardi

  • @ALIHASSAN-dx7ie
    @ALIHASSAN-dx7ie 4 месяца назад +1

    Mash Allah

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 4 месяца назад +1

    MASHAA ALLAH kheri Inshaa ALLAH

  • @halimahussein6792
    @halimahussein6792 4 месяца назад +1

    Allah huwa pamoja na wale wenye kuwa katika njia sahihi, WEKENI NAMBA TUANZE KUWEKA SADAKA ZETU.

  • @aliboy3536
    @aliboy3536 4 месяца назад +3

    Tuekeeni namba ya mchango inshallah,nasi tujumuike,

  • @NuzlaBunu
    @NuzlaBunu 4 месяца назад +1

    Mashaallah

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 4 месяца назад +1

    Mashallah kheri

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 4 месяца назад +1

    Allahu Akbar

  • @aliathman7609
    @aliathman7609 4 месяца назад +1

    bismillah mashaallah.Allah Ajaalie kheri kwa nia zetu njema

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f 4 месяца назад +1

    MashaAllah

  • @MahmoudMohamed-yc6fr
    @MahmoudMohamed-yc6fr 4 месяца назад +1

    Masha Allah

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 4 месяца назад +2

    May Allah reward you brother, ilhali kuna wenye wanataka ummah kubaki ndani ya bid'a, ushirikiina na upotovu wa kila aina

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 4 месяца назад

      Wengi wa waislamu tuko ivoo SI watu wa bid'a tu hata badhi ya wengine ikiwa ww ni msalafi humruhusu mtu wa Twariqa atowee Wa'adh katika msikiti wa Salafi ndio tulivo na ndio Uislamu wa sikuizi

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 4 месяца назад

      @@muktarkassim6647 sasa mtu wa twariqa atatowa waadi muhadhara gani isipokuwa kupotosha watu na kuhimiza bid'a na ushirikina

  • @soffiscarlett9702
    @soffiscarlett9702 4 месяца назад

    IN SHA ALLAH
    muanze kwa salama na mukamilishe kwa salama kwa uwezo wake Allah.
    Neema Ndani ya Shanga Ishakani

  • @Captainome
    @Captainome 4 месяца назад +2

    Maa shaa Allah wameka darsa la lisiozidi 1hr tuna wajengea msikiti fully team AL HAJAAR TUPENI NUMBER TUTOE SWADAKA ZETU MSIKITI UANZE HATUNA MBAMBA SISI (SOMO TUPE NUMBER TUTUME )MBONA TUKO WENGI.

  • @saidjelani1566
    @saidjelani1566 4 месяца назад

    Mashaallah mwenye ezi mungu ajaaliye kila la kheri inshaallah

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 4 месяца назад

    MashaAllah Allah awabariki mashekhe wetu pamoja na aibariki Alhajar Tv inshaAllah

  • @ummunoor9561
    @ummunoor9561 4 месяца назад

    ALLAAH AKBAAR tutoe wapi mchango mpesa wapi please

  • @Mwanakidodi
    @Mwanakidodi 4 месяца назад +2

    Like father like son mashallah

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 4 месяца назад

      Bado hajamfikia babake alikuwa Na Hishma kubwa na akiwaheshimu wanavuoni

    • @Mwanakidodi
      @Mwanakidodi 4 месяца назад

      @@muktarkassim6647 kwa hiyo wewe inakuuma ukiwa maeneo gani

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 4 месяца назад

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @aboudbausi20
    @aboudbausi20 4 месяца назад +1

    Shanga Ishakani nawaombea Allah awape hikma musiwe wenye kufarikana kwa huu msikiti watatu unao jengwa kwa sababu ya kufukuzwa misikiti hio mengine

  • @Muislamu
    @Muislamu 4 месяца назад

    كم من مريد للخير لم يصبه ولم يدركه

  • @Biziman-pu4kf
    @Biziman-pu4kf 4 месяца назад +1

    Sauti ya babayake

  • @binismail8527
    @binismail8527 4 месяца назад

    Maa Shaa Allah

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu 4 месяца назад

    MashaAllah

  • @twalibsaid2614
    @twalibsaid2614 4 месяца назад

    Ukisha sema msikiti sunna huwa ni mfarikano tayari . Sema msikiti wa Allah tosho

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 4 месяца назад +2

      Mfarakano vipi akhy ,na tumeambiwa tushikamane katika sunnah,,mfarakano utatokea vipi yani?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      Hiyo Ni halali tuu kuna misikiti ya sunnah na misikiti ya Ahlu bidaa

    • @twalibsaid2614
      @twalibsaid2614 4 месяца назад

      Kile unacho kiona kwako ni bidaa kwa mwengine ni sunna shida ni kua kuna watu sunna ni ile anavyoelewa yeye na hata kama mtume hajufabya lakini nkao wake hufanya huwa ni sunna mfano . Mtume hakufanya mashindano akusoma Quran kisha kulipwa mshindi . Mtume hakufanya makongamano ya ijtimai . Mtume hakutukanana na watu mimbarini wala injection ya miskini . Mrume hakukufurisha mtu alipiga shahada . Mtume hakuswali swala tarawehe kwa jamaa . Mtume hakusoma kila siku juzu moja kila swa taawehe . Mtume

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 4 месяца назад

      @@AbdulIssa-o7e basi ikiwa ni hivyo kusema msikiti wa sunnah ndio itakuwa vizuri zaidi ,,kwasababu mfarakano wa sunna na bidaa huu hauna budi ,na wala haifai kuchanganyikana,,mfarakano uso faa ni baina watu wa suna kwa watu w sunna.

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 4 месяца назад

      Mfarikano huo unatokea wapi jamani haaaah mnashangaza sana

  • @ibnuyussuf
    @ibnuyussuf 4 месяца назад

    Watu wa qurafi wana diki na watu wa sunah

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад +1

    Huenda kukataa kwao allah kaweka kheri ndani yake na ukiangalia ni bora mjenge msikiti wa sunnah kuliko kutangamana na ahlu bidaa kwani kukaa kaaa na watu wa bidah mwisho utajikuta nawe unathiriwa na uzushi mwisho itakuletea marazi ya moyo nawe ukaingia kwenye bidaa ndomana ibn abbas amekataa mtu kujichanganya na watu wa bidaah ni kukaa mbali nao wenyew wametaka waendelee na mazushi yao kwenye huo msikiti awataki sunnah waacheni tujenge wetu wa sunnah

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 4 месяца назад

    Mimi siswali misikiti ya mawahabi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 4 месяца назад

      Sawa ,swali huko makaburini , mbaki na bidaa na shirk zenu hukohuko ,

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад +1

      Kwani umesikia si tunaka mijitu ya bidaa kwenye misikiti yetu ya sunnah msituletee uchafu katika man hajji yetu ya ahlsuna swali huko huko kwa washirikina wenzio kwenye misikiti yenye makaburi 😂😂😂😂

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 4 месяца назад

      Kwani nani alikushika mkono😂😂😂we si uswali huko twari kisogoni n swala inaendelea

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      @@soffiscarlett9702 kunawatu hawataki kusikia neno bidaah linatajwa katika misikiti yao ndomana waliwafukuza

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 4 месяца назад

      Kwani weye ni swahaba mijisufi hamna kitu kifuani.​@@ABUUJAAFAR92

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 4 месяца назад

    Msikiti Ni Msikiti. Sasa Msikiti Sunna Ndio Msikiti Gani. Sasa Hiyo Misikiti Mingine Itakuwa Niya Faradhi.

    • @AbdurahmanBishariza-p9h
      @AbdurahmanBishariza-p9h 4 месяца назад +1

      Ufahamu wako ndo umefahamu hivyo labda nikuulize ile msikiti inayoitwa masjdi kadiliya ,au masjidi shaziliya nayo vp?

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 4 месяца назад

      @@AbdurahmanBishariza-p9hNafahamu Yakuwa ufahamu Wako Nimkubwa. Nakuomba MOLA Upate Fahma Zaidi. Lakini Hakuna Msikiti Wa Sunna. Misikitini Inakuwa Namajina Mbalimbali Hiyo Ainashida. Ila Msikiti Huu Niwa Sunna Namingine Itakuwa Yafaradhi. Ndio Swali.

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 4 месяца назад

      Kwa kuwa hujui Ilmu huezi tofautisha miskiti .
      Inajengwa miskiti mingi na hamuongei ikijengwa ya Sunna ndio mnaongea .
      Nyi vp?
      C ata ipo ya shia
      Ipo ya wahindi
      Iyo yte n miskiti
      Madh'heb tofauti
      Na Sunna nayo wakijenga let's us do plz acha makasiriko n hasad

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 4 месяца назад

      @@soffiscarlett9702 Labda Ujajua Hasadi. Nazani Wewe Uliyekimbilia Kwenye Hasadi Ndio Shughuli Yako.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 4 месяца назад

      @@soffiscarlett9702 Hata Masjid Dhwirara Ulikuwa Msikiti Na Ulijengwa Nawatu Ka.a Nyinyi Wenye Elimu Kuuuuuuubwa. Usulubi Wamtu Mwenye Wala Hajivuni Wala Kujisifia Nakuwaona Wengine Elimu. Kinyume Chamtu Mwenye Kujtia Anayo Elimu Ndio Asiye Naelimu.

  • @Muislamu
    @Muislamu 4 месяца назад

    Shida yenu ni kua momekosa hekima na usluub .

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад +1

      Akuna usulubu watu hawataki dawa ya mtume sunnah wamesha athiriwa na bidaa Ni vzr tuu wajenge msikiti wao Mana kujichanganya na watu washari awataki hakki kunaleta marazi muda mwingine

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 4 месяца назад

      Hekima Gani hyo unayozungumzia ?
      Kujengwa msikiti ndio kukosa hekma?
      Au hyo yenu ndio hekma kutoa watu msikitini ?
      Msikiti nyumba ya mungu mnatoa wenzenu jamani alafu ndio mnaita hekma mnasema mna dini subhanallah mungu awaongoze nyte

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      @@soffiscarlett9702 kuna watu hawataki kusikia neno bidaa linatajwa katika misikiti yao ndomana wamewafukuza

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 4 месяца назад

    Wanao fukuza watu misikitini ni nyinyi mawahabi

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 4 месяца назад

      Punguza fitna na chuki zisizokua na msingi

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 месяца назад

      @@soffiscarlett9702 mwenye chuki ni ww na wenye fitna nyinyi mawahabi nyinyi ndio munafukuza watu misikitini na kuvamia misikiti ya wenyewe hata yy bachu kama sijakosea wallets fujo wao wao na kina mafuta hata iko clip wakitusiana sasa ww ndio mwenye chuki na mashekhe wako ndio wenye fitna chunguza na mutakuja jurassic siku yakiyama kuwafuata wapotoshaji

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      Nikweli sahihi sisi hatuja haja Sana kutangamana na watu wa bidaah katika misikiti yao Ni Jambo la kheri tuu limefanyika kujenga msikiti wa sunnah

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 месяца назад

      @@AbdulIssa-o7e huko ni kufarikiana bida hata maswahaba walifanya bidaa someni alafu kwa kufuata suna watu wa bidaa wafanya suna nyingi kuliko nyinyi mawahabi

  • @sheelali6558
    @sheelali6558 4 месяца назад +1

    Hakuna kheri nashari mana itakua haukujengwa kwa ajili ya allah ..na misikiti sampuli huuitwa masjid dhirara

    • @MbarakMohamed-mn5tr
      @MbarakMohamed-mn5tr 4 месяца назад

      Kabisa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад +1

      Nyi mtabaki kuchukia tuuh Allah anajalia dawa ya mtume inasonga mbele mtasema dhirara utabaki na dhirara yako sunnah inasonga mbele

    • @shariffomar8580
      @shariffomar8580 4 месяца назад

      Sheelali keti uchuwe😅😅

    • @AshrafBunu
      @AshrafBunu 4 месяца назад +1

      Mukataze watu wasiingie msikitini nawakitaka kujenga wao mwambia utakuwa simsikiti balaa hizi

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 4 месяца назад

      Msiongee msiyoyajua
      Acha iitwe dhirara acha iitwe makumbi acha iitwe matepe so long as inajengwa
      Watu mna roho mbaya ajabu . Je ? Unajua yaliyotokea paka kuja fikra ya kujengwa msikiti? Au unaongea tuh?
      Watu wanatolewa msikitini subhanallah alafu bdo wakitaka kujenga wao mnasema dhirara
      Allah awaongoze
      Awasafishe nyoyo zenu hizo zilojaa kutu
      Chuki zenu ekeni pembeni ikitokea watu wanatafuta kheri waacheni jamani

  • @AbasiSharifali
    @AbasiSharifali 4 месяца назад

    Shida nyny mawahabi daawa zenu nizafitna na zachuki ndio watu wanawakataa hamuna ikhlas kweny daawa zenu

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 4 месяца назад

      Una akili nyingine au n hii tuh ... Maskini

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад +1

      Kwani mi naona ni bora Hilo ijenwe masijid ya sunnah kuliko kuswali na watu wazishi huenda Allah kafanya hivyo kusudi Mana kukaa kaa na watu wa bidaah kunakupa marazi ya Moto utajikuta unaathirika na bidaa zao nawao wamekataa ili waendelee kufanya bidaa zao

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp 4 месяца назад

      😂😂 مت بغيظك