MITIMINGI # 564 FANYA HAYA KABLA HUJAOA/KUOLEWA USIINGIE KWENYE NDOA KWA KUKURUPUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @barakabugengo5235
    @barakabugengo5235 4 года назад +1

    Dah tutamkumbuka daima doctor Peter mitimingi RIp mwenyez Mungu akulaze mahali pema tutazidi kukuenzi kupitia masomo yako ya mahusiano

  • @lawisonjameskaleme6243
    @lawisonjameskaleme6243 5 лет назад +2

    Nakuelewa sana Pastor, nami natafuta mchumba MUNGU aniongoze

  • @princepiusmugyabuso3949
    @princepiusmugyabuso3949 6 лет назад +5

    Nzuri sana mchungaji inaonyesha ni jinsi gani vijana wa sasa tunachangamoto ya kutafuta wachumba wa kweli

  • @syriacussylivester4594
    @syriacussylivester4594 4 года назад +1

    Aminaaaa kwakweli ni mafundisho memaaa. Mung na akubariki mtumishi..

  • @johndestar2240
    @johndestar2240 6 лет назад +4

    Hongera sana Peter Mitimingi,,,,,Nakushkuru sana kwa kuongea ukwl mzima juu ya Mahusiano ya Ukwl,,,,ni kwl kbs kabla watu hawajaoana lazima wachunguzane Vzr kbs ili kuthibitisha kama wanavigezo vyote vya kuoana....big up sana Kaka...Mwenyezi Mungu akuongeze ktk Maisha yako yote....@ Peter Mitimingi

  • @quineshaaeppymack8318
    @quineshaaeppymack8318 6 лет назад +4

    Amina baba tupe mafundisho tupone

  • @oliverkyando7713
    @oliverkyando7713 6 лет назад +5

    Thus true man of God we must get to know the person before entering into relationship

  • @haikamongi9525
    @haikamongi9525 4 года назад +2

    Rest in peace pastor, mafundisho yako yataishi milele

  • @Mariam-ez4qw
    @Mariam-ez4qw 6 лет назад +3

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @emanueljosephat1605
    @emanueljosephat1605 6 лет назад +3

    Kwel hiiii steji inahitaji subra ya maaaana.

  • @annedavienyamhanga4738
    @annedavienyamhanga4738 6 лет назад +4

    Very true

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 6 лет назад +2

    kweli huyu mtumishi ana mafundisho mazuri sana

  • @theresamilanzi9947
    @theresamilanzi9947 6 лет назад +2

    Asanta mchungaji ubarikiwe

  • @neemambise5744
    @neemambise5744 4 года назад +4

    Ni kweli kabisa kumjua mtu ni muhimu,,,wenye matunguri wapo sana..unakuta umempenda mtu kumbe sii kwa akili zako amekuloga..

  • @rashidiomary1324
    @rashidiomary1324 6 лет назад +2

    waeleze vizuri ili wajue maana mabinti wengine ni kama watoto hawaoni hayo unayo yasema

  • @samwelilazaro2835
    @samwelilazaro2835 6 лет назад +6

    SHALOM MTUISHI SAMAHANI UMETAJA MAKUNDI MENGI SANA WASIO FAA,,,SASA SWALI LANGUUU NDO TUSEME HAO WAMEFUNGIWA MLANGO WA NDOAA???????

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 года назад +1

    Hapo ndo ujue Kama mtu akishazaa na MTU wake kuachana NI ngumu Sana kamba haitakatika

  • @emanuelclever1069
    @emanuelclever1069 5 лет назад +1

    Fact

  • @anithanjole8585
    @anithanjole8585 6 лет назад +2

    Go deeper papaaaa

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 6 лет назад +5

    Mbona wachungaji na wainjilist wengi wa kitanzania hawana kazi yeyote na wanataka kuoa?na wanadanganya wasichana kuwa Mungu ataleta!!unasemaje hapo?

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 лет назад +2

    Hata Mimi kabisa nime lelewa na Baba yangu na mama wakabo alivo tu tesa mpaka moyo unauma nikifikiria I really ask God to forgive me and I need to forget about it

    • @cindymacho5282
      @cindymacho5282 4 года назад

      Pole sana but samehe tuu mpe mungu nafasi ya kurehemu huyo mama upone moyo wako

  • @tulivuevethatemba7628
    @tulivuevethatemba7628 6 лет назад +4

    fundisha baba tupone

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 лет назад +2

    Haaahaaaa 😂😂😂