Al Haajar TV Kenya
Al Haajar TV Kenya
  • Видео 1 995
  • Просмотров 2 350 132
LENGO LA KUUMBWA MIMI NA WEWE || SHEIKH HAMZA MANSOUR ||
#alhaajartvkenya #mombasa #KenyaDa’awaTour2024 #tanzania #nairobi #2millionviews #LiveProgram #FridayKhutba #Breakingnews #islamicvideo #uganda #uk #tz #kishktv #sheikhNurdinKishki
SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE
Instagram: Alhaajartvkenya
Twitter: Alhaajartvkenya
Facebook: Alhaajartvkenya
RUclips: Alhaajartvkenya
Tiktok: Alhaajartvkenya
Website: www.alhaajar.tv
©️ Al Haajar TV Kenya 2024
Просмотров: 134

Видео

UKUMBUSHO WA ASUBUHI || MISINGI YA MUJTAMA KATIKA UISILAMU || SHEIKH MUHAMMAD BACHU || EP01
Просмотров 1,8 тыс.2 часа назад
🕰 Tittle: Ukumbusho Wa Asubuhi 📍 Venue: Masjid Yussuf Migadini, Mombasa 📡 Catch Our Programs LIVE on AlHaajar TV and across our social media platforms and Our Al Haajar Tv App 📲 Follow us for updates: 🌍 Website: www.alhaajar.tv 📺 RUclips | Instagram | Facebook | TikTok | X (Twitter): @AlHaajarTvKenya 🔄 Spread the word and invite others to benefit from this insightful session! ©️Al Haajar TV Ken...
MARUDIO ||AFYA NA JAMII || PREPARING FOR AND COPING WITH OUTBREAKS OF INFECTIOUS DISEASES
Просмотров 364 часа назад
#alhaajartvkenya #mombasa #KenyaDa’awaTour2024 #tanzania #nairobi #2millionviews #LiveProgram #Live #islamicvideo AlhaajarCreation #UchambuziWaSport #CaptainAllui #Sports #AlhaajarViwanjani #MCFA SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE Instagram: Alhaajartvkenya Twitter: Alhaajartvkenya Facebook: Alhaajartvkenya RUclips: Alhaajartvkenya Tiktok: Alhaajartvkenya Website: www.alhaajar.tv ©️ Al Haajar TV Kenya ...
UFAHAMU MWEZI ULIO SAHAULIWA NA WAISLAMU WENGI
Просмотров 3134 часа назад
#alhaajartvkenya #mombasa #KenyaDa’awaTour2024 #tanzania #nairobi #2millionviews #LiveProgram #Live #islamicvideo AlhaajarCreation #UchambuziWaSport #CaptainAllui #Sports #AlhaajarViwanjani #MCFA SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE Instagram: Alhaajartvkenya Twitter: Alhaajartvkenya Facebook: Alhaajartvkenya RUclips: Alhaajartvkenya Tiktok: Alhaajartvkenya Website: www.alhaajar.tv ©️ Al Haajar TV Kenya ...
QUR'AN NI KITABU CHA HAKI || SHEIKH HASSAN AHMAD ||
Просмотров 1254 часа назад
#alhaajartvkenya #mombasa #KenyaDa’awaTour2024 #tanzania #nairobi #2millionviews #LiveProgram #Live #islamicvideo #Hafla #AlhaajarCreation #ZiaraZaKidaawa #sheikhnurdinkishki #AlhaajarUmraTrip #tanzania #zanzibar #duet SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE Instagram: Alhaajartvkenya Twitter: Alhaajartvkenya Facebook: Alhaajartvkenya RUclips: Alhaajartvkenya Tiktok: Alhaajartvkenya Website: www.alhaajar.tv...
JE UNACHO CHOMBO HICHI || SHEIKH ALI BAHERO ||
Просмотров 2037 часов назад
#alhaajartvkenya #mombasa #KenyaDa’awaTour2024 #tanzania #nairobi #2millionviews #LiveProgram #Live #islamicvideo AlhaajarCreation #UchambuziWaSport #CaptainAllui #Sports #AlhaajarViwanjani #MCFA SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE Instagram: Alhaajartvkenya Twitter: Alhaajartvkenya Facebook: Alhaajartvkenya RUclips: Alhaajartvkenya Tiktok: Alhaajartvkenya Website: www.alhaajar.tv ©️ Al Haajar TV Kenya ...
JE! VIUNGO VYAKO WAVITOLEA SADAKA? || MASJID VETENARI TEMEKE- TANZANIA || SHEIKH NURDEEN KISHKI
Просмотров 2739 часов назад
JE! VIUNGO VYAKO WAVITOLEA SADAKA? || MASJID VETENARI TEMEKE- TANZANIA || SHEIKH NURDEEN KISHKI
IKUNYANYUE AU IKUBWAGEE !!! EP 01
Просмотров 41012 часов назад
IKUNYANYUE AU IKUBWAGEE !!! EP 01
SHEIKH MUHAMMAD BACHU ANAWAALIKA WANA MOMBASA KWENYE MARHABAN YA RAMADHAN || AFRAAH HALL 22 FEB 2025
Просмотров 3,9 тыс.12 часов назад
SHEIKH MUHAMMAD BACHU ANAWAALIKA WANA MOMBASA KWENYE MARHABAN YA RAMADHAN || AFRAAH HALL 22 FEB 2025
ADHABU YA MZINIFU SIKU YA QIYAMA || SHEIKH SAAD AHMAD || MASJID JAMIA KISUMU,KENYA
Просмотров 27612 часов назад
ADHABU YA MZINIFU SIKU YA QIYAMA || SHEIKH SAAD AHMAD || MASJID JAMIA KISUMU,KENYA
BANDARI FC WAPATA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA NAIROBI CITY STARS
Просмотров 20314 часов назад
BANDARI FC WAPATA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA NAIROBI CITY STARS
MAKALA MAALUM YA SAFARI YA ELIMU YA SHEIKH MUSTAFA MAHMOUD || MAJLIS MAARIF' KIKAMBALA
Просмотров 2,3 тыс.14 часов назад
MAKALA MAALUM YA SAFARI YA ELIMU YA SHEIKH MUSTAFA MAHMOUD || MAJLIS MAARIF' KIKAMBALA
HYPERSEXUAL DISORDER AMONG YOUTHS || SHEIKH ASSIM AL HAKEEM || WATERFRONT BANQUET HALL
Просмотров 8814 часов назад
HYPERSEXUAL DISORDER AMONG YOUTHS || SHEIKH ASSIM AL HAKEEM || WATERFRONT BANQUET HALL
UTUKUFU WA NABII MUSA KUTOKA KWA ALLAH || SHEIKH HASSAN AHMAD || MASJID JAMIA KAKAMEGA
Просмотров 25416 часов назад
UTUKUFU WA NABII MUSA KUTOKA KWA ALLAH || SHEIKH HASSAN AHMAD || MASJID JAMIA KAKAMEGA
MUONGOZO KWA WATAHINIWA WAKIJIUNGA NA VYUO VIKUU || TONONKA SOCIAL HALL
Просмотров 25319 часов назад
MUONGOZO KWA WATAHINIWA WAKIJIUNGA NA VYUO VIKUU || TONONKA SOCIAL HALL
THE GLORY OF THE HOLY QUR’AN || SHEIKH ABDULRAHMAN IS-HAQ
Просмотров 17419 часов назад
THE GLORY OF THE HOLY QUR’AN || SHEIKH ABDULRAHMAN IS-HAQ
MARHABAN YA RAMADHAN || VIPI TUTAUPOKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN || AFRAAH HALL MOMBASA , KENYA
Просмотров 94621 час назад
MARHABAN YA RAMADHAN || VIPI TUTAUPOKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN || AFRAAH HALL MOMBASA , KENYA
UKUMBUSHO WA ASUBUHI || UMUHIMU WA IBADAH || SHEIKH AHMAD LALI ||
Просмотров 39321 час назад
UKUMBUSHO WA ASUBUHI || UMUHIMU WA IBADAH || SHEIKH AHMAD LALI ||
WAZEE WAMKINGIA KIFUA NOORDIN HAJI
Просмотров 2,5 тыс.День назад
WAZEE WAMKINGIA KIFUA NOORDIN HAJI
MEET SHEIKH MUSTAFA MAHMOUD (EDUCATION BACKGROUND) || BANDARI AMPHITHEATER MOMBASA, KENYA
Просмотров 272День назад
MEET SHEIKH MUSTAFA MAHMOUD (EDUCATION BACKGROUND) || BANDARI AMPHITHEATER MOMBASA, KENYA
JE UNAJUA KUCHELEWESHA MIRATHI INACHANGIA FAMILIA KUWA KWENYE MIGOGORO! || SHEIKH NURDEEN KISHKI ||
Просмотров 383День назад
JE UNAJUA KUCHELEWESHA MIRATHI INACHANGIA FAMILIA KUWA KWENYE MIGOGORO! || SHEIKH NURDEEN KISHKI ||
TUHUMA ZA UONGO KWENYE MAHAKAMA YA KADHI
Просмотров 2,7 тыс.День назад
TUHUMA ZA UONGO KWENYE MAHAKAMA YA KADHI
MFAHAMU MTU ASIYEFAA KURITHI || SHEIKH NURDEEN KISHKI ||
Просмотров 288День назад
MFAHAMU MTU ASIYEFAA KURITHI || SHEIKH NURDEEN KISHKI ||
POLISI WAMTIA MBARONI MFANYIBIASHARA WA BODABODA LIKONI SIMU ZAIDI YA SITINI ZILIPATIKA KWENYE MSAKO
Просмотров 587День назад
POLISI WAMTIA MBARONI MFANYIBIASHARA WA BODABODA LIKONI SIMU ZAIDI YA SITINI ZILIPATIKA KWENYE MSAKO
YAJAYO YANAFURAHISHA AL HAAJAR TV IKITAMATISHA ZIARA TANZANIA
Просмотров 519День назад
YAJAYO YANAFURAHISHA AL HAAJAR TV IKITAMATISHA ZIARA TANZANIA
KHUTBA YA IJUMA || JE! UNAIJUA NJIA YA KUMCHA ALLAH? || SHEIKH JAMALUDIN OSMAN || MASJID JAMIA KISII
Просмотров 59914 дней назад
KHUTBA YA IJUMA || JE! UNAIJUA NJIA YA KUMCHA ALLAH? || SHEIKH JAMALUDIN OSMAN || MASJID JAMIA KISII
AL HAAJAR TV YAMFANYIA SURPRISE SHEIKH NURDEEN KISHKI
Просмотров 2,6 тыс.14 дней назад
AL HAAJAR TV YAMFANYIA SURPRISE SHEIKH NURDEEN KISHKI
MAONI YA KHUTBAH YA IJUMAA KUTOKA KWA WAUMINI WA MASJID AMBIYAA TEMEKE TANZANIA
Просмотров 27014 дней назад
MAONI YA KHUTBAH YA IJUMAA KUTOKA KWA WAUMINI WA MASJID AMBIYAA TEMEKE TANZANIA
NEEMA YA ALLAH KWA MITUME NA WAJA WAKE
Просмотров 23714 дней назад
NEEMA YA ALLAH KWA MITUME NA WAJA WAKE
AL - HAAJAR TV YAWASILI TANZANIA.
Просмотров 48914 дней назад
AL - HAAJAR TV YAWASILI TANZANIA.

Комментарии

  • @mohmoudmohamed7202
    @mohmoudmohamed7202 18 часов назад

    Masha Allah Alhaajar tv Mungu awahifadhi Mawapenda sana

  • @Juleybibsalim
    @Juleybibsalim 19 часов назад

    Maashallah sheikh hamza mansour

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 20 часов назад

    Shukran jazallah kwaukumbusho ,,, sheikh ,,,,

  • @ahmedsheikh-gv5ep
    @ahmedsheikh-gv5ep 20 часов назад

    Team alhaajar t.v twawapongeza kwa kuzidi kutuilimisha

  • @AbdizoHassan-z4d
    @AbdizoHassan-z4d День назад

    Acha kulia

  • @AbdizoHassan-z4d
    @AbdizoHassan-z4d День назад

    Miskit ume kuwa ya masalafi

  • @adnanestropa7092
    @adnanestropa7092 День назад

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad День назад

    Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi. jazakallahu khairan

  • @AkidaSimba
    @AkidaSimba День назад

    Acha ujinga uwoo kwani kosa kutovua kofia usiwe na chuki na sheikh bachu jibuni hoja kielimu na kivitabu ndio muhimu mbona hujaji havai kofia wala kilemba je hukosea????

  • @qassimsothe7808
    @qassimsothe7808 День назад

    Ajib❤

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 День назад

    Masha Allah jazaka Allah Khairan bachu... Allah akuifadh 🤲

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 День назад

    Kwa hio ww kwenye darsa yake wangalia mapungufu ya kusuto vaa kufia ....wala uangalii anacho kisema ...wacha hasad zako ...mbona usimwambie kwa hekma bachu leo kofia iko wapi huwa unapendeza Masha Allah.... unaongea maneno machafu eti ni aibu ....wacha hasad ww ni mwislm tumia kauli nzuri

    • @abubakaridris6186
      @abubakaridris6186 День назад

      Hakuna cha hikma kwa yule anae aibisha dini ya Allah ilio kamilika si kua hajui anajua analo lifanya nikosa hii ni kui aibisha dini

    • @abdullatifmnyamis372
      @abdullatifmnyamis372 День назад

      Akili Yako ndogo​@@abubakaridris6186

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y День назад

    ABUUMUAWWIYA...😢😢😢😢..Allah amrehem na aturehem soote muuminina walmuuninaat...aamin 😮😮😮

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y День назад

    daah..alhajar TV wanapiga naasheed..mtihani huu😮😮😮😮😢😢😢

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 День назад

    Sikatika murua akhi kukaa kichwa wazi kwenye Qibla cha‍ Allah sehemu tukufu ya msikiti mtume hajawahi kionekaniwa msikitini atoa kalima kichwa wazi

    • @AbdulOmar-j5j
      @AbdulOmar-j5j День назад

      Nn kasema andiko kwa Quran? wwe acha acha

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y День назад

      hakuzaliwa na kofia.... punguza ujaahil... lazima Bachu tumuone yeye kama yeye..amestirika vizuri tuu..huyo hapo ndie Bachu wengine endeleeni kujificha... jificheni tu... Bachu anaongea.. sura inaongea.. na mwili unaongea na sisi tunaona kheer inshaallah tuwaidhike😢😢😢

  • @abumuadmahatmohamed
    @abumuadmahatmohamed День назад

    Leo unatoa darsa kichwa wazi kesho utavua kanzu uvae shati na suruali kama jamaa wa kuuza kashata na labania

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk День назад

      Kwanibkuna ulazima wa kuvaa kofia? Mbona nyinyi hii dini munaifanya ngumu.

    • @AhmedMohamed-mw3ev
      @AhmedMohamed-mw3ev День назад

      Kwani kuvaa kofia ni lazima wacha choyo ww ni muslim tuwacheni ujinga muhimu ni kupata elimu tuu kuvaa kanzu au kutovaa kofia au kuvaa shati haijalishi muhimu elimu tuu wacha fitna za kimakundi kama humuelewi achana nae tuu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x День назад

      ​@@Najma_Mbaruk sio lazima lakin ni bora kwa mtu kama yeye! Kuna watu nyuma yake...!!!

    • @aminabdalla7824
      @aminabdalla7824 День назад

      Asalm alykum katka maisha yako isiwe mtu mwenye hasad kwenye nafsi yako ...ukajiona ww ndio mbora zaidi kuliko mwengine.... Allah akusamee na kauli zako chafu....

    • @aminabdalla7824
      @aminabdalla7824 День назад

      ​@AhmedMohamed-mw3ev watu wengine wapo tu Kwa majina ya kislam ...ila Imani hakuna Wala hekma ya kuzungumza hawana

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 День назад

    جزاكم الله خير وجعله في ميزان حسناتكم

  • @hassankiloba217
    @hassankiloba217 День назад

    Acha usalafi bachu usome kabisa upo vizuri

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 День назад

      Unajua maana ya usalafi au ume comment TU 😂

    • @MR_GROUZER
      @MR_GROUZER День назад

      ndugu yangu usalafi nduo uliomfanya mpk ww ukamsifu saiv

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y День назад

      usalafi ni uvundo.. huyo ni wahabi... uvundo sio wake... Bachu anajielewa.. masalafi walimsusa ABUUMUAWWIYA mpaka umauti wake wakafurahia... kitendo kilichomkera saana Sheikh Bachu....

  • @YassirMapoch
    @YassirMapoch День назад

    Assalam alaykum warahmatullah, shekh huwa unamawaidha mazuri sanaa na zinaisha bandle zangu kwa kuangalia clip zako. Pia unapendeza sana unapovaa kofia.

  • @hassankiloba217
    @hassankiloba217 День назад

    Lewo umeongeya poyiti kabisa ukienda leya ivi utakuwa rafikiyangu kabisa

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 День назад

      Kwani yeye anataka urafiki na wewe 😂😂😂mbna unajipa umuhimu kwenye maisha ya watu

  • @YussufAbdirizak-zd3fu
    @YussufAbdirizak-zd3fu День назад

    ❤❤

  • @mohmoudmohamed7202
    @mohmoudmohamed7202 День назад

    Masha Allah

  • @abubakaridris6186
    @abubakaridris6186 День назад

    Ni aibu kuhuburi bila kofia kofia ni sunnah kubwa

    • @abuunabil1090
      @abuunabil1090 День назад

      Kwa dalili gan

    • @khamismaggy6484
      @khamismaggy6484 День назад

      Umefilisika kimawazo. Badala ya akili yako kushughulishwa na mawaidha mazito ya kifo wewe umeshupalia kofia. Allah akuongoze.

    • @swalehmohamed4849
      @swalehmohamed4849 День назад

      Kwa dalili mtume hajawahi kuswali kichwa wazi mskitini hata hadithi maudhuu hakuna ila hajj na umra nahiyo ni ibada maaluum

    • @swalehmohamed4849
      @swalehmohamed4849 День назад

      Albani asema kukaa kichwa wazi ni mwendo wa kiyahudi na kinaswara hata kitembea kwake Rasuul hakuonekana kichwa wazi

    • @abubakaridris6186
      @abubakaridris6186 День назад

      Kasome utaona tu dalili ​@@abuunabil1090

  • @Hatim-k2p
    @Hatim-k2p День назад

    Maashaallah

  • @abuuruqayyah3200
    @abuuruqayyah3200 2 дня назад

    Mashaallah

  • @mohmoudmohamed7202
    @mohmoudmohamed7202 2 дня назад

    Masha Allah

  • @tariksalim2659
    @tariksalim2659 2 дня назад

    Huyo jamaa min 1:19 tunaomba record za qirat yake, anaitwa Abu hureyra,Zamani alikuwa mskiti wa liwatoni

  • @SudiMohammed-i7j
    @SudiMohammed-i7j 2 дня назад

    Mash Allah

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 2 дня назад

    MAASHAA ALLAH shukran jazakallakum kheir sheikh

  • @HusseinASalimu
    @HusseinASalimu 2 дня назад

    Mashaallah

  • @mohmoudmohamed7202
    @mohmoudmohamed7202 2 дня назад

    KHUTBA SAFII

  • @mohmoudmohamed7202
    @mohmoudmohamed7202 2 дня назад

    Masha Allah

  • @mubariekabrahams2650
    @mubariekabrahams2650 2 дня назад

    Assalam aleykum warahma tullahi wabarakatu. Allahu Baarik.

  • @Qaseem10
    @Qaseem10 2 дня назад

    Masha allah

  • @rageosman1726
    @rageosman1726 2 дня назад

    Masha Allah

  • @BaharedinMohammed
    @BaharedinMohammed 3 дня назад

    As wr wb brother in Mombasa which madarasa is the best hifzul Quran and another Education you have tall me? And please give me number of Madara?

  • @AbdulhalimMohamed-o8x
    @AbdulhalimMohamed-o8x 3 дня назад

    ALLAH AWABARIK ❤

  • @Kakah14
    @Kakah14 3 дня назад

    برك الله فيك ،شيخ علي

  • @WakatiShibu
    @WakatiShibu 3 дня назад

    Mashallah Allah awahifadhi muzidi kutuelimisha

  • @mariamebrahim3925
    @mariamebrahim3925 3 дня назад

    Penye kheri hapakosi fitna.... Allahu musta'an

  • @darajanida
    @darajanida 4 дня назад

    vipi sio bidaa hiyo mawahabi munatabu sana

  • @Ibrahim-se4mx
    @Ibrahim-se4mx 4 дня назад

    Hii ni eating show? tour show? ama ni kuhusu elimu? Mashekhe kweli kama mnaelimu msomeseshe watu wapate faida sio kutaka kuonekana mumo mumo..si awadhali tungeoneshwa tu ni curriculum gani inayotumika au hata vitabu vile shehe amesoma.

  • @abdillahsaid5025
    @abdillahsaid5025 4 дня назад

    Allah Amlipe Kila la Kheir Hapa Duniani na Kesho Akhira mwenye Al Hajar Tv kwa bidii yake katika Dini ya Allah.

  • @MansarleydaudMansarley
    @MansarleydaudMansarley 5 дней назад

    Ww Acha bidaa

  • @mhrmahir3756
    @mhrmahir3756 5 дней назад

    kongamano la kihizbi litaendeshwa kihizb hizbi

    • @majaliwaking4500
      @majaliwaking4500 4 дня назад

      Sawa we malaika

    • @zaynababdullah3061
      @zaynababdullah3061 4 дня назад

      SubhannAllah mtihani kuna watu naona wabashiwa peponi kabisa 😢

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 4 дня назад

      ivi nyinyi mbona mnajifanya hamuelew kwan pametajwa mtu kuingia pepon na moton apo hem paten mda jpo kidog muutumie kuisoma dini sio kuskiza watu mkaridhika tu bas hendi ulizwa shekh mambo yako utaulizwa mwenyew ktk din ya uislam bada ya maulamaa hakuna kumueka mt kuliongoz na huyo meanachuon bas akikosea hutakiw kumfata lakin yeye ana ujira pia akikosea je mim nawew tusotaka soma kila jambo twaliona jipya

  • @mhrmahir3756
    @mhrmahir3756 5 дней назад

    hahh mahizbi yan bora saengine ucheke tu vituko vyao mudhab dhab kwa kwel lakin ndo mahib tena

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 5 дней назад

    MashaAllah❤

  • @سليمانجمعةمسعود
    @سليمانجمعةمسعود 5 дней назад

    "إن الله يرفع بهذا الكتاب أقواماً ويضع به آخرين". القرآن

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 5 дней назад

    MAASHAA ALLAH ,,,, INSHAA ALLAH

  • @Juleybibsalim
    @Juleybibsalim 5 дней назад

    Maashallah al haajar,,,,hii kauli mbiu ya mashindano ya Qur'an kutoka al hikma foundation❤❤❤