ani niache nyapu ya mke wangu kisaaaa..io ofisi yanipa nn kitamu zaidi ya cha mke wangu, tena cha asbh kina ladha ya pekee sana! Na ni matatizo hayo ya usafiri na labd pengine uko nyumbani afukuzwa. Ila yote kwa yote kazi njema nafikiri anaifany vyema. #GGTZ🇹🇿
Mashaa Allah Allah akuongoze jaji mkuu ibrahim juma
Prof Juma namkubali sana natamani hiki kichwa kitukwamue hapa tupo. Asante
Allah amfanyie wepesi katika kazi yake
Ibrahim anaonekantu kiukweli nimpole sana sana
kweli Jaji Mkuu Khamis Juma anaonekana mpole sana, lakini ndani ni chuma tupu, dhabiti sana.
Anaonekana hana sifa ya kujikweza
ibrahimu piga kaz baba wahukumuu wez maaana nomaa kwel
Sisi Mara hivi ni vitu vya kawaida tu,toka zamani
Mungu amlinde na amuwezeshe kuwa na uadilifu
Hongera jaji mkuu wa utumishi uliotukuka.
Nakuelewa Sana kabudi
wahh
awe kama wa kenya
Naona misifa kibao Duhhh
Namwona Makonda hapo Msomiiii
Makonda ni msomi wa wapi!
asema uongo kwa kujipendekeza na kumsifu mtu kwa uongo
masifa matupu lkn hana la maana
hakuna chochote mnatetea ajira zenu tuu.
kilamtu akieleza SV zake itakuaje,kuna wafanyakazi wanafanya kazi 24hrs,unakuta kituo cha afya,shule wapo wafanyakazi wa2 au wa3,hawa unawafikiriajee?
IBRAHIM SHILINDE usiwe na wivu mtu akipewa uwezo wake.je kama ingikua wewe unge pinga.ficheni udhaifu wenu
Naona bashite nae anapiga makofi
bakari yusufu hhahahaha tungemuwahi pale alivyotoka tukamuuliza alikuwa anapigia nini
ani niache nyapu ya mke wangu kisaaaa..io ofisi yanipa nn kitamu zaidi ya cha mke wangu, tena cha asbh kina ladha ya pekee sana!
Na ni matatizo hayo ya usafiri na labd pengine uko nyumbani afukuzwa.
Ila yote kwa yote kazi njema nafikiri anaifany vyema.
#GGTZ🇹🇿
Uwongo mtupu sifa zikizidi