Napanda sana mahubili yako nimahubili ambayo ni adimu sana kwanyakati hizi za leo za mafuta na chuvi. Mungu akuinue viwango vya juu sana barikiwa mchungaji.
Injili yako, nyimbo zako hua nataman kuzisikia bila kuchoka, mtumishi wa Mungu, uinuliwe na Bwana aliekuweka kwa kusudi lake umtumikie hata atakapokuja kukufutaa machoz unayolia kwa sasa
Rest in peace baba love u from Zambia
Nakumbuka kwa mwanajeshi, Nyati aliejeruhiwa mwituni na wawindaji haramu, mwenye nywele za kipilipili, Yehu wa Tz
Napanda sana mahubili yako nimahubili ambayo ni adimu sana kwanyakati hizi za leo za mafuta na chuvi. Mungu akuinue viwango vya juu sana barikiwa mchungaji.
Ubarikiwe mtoto wa mungu nausikose kusubscribe kwa mtumishii wakoo ameen
Injili yako, nyimbo zako hua nataman kuzisikia bila kuchoka, mtumishi wa Mungu, uinuliwe na Bwana aliekuweka kwa kusudi lake umtumikie hata atakapokuja kukufutaa machoz unayolia kwa sasa
Asante mungu awe nawe
Ubarikiwe mtoto wa mungu nausikose kusubscribe kwa mtumishii wakoo ameen
@@jesuscelebrationcentrekana874 mungu awabariki
Hakuna mwimbaji anaye imba Nyimbo zenye ujumbe zisizo kuwa Na expaid kama.za PST.Mwansasu tunakukubal mtumish wa mungu
Mungu azidi kukuinua ubarikiwe
Barikiwa mtumish
Ubarikiwe na uwe na upendo na rehema amen
Hakika mungu akuinuwe
Akuinuwee pia
Safi barikiwa pastor, niwimbomzuri naupendasana
Ubarikiwe nawe pia uongezewee
Ubarikiwe sana baba yangu kupitia wewe namuona Mungu akitenda
Atatenda leo kesho na hata milele mubarikiwee
Ninani atakaye tuinua kihuduma
Rest in peace baba
Rest in peace mtumishi
Well done
Karibu kaka subscribe na u comment mungu atakubarikii
Hakika Ephraim mwansasu hato tokea kama wewe!