Je, Mwambao Uliuzwa?! - Makala ya Nne.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 33

  • @bengakungi2030
    @bengakungi2030 2 года назад +6

    the real history they didn't teach us at school,ahsante Sheikh Mungu akuwezeshe utuelimishe zaidi

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 2 года назад +5

    Welldone, hakuna aliyekuwa tayari kufichua yaliyofichika

  • @muhammadmwangi5236
    @muhammadmwangi5236 2 года назад +3

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.... shukran jazeelan kwa Khabar hizi.

  • @abdillahismail8287
    @abdillahismail8287 Год назад

    Shukrn Sana Allha akuhifadh na kila baya na akulioe Kheir kwa kutuelimish nakufatikia Sana unayosema na yapo hayo nakuunga mkonon frome Zanzibar

  • @amirhemed2483
    @amirhemed2483 Год назад +1

    Shukran

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Год назад

    Alhamdulilah.
    Makala mzuri sanaaa ❤

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 2 года назад +1

    Thanks sana professor,Tupe Elmu kwa sasa,Firstly sisi vijanaa.

  • @AbdulrahmanHaji-sg5bh
    @AbdulrahmanHaji-sg5bh Год назад

    Allah akuhifadhi ya rabb maskini mtotoswleh

  • @AbdulrahmanHaji-sg5bh
    @AbdulrahmanHaji-sg5bh Год назад

    Allah atuongoze watotowetu yarabb

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 2 года назад +1

    Aslm alykm. Alhamdulillah endelea mzee wetu kutueleza tusolijua kwa ushahidi. Ukwali ndio huu.

  • @alphayoagoi9959
    @alphayoagoi9959 2 года назад +1

    Shukran kwa kutuelimisha ndugu yangu.Mwenyezi Mungu akuzidishie busara inshaallah

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 2 года назад +4

    Wako wapi wapwani waone ushahidi . tujitokeze tujue ukweli kutoka kwa mzee stambuli abdillay nassir popote katika mtandao wake.

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 2 года назад +3

    Wachwana walitusoza

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 Год назад

    Mwambao ulisozwa star uko sawa Allah atakulipa kilalakheri nawe

  • @hamzarijal9093
    @hamzarijal9093 4 месяца назад

    Thanks to Social Media.

  • @movora4466
    @movora4466 2 года назад +1

    Asalamo alaikum sta

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 Год назад

    ZANZIBAR YANGU

  • @hawidahjannedy5337
    @hawidahjannedy5337 Год назад

    My grandfather’s brother was killed in fort Jesus , Jeneby

  • @tozaomar-uj2gm
    @tozaomar-uj2gm Год назад

    Mufti walia natamani kukuona mm nipo maeneo ya changamwe uko wa Digore nimechanuka kwako natamani tafadhali mm naomba namba Yako Istanbul naitaji mingi nahisi kuchelewa

    • @tozaomar-uj2gm
      @tozaomar-uj2gm Год назад

      Samahani Kwa kutotanguliza sala assalamualaikum warahmatillah wabarkath

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 2 года назад

    mashia nyinyi hamuaminiki

  • @printmedia1422
    @printmedia1422 2 года назад +2

    Bada ya miaka sitini ...mwambao ime malizwa ...haswa katika katiba mpya 2010...kabila zote zime pewa jimbo lao...lakini makabila ya ufuo hawa ku pewa jimbo lao bal wame katwa mara tano....
    Iko case ya ufuo kupewa haki zao...ama uswahili uta malizwa...huu ni msiba mkubwa

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 года назад +1

      Tumemalizwa kitambo ilobaki Ni kutolewa ngano yaliopita. Hakuna suluhisho lolote la kupambana na Dhulma kutoka 1963. Wakoloni weusi Ni wabaya Kuliko wakoloni weupe.

    • @printmedia1422
      @printmedia1422 2 года назад +1

      @@hassanalhussein3982 ikiwa mreno alibomowa kwa miaka 200 na wame kwisha leo...tusi kate tamaa...muesi ni wetu...niujinga wakikoloni una mpeleka
      Tufwate mafunzo ya kikatiba yalioko kenya leo...haswa county 47
      Waswahil wafaa wawe wenye
      ufuo wote kama ardhi zao za enzi
      Lugha ya kiswahili kutambulika na africa nzima ni nusra ya allah
      Yaeeze kana lakini kusoma lazima sote ...tupeleke huu ujumbe bila uoga ...waswahili ni watu wenye sera ...hakuna awezae ku wafukuza...chao lazima wapewe na dola za kiafrica

    • @RecapAI
      @RecapAI 2 года назад +2

      Tunakaa benchi na kuangalia tu. Ipo siku yatawafika kooni na sioni tukilala mpaka kenya itimize miaka mia inatutawala. iko siku system yao it'a collapse na ndio itakua mwanzo wa kujitenga kwetu kutokana na udhalimu wa kila aliyekuja ufuo wa pwani na kuwanyanyasa wakaazi wake. Sisi ni wafalme ila tunaishi kama watumwa wa hali ya chini kabsa. There whispers of a revolution be keen on its winds.

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 2 года назад

      Semeni alhamdullillah Kuna counties za pwani kama Mombasa county kwale county lamu county kilifi county taita county and tana river county

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 года назад

      @@ibrahimabadi6498 Umemaanisha nini?

  • @SalimAbdallah-qe5tm
    @SalimAbdallah-qe5tm Год назад

    Stambuli Sasa wadai wewe