KAMANDA MULIRO AINGILIA SAKATA LA SHABIKI WA SIMBA (DOKTA MOO) KUPIGWA, AMUAGIZA KUFUNGUA KESI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 186

  • @IssaMwangata
    @IssaMwangata 14 дней назад +24

    Jamani haijarishi unaongea na chombo gani au unaongelea na wapi hakuna room ya kupiga mwenzio awe Simba au Yanga

    • @ambokilemussa3518
      @ambokilemussa3518 14 дней назад +1

      Ila ni vizuri ukiongelea timu yako na viongozi wako sio kuwadhihaki viongozi wa timu isiyo yako

    • @JosephEmmanuel-eb7gj
      @JosephEmmanuel-eb7gj 14 дней назад

      @@ambokilemussa3518mpira hauna team kote duniani

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 14 дней назад

      Huu ndo utani wa jadi mbona kawaida​@@ambokilemussa3518

    • @sayman158
      @sayman158 14 дней назад

      ​@@ambokilemussa3518 Ushabiki maana yake ni kusemana,,

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 14 дней назад

      Dk Mo anadharau sana anajionaga anahaki kwenye kila kitu,huwezi kupigwa bila sababu akome kuidharau Yanga.

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 14 дней назад +15

    Acha kutetea upuuzi Tanzania ni Nchi ya amani na inaongozwa na sheria haijalishi alikuwa wap hurusiwi kumshambulia mwenzako

  • @NyawelaMalimi
    @NyawelaMalimi 14 дней назад +6

    Bora kufungua kesi

  • @MohammedYassin-e3g
    @MohammedYassin-e3g 14 дней назад +1

    Huyo alie mpiga kofi shabik mwenzangu ashitakiwe wengine hatuna miili ya ngumi ye kama anaweza kupigana aingie ulingon akapambane na mwakinyo

  • @SweetbertaSamweli
    @SweetbertaSamweli 14 дней назад +4

    Ingekuwa simba kmya lakin kwa vile ni yanga duuh simba wakorofi sana

  • @HaleluyaMlaya-c2f
    @HaleluyaMlaya-c2f 14 дней назад

    ❤❤❤

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 14 дней назад +5

    UKIONA MTU ANACHANGIA hoja kwenye jambo muhimu kama hilo UNATAMBUA ELIMU NA UFAHAMU WAKE KUWA NI DHAIFU MNO

  • @NasraKambimtoni
    @NasraKambimtoni 14 дней назад +3

    Wew kila time inashombo kila mtu anavumilia anapotaniw alive mpiga nimweu kwan Ali kama akumsiki mbon alinsikia napiy alicheka tu kwa sabah anajua mpira unapo lsha niradhima utataniwa tu😂😂

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 13 дней назад

    Kupigwa kwa huyo mshabiki nisawa kwa sababu alikuwa na upimbavu wewe unamfuata alikamwe na wakati huyo ndio ametoka kupoteza mechi alafu unakuja kunizodoa lazima nofanye jambo kama alilolifanya alikamwe me naona safi sana kwa alicho fanyiwa huyo moo safi sana

  • @dmstvonline6608
    @dmstvonline6608 14 дней назад +3

    Huruhusiwi kufanya shambulio lolote la kudhulu mwili

  • @DozzoSalim
    @DozzoSalim 14 дней назад

    Ibra uko sawa

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 14 дней назад +6

    Ashitakiwe hasa iwe funzo.

    • @JafariMohamed-n5j
      @JafariMohamed-n5j 14 дней назад

      Kwanin. Ashitakiwe wa yanga na sio ya simba

    • @JayKimMungwab
      @JayKimMungwab 13 дней назад

      Afungwe na afungiwe kwenda uwanjani Ila Hawa wachambuzi bado wana uyanga kisha washamba

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 14 дней назад +3

    Huyu kamanda vp? Mbona shabiki wa Yanga alipigwa akachanwa jezi hajaongelea?

    • @braystuskibassa3842
      @braystuskibassa3842 14 дней назад +2

      Hapo kashauri ukifanyiwa hivyo shtaki na onesha ushirikiano

  • @abdalahmnalu7059
    @abdalahmnalu7059 13 дней назад

    Mzee mpiri kamshambulia muandishi wa habari kamkata mtama Tena ni mmama

  • @JAMESKELEBUKA-dl6lm
    @JAMESKELEBUKA-dl6lm 13 дней назад

    Kumpiga mtu sio jambo jema,,ila pia huyo Dr mo anamakosa kwasababu ikubikwe mashabi wa Simba tulifungiwa kuwenda Kwa mkapa Sasa yeye alienda kufanya nini wakati yeye ni shabik wa Simba. Mambo mengine Huwa tunajitakia wenyewe Kwa sababu ya kutaka sifa tu. Na naona hapo hata akienda kushitaki na yeye pia atakuwa na kosa tu kwasababu tamko lilitoka mapema kabisa kama mashabi wa Simba hawaruhisiw kwenda kwamkapa.

  • @rajabu4irrigation931
    @rajabu4irrigation931 13 дней назад

    Huyu Bwana Miwani ni Utopolo

  • @SadockNtagaye
    @SadockNtagaye 12 дней назад

    Nyie mpila sio vita wote tunajua kua simba na yang niwatani wajadi kama yanga utani ume washinda waseme hata mechi zao tusihuzulia

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 14 дней назад

    Boraaa ivyop

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 14 дней назад +3

    Akamatwe muhusika apigwe faini ya 3'000'000 iliwakome

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 14 дней назад

    Hao makolo washawapiga sana mashabiki wa yanga, huyo katiwa kofi moja pwaaa akalale

  • @respiciusmugezi8645
    @respiciusmugezi8645 14 дней назад +3

    Tanzania hii atuna sheria za namna hiyo mtu achuwe sheria mkononi

  • @MaduhuMsolandege-h8q
    @MaduhuMsolandege-h8q 14 дней назад +2

    Aende

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 13 дней назад

    Ata me sjapenda niliona mwenyewe kuchukuliwa kawaida wakati kazalilishwa

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 14 дней назад +1

    Looo huku kenya utapibwa na mawe kuna timu moja mashabiki wao wako vizuri Kwa kurusha mawe

    • @AivanAwalu
      @AivanAwalu 14 дней назад

      Watangazaj achen kumumunya maneno huyo kafanya makosa afunguluwe shitaka Simba na yanga ni watani yeye hajui Hilo mnavo sema eti kujihazari akamatwe huyo mpira sio huo

  • @JafariUtalilMkumula
    @JafariUtalilMkumula 13 дней назад

    Ushabiki wa kinafiki huo Yule hazuiliwi kuzungumzia Wala kwenda mpira wowote na Yule wanafahamiana na Ali ndo Mana akamtaja Yule no Mambo yake ya kishamba tu

  • @annasteven6
    @annasteven6 13 дней назад

    Hawa ni wachambuzi au hakuna kitu hapa

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 13 дней назад

    Ali kamwe ni kioo cha jamii kuhusishwa kawaida jielewe muandishi

  • @HozamKimaroo
    @HozamKimaroo 14 дней назад

    Vp hapo ndani nisome kam fredy tok mwanza ukerewe buzengwe kuna tim hapa tanzania imefanikiwa kuingia robo semaji lao linaongea san kamdomo katamponza daima mbele nyuma mwiko kila raheli yanga katik mchezo ijayo yote

  • @MussaMbili
    @MussaMbili 14 дней назад +3

    Uyo mlevi vipi apo anaongea upuuzi angezima je angeongea ivo

  • @MohamadKhalid-k3r
    @MohamadKhalid-k3r 11 дней назад

    Akome nar amezidi limekaa kama jidada Kwa kuisemea yanga vibaya akome atakua na kahesha.kidogo

  • @ThomasMorris-p1s
    @ThomasMorris-p1s 13 дней назад

    Nyinyi watoto wadogo zaman ukizngua unapigwa na ndio maana zaman kulikuwa na mipaka kat ya simba na ynga

  • @Veronica-z6b4t
    @Veronica-z6b4t 14 дней назад

    Kaguswa tu huyo nae anazinguwa unafiki wake umemponza.nahuyo aliyemgusa akamuombe msamaha maisha yaendelee.

  • @MashakaRamso
    @MashakaRamso 13 дней назад

    Nyie waandishi ndo chanzo kunasababu gn muanze kuhoji mashabi wafwateni wahusika ili mpate data kutoka kwao, naona mwaongea mandazi ya sukari tu

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 14 дней назад

    Atapigwa sana kwa ujinga wake mdomo uliponza kichwa

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 14 дней назад

      Kuna maana gani ya utani kama mtani haruhusiwi kutania?

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 13 дней назад

    Huyo mnae muhoji hajitambui ni ndumila kuwili hana maamuzi xahihi

  • @andrewbernard3128
    @andrewbernard3128 14 дней назад

    Simba hawaruhusiwi kuindiza mashabiki uwanyani je mo alienda kufanya nn alitaka mwenyewe kupigwa

  • @CharlesAman-w7o
    @CharlesAman-w7o 13 дней назад

    We kubwa jinga we uliona au unamtetea t alie mpiga dr mo maana hakukuwa na mahusiano kbs kat ya dr mo na yule mbwa anae jiita bounza kiukweli sis km watu wa mpira tunalaani vikali kitendo km hicho

  • @dannykimoko9293
    @dannykimoko9293 14 дней назад

    Wewe unaongea pumba hakuna Sheria inaruhusu huo ujinga kwani Ali kamwe alitukanwa?

  • @Bilifilmz
    @Bilifilmz 14 дней назад +3

    Msituletee matukio ya yaliyopta tunataka kudili na lile baunsa kwanza wa utopolo wengine wajifunza, ata muliro hajapenda kwakweli

    • @MichaelMalilo
      @MichaelMalilo 14 дней назад

      Dili na maisha Yako Mzee mpila ni fula kapigwa kwajili ya shobo zake elei ilikua siku ya wananchi yeye anaongea kama nani mashabiki tupunguze ushoga kitu akikuusu kapembeni angalia maisha Yako

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow 14 дней назад

      Hauna akili ​@@MichaelMalilo

  • @JeminusKapalia
    @JeminusKapalia 14 дней назад

    Kwanza uyo aliyempiga Kofi shabikinwa Simba hata ukomando wowote Hana msenge tu uyo

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 13 дней назад

    Huyo kapewa rushwa aje kuongea ujinga angepigwa yeye ndo aongee hivo hajitambui

  • @michaelvicent2023
    @michaelvicent2023 14 дней назад

    Huo mchambuzi anaesema shabk wa simba kwenda kwamashabiki wayanga kushanglia nkujihatarisha nahs atakua anahemewa mgongoni

  • @mwinyiabdalla2851
    @mwinyiabdalla2851 14 дней назад

    Iangalieni vizuri hiyo clip kisha muongelee hilo, hiyo jamaa sliempiga wlitokea nyuma na kumzaba kibao Dr Mo na sio alirudi na kumpiga.

  • @BenardCostantine-sr8bn
    @BenardCostantine-sr8bn 14 дней назад

    Hakuna kupigana kupigana mnaropoka Tu studio

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 14 дней назад

    Si yaishe tena amsameh ushabiki ndonulivyo... wote ni wamoja

    • @nemesselestine3965
      @nemesselestine3965 14 дней назад

      Wanatakiwa kufundiahwa nasio kwayanga sio mara yakwanza hii

  • @salimlumala6364
    @salimlumala6364 12 дней назад

    Acha kua mpumbavu, hii nchi ni huru, kila mtu anahaki ya kuongea popote pale. Acha kutetea ujinga

  • @melchiorrweikiza4517
    @melchiorrweikiza4517 14 дней назад

    Nani asiyesemwa? Mbona sasa inakuwa vita? Basi wawaachie Yanga waangalie mechi zao pekee yako , huo ni ushamba. Naona na hao wanaoshabikia shabiki kupigwa ni washamba.

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 14 дней назад

    Ni mara nyingi anaitukana Yanga, amevuna alichopanda

  • @ALEXMAIGA-z7w
    @ALEXMAIGA-z7w 14 дней назад

    Huo ni mpira acha ujinga

  • @DozzoSalim
    @DozzoSalim 14 дней назад

    Wewe sijui nsajigwa kinabo, hujui maana ya utani

  • @ahmedburhan5104
    @ahmedburhan5104 14 дней назад

    Kamdomoo tena angepigwa sana tu. We timu yako haichez unenda kufany nn

  • @Mirajiji-w2x
    @Mirajiji-w2x 14 дней назад

    Upuuzitu na hajapigwa ivi kwenye kupigwa yule mnasema kapigwa yule kataniwatu km utani mwengine ndiomaana hajarudia kunyanyua mkono tukianza kufuatilia mambo haya utani utakuwa haupo tena ule utanitu waache ujinga wao

  • @tosh7671
    @tosh7671 14 дней назад

    HUYO DOKTA MO NI PUMBAVU INAWEZEKANA HAKUCHAPWA VIZURI. ALIYEMCHAPA ANITUMIE NAMBA YAKE NIMTUMIE KA 50

  • @fatmamkilalu5154
    @fatmamkilalu5154 14 дней назад

    Sasa na wewe akili kisoda kutajwa hvyo ndyo apigwe anatajwa mama Samia na kumkashfu mbona hampigwi sembuse dogo Kamwe inauma eheee Simba ikifungwa ndyo muongeee mtakavyo hpo dawa sheria ifuate mkondo wake.

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 13 дней назад

    Wachikuliwe hatua watazoea hao

  • @SophiaJumbee
    @SophiaJumbee 14 дней назад

    Meja fala sana huyu

  • @RamaKola-t5w
    @RamaKola-t5w 14 дней назад

    Tangullini hayo Mambo mnayo ongea mbn wachambuzi wa bongo mbn mnakuwa wahivyo jaman hapo mna hamashisha kitu gan

  • @JamesMasatu-s6p
    @JamesMasatu-s6p 14 дней назад

    Kwani kuna mtu kalazimishwa kuzipenda hizo team? Matokeo ya kukufurahisha ama kukuumiza wewe yapokee huyo aliyempiga mwenzake huo ni ushamba uliopitiliza mbaya zaidi yeye siye shabiki pekee anayeipenda Yanga.

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 13 дней назад

    Kwani ali kamwe na ahmed ally maneno yao hayashawishi kupigwa?

  • @MichaelMalilo
    @MichaelMalilo 14 дней назад

    Kweli tatatizo ukijishobokesha unakula chuma TU alafu ilesiku ni ya yanga vp nyinyi Simba ulitaka kupigwa utapigwa TU kama unapesa unataka upigwe iliulipwe sawa tena uyoo jama alikosewa uwezi kuleta usenge watu wamepoteza mechi muimu wewe unakebei siushoga uo ulituma uongee akati avikuusu

  • @muddymwanyamakeupartist1471
    @muddymwanyamakeupartist1471 14 дней назад

    Iv ingekua ukolofi au hasira mchome tungekua tumeshamuuwa wanasimba ongeani usenge ila mkumbuke wanayanga mnaroho mbaya mchome ipo siku atakufaa

  • @Fadhilihashimumzuly
    @Fadhilihashimumzuly 13 дней назад

    Uache kuisema timu vibaya nayeye kafata Nini mechisiyo Yao alafu muache unafki

  • @DanielKimaro-z1w
    @DanielKimaro-z1w 14 дней назад

    😅

  • @mustafakingazi3360
    @mustafakingazi3360 14 дней назад

    Hili swala la mashabiki kupigana lazima litolewe azabu kali sana la sivyo hali itakuwa mbaya baadae

  • @ReganUiso
    @ReganUiso 14 дней назад

    Huyo mpuuzi wa miwan hajielew..ule ni utan sio kumpiga mwenzio..kinachotakiwa kuwajibishwa kwa muhusika ili wakome wengne..mnatetea ujinga?

  • @JoshuaObadia-t4q
    @JoshuaObadia-t4q 12 дней назад

    Mbona hijabu tena

  • @YasiluMkandidi
    @YasiluMkandidi 14 дней назад +1

    Jamaa kama vp alipe fidia

  • @khadijayusuph5815
    @khadijayusuph5815 14 дней назад

    Wewe shika adabu hijabu siyo vazi za kujifichia tena ukome kabisa

  • @RahimMussa-z7e
    @RahimMussa-z7e 14 дней назад

    Ni upumbafu sasa kwa wenye familia zenye kushabikia tim tofaut mtu yuko na familia yake baba simba mama yanga mtoto Azam wagawanyike kwa wenzentu inawezekana sababu Familia aiwezi kuwa na timu tofaut kulingana na tamadu zao hao Wapumbafu wachache ni wakushugulikiwa ipasavyo iwe funzo kwa wengine kama uwezi ushabiki kaaakwako angalia kwenye tv

  • @andreakomba1773
    @andreakomba1773 14 дней назад +1

    Mbona wameenda mwembe makundi wakakosa Cha kusema

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 14 дней назад

    Mchome siyo shabiki wa Simba. Acheni kujizima Data.

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 14 дней назад

    shambulio ilo

  • @RevithaRevitha-f5q
    @RevithaRevitha-f5q 14 дней назад

    Yalikuja kuleta vurugu ili tufungiwe kama wao akakutana nacho na ajachapwa vzr mbwa yeye

  • @HenryKimaro
    @HenryKimaro 14 дней назад

    Suala la mchome halina afya kuvaa jezi ya Timu kana kwamba ww ni shabiki wake huku unaikashifu ht ikifanya vizuri huo ni upuuzi

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 14 дней назад

    😂😂😂😂 mm Simba lkn nashauri dk mo.achane nalo hili .watu wt sio sawa. Mbona wapenz wayanga na Simba .niwamoja tu.

  • @kingbrother-p6t
    @kingbrother-p6t 14 дней назад

    Uyo mjinga alitoka njee ya mada mwenyewe ivi inahusu nini kutoka njee ya mada aache ujinga akidhingua tena mwingine tunamlamba mabao

  • @thehustlerafrica
    @thehustlerafrica 14 дней назад

    Simba na Yanga ni watani wa jadi acheni ujinga hampasi kutetea ujinga huo

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714 14 дней назад

    Huyo jamaa anatetea ujinga Ina maana utani wa yanga na simba haupo sasa na hii ni hatari sana imeisha Anza kuleta chuki baina ya mashabiki wa yanga mashabiki wa pande zote mbili

  • @ChristopherMalimbwi-pf6uw
    @ChristopherMalimbwi-pf6uw 14 дней назад

    Da huyu jamaa kwel kidinya...yanga ndo zao kupiga watu...

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 14 дней назад

    Ni ujinga tu ukifungwa umefungwa tusifiche fiche halafu mambo ya kusema eti timu Simba au Yanga wanatakiwa kukubali kwamba kama timu imefungwa warudi wakajipange upya siyo kuleta uhuni wa kupiga mashabiki siyo poa

  • @Adnaniissufomomade
    @Adnaniissufomomade 14 дней назад

    Unajua usilazimishe kitu ambacho sio Sheria kwamba unazungumzia maswala ya mpira. Hakuna kupigana Hakuna Sheria ya kumpiga mwenzako

  • @AbisnaRashidi
    @AbisnaRashidi 14 дней назад

    Yanga wenye akili ni wawili tu

  • @kingbrother-p6t
    @kingbrother-p6t 14 дней назад

    Aisee uyo mulilo mbona kama sasa anataka kuvuka mipaka sasa ebu atulie asiwe chawa wa serikali

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 14 дней назад

    Uyuchizi hanampango.

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 14 дней назад

    Kamshitaki 3usimiqchie pls

  • @shafiijuma3282
    @shafiijuma3282 14 дней назад

    huyo mtu peleka mahakamani,
    kushambulia mtu nikosa.

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 14 дней назад

      Hata kumshambulia mtu kwa maneno ni kosa kisheria.

  • @thomaswilbert6431
    @thomaswilbert6431 14 дней назад

    Mbona shabiki wa yanga alipigwa mbona mulilo hakusema chochote Kwa nn Leo Kwa huyu

  • @jumannekingu1306
    @jumannekingu1306 14 дней назад +1

    Hapana mimi nilikuepo hapo wakati anafanya interview Dr mo alipopigwa ndo akasema ona ananipiga na Ally kamwe yupo hapa😊

    • @Tunsume
      @Tunsume 14 дней назад

      Bas ulikuwa kivuli mm pia nlikuwepo mo alimtaja kamwe kabra hajapigwa kile kibao

  • @siasporttv7823
    @siasporttv7823 14 дней назад

    Acha kutetea ushabiki ni utani sio vita na yule hakutukana kwani nyie ndo mara ya kwanza kufungwa lile ni kosa

  • @joackimumalya7138
    @joackimumalya7138 12 дней назад

    Wewe pumbavu tu unatetea ualifu bwegebege tu

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 14 дней назад

    Mtu kafungiwa kafuata nini Kwa mkapa

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 14 дней назад

    Huyu jamaa mawazo yake ni mjinga sana kiukweli

  • @lucasmasumbuko2098
    @lucasmasumbuko2098 14 дней назад

    Munaotetea wote hamna hakili

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 14 дней назад

    Mnatetea upuuzi

  • @ahmedmukolwe43
    @ahmedmukolwe43 14 дней назад

    Nani alimwambia huyo umbwa dr.mo kwenda uwanjani wakati game sio yao?ako na bahati sana hakuwa mimi otherwise ningemuumiza kabisaa na sasa hivi angekuwa icu

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 14 дней назад

    Huyo mwenye nyeusi ndio kaongea point kuliko wote,wengine wanatetea tu ujinga. Mtu kuisema vibaya timu na kupigwa uhusiano uko wapi? Ndio sheria inasema hivyo. Ni ushamba tu wa kutoweza kucontrol mihemko.

  • @khalifazahor1522
    @khalifazahor1522 14 дней назад

    Wewe pumbavu

  • @RashidiDundo-m6v
    @RashidiDundo-m6v 14 дней назад

    Hakuna cha nguvu mbili ww mjinga sana nn maana ya utani

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 14 дней назад

    Nyinyi mmeshahukumu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 14 дней назад

    Na yule mwingine alitekwa