Wakati unasom kwa mashekhe wengi, mengine unasema unawaachia wenyewe unapoon wanakudanganya hii qauli niyasawa hii, waliokua wana kusomesh walikua nasifa gani mpak uchukua uamzi huo!!
kwanza kawatovekea adabu walimu wake..kw kusema kua anajua kua anaburuzwa kw hivo anawasikiliza kisha anawaachia wenyewe..hii sio adabu..la pili anajidhihirish zaidi kua kasoma kwa watu sio wenye elimu za uhakika..ndio mana kawez kusema :NAWACHIA WENYEWE MENGINE MAZURI ANAYACHUKUA..hivo ata yeye hawezi kuaminiwa kua Ana elimu iliyo sahihi.ndio mana akawa anafetuwa akipatia sawa .hakupatia aachiwe mwenyewe..Huu ndio mtihan wa KUTOKUSOMA KWA WANAZUONI .
Nyie mbona mnang'ang'ania vitu ambavyo mwanachuoni wamegongana kimawazo na kimapokeo... Nyie ndo mnaoleta FUJO katika dini... Hayo majibu kila mtu yupo sahihi katika mapokeo
@@saidsobongo912 Changamoto inakuja unamwambia mtu MUONGO ukizingatia ni sheikh na msomi huo ni ukosefu adabu kama mtu unajua ni ikhtilafu kila mtu anayo anayoitegemea KWAHYO TUHESHIMIANE ndio dini inavyotakiwa
Nyie mbona mnang'ang'ania vitu ambavyo mwanachuoni wamegongana kimawazo na kimapokeo... Nyie ndo mnaoleta FUJO katika dini... Hayo majibu kila mtu yupo sahihi katika mapokeo
kufuga nywele ni sunna hata mtume alikuwa na nywele ndefu alizilaza kuhusu kucha huyu alipokuwa anakunywa pombe figo zilikaribia kufeli hivyo kuweka kucha ni moja ya matibabu ya figo zikioza kucha figo linakuwa na tatizo
Huyu Shekh kashindwa kuwafundisha haki jamii balialichokionahaki ni kuwatusi Watu wa Maulidi eti ni wakata mbuno hayawewe lako ni lipi mbonayaonyesha wewe hatakujiswafisha hujui na ushekh wako? Maana minyweli كأنك الشيطان Mtume hakua hivyo
Ww wamtusi muislam tena msomi wadin kama huyo wamuita shetan kwasababu yanywele zake alizofuga? Hakika ww nimuovu namajibu yako utayabata kwa Allah kwakumtusi msomi.
Mashaallah sheikh msabah jazaka allahu khaira
Shekh wewe ni phylosofer mzuri na msomi mzuri wa kufuatwa. Allah sw akujalie uzidi kutuelimisha.
Shukran Sheikh Musabah kwa kuwapa maneno wajue... Siasa iliingzwa katika Dini
AL hamdulillah hayo ndio Mawaidha Insha Allah akuzidishe Elimu zaidi
Shukran sheikh kwa kuhimiza watu wasome
Mungu akubariki wemkweli ☝️☝️☝️❤️❤️❤️✌️
Mwanachuni mzuri na msomi sana mashalllah
Sheikh hao unaewapa ilmu hii, wametia Pamba ktk masikio, wamechificha kwenye dini,
MASHAALLAH
Maulid uzushi tu tusizungushane sana
Hujalazimishwa
@@aliabdalla9297 ata ww pia hujalazimishwa kuacha ww endelea kufuata
AKILI HUNA WEWE.
MTUME HAKUPANDA GARI MBONA WEWE UNAPANDA.
Sijui kama kitana kinaingia kwenye hizo nywele subhanallah unaonekana kama chokoraa fulani
Iyo subuhanawah ya nn apo wakati wewe umemchunguza wakat nikosa kuchunguzana
Chokoraa ni wew usiejielewa
Fay huko chini na wewe umechana?! inavyomegwa unaisafisha vizuri kweli?!
Chukua mawaidha nywele hata hao mashekh wako wanaweka
Uislamu ilikwepo tangu adam(A.S) ila uliwafikia wa kwanza kwa wakati wao ni bi khadijah(R.A)
Sisemi hivi kwa Majigambo lkn muhimu Tusiwazugushe waislamu..wakawa wanabeb ufahamu usio sahihi..Allah s.w atusamehe tunapokosea..
👏👏
Huyu ni genius
Kwa komedi upo vizuri.
Ww sheikh wangu sio vzur sheikh kuwa na manywele kama hio
kama ulikuwa hujuwi mtume alikuwa na nyewele yeye zake alizilaza
Duh mashehe wengi sikuizi
Asalamu alaikum sheh umeshapima kati ya nashid na maulid jeep nashid sio uzushi
Kwa wanawake muislam wa kwanza ni mama khadija na kwa mwanamume ni abubakar
Wakati unasom kwa mashekhe wengi, mengine unasema unawaachia wenyewe unapoon wanakudanganya hii qauli niyasawa hii, waliokua wana kusomesh walikua nasifa gani mpak uchukua uamzi huo!!
kwanza kawatovekea adabu walimu wake..kw kusema kua anajua kua anaburuzwa kw hivo anawasikiliza kisha anawaachia wenyewe..hii sio adabu..la pili anajidhihirish zaidi kua kasoma kwa watu sio wenye elimu za uhakika..ndio mana kawez kusema :NAWACHIA WENYEWE MENGINE MAZURI ANAYACHUKUA..hivo ata yeye hawezi kuaminiwa kua Ana elimu iliyo sahihi.ndio mana akawa anafetuwa akipatia sawa .hakupatia aachiwe mwenyewe..Huu ndio mtihan wa KUTOKUSOMA KWA WANAZUONI .
Yaani weyee katika hili darasa umeona kasoro tu hujapata manufaa yoyote? Tuwache tabia za kukosowa wakati hatujamfahamu Kwa sababu ya ukosefu wa elimu
ALKAMALU LLAHI WAHDAHUU. TAFUTA ELIMU UTUMIE NA MAARIFA.
Sasa kama amepata dalili Mzuri zaidi na mwalimu kachelea ulitaka aache dalili afuate mwalimu?
Sio 40 miaka ya mama khadija bali 38 ndo sahihi zaid
Hata 38 sio sahihi, usahihi ni kati ya miaka 29 na 31
@@sautikuu212qawli enye nguvu 28
Nyie mbona mnang'ang'ania vitu ambavyo mwanachuoni wamegongana kimawazo na kimapokeo...
Nyie ndo mnaoleta FUJO katika dini...
Hayo majibu kila mtu yupo sahihi katika mapokeo
@@sadiqselengu4197 hyo nisawa akhy hakuna alio pinga mtu akisema 28 saw akisema 40 saw lkn hua kna qawli enye imezungumzwa na wanachuoni wengi ndio hua enye ngvu akhy lkn hkn kubishana
@@saidsobongo912 Changamoto inakuja unamwambia mtu MUONGO ukizingatia ni sheikh na msomi huo ni ukosefu adabu kama mtu unajua ni ikhtilafu kila mtu anayo anayoitegemea KWAHYO TUHESHIMIANE ndio dini inavyotakiwa
leo ndio nimemjua huyu salum msabbah kua Porojo analo jingi kichwani
Unamaanisha hujamuelewa au umemuelewa sana?
hamtaki kuambiwa ukweli
Unasema GONGO HALIKO KTK UTARATIBU. MTUME ALIKUWA ANAPIGA PASI NGUO. MBONA NYINYI MNAPIGA PASI
Ama kweli uongo ukizungumzwa kwa muda mrefu hatimaye huonekana kanakwamba ni ukweli. Ukweli ni kwamba mtume anapomuoa bibi Khadija hakuwa na miaka 40,
Nyie mbona mnang'ang'ania vitu ambavyo mwanachuoni wamegongana kimawazo na kimapokeo...
Nyie ndo mnaoleta FUJO katika dini...
Hayo majibu kila mtu yupo sahihi katika mapokeo
UONGO ukitungwa pia hua na Malengo.
Je UONGO huo Ulikua na Malengo Gani!?
shida hamtaki kuambiwa ukweli
Angalau sisi marasta tuwe na shehe wetu.. Songa rasta shehe 😂😂😂
Fanya Adabu na masheikh zetu
Afu ww kuwa na adab
Hhhhhhhhhhhh
@@AnsabMahmoud-h8j aaaa kusema shehe asonge rasta ni kukosa adabu..? Eeeeh jamani mbona siwa fahamu..? shehe wangu namfwata darsa zake mbona..
Aisee huu kweli mtihani, mbona wewe hujulikan ukowap, watu wamaulidi unawaponda, wanaopinga maulidi unawaponda,
Yupo upande wa wafuga nywele Na kucha
kufuga nywele ni sunna hata mtume alikuwa na nywele ndefu alizilaza kuhusu kucha huyu alipokuwa anakunywa pombe figo zilikaribia kufeli hivyo kuweka kucha ni moja ya matibabu ya figo zikioza kucha figo linakuwa na tatizo
Jamani uislaam ni nadhifu mbona hata nywele huchani tobaa
Mwalimu songa rasta bora.. 😂😂😂
Alaf ww acha madiara😂
Huyu ni Naga bawa wa india
Kumbeeee niwale wale
At hathibitishi wala hapingi 😅😅😅😅
Huyu Shekh kashindwa kuwafundisha haki jamii balialichokionahaki ni kuwatusi Watu wa Maulidi eti ni wakata mbuno hayawewe lako ni lipi mbonayaonyesha wewe hatakujiswafisha hujui na ushekh wako? Maana minyweli
كأنك الشيطان
Mtume hakua hivyo
ni kweli wa maulidi ni wakata viuno ndio maana mtume akasema BIDAA zote maisho wake ni upotevu na akakemea sana juu ya bidaa.
@@medimisi6930kinachokukera ni hayo maulid tu huna jengine utasingizia kila baya
Ww wamtusi muislam tena msomi wadin kama huyo wamuita shetan kwasababu yanywele zake alizofuga? Hakika ww nimuovu namajibu yako utayabata kwa Allah kwakumtusi msomi.
Kijana ukitaka kumuhukumu mtu Kwanza jua ukweli wake. Shauri yako
@@HappyAlpineVillage-rt2jw mh, na ww ni wa kukata mbuno nini, tufuate haki ishallah
Kanye nywele zako kwanza zimejaa chawa huna ilimu yoyote ww fujo tu mm naona kama ww kabla yakuzungumz unavutabangi