Kama una HERUFI M KIGANJANI mwako fanya Haya ufungue milango ya MAFANIKIO maishani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 10 тыс.

  • @Ali_Ngabwe
    @Ali_Ngabwe 10 месяцев назад +33

    Mim Nina M mikono yot miwili so M wenzangu ebu tiya like apo

    • @joesplatnumz
      @joesplatnumz 9 месяцев назад +1

      Tuko pamoja

    • @elizabethmusyoki4229
      @elizabethmusyoki4229 8 месяцев назад +1

      Mimi nitakuwa na pesa nyingi za kulipia watoto wangu karo kuvalisha na kuwalisha sitakuwa wa kukopa mbali wa kukopwa,nitakuwa wa kusaidia bali siwakusaidiwa,nitakuwa Tajikistan mkubwa wa kusaidia watu wa Mungu.

    • @elizabethmusyoki4229
      @elizabethmusyoki4229 8 месяцев назад +1

      Mimi nitakuwa na pesa nyingi za kulipia watoto wangu karo kuvalisha na kuwalisha sitakuwa wa kukopa mbali wa kukopwa,nitakuwa wa kusaidia bali siwakusaidiwa,nitakuwa Tajikistan mkubwa wa kusaidia watu wa Mungu.

    • @Devidmolelilobulu
      @Devidmolelilobulu 6 месяцев назад

      Mimi nimushidi🙏

    • @Devidmolelilobulu
      @Devidmolelilobulu 6 месяцев назад

      ​@@joesplatnumztuko pamoja

  • @leahkhatoroinjenikhatoroin6151
    @leahkhatoroinjenikhatoroin6151 11 месяцев назад +5

    Amen waiting for this miracle soon

  • @JumanneAthumani-lq7go
    @JumanneAthumani-lq7go 11 месяцев назад +6

    Mm ni mshindi hapa duniani na nitakuwa tajiri hapa duniani!!!!

  • @JosephMbugua-r5g
    @JosephMbugua-r5g 2 месяца назад +1

    Mm ni tajiri katika maishani mwangu, katika Jina na YESU KRITO AMEN.

  • @JaneMagoma-k6z
    @JaneMagoma-k6z Год назад +14

    Mimi ni mshindi hapa duniani kwa damu ya yesu

  • @FauziaMuhumedAbdi
    @FauziaMuhumedAbdi Год назад +5

    Mimi ni mshindi hapa duniani tena Mimi ni tajiri mkubwa sana

  • @stellamakasi5935
    @stellamakasi5935 11 месяцев назад +6

    Naomba niwe mahindi kweli hapa duniani nimiliki hela nyingi na biashara zifanikiwe

  • @MariaSamson-g9k
    @MariaSamson-g9k 2 месяца назад +1

    Mimi samson samwel kihiri,ni mshindi katika maisha yangu ,utajili mali na fedha vitakuwa katika himalayas yangu na vitanifuata muda wote na mahari popote ntakapo kuwepo,katika jina la yesu na mafanikio makubwa ya kiroho,kiuchumi na kifedha yatanikimbilia iwe ni kupitia kazi ,tasisi,mtu au watu lazima niwe bilinea au millionea, kwa jina la yesu,na kila mahara ntakapo kuwepo nota yangu itang'aa na watu wataandamana na kuleta utajili wa mataifa mikoni mwangu kuanzia sasa,katika jina la Yesu Amina.

  • @EdinaTiyahirwa
    @EdinaTiyahirwa 11 месяцев назад +8

    Mimi ni mshindi hapa duniani

    • @WitnessJjk
      @WitnessJjk 4 месяца назад

      mbona sina kitu nanimevuka umri huo wamafanikio kupitia alama hiyo

    • @WitnessJjk
      @WitnessJjk 4 месяца назад

      nipo tayari kupokea utajiri kwanguvu yamungu nanguvi zaasili nanguvu zaulimwengu

    • @MauTalhata
      @MauTalhata 3 месяца назад

      Mimi ni mshindi hapa ktk maisha yangu hapa duniani

    • @MauTalhata
      @MauTalhata 3 месяца назад

      Inshaaala

  • @ALHAJIOMARI-e3b
    @ALHAJIOMARI-e3b 5 месяцев назад +4

    Mimi Ni mshindi,Mimi Ni tajiri,ninamiliki pesa nyingi,,ninaaminiwa na watu wengi,ninasaidia watu wenye uhitaji na wenye shida.Nina mafanikio makubwa sana

  • @TheNash-rq4dt
    @TheNash-rq4dt Год назад +5

    Mim ni mshinmdi hapa dunian na nitamiliki utajir

    • @agromusombo1100
      @agromusombo1100 Месяц назад

      Mimi ni mchindi hapa duniani

    • @agromusombo1100
      @agromusombo1100 Месяц назад

      Niko tayari kupata mabadiliko ndani ya maisha yangu

    • @agromusombo1100
      @agromusombo1100 Месяц назад

      Nilitaka baada yakuhosha mikono ndani ya saani maji Yale utahimwaga ije ao utahifanya je maji iliyokua ndani ya glass ambao umenawisha mikono ndani ya saani

  • @MaryMunyoki-yi4ne
    @MaryMunyoki-yi4ne 21 день назад +2

    Ok asanti mm n mushindi amen

  • @erickhussein5960
    @erickhussein5960 10 месяцев назад +6

    Mbona hata mm nna heluf M mikono yote

    • @sheilatito7669
      @sheilatito7669 5 месяцев назад

      Mimi nnam mikonoyote nasinapesa sina hatanyumba

  • @DankenSimon
    @DankenSimon 2 месяца назад +1

    Mimi ni mshindi mno katika Dunia hii na ni tajiri katika Nguvu za kiroho na umiriki wa kifedha mkubwa Amen

  • @JacklineKaunda-r5j
    @JacklineKaunda-r5j 2 месяца назад +2

    Niko tayari kupokea mabandilko maishani mwangu😊

  • @MbaiTimothyMbaiNdema
    @MbaiTimothyMbaiNdema 2 дня назад +1

    Nipo tayari kupokes mazingira mazuri katika maisha yangu

  • @charlesndege5289
    @charlesndege5289 6 дней назад

    Asante sana kwa somo zuri kwa sisi tulio na herufi M mimi nina herufi M mikono yote miwili sasa nitafuata ushauri wako kuanzia sasa maana naona nyota yangu ilifungwa ila sasa najiona mshindi hapa duniani kuanzia sasa mimi ni tajiri na kuwa na mafanikio

  • @gabbyedward4079
    @gabbyedward4079 2 месяца назад +1

    Nipo tayari kupokea Mabadiliko Makubwa Kwenye Maisha Wangu. Amen 🙏 in Jesus name

  • @MalcomLyatuu
    @MalcomLyatuu 2 месяца назад +1

    Mimi ni mshindi na tajiri mkubwa duniani naamini katika nguvu za universe kupitia jina la Yesu

  • @SubiraSubiramusitapha
    @SubiraSubiramusitapha 27 дней назад +1

    Mimi ni mshindi hapa duniani kote ndani yanchiyangu na nje yanchiyangu Asante mwenyezimungu kwakunipa ushindi huu Na nazidi kupokea zaidi ushindi

  • @zainabunzirubusa392
    @zainabunzirubusa392 Месяц назад +2

    Asante kwawushawuru miminirikuwasijajuwa kamasi erufiyame rakini ivinawonakama nitafanyikiwa asantesana kwawushawuri asante

  • @MariaSalimu-t1l
    @MariaSalimu-t1l День назад +1

    Mm ni mshindi Hapa Duniani

  • @palukumuhindodieudonne6210
    @palukumuhindodieudonne6210 2 месяца назад

    Nipo tayari kupokeya mabadiliko kamili katika maisha yangu,nikiamini,kweli-kweli,katika Nguvu ya Universe❤

  • @HalishLuush
    @HalishLuush Месяц назад

    Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa maishani mwangu,Asante na ubarikiwe.

  • @CHRISTINENDUNGE-l1g
    @CHRISTINENDUNGE-l1g 2 месяца назад +1

    Nko tayari kupokea mambo mazuri katika jina la yesu kristo

  • @LilianOwiti-m6h
    @LilianOwiti-m6h 23 дня назад

    Sijawai pokea mafundisho kama haya, you are speaking my life my sister

  • @ManyesoUmzungu
    @ManyesoUmzungu 3 дня назад

    Mimi nimshindi hapa duniani ambaye sitapungukiwa na mahitaji yoyote ya kidunia kwa uwezo wa mfalume baba mumbaji wa vitu vyote duniani AMEN

  • @Mercy-o1l
    @Mercy-o1l 2 месяца назад +1

    Niko tayari kupokea mafanikio yangu ,,,,, katika jina layesu ,,,, mm nitajiri mmni mtubwa nguvu ,, mm ni mwenye kibali popote pale nitakaa

  • @mohammedyusuph9645
    @mohammedyusuph9645 2 месяца назад +1

    Mimi nimshindi hapa duniani maana nimetimiza vigezo vyote🎉

  • @NishedmerMerfy-t9o
    @NishedmerMerfy-t9o Месяц назад +1

    Insh'allah nipo tayari kupokea maisha Mapya yenye mafanikio

  • @RozinaBajuta
    @RozinaBajuta 2 месяца назад +2

    Mimi. Ninapokea kibali kwa mume wangu kwa watoto wangu na kwa jamii nzima iliyonizunguka haitakuwa hivyo ktk jina la yesu. AMINA

  • @SwalehKithacha
    @SwalehKithacha Месяц назад +2

    Mimi nimshindi ntakuwa tajiri wamilele nijenge mahekale namiskiti yakuabudia nisadie mayatima namaskini nikuwe nabudu mungu nihiji mecca inshaallah

  • @SajjarBwoy
    @SajjarBwoy 2 дня назад

    Niliyanasri haya kutoka Kwa mamangu haya maneno nikiwa mdogo ❤❤ Asanti Kwa usimlinzi wako,,,

  • @ShabanAlly-h5f
    @ShabanAlly-h5f Месяц назад

    Mimi ni mshindi mimi ni tajiri napokea neema na nguvu ya pesa nyingi katika sikuzote za maisha yangu kuanzia sasa amen

  • @George-h4k
    @George-h4k 2 месяца назад

    Niko tayari kupata mujiuza wa pesa millions ❤❤

  • @ProtasMsuya
    @ProtasMsuya Месяц назад

    Nipo tayari kupokea mabadiliko mazuri KATKA maisha yangu. Mungu nibariki

  • @enockjacob7692
    @enockjacob7692 2 месяца назад

    ❤❤mungu akulinde maisha yako yote ❤❤nimeelewa masomo yako mm nitajiri siyo masikini tena❤❤❤

  • @HalishLuush
    @HalishLuush Месяц назад

    Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa katika maisha yangu,Insha Allah,Ameen.

  • @azizikeya8314
    @azizikeya8314 Месяц назад +1

    Nipo tayari kupokea mabadiliko insha Allah

  • @Danymaduhu80
    @Danymaduhu80 2 месяца назад +1

    Mimi ni mshindi na nitajiri katika hii Dunia naamini katika hii dunia

  • @abdallahjuma1213
    @abdallahjuma1213 2 месяца назад +1

    Mimi ni mshindi hapa duniani kwa nguvu za universe inshaallah

    • @abdallahjuma1213
      @abdallahjuma1213 2 месяца назад

      Nipo tayari kupokea mabadiliko katika maisha yangu kwa nguvu za universe

  • @RithaMongi
    @RithaMongi Месяц назад +1

    Mimi ni mshindi na mwenye mafanikio makubwa hapa duniani ❤

  • @RatifaJustin-f8i
    @RatifaJustin-f8i 28 дней назад +1

    Mimi ni mshindi hapa duniani nitakua mtu mwenye mafaniko yapesa mungu nijaaliye🙏🙏🙏

  • @EmanuelLameck-m1b
    @EmanuelLameck-m1b Месяц назад +1

    Tiar nishakuwa kwenye uharisia wangu ctoteseka katika maisha yangu naamin uharisia wangu umerud

  • @MickNdimbo
    @MickNdimbo Месяц назад

    Npo tayar kupokea mabadiriko makubwa katika maisha yangu , katka jina la Yesu kristo amina

  • @beatricelichuma8117
    @beatricelichuma8117 Месяц назад

    Mimi nimushindi kuanzia Leo l will be blessed and operating on higher levels only in Jesus name Amen

  • @NeemaEdimond
    @NeemaEdimond Месяц назад

    Niko tayari kupokea mabadiloko makibwa katika MAISHA yangu Kwa jina la YESU

  • @joylinepraiz9724
    @joylinepraiz9724 2 месяца назад

    Nipo tayari kupokea mafanikio katika maisha yangu Amiina🙏🙏

  • @omaryjuma_
    @omaryjuma_ 12 дней назад

    Mimi ni mshindi hapa duniani na mimi nitajiri hapa duniani hakuna kitu cha kunizuia kufikia malengo yangu hapa duniani INSHAALLAH

  • @PeterMuli-q9f
    @PeterMuli-q9f Месяц назад

    Nipo tayari kupokea maisha mazuri katika maisha yangu katika jina la yesu Kristo amen.

  • @AminaChibupa-g6q
    @AminaChibupa-g6q 13 дней назад

    Mm nimshindi hapa Duniani, mungu niongoze✨

  • @BabyPrinss-c4g
    @BabyPrinss-c4g 6 дней назад

    Nipo tayari kupokea mabadiliko makubwa katika maisha yangu inshalwah ninachotaka kifunguke daima na milele furaha iwe moyoni mwangu

  • @HassanHatibu-sk5wj
    @HassanHatibu-sk5wj 18 дней назад

    Mimi ni mshindi,Mimi ni mkubwa,Mimi ni ndie mmiliki wa ndoto kubwa ya utajiri...Amin

  • @MaurineJulius-u2p
    @MaurineJulius-u2p 23 дня назад

    Npo tayari kupokea mafanikio mazurii kwenye maisha yangu..ameen

  • @WilliamPaul-e7h
    @WilliamPaul-e7h Месяц назад

    nipo tayari kupokea madiliko makubwa kwenye maisha yangu kwajina la yesu Amen🙏

  • @MWINYIKHAMISI
    @MWINYIKHAMISI 2 месяца назад +2

    mm nimshindi hapa duniani na mambo yangu akafunguke nimiliki fedha na utajiri

  • @LilianOwiti-m6h
    @LilianOwiti-m6h 23 дня назад

    Mimi ni mshindi hapa duniani pesa taslimu ntapokea in Jesus name Amen

  • @ericmbuta9588
    @ericmbuta9588 2 месяца назад

    Nipo tayari kupokea mabadiliko katika maisha yangu ....Aaamina

  • @mwl.lydiamcharo4376
    @mwl.lydiamcharo4376 Месяц назад

    amen ,ilihali sina herufi M ila naamini nitafanikiwa

  • @josephomondi6987
    @josephomondi6987 Месяц назад

    Niko tayari kupokea baraka tele duniani , Amen

  • @elenahgitahi4656
    @elenahgitahi4656 Месяц назад

    I am ready to receive many blessings in the name of Jesus .

  • @vedastusraphael6990
    @vedastusraphael6990 12 дней назад

    Mm ni mshiindi naamini katika maelekezo yako mungu akubariki

  • @RatifaJustin-f8i
    @RatifaJustin-f8i 28 дней назад +1

    Mimi ni mshindi hapa duniani Inshallah nitakua tajiri

  • @LilianOwiti-m6h
    @LilianOwiti-m6h 23 дня назад

    Happy to watch Lilian ninazozote my God help me Father

  • @maifinadari309
    @maifinadari309 2 месяца назад

    Mimi ni mshindi hapa Dunia na akhera pia nguvu za mungu ziniongoze daima amen inshallah

  • @Uzihirisho
    @Uzihirisho 2 месяца назад +1

    Mimi shindig sana haha duniani mungu nibariki kwa neno hiriniko tamarind kupokeya mabadirko haya

  • @evalineruto5831
    @evalineruto5831 2 месяца назад

    Mimi ni mshindi hapa duniani,,nitakuwa mtu wa kutegemewa duniani na katika jamii,,kifetha,pia kimaendeleo,,🤲

  • @EtoDjumbe
    @EtoDjumbe 17 часов назад

    Mimi ni mshindi hapa duniani Amen 🙌🏾

  • @FLENANKIRITA-b4p
    @FLENANKIRITA-b4p 2 месяца назад

    Mm.ni Tajiri Duncan hii..naomba mungu anizidishie.

  • @FrankKilawe-n7r
    @FrankKilawe-n7r 9 дней назад

    Niko tayari kupokea lolote litakalotokea katika maisha yangu E Mwenyezi Mungu nisaidiye

  • @ZuuAthman
    @ZuuAthman 2 месяца назад +1

    Mm ni mshindi hapa dunian mungu aniongoze

  • @NeemaMasome-r7r
    @NeemaMasome-r7r 2 месяца назад

    Mm ni mshindi mkubwa hapa duniani nitaishi maisha niliyokusudiwa na mungu Amina 🙏🙏🙏🙏

  • @جميلةالثبيتي-ج9ه
    @جميلةالثبيتي-ج9ه 2 месяца назад +1

    Mimi ni mshindi apa duniani🤲

  • @ZakayoFelixsway
    @ZakayoFelixsway 4 дня назад

    Katikajinala yes mmxiyo masikinitena kwnzialeo asante mungu kwabarakazako na kwaneemayako yesu

  • @MichaelKibnusu
    @MichaelKibnusu 2 месяца назад

    ❤Mimi Niko tayari kuwa tajiri..plz my God help me...

  • @HappyBeignets-fv3uf
    @HappyBeignets-fv3uf Месяц назад +1

    Mimi ni mshindi apa dunian,nitakuwa tajir iv karibun natamilik pesa nyingi mno,katika maisha yangu,sintakuwa masikin wa fedha wala wamawazo

  • @MamaSlaa-n6v
    @MamaSlaa-n6v 17 часов назад

    Mimi ni mshindi katika maisha yangu kwa jina la yesu

  • @NurateYlazaro-f1l
    @NurateYlazaro-f1l Месяц назад +2

    Mimi ni mshindi hapa duniani 🙏🙏🙏

  • @HalimaAbdulrahman-b3q
    @HalimaAbdulrahman-b3q Месяц назад +1

    Mimi ni mshindi Allah ataniongoza inshaallah

  • @AlicepetroEdward-r2l
    @AlicepetroEdward-r2l 9 дней назад

    Mimi ni mshindi hapa duniana kwa uwezo wa mungu❤

  • @september0yppk1chinichumo06
    @september0yppk1chinichumo06 3 дня назад

    Nipo tiyari kupokea madiliko ya maisha yangu mungu anibariki

  • @UwaseNoreen
    @UwaseNoreen Месяц назад

    Mimi Niko tayari kuwa mushindi APA nduniyani n'a khera nikotajiri in sha Allah

  • @MarryFrancis-n4l
    @MarryFrancis-n4l 22 дня назад

    Mungu Asante kwakunichagua na mm ni mshindi hapa duniani

  • @RitaLoice
    @RitaLoice 22 дня назад

    Mm ni mshindi hapa nduniani kwa jina la yesu kristo

  • @dorahmartin299
    @dorahmartin299 8 дней назад

    NiKo tayari kubadilisha maisha yangu na mungu afungue milango

  • @zuhurahamis-d8r
    @zuhurahamis-d8r 20 дней назад

    Mimi nitajiri saaana hapa duniani kwa sababu na mkono (m) mungu niongeze nguvu

  • @MswadikoMudathiru-v1c
    @MswadikoMudathiru-v1c Месяц назад

    Inshaallah naamin katika mafanikio ya maisha yangu

  • @RitaLoice
    @RitaLoice 16 дней назад

    Nipo tayari kupokea mambo mazuri kwenye maisha yangu

  • @LinahDaudi-m8k
    @LinahDaudi-m8k 12 дней назад +1

    Mm ni mashindi hapa Dunia na tajiri mkubwa sana

  • @AlfaniAlly-t5c
    @AlfaniAlly-t5c Месяц назад +1

    Mimi nimshindi tajili mkubw sana dunianiani amina

  • @MuganyiziJosephat
    @MuganyiziJosephat 18 дней назад

    Mm ni mshindi hapa Dunian nitakuwa tajiri na nitamiliki pesa nyingi sana,nitamiliki nitatawala, nitaongoza, nitakuwa maarufu

  • @YahyaBure
    @YahyaBure Месяц назад

    Inshaallaah Mimi tajiri bi idhini illaah Aamiin

  • @EDITHMUCHIRI-lt7gq
    @EDITHMUCHIRI-lt7gq 2 месяца назад +1

    😮in Jesus name I believe 😊

  • @EvaMalase
    @EvaMalase 2 месяца назад

    Mimi ni mshindi hapa duniani.
    Na Mungu ndie hatima ya maisha yangu

  • @wallacesembiu1982
    @wallacesembiu1982 Месяц назад +1

    Mimi ni mshindi hapa duniani na nitajiri katika maisha yangu mwenye nguvu ya mafanikio na pesa

  • @NellyMueba
    @NellyMueba 2 месяца назад

    Mimi ni mshindi hapa Duniani kwa uwezo wa Mungu 🙏

  • @hassanomary1616
    @hassanomary1616 2 месяца назад

    Mimi ni mshindi hapa Duniani na nitakuwa tajiri nitamiliki fedha ya kutosha katika maisha yangu na sitakuwa masikini wa fedha wala mawazo

  • @ShemsaAbasi
    @ShemsaAbasi 25 дней назад +1

    Mimi naamini napokea inshaalah

  • @irenechimoli4205
    @irenechimoli4205 Месяц назад +1

    Mimi ni tajiri hapa duniani pia mbiguni nitauona ufalme wa Mungu wangu iwapo tuu nitaenenda na matendo yake

  • @NuluMbilinyi
    @NuluMbilinyi Месяц назад

    Nipo tayari kupokea mafanikio makubwa katika Maisha yangu mungu nitangulie kwako hakuna linalo shindikana