Gabu x Frasha ft Joe mfalme - Wabe (official video)
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Send 'Skiza 8542191 ' to 811 (Safaricom ) TO DOWNLOAD
Wabe is a club banger. This super video was shot in Nairobi, the pearl of Africa. It features Gabu and Frasha also known as P-Unit. Joe Mfalme in the mix.
Director: A. Macharia
Song produced by ManChild X Ulopa Ngoma. - Развлечения
anyone in 2025 still jamming with this
Ndio kufika😂
2024 we still here jamming to this banger 😊
walai🔥🔥😂
Tuko tu hapa
Lit🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤ for real
❤❤❤2024 and loving this jam
5yrs later Sina Ata likes 5 show some love guys
GABU ni mzii meeehn.tuko Dirunk
Big Tuuuuune wabe
Just to imagine magix enga did this track....
.noma big up
I'm a born again Christian by conviction and knowledge and I'm not ignorant so help me God in Jesus Christ name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
where did all the good music go yawa,our industry is dead damn i miss those good days😞😞😞
Skiza arbantone!
All rubbish!@@RisingWavesTV
Banging fresh in 2022. Good music remains timeless.
Kenyan Talents Rock!!!
Still here in 2025🔥🔥
@@dolje3802 wow! It's as hot as new
wabe sawa P UNIT
Who is here for Frasha like me? Mad mahn
Ngai fafa!!!!! Dope bt my mum kwisha Mm😘😘😘😘
wabe nomaaaa
WABEEEEEEEEEEEEEEEEEE...!!.Atherere..Ekegwere..!>>>>>>>>>>>
This one remind me of being in class six😅😅😅I sang it I'm class sema kupigwa na mode😊
Sasa hii ndio inaitwa kuset the bar higher....kenyan music is branding itself now...WABE
Frashaaaaa is the guy..WABE.
we are not talking about joe mfalme....how he murdered this
Dobe video....ladies on fleek....
Big up puuuunit duals
Wave ni wabe to kiwabebaaa
Listen to the Hits...sai nikama Kenya imekua katoto bila idea
im extremely humbled by Steve Irungu Jermaine
awesomee shiiiiidddddd
Frasha yule mseeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hehe hizi ndo video Ezekiel mutua huangalia akiboeka....#Wabeeeeeeee
Maaad love for the flick... Potatoes tate... Hatters hate
.....nimeshika wasupa wengi kushinda Gynae!!! hahahahaha. The best line!
TRUE DAT😎
kabu should have just remained in music industry, Politics si kila msee
we Kenya kweli,enyewe ska daida wabe
"kuchukuchukuchukuchu!!! wabe" i think this side inarahisisha kazi ya DJ.
gabu...atireee rekegwiri uko top..
ii ngoma inafaa views kaa 1m...budaa ni motoooo
iko swa tu . waaaaa beee
hahaaa! kali,gubu! gubu! wabe!
Buganyaaaaaa💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👽👽
ao madame ni wakenya ehh? wabe!!!!
manze side beats ,p unit muna tisha .....respect manze
Wabe wabe wabeeeeeeee!!!
Sana wabe gathere
Queenlema big up👍🏻😁
2
0
1
9
WABEE!
Bugubuguu
2020😍😎
WABEEEEEEE!!!
Still a hittt 2020
Wah big u gu6s iki juu sana love it wabe
This era of kenyan music was phenomenal
wabe.... hehehe sina say
Ati mnasema kenyan music is low?
Nkt ... this is the best music in Africa... Nigeria ni wotifai mpaka saa ngapi
Ssaru
Baddest🔥🔥🔥🔥🔥
mlikosa tu Kristoff hapa
This club is x millionaires,the faces back there look very familiar,oh my.ssssssshhh
pesa lazima itafutwe
ata mimi sina time ya kuonyesha kitambi sauna......juu siezi afford sauna yenyewe!!! #goals
noma wazito
Listening to this in 2023.⚡💉🏾
Wabe
Gang
Wabe 🔥 🔥 🔥
Pia mimi
@@mervo1477yyy y
Kali sana Frasha never disapoints,Gabu agood one
aterere mani... reke ngwere ma... icio thende
2
0
2
1
WABEE!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We must agree Gabu is the club banger in kenya, i dnt know why they did not reach out to Boneye .....Lakini much respect to Bunganya.... na hapa ni X$ millionaire ...so familiar
true... Gabu is becoming better n better
haha
Big up to my gals PAM,YVONNE,SHANTEL,CYNTHIA,NICOLE very good job,you killed this much respect, YVONNE and CYNTHIA on the pole #MURDER
wabe kali zaidi
Joe connecting people via music
Ezekiel Mutua tunasija na #Wabe utado nini?.....udhi udhi udhi? damn hao divas they can get it get it...working on the pole 🙌🏿😃 #BandzMakeHerDance lakini nimecheki msee kaa yola prezzo fiancè
Boneye missing still love it though penda nyinyi sana si mfanye concert am here payin 4wateva niggas 😍 u
2024 only a few days to 2025 😎
2
0
2
1
WABETz
Now this is the quality we have been looking for and its in this video WABEEEE!!!!!! BIG UP HABU FRASHA AND JOE MFALME. DOPE SHIT!!!!
🔥🔥🔥 ati ameshika wasupa wengi kushinda gyna! nomaaa
si Hina 😂
😂😂 hii ata generation next inaona 🔥🔥😂👑💯
super hit!!!!!!!!wa wa wa wa wa wa waaaabeh!!!!!!! aterereeeeeeeeeeeeee
kwama kwenye game ka MUGABE...........................................WABE
Bonge ya ngoma aisee
apo sawa sasa kenyan muzik iko juu nice beatz akuna kuskiza awa nigerians tena kenya 4 life
kazi safi mzitodeeh Joe Mfalme we ndiye Mtemi Bokono wao!!
nimeshika wasupa wengi kuliko gyna.....sina saa ya kuonyesha kitambi sauna
Noma nimecheky manzi ya mine vile ni mkare kudance ...hope mmemlipa
Hii vibe ukiwa jaba inashika mbaya sanaa🔥🔥💫
Konki🔥🔥
WABE...👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐👐
Bugubugu Bugubugu....
Hii track ni ngoriiii,the beat manzeeeeee
2023
Great work Frasha and Gabu! If this continues I'm gonna love Kenyan music even more. To the hypocritical Kenyans out here hating,keep on doing your thing; you make people do great things 😭😅
Hizi ndo ngoma watu arbantone wanafaa kutumia
Walai
Aki Walahi 😂
Hakuna noma hapa bana kufurahia
aah katia akikataa kuingia..tafuta beshte yake pita naye dandia🔥🔥🔥🔥
DJ cheza WABE mpaka asubuhi ngoma poa sana
Ok, bila kuhate ama nini, ama venye si hujifanya si wakenya sometimes, Gabu ametry sana this time round, I have to give him that, amenisurpise. singeexpect yeye of all P-unit, ama all other artists
Quality and energy plus content delivery iko on 1000%!!!
New and unique!! Hapa mmeweza enyewe!!
good song..kelele nyingi muache
1dec 2023 it was still a hit❤ Kenyans let's love our own
The illest mzea
yesssssssss nani ako na behind the scenes ..nifungue macho mzuri..boneye bana iko wapi
enyewe ii iko wabe...nani anaekiza hadi wa leo
safi!! video iko sawa. Dj Joe mfalme kama kawaida hawezi dissapoint.. humble guy right there
2024 we still in🔥🔥👑
Listening to this, 2020. It's my 25th birthday. Someone say 'happy birthday😋😋!'....
Walhi mko juu Sana 100%sure
mi ni designer origi kutoka China..................Sina saa ya kuonyesha kitambi sauna.....#Gabu...this indeed is hot among the hotest...Mko juu tu sana, was thinking of the remix featuring Boneye....
Ati saa hii ndio tik tok challenge inatoka!!!
wawawa hawa walitoa huyo dame wa net stockings wapi?😱😱😍😍😍😍
timeless banger .....WABE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Gabu. 'Nimeshika wasupa Kushinda gyna' wooow..
Y’all clubs not playing this are slacking 🔥
It's 2022, and still dancing to this jam🔥🔥🔥🔥🔥