Yanga walivyokabidhiwa kombe lao la ubingwa wa 30 NBC Premier League

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • SHEREHE ZA UBINGWA; Hatimaye Yanga wamekabidhiwa kombe lao la ubingwa wa 30 kwenye Ligi Kuu ya NBC katika sherehe zilizofanyika kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
    Sherehe hizi ni baada ya mchezo wao wa raundi ya 29 dhidi ya Tabora United ambao Yanga ilishinda mabao 3-0.
    Tazam kwa ufupi kombe likikabidhiwa....
  • СпортСпорт

Комментарии • 32

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 22 дня назад +1

    Tunamshukuru MUNGU kwa kutwaa kombe la ubingwa 2023 2024

  • @sagy1239
    @sagy1239 20 дней назад

    Asanteni sana Yanga kwa kutupa furaha mwanzo hadi mwisho wa game❤❤❤

  • @tutubetikilowoko9472
    @tutubetikilowoko9472 22 дня назад +7

    Wakwanza mimi nipeni like zangu jmn

  • @user-ym7vo4bq7l
    @user-ym7vo4bq7l 22 дня назад

    Asante mungu kwa yote wafanyia timu yetu yanga africa

  • @JoyceLembris
    @JoyceLembris 21 день назад

    Yanga mko juu,hongereni sanaa

  • @HassanMpinda-sr5fu
    @HassanMpinda-sr5fu 22 дня назад +1

    Tunashukulu mungu tumeuza msim vizuli n kuumaliza Kwa fulaha mana Kuna wanaetafuta nafas yapili lakin kuipata t ni ngumu

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 22 дня назад +1

    Nimeenda hiyo 💥🇹🇿💥🇹🇿💥

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 22 дня назад

    Yanga oyeee

  • @KilopoSaten
    @KilopoSaten 22 дня назад +2

    👊👊

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 21 день назад +1

    Mungu ni mwema sana ametupa furaha na yanga yetu........yanga oyeeeeeeeeeeee😂😂😂😂😂

  • @hajially4527
    @hajially4527 22 дня назад +2

    ila hii yanga kweli ya kihistoria maana leo wameandika history mpya toka ligi iitwe NBC hakuna timu imegusa kombe zaid yao mh

  • @EvaJuakaliTV
    @EvaJuakaliTV 22 дня назад +1

    Raha sana kuna mbwa zinaumia 😅

  • @harounali9057
    @harounali9057 22 дня назад +2

    Mwana dada aliye ingia na combe ali takiwa avae gloves

  • @user-kd7mw6be5q
    @user-kd7mw6be5q 22 дня назад

    Congratulations yanga

  • @oswardlonginoosward9832
    @oswardlonginoosward9832 21 день назад

    Hakika MUNGU ni mwema ninamshukuru sana

  • @user-qz2if6nc9j
    @user-qz2if6nc9j 22 дня назад +1

    Pared lini au thnasubir kombe la fa kabisa

  • @Muttagodfrey
    @Muttagodfrey 22 дня назад

    Ongeleni yanga 1:56

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 22 дня назад +1

    Ety mwal kabeba mwal😅😅😅😅

  • @Edwinmatoka
    @Edwinmatoka 22 дня назад

    💚💚💚💚💚🙋

  • @mwanahamisijuma7270
    @mwanahamisijuma7270 22 дня назад

    Kombe Alfu na pesa ama pesa hakuna

  • @user-ym7vo4bq7l
    @user-ym7vo4bq7l 22 дня назад

    Kelele za chura hazinyimi tembo kunya maji broo

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 22 дня назад

    Nnaasemaj vyovyot mtakavyosem yanga hakun timu inaiwez aiseee😂😂 na itawachomaa snaaaaaaaa😅😅 yangaaa oyeeeeeeeee💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 22 дня назад

    Sema wapulizaji hovyo Sanaa 😂😂😂

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 22 дня назад +2

    kolo watakufa kesho baada ya supu

  • @university_3995
    @university_3995 22 дня назад +1

    Yanga hata amjaz uwanja 😅😅😅asee polenana

    • @assumedprivacy3940
      @assumedprivacy3940 22 дня назад +1

      Asante, ila kikombe kizito na ndio chetu milele. We unaejaza uwanja una nini?

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 22 дня назад

    Mafroerw yametokq upande 1😂😂😂😂😂😂😂

  • @RUBENILYANDA
    @RUBENILYANDA 22 дня назад +1

    Huyu mc mlimkuta wap kama vile tupo msiban bwanaas

  • @university_3995
    @university_3995 22 дня назад +1

    Yanga hata amjaz uwanja 😅😅😅asee polenana

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 22 дня назад +1

      Unateseka ukiwa wapi 😂😂😂 kujaza uwanja ndo kupata ubingwa

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 22 дня назад

      Sherehe mkesha hiyo na kesho inaendelea,,, wengine wanataka kesho wawe na nguvu