Hata Uwe Na Nguvu Gani Huwezi Kutazama Filamu Hii Bila Kulia | Tete | - Swahili Bongo Movies

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024
  • A Swahili Bongo movie starring; Omary Mbwela, George Dizange, Queen Jophery...
    Movie title - Tete
    Aforevo ID - Nsk3c69WE7
    #bongomovies #swahilimovies #kenyanmovies #tanzanianmovies

Комментарии • 405

  • @Rechownina
    @Rechownina 10 дней назад +1

    Mnguu wangu walewote am bao ni wa baya kiasihik wapeazabu Kalil. Hawanashukulanii hawa❤❤❤❤❤

  • @BalkisSuleiman
    @BalkisSuleiman 15 дней назад +8

    Very nice n sad movie n it's a lesson for us to leave our children with the right person

  • @WityWityness
    @WityWityness 10 дней назад +4

    Hapo nimeelewa kumbe tunaweza nawapongeza sana jamani mafundisho mazuri sana

  • @TamariBaya
    @TamariBaya 15 дней назад +6

    Mungu atujalie maisha marefu ili tuweze Kulea watto wetu🙏🙏

  • @NellyKeneth
    @NellyKeneth 14 дней назад +12

    Naomba mungu nisije kufa watoto wangu wakiwa wadogo maana kuishi na mama wa kambo Shida sana

    • @SuzanaPatrick-p8z
      @SuzanaPatrick-p8z 12 дней назад +1

      Du? Hata ssi 2meishi n̈a mma wakambo 2lipata mates kamahayo kwahy nampa pole sana mana naelewa vote du😂

    • @NuriethRamadhan
      @NuriethRamadhan 12 дней назад

      Sio wote mbona mm nawalea watoto wa marehem mme wangu kama wanangu Hadi Wana smani na furaha

  • @WityWityness
    @WityWityness 10 дней назад +4

    Mm mwanangu nimemuona akiteseka nikiwa hai nililia sana nawaza siku nikifa sijui watamuua kabisa eemungu mlinde binti yangu

  • @danielnicco5421
    @danielnicco5421 17 дней назад +14

    Nawaomba sana movie hii muirushe DSTV, TBC, STAR TV na vyombo vingine ili watu wengi zaidi waione na wajifunze kitu. Wasanii wetu mjifunze kitu hapa kwenye hii movie badala ya kuigiza mapenzi tu kila wakati bali badilisheni hisia na fikra za watu kwa kutoa elimu juu ya maisha halisi ya jamii inayotuzunguka. Hongera sana waigizaji mmefanya kazi nzuri sana.

    • @ZainabuHarida-e4k
      @ZainabuHarida-e4k 14 дней назад +1

      Yani muvi za sikuhizi ni mapenzi 2 hazina hata maana tunashindwa kuziangalia mbele za watoto mbele za wazazi wasanii wanatakiwa wajifunze kupitia hii move

    • @SuzanaPatrick-p8z
      @SuzanaPatrick-p8z 12 дней назад

      Du nikweli hata mmi ina nishangaza kwakweli alloo😂

    • @SuzanaPatrick-p8z
      @SuzanaPatrick-p8z 12 дней назад

      Au wwe unaonaje wenzangu du?😢

    • @ZuberiAbdalla
      @ZuberiAbdalla 6 дней назад

      Nakusapoti maoni yako

    • @ZuberiAbdalla
      @ZuberiAbdalla 6 дней назад

      ​@@ZainabuHarida-e4kkweli ulisemalo hatukupingi tup pmj

  • @GrolyMlawa
    @GrolyMlawa 22 дня назад +4

    🎉🎉❤jiranii mpend mauwa yakee🎉

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 27 дней назад +17

    Mbwela bwana nakukubali sn kazi nzuri 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nakutaza kutokea kongo 🇨🇩

  • @CelestineSidi
    @CelestineSidi 15 дней назад +6

    Hongera kwa wanawake wote kwa ❤wao mkubwa wa kuvumilia🎉🎉💪

  • @ThomásCosme-p4x
    @ThomásCosme-p4x 15 дней назад +1

    Pole sana Teté 😂😂🎉😂 mbwela mungu akubaliki😂❤😂🎉😂😂

  • @MonikaLukerema
    @MonikaLukerema День назад

    Jaman dhambii!!inaniuma sanaaaa

  • @HawaOman
    @HawaOman 8 дней назад +3

    Hivi mnajua Kuna mungu achani kumtesa mtoto wa mtu

  • @AshuraSiri-r7t
    @AshuraSiri-r7t 26 дней назад +7

    Mumeicheza vizuri hii movie mungu awajaalie muendelee kuwafunza watu

  • @BIBIGIANNA
    @BIBIGIANNA 12 дней назад +3

    Wanamtesa sana huyo mtt ni mrembo hawamkuti wote hapaswi kupata mateso yote mtt wa watu

  • @AminaBaruwani
    @AminaBaruwani 14 дней назад +1

    Hi move Ina mafunzo mashalaah Kazi nzuri Allah awajalie mzidi kufundisha jamii Allah awafungulie milango ya riski inshallah ❤❤❤

    • @Marin-w5o
      @Marin-w5o 14 дней назад +1

      Wakaanza kutoka Bujumbura Burundi kupenda hii movie inakusanya nyoyo zawatu wanaofuata maigizo huu asanteni pamoja nakundi llenu tunawaona mkono sana

  • @paulinacharles8058
    @paulinacharles8058 24 дня назад +4

    Mko vizur san jamn mnaimisha san jamii Allah awabarik

  • @NduguniulizeMhaji
    @NduguniulizeMhaji 17 дней назад +2

    hongeren watanzania wenzangu nimejifunza meng kwenye hii movie

  • @IsayaMwampamba-x9c
    @IsayaMwampamba-x9c 22 дня назад +2

    Hongera sana kwa fundisho hiro ongezea ringini tujifunze vizuri

  • @DativaShayo-b5n
    @DativaShayo-b5n 14 дней назад +2

    kweli binadamu nikama sheta mtoto wa dada yako kweli unamfanyia unyam kwel pole san tete mungu nakupe maish mwem

  • @AthumaniSalimu
    @AthumaniSalimu 22 дня назад +5

    ❤❤❤ hongera san mbwela umeokoa maisha ya tet

  • @MumbereHeritier-zx1ve
    @MumbereHeritier-zx1ve 9 дней назад +3

    Inasikitisha sana.

  • @JOSEPHMwakibinga
    @JOSEPHMwakibinga 28 дней назад +82

    Mjomba wewe bwege huyo mwanamke sio ndugu Yako acha upumbavu. Unamtesa mtoto wa dada Yako kweli. Huyo mkeo anakucheka na huyo mtoto anaemuona wako sio wako

    • @dizangetv7306
      @dizangetv7306 28 дней назад +11

      Duh! Kwa hiyo na huyu John sio wangu. ila kama kweli vile😂😂😂😂😂😂😊

    • @GilbertMufayonge
      @GilbertMufayonge 27 дней назад

      Uuuuh😅teyyyrtryyrytyyyruyuyy😅rr

    • @AsmaShemndolwa-l3u
      @AsmaShemndolwa-l3u 22 дня назад +4

      ❤❤

    • @MwanyotaBakarMbwana
      @MwanyotaBakarMbwana 17 дней назад

      ​@@AsmaShemndolwa-l3u😮uz😮😮zz😮zz😮😮😮zz😮😮😮zz😮😮😮😮😮ziw/×😮😂😅 zd😮😮😮😮😮😮dx😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮xx😮😮😮😮tttx😮😮xx¹😮😮😮😮😮

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 15 дней назад +2

      Sasa wauliza swali au jibu 😅😂😅😂😅😂😂😅😂😂😅😂😅😅 kiukweli ulipigwa 😅

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 15 дней назад +1

    Wow kumbe mbwela yupo 🎉😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @ErickBAGABO
    @ErickBAGABO 4 дня назад

    Musimutese mtt huyo sababu Mungu anatetea maisha yakila mtu,ni Erick kutoka inchini Congo

  • @omarbinti9957
    @omarbinti9957 8 дней назад +1

    Mmh mungu 2saidie sana 2we wa2 wema

  • @ErfEff-k6w
    @ErfEff-k6w 21 день назад +2

    Mpaka nimelia jaman duh Kaz nzur Sana mungu awatunze ila tunaomba part2

  • @ElizabethNiima
    @ElizabethNiima 10 дней назад +1

    eemungu tujalie maisha marefu ya hapa dunia tuishe na watoto wetu mpaka watakapo jiweza maana kuishi na wazazi wa wakambo ni mateso tu

  • @SalhaWina
    @SalhaWina 17 дней назад +4

    ❤inafunzo kbx

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 27 дней назад +1

    Mbwela Mungu akubariki Kwa kz nzur shukran sn ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @KitoFidele
    @KitoFidele 14 дней назад +1

    Asante sana kabisa kwa fundisho

  • @nahayopacifique1308
    @nahayopacifique1308 16 дней назад +1

    Hongela sana mmecheza vizuri sana chukua maua yenu🎉🎉🎉🎉 mana kwenye hii movie Kuna ujumbe mhimu sana

  • @EpinianaMichael-g1k
    @EpinianaMichael-g1k 23 дня назад

    Mmmmh inasikitisha sana Tete pole Kwa yaloyokukuta

  • @liliankemunto858
    @liliankemunto858 15 дней назад +3

    Mungu turumie myatima❤

  • @ledeajoasu3119
    @ledeajoasu3119 15 дней назад +4

    So painful to watch this God help all the orphans undergoing such treatments in the hands of the wicked relatives tete am so sorry for you

  • @MariaHusein-mn6oh
    @MariaHusein-mn6oh 12 дней назад +1

    Nzr sana inafundisha

  • @ElizaLizer
    @ElizaLizer 13 дней назад +1

    Pole San mdog angu mngu akupiganie pole San san inaumiz

  • @ledeajoasu3119
    @ledeajoasu3119 15 дней назад +1

    Kudos a very nice production

  • @amukoyawycliffe-u2t
    @amukoyawycliffe-u2t 13 дней назад +1

    Jamani mwamtaka tete aolewe angali mdogo kweli 😢

  • @PendoAmani-w8i
    @PendoAmani-w8i 23 дня назад +2

    Tuwe nahuruma hatakama mtoto sio wako daaah pole sana

  • @HadijaNampeja
    @HadijaNampeja 17 дней назад +1

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FridaMakena-b9w
    @FridaMakena-b9w 10 дней назад +1

    Mungu atulide si wanawake

  • @MakumbushokihongaMakumbushokih
    @MakumbushokihongaMakumbushokih 13 дней назад +4

    Hii move inasikitisha jaman hayo nimateso

  • @TihoNorbetnyinge
    @TihoNorbetnyinge 14 дней назад

    Hawa waigizaji maana wanagusa maisha ya watu safiii Sana niwatakie kazi njema

  • @ROSEMARYSHIMBA
    @ROSEMARYSHIMBA 2 дня назад

    Jamani naomben wazazi tuwapende watoto we2

  • @TihoNorbetnyinge
    @TihoNorbetnyinge 14 дней назад

    🎉🎉🎉🎉safii sana kazi nzuri

  • @marinSh-x9i
    @marinSh-x9i 9 дней назад +1

    Mko n roho mbya sana mtakuja kufa maskini

  • @SemeniModo
    @SemeniModo 25 дней назад +4

    Mbwela hongera Sana kumsaidia tete

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 24 дня назад

    Daah mjomba kweli unatesa mtoto wa dada yako tumbo moja 😢😢😢mbwela mungu akubariki sana akupe maisha marefu n utaona mkono wa mungu uwe n huo moyo adi nimelia 😢😢😢🙏🙏🙏🙏😭😭

  • @amidabukuru
    @amidabukuru 14 дней назад +1

    Mungu amnusuru mtoto wa dida shaibu maaana natokwa hata na machozi

  • @GrolyMlawa
    @GrolyMlawa 22 дня назад +2

    Wew mwanamke unajikitaa umefika nakomwe lako hiloo🎉❤ any way kazi nzur,japo inauma, inaliza, inakaba, 🎉yapo kwa jamii zetu

  • @GrolyMlawa
    @GrolyMlawa 22 дня назад +2

    Mjomba Mungu anakuona thamani ya uhai wa mtu inalingana na nyama ilounguwa❤

  • @HappinessShayo-k3o
    @HappinessShayo-k3o 16 дней назад +2

    Jamani tete mwenyewe anaheshima kama nini

  • @NemaItangishaka
    @NemaItangishaka 16 дней назад +1

    Movie nzur san ❤❤

  • @OdeteRita-w4c
    @OdeteRita-w4c 18 дней назад +1

    Safi sana iyikali 😊

  • @CelestineSidi
    @CelestineSidi 15 дней назад +2

    Waah...kuweni na moyo jamani..

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 17 дней назад +1

    Kijijihiki nikizuli Sana wawote funga yaliwai kutukuta

  • @RamadhaniMmunga
    @RamadhaniMmunga 15 дней назад +1

    Shangazi umejitaidi sana na tete

  • @aaqqww123-gj1kj
    @aaqqww123-gj1kj 29 дней назад +5

    Yani mbwela wwe nakupenda bure❤❤

  • @AdamsonManya
    @AdamsonManya 11 дней назад +1

    Duuuuuui Natalie San aiseee
    Mung acute,e

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 24 дня назад +2

    HONGERENI. MMEICHEZA. VIZU🇮🇹🇹🇿🥰URI NATAI. JAMII. I.EJIFUNZA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZindunaJaphar
    @ZindunaJaphar 8 дней назад +1

    Jamani.uwenauruma.mashangazi

  • @MaulidJumanne-t3r
    @MaulidJumanne-t3r 15 дней назад

    Mbwera baba umetisha cn umu

  • @susanchebet3298
    @susanchebet3298 22 дня назад +1

    Hengoreni Sana, movie nzuri yenye mafunzo

    • @dizangetv7306
      @dizangetv7306 21 день назад

      Asante ndugu mungu akubariki 🙏🙏🙏❤

  • @yonzyonz7343
    @yonzyonz7343 27 дней назад +1

    Jamani mujomba yaan huna hata roho ya huruma,,,,hiv kweli mtoto wa dadako umutese hivyo utaenda kuchomeka hutaamini ww😢😢😢😢😢😢 tete mungu yupamoja nawe

    • @dizangetv7306
      @dizangetv7306 23 дня назад

      Siendi huko nakataa😂😂😂😂😂❤

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 15 дней назад

      ​@@dizangetv7306 yan wewe jehanam itakufwata hapohapo kwako 😅😅😂😅😂😅😂😅

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 22 дня назад +1

    ukimfanyia ubaya Mungu atayalipiza kwa watoto wake. MUNGU HUJIBU KWA WAKATI.

  • @JustineEbinda
    @JustineEbinda 21 день назад +1

    Funzo nzuri kwa walimwengu

  • @leniswepukhulu1978
    @leniswepukhulu1978 15 дней назад +1

    Safii kabisaa

  • @NuruNgolle
    @NuruNgolle 16 дней назад +1

    Chakula uchafu tu jamani. Ujeuri ndio asile kuna wachawi hapa duniani ka hatari

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 12 дней назад

    Mama mwenye roho mbaya . Anaonekans kama vile hatakua mzazi. Mama mkosa huruma, na mjomba yake mme bwege

  • @SadaSalum-x4j
    @SadaSalum-x4j 13 дней назад +1

    Mungu amlani anaefanya ivyo

  • @collinsyogo8044
    @collinsyogo8044 18 дней назад +3

    Tz mlete movies kama hizi yani karibu nilie movie inafunzo

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 22 дня назад +1

    Kaka mchimba kisima utaingia mwenyewea mungu atafanya hakia mganga hanauwezo kushinda mungu that's is true

  • @eunicemagolo4028
    @eunicemagolo4028 28 дней назад +4

    Tete nyama zimehesabiwa vipande ila nakupa ushauri,chukua kisu kata Kila kipande ,utakula nyingi hata kuwaliko ,usile maharangwe Tena dadangu

    • @khadijaacute
      @khadijaacute 27 дней назад

      🥩🥩🍖Tete chukua hii ule😂😂

    • @dizangetv7306
      @dizangetv7306 23 дня назад

      ​@@khadijaacute😂😂😂😂❤😅

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 21 день назад +1

      Hapo umesema, mm nakata kadogo kadogo kila kipande😂😂

  • @ledeajoasu3119
    @ledeajoasu3119 15 дней назад +1

    Mjomba pepo

  • @MirriamIngosi
    @MirriamIngosi 9 дней назад

    Nyinyi wajomba mtakipata mpaka watoto Wana mfanya usiku yote mungu ajibu haraka

  • @FrederickKatai
    @FrederickKatai 10 дней назад

    Tete ni artst maana kila sini kafanya vyema

  • @FelistarMagige
    @FelistarMagige 28 дней назад +3

    Very good job Mr bwela❤❤

  • @FELISTAKIMARIO-t1n
    @FELISTAKIMARIO-t1n 3 дня назад

    Ka si vizuri

  • @dizangetv7306
    @dizangetv7306 28 дней назад +2

    Duh kwa hiyo John sio wangu. Ila kama kweli vile🤔🤔😂😂😂😂

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 15 дней назад +1

    Mbona mie cjalia 😂😂😂

    • @FarajaAmbade-p1v
      @FarajaAmbade-p1v 15 дней назад

      Mimi mwenyewe sijalia 😂😂lia nime mpenda tete nikazuri hadi ongea yake❤

    • @Dil-nawadhFt
      @Dil-nawadhFt 14 дней назад

      @FarajaAmbade-p1v kweli vo hawana adabu walitk tuangalie bc🤣

  • @joanjoymmosi
    @joanjoymmosi 23 дня назад

    Mbwela namkubali sana nakupenda sana ❤❤

  • @MaulidJumanne-t3r
    @MaulidJumanne-t3r 15 дней назад +1

    Haha atakutananae jera shetani

  • @godfreymajura5336
    @godfreymajura5336 28 дней назад +4

    Ulicho kifanya Mr bwela ni zaidi ya ubinadamu rest and pice

  • @AbelikibogoloLubiano
    @AbelikibogoloLubiano 15 дней назад +1

    Mwanaume mbugila huyoooo

  • @chelangatkenduiwo2038
    @chelangatkenduiwo2038 13 дней назад +1

    Mungu onekanie huyu binti

  • @danielKazungu-ih4re
    @danielKazungu-ih4re 10 дней назад +1

    Mungu pia anaona

  • @JaphetMwandumachibya
    @JaphetMwandumachibya 21 день назад +2

    Tete mungu akubari sana

  • @MnaziMchanga
    @MnaziMchanga 14 дней назад +1

    Ila wanaume mnazambi sana sasa ulitaka umsaidie ili upate mzigo dah 😢

  • @NuruNgolle
    @NuruNgolle 16 дней назад +2

    Kuna watu wana tabia mbaya sibira ukae pekeako kuliko kumtesa mwenzio jamani minikiona sina uwezo wakuhimidi changamoto siwezi fanya dhambi yakumtesa mtu ng o jamani mariposa hapahapa duniani

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 15 дней назад

      Apo mwisho umepigaje 😅😂😅😅😅😂😅😂😅😅😅😂😅 lakin umeongea point atar ♥️❤❤🎉❤

  • @mosssituma3870
    @mosssituma3870 27 дней назад +1

    Wah hata kama ni mateso hii ni saiti ya mteso mambo yenye shetani anawekewa wakati mwingine hata mungu anayakataa🇰🇪

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 24 дня назад +1

    Mjomba siku hizi wanawake wanasedia😮huyo unayemfundisha hatakusedia😮ww uko na sheria😮ya zamani zilipendwa hizo mjomba mnyanyase tete lakini utajuta

    • @dizangetv7306
      @dizangetv7306 23 дня назад

      Asante dada Winnie mwaka 😊😊❤

  • @amidabukuru
    @amidabukuru 14 дней назад +1

    Heeee hadi machozi ingekua kifo kinamchukua mtu mwanae kishakua wakujilea ingekua vizuri laaaa inauma

  • @IdrissaHabibu
    @IdrissaHabibu 22 дня назад +1

    Imeweza kutoa choz langu , 😢 safi

    • @dizangetv7306
      @dizangetv7306 21 день назад

      Asante ndugu idrisa mungu akubariki 🙏🙏🙏

  • @chesangfaith3132
    @chesangfaith3132 15 дней назад +1

    Great lesson

  • @PurityNafula-h6f
    @PurityNafula-h6f 16 дней назад +1

    akuna shedani ni ww tu mwenye tapiya mbofu na pipi yanko roho jafuu san😥😥😥👌👏 akuna musamaa mm No

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 16 дней назад +1

    Mbona mnalalamika sana wakt hii ni mov😂😂😂

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 15 дней назад +1

      Nawenye wanalalamika sana niwadada ndoukae ukijua uchungu wa mwana aujuaye mzazi maana huyo ndoanaye ijua Labor 😅😂😅😂😅😂😅😅😂

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 10 дней назад

      Movie imebeba uhalisia. Wapo watu kama hawa

    • @SalhatMisagi
      @SalhatMisagi 5 дней назад

      Huu ni uhalisia kabisa nishapitia nimeshindwa kujizuia 😭😭

  • @JuliethMnkai
    @JuliethMnkai 14 дней назад +1

    Mjomba ipo siku utaponzwa na huyo mwanamke wako utalia nakusaga meno😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @beatricemlowe4438
    @beatricemlowe4438 21 день назад +1

    Great work Mr mbwela love it

  • @EyaumaOmukuyia
    @EyaumaOmukuyia 8 дней назад

    Mwana ume waakili timamu kumbuka mamako ni mama,pia bbyo ni mm sasa mbona umfanye ivyo huyo mdada😢😂😂😂😂😂😂mchawi wewe pia muwaji😂😂😂😂😂