MITIMINGI # 137 VIGEZO GANI HASWA VYA KUZINGATIA UNAPOTAFUTA MWENZI SAHIHI WA KUOA AU KUOLEWA NAYE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 14

  • @aikashoo8841
    @aikashoo8841 6 лет назад +1

    Mchungaji uko sahihi kabisa, kutoolewa kwa sauti za watu bali upendo ndo utawale, MUNGU wa mbinguni akuongezee maarifa Zaidi u mkweli kwa maisha ya vijana sikuzote

  • @mayelias4207
    @mayelias4207 6 лет назад +1

    upo sahihi baba barikiwa sana

  • @chriss_Cm
    @chriss_Cm 6 лет назад +2

    Kweli kabisaaaaa

  • @emanuelmliga9636
    @emanuelmliga9636 6 лет назад

    ubarikiwe mtsh

  • @BongoShortFilms
    @BongoShortFilms 7 лет назад +3

    amazing🙋

  • @oscarmatona7692
    @oscarmatona7692 6 лет назад

    Barikiwa

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 6 лет назад

    sisi tuliopotea mungu anisaidie mtumishi mm na pigwa hadi na mwanamke wangu shida mwanzo nili jua ni mjamzito nikafikilia hivyo sasa naona kajifungua mtoto ila bado yuko vile vile Niki pata cancer naweza pona.mwanamke muda wote kwanza kazidi ugovi hauishi ndiyo nimegundua kuwa mwezangu ugovi uko damuni siyo ujauzito ndiyo chanzo napata tabu sana amani kidogo ugovi muda wote

    • @barikislael9648
      @barikislael9648 6 лет назад

      Nataka mchumba wangu umseminishe .mtumishi inuriwa sana katikahuduma

  • @mayelias4207
    @mayelias4207 6 лет назад

    yani huku Tanga jamani kuna kanisa lina tabia iyo huruhucwi kuoa au kuilewa mwanamke au mwanaume wa nje au kanisa jengine..Nakuomba njoo Tanga tunakuitaji sana Dr.

  • @tulivuevethatemba7628
    @tulivuevethatemba7628 6 лет назад +1

    true

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 7 лет назад +1

    Dr Arusha unakuja lini jamani kuafanya kongamano?

  • @saumungala734
    @saumungala734 6 лет назад

    Barikiwa