Jinsi ya Kupika wali mtamu 😋😋 wa Mayai utapenda sana
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Jifunze nami jinsi ya kupika wali wa mayai mtamu sana 😋😋 , natumaini utapenda sana.
Bonyeza Kitufe cha ngengele upate video za mapishi kila siku.
Cookin' with novisca 😋😋 / @cookinwithnovisca
Mahitaji:
Mchele 1kg
Mayai
Kitunguu maji 2
Hoho 1
Caroti 1
Mafuta ya kupikia
Chumvi
😋😋
Music by
Innocence by Roa | / roa_music1031
Music promoted by www.chosic.com...
Creative Commons CC BY 3.0
creativecommon...