WENYE ULEMAVU WAPATA MKOMBOZI
HTML-код
- Опубликовано: 28 ноя 2024
- WAZAZI WNYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM WAMESHAURIWA KUWAPELEKA SKULI WATOTO WAO ILI KUPATIWA ELIMU YENYE UKOMBOZI WA MAISHA YAO.
USHAURI HUO UMETOLEWA NA WALIMU WAANAO SOMESHA WATOTO WENYE ULEMEVU MCHANGANYIKO KATIKA MAONESHO VA UFUNDI KWENYE CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MWANAKWEREKWE IKIWA NI MWUENDELEZO WA JUMA LA MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR.
WAMESEMA IPO HAJA YA WAZAZI KUWATILIA MKAZO WATOTO HAO KWANI HUPEWA NAFASI KUBWA TOFAUTI NA WATOTO WENGINE ,WAO HUJIFUNZA PIA KAZI ZA MIKONO AMBAZO HUWASAIDIA KUPATA FEDHA ZA KUTATULIA SHIDA ZAO HIVYO WANAPOMALIZA KIDATO CHA NNE TAYARI WANA UJUZI WA ZIADA.
AKITOLEA MIFANO YA WANAFUNZI WALIOPO CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MWANAKWEREKWE NA SKULI YA KWEREKWE A HAO WOTE WANAWEZA KUTENGENEZA VITU MBALI MBALI NA KUPATA FEDHA ZA ANGALAU KUNUNULIA SABUNI,CHAI,NAULI NK.
AKIJIBU MASWALI YA WANAFUNZI WALIOTEMBELEA CHUO HICHO MKUU WA CHUO MAALIM CHUM HAJJI AMESEMA GHARAMA KUBWA YA MAFUNZO HAYO INABEBWA NA SEREKALI HIVYO WANAFUNZI HUCHANGIA KIASI CHA LAKI MOJA NA ISHIRINI TU KWA MWAKA.