DOGO SELE WAPE PESA ZAO LEO TUMEUMBUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 435

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi  4 года назад +216

    Ahsanteni Sana kwa support zenu wadau wetu
    tunawapenda sana 🙏
    Mungu awabariki katika kazi zenu
    mnazo zifanya nanyie 🙏❤

    • @barakasaidy4185
      @barakasaidy4185 4 года назад +6

      Dua nene

    • @RADAR5
      @RADAR5 4 года назад +4

      💪💪💪👍

    • @marcelmarco5182
      @marcelmarco5182 4 года назад +5

      Kaka Steve nimecheka Hadi Meno yanauma😁😁😁😁😁😁 then kk nataman kufanya KAZI nawew na KIPAJI cha KUIGIZA plz 0788562260 watssap

    • @marcelmarco5182
      @marcelmarco5182 4 года назад +3

      Hellow

    • @marcelmarco5182
      @marcelmarco5182 4 года назад +3

      @@hatibhatib5760 hakika💯💯✏️✏️

  • @wasafiwasafi734
    @wasafiwasafi734 4 года назад +89

    Dogo unachekesha naombeni like zenu kwa dog sele jaman

  • @johnsafaris7204
    @johnsafaris7204 4 года назад +24

    Steve umefanya vizuri sana kuturudishia huyu Dada mwenye kuvaa blaki. Tunampenda kweli.

  • @amosmumo1069
    @amosmumo1069 4 года назад +17

    Wape hela zao washa amua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kali mdogo wngu sele ,,4rm 001

  • @chidyboytz48
    @chidyboytz48 3 года назад +2

    😂😂😂eti naombeni nikampe usia mjomba wngu😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @pelesiabuhaga2120
    @pelesiabuhaga2120 4 года назад +9

    Dogo namkubali sana Steve ongea yako unaniacha hoi sana good job

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 4 года назад +21

    The young boy is very sharp . love from Nairobi 😂😂😂😂😂

    • @menuuabdalla2295
      @menuuabdalla2295 3 года назад

      Hujambo

    • @kingsolomon0
      @kingsolomon0 3 года назад

      @@menuuabdalla2295 .sijambo kaka Abdalla. Tz vipi . Hatuoni kimbunga cha Tundu Lisu ama alifyekelewa mbali , na yule mkuu wa mkoa kutoka Tabora , Mr Henry Mwanir 😂😂😂😂😂

  • @bahassantv7135
    @bahassantv7135 3 года назад +1

    Yani nimecheka mpaka machozi eti wape hela zao hahahah soo Fannie

  • @mariamfoyatresbien3227
    @mariamfoyatresbien3227 4 года назад +2

    Dogo Sele na Steve mpo vizuri sana, nimecheka mpaka basi

  • @madooog6067
    @madooog6067 3 года назад

    Daaah uyu jamaaa nimekaa nae Sana maguluwe kutoka kwenye kuonyesha mpila hadi comedy

  • @babasandra638
    @babasandra638 4 года назад +31

    Naomba like Kama 100 mm ni mkenya jamaa

  • @neemadangote4061
    @neemadangote4061 4 года назад +12

    Dogo sele nakupenda mdogo Wang una akili sanaaa

  • @salmasaeed9357
    @salmasaeed9357 4 года назад +11

    Hahahahhah dogo sele ww eti wape hela zo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdihakimkimze1590
    @abdihakimkimze1590 4 года назад +3

    Steve akikasirika me hua nafurahia🤣🤣🤣🤣😂😂 .....anakuchekesha sana

  • @kennysmartboytz9861
    @kennysmartboytz9861 4 года назад +5

    😂😂😂aah nyie wasenge noma yaani mnachekesha mpka kero

  • @winymuthaisu5977
    @winymuthaisu5977 4 года назад +1

    Dogo sele nakupenda sana,,,,kip it up

  • @ngendahimanablaise7322
    @ngendahimanablaise7322 3 года назад +1

    huyu mtoto ana maarifa katika ucheshi kbsa.

  • @patricklokale6378
    @patricklokale6378 4 года назад +4

    Unanipaga raha sana Steve 🤣🤣🤣💪💪

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 года назад +5

    Hahahhhhhh Steveeee mmejua kuumbuka leo🧟😅😂🤣😊

  • @stephanolumato
    @stephanolumato 4 года назад +4

    Mnajua kutufurahisha Dogosele na steve💪💪

  • @mamulady4282
    @mamulady4282 4 года назад +1

    😄😄😄😄😄atar

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 года назад +2

    😂😂😂😂😂mtoto mjanja sana huyu

  • @beatricequeen9871
    @beatricequeen9871 3 года назад +1

    Hahahahahaha hahahahahaha hahahahahaha so funny

  • @jacksonsunday8883
    @jacksonsunday8883 4 года назад +5

    Hahahahaha dah Ila Steve mnaendana sana na dogo sele

  • @sergechikoma8180
    @sergechikoma8180 3 года назад +3

    Dogo and Steve you’re the best comedians ever, you made my day, from USA

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 года назад +3

    Daaaa madada wanamitako awaaaa baraaaa asee 🤓🤓yaan naangalia mzigo tu mm

  • @joycegabriel8916
    @joycegabriel8916 3 года назад +1

    Kazi nzuri.. Allah azidi kuwaongoza.

  • @hadijahadija689
    @hadijahadija689 3 года назад

    Walahi sele www umetisha nivile nko kenya tu lakini una zawadi kubwa iko sku tutakutana tz one day yes sele uko juuu bro

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 года назад +5

    Sele bn et wape ww washaamua 😂😂😂😂

  • @bbmtvbyamungu7103
    @bbmtvbyamungu7103 4 года назад +3

    Nakukuli sana mimi ni bisimwa byamungu kutoka Congo RDC ongera sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @mashafestusmramba7577
    @mashafestusmramba7577 3 года назад

    😂😂😂😂😂😂😀 aaaaahhh kweli hapa wamenikoshaa

  • @livetolive3460
    @livetolive3460 3 года назад +3

    Guys you are the best, love from Malawi 🇲🇼

  • @ommybiggie4825
    @ommybiggie4825 4 года назад +1

    Haki ya mungu sele ...mnanifanya mwehu nacheka peke yangu watu wananishangaaa,,😂😂🤣

  • @nyotanjemaingarayo5384
    @nyotanjemaingarayo5384 4 года назад +1

    Hahahahhahaha wasia jamani mbavu zangu miee

  • @didiamwemwejo7495
    @didiamwemwejo7495 4 года назад

    Mnatisha wazee nawakubali sana

  • @sirojingereza1443
    @sirojingereza1443 3 года назад

    Hahahaha really Steve na dogo sele mmenifanya nimecheka kweli

  • @DennisAffiliate
    @DennisAffiliate 4 года назад +4

    More Love jaman kutoka South Africa 😍😍😍😍

  • @barikilosivo6436
    @barikilosivo6436 4 года назад

    Sele kajanja kweli nampenda sana

  • @dorisurio8001
    @dorisurio8001 4 года назад

    Yaani ni kipaj tosha... Amejifinzia wapi wajameni...no stress dogo..

  • @mwingitv6070
    @mwingitv6070 2 года назад

    ety wale wako serious naenda kuchomwa sindano mzebaba we noma

  • @gidionnyangaka8940
    @gidionnyangaka8940 4 года назад +1

    Ha ha ha ha hawa wana hawanaga akili aisee

  • @jephbrighton5013
    @jephbrighton5013 3 года назад

    Sawa dogo sele jaman na stivu ww noma jaman

  • @ndayisengaemerymuhanga1707
    @ndayisengaemerymuhanga1707 2 года назад

    Tunawapenda nyiye kbs

  • @royalgang3710
    @royalgang3710 4 года назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂dogo amejiongeza😂

  • @liliankhavakali3878
    @liliankhavakali3878 4 года назад +4

    😂😂😂😂noma I say watching from kenya

  • @christophergombo5362
    @christophergombo5362 4 года назад +1

    Nice moja hiyo

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 4 года назад +2

    🤣🤣....Kule ospital yale majengo tu, vifaa vyenyewe ndio hvi

  • @byaombemloko8470
    @byaombemloko8470 4 года назад +7

    This one the fanniest comedy clip you have done lol

  • @RehemaMuhuku-hj9ue
    @RehemaMuhuku-hj9ue 6 месяцев назад

    Haa we Steve noma kwel😅😅😅😅😅

  • @hajiisoma5448
    @hajiisoma5448 3 года назад

    Nyie nikibongo mpo vzr

  • @stevenisanja6653
    @stevenisanja6653 4 года назад

    Nice sana dogo mjanjaa sana

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 года назад +2

    😃😃😃😃🙌🙌🙌

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 4 года назад

    😀😀😀😀jamani mbavu zangu weee daaah

  • @claudelaudegihamana6683
    @claudelaudegihamana6683 3 года назад

    Dogo sele nakukubali sana🤜🤛

  • @ndagijimanakibibi7381
    @ndagijimanakibibi7381 3 года назад

    Stiven kweri nakupendaka sana

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 4 года назад +1

    Nimecheka mbaka nalia eti wape hela zao washaamuwa

  • @lionking3015
    @lionking3015 4 года назад

    Kazi safi ila huyo rasta kabeba begi lakijeshii mgongoni. Hatareee

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 года назад

    Yaani nyinyi wawili nyinyi khaa. Nimecheka kwa sauti nikasahau shida zangu.

  • @kipkemthecomedian5068
    @kipkemthecomedian5068 4 года назад +2

    You are very funny 😅😂 bro thn big up dogo sele

  • @hassanmasoud8647
    @hassanmasoud8647 3 года назад

    Kiukweli unafanya kazi nzuri

  • @ellyokwemba4136
    @ellyokwemba4136 3 года назад

    Like your vision fogo from Kenya

  • @sharon-is2jn
    @sharon-is2jn Год назад

    Napenda dogo anavyo cheka

  • @AminaSaid-tk3cy
    @AminaSaid-tk3cy 4 месяца назад

    WOW GOOD JOB TOTO

  • @fridajosephyusif4364
    @fridajosephyusif4364 4 года назад

    Washaamua sele we mtoto 😀😀😀😀😀🇹🇿

  • @mariamabdallah7407
    @mariamabdallah7407 3 года назад

    Noma san 🇰🇪🇰🇪😂😂❤❤

  • @emmanueldrc864
    @emmanueldrc864 4 года назад +2

    Dogo sele yupo serious kweli

  • @magangiralucas6516
    @magangiralucas6516 2 года назад

    Aisee nyie jamaa kutoka kanda ya ziwa akir nying sana munaweza kwakwer

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 3 года назад

    Nikampe husia mjomba 😂😀😂👍

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 4 года назад +1

    😁😁😁😁😁 very talented

  • @aydaabbas9580
    @aydaabbas9580 4 года назад +2

    Nampenda huyu mtoto ❤️

  • @eddovanny2553
    @eddovanny2553 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 Dah et wape Hela zao

  • @tongabitonga9161
    @tongabitonga9161 4 года назад

    Nyie watu ni mnajua adi mnaboa aseee.....hahahaha

  • @natachafifi2448
    @natachafifi2448 4 года назад +1

    Iyi noma sana 😂😂😂

  • @titusfasha8765
    @titusfasha8765 4 года назад

    Hodarii wee steve wapenda helaa sana mmmh😋😋😋😋

  • @marymamntine1909
    @marymamntine1909 4 года назад +4

    Wewe steve mbona unapenda wadada wenye mangongingo?

  • @fahadiswaleh5519
    @fahadiswaleh5519 4 года назад

    Dada mna mzigo nzuri mzuri sana

  • @swabirali1276
    @swabirali1276 4 года назад +1

    Hii kali😂😂

  • @robertmolla8620
    @robertmolla8620 4 года назад

    Let hela nikatafute chenji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @VPRESTVchannelOneTV
    @VPRESTVchannelOneTV 4 года назад

    Uhakika munanichekesha😂😂😂😂😁😁

  • @trifonidesdery8707
    @trifonidesdery8707 4 года назад +1

    wape hela zao dogo na stiv mko juu mawinguni

  • @alimamusa8717
    @alimamusa8717 2 года назад

    Dogo sele the cutest comedian ever seen

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 4 года назад

    jamaa mnaweza sana

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 3 года назад

    Dogo na Stiv mnatuvunja mbavu huku SOMALILAND.

  • @mymuna7143
    @mymuna7143 4 года назад

    Kwel
    mko
    vzr

  • @dogomusa31
    @dogomusa31 3 года назад +1

    Hyo Sawa hapo

  • @jacksonjackson8607
    @jacksonjackson8607 4 года назад

    Sele mpka kufikisha miaka 18 atakuwa kakimbiaa KM 1000000

  • @alnbmsafionline2727
    @alnbmsafionline2727 4 года назад

    Nakubal br

  • @peterrobert8905
    @peterrobert8905 4 года назад

    Mnaweza sanaa ......

  • @mariamujuma6444
    @mariamujuma6444 4 года назад

    Ww dada mwenyenyere ndefu nakunda adi naumwa

  • @barrygt1638
    @barrygt1638 4 года назад +1

    Steve mweusi😝😝😝😝😝👌👌👌

  • @Chau_rembo_tz
    @Chau_rembo_tz 4 года назад

    Steve kwakwelii daaah nacheka sana

  • @243classicmusic8
    @243classicmusic8 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃toka DRC 🇨🇩nawapenda sana

  • @igiranezaadidjaadidja6468
    @igiranezaadidjaadidja6468 4 года назад +1

    Hhhhh duhh love u boy

  • @mariamakanu1690
    @mariamakanu1690 4 года назад +1

    mbavu zang uwii 😂😂😂😂😂

  • @ashamakokha4022
    @ashamakokha4022 4 года назад +1

    Wape hela zao 🤣🤣🤣🤣

  • @djnardmac8223
    @djnardmac8223 4 года назад

    😅😅😅 wah nyinyi but ujanja yenu yafichuliwa

  • @agnesmakoa990
    @agnesmakoa990 4 года назад +1

    Jaman tumbo linaniuma 🤣🤣🤣🤣

  • @HasonNyuki
    @HasonNyuki 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shaabanmalik4366
    @shaabanmalik4366 3 года назад

    dogo sele wee nomaaaaaaa

  • @hadijahadija689
    @hadijahadija689 3 года назад

    Mm nko kenya naomba na ya sele yoyote mwenye nayoo