Amos 8:11. "Angalieni siku zinakuja ambazo nitaleta njaa na kiu asema Bwana. Si njaa ya kukosa chakula wala kiu ya kukosa maji bali njaa na kiu ya kukosa neno la Mungu. Watu watatoka mashariki hadi magharibi, kaskazini hadi kusini wasipate kulisikia...!" Na wakati huo, makanisa yatakua yanafunguliwa, watu wanaingia wanasifu na kuimba!!
Watumishi amkeni vita ya gaza sio ya waislam na wakristo bali ni vita ya jewish dhidi ya maeneo ya wanayoishi waislam na wakristo pia. Tusikubali vita hii kuipa mitazamo ya kidini, kinacoendelea islael na palestin ni zaidi ya unyama.
Mpo vizuri sana na MUNGU awabariki sana
Mungu awabariki sana,watumishi nawapenda sana sana Baba zangu pamoja na kaka mussa tuko nanyi
Amee
Martha Togoro tupo pamoja Watumishi wa Mungu
Huyo ndo mungu muumba mbingunainchi israeli nitaifa la mungu wakatae wakubali
Mungu.
Napenda kitabu hicho cha unyakuo
Tunazidi kubarikiwa na nyinyi mbarikiwe watumishi tunapata chakula cha kiroho 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nakipenda sana kipindi hiki. Askofu Gamanywa sauti ipo chini kidogo.
Siku za mwisho.
Amos 8:11. "Angalieni siku zinakuja ambazo nitaleta njaa na kiu asema Bwana. Si njaa ya kukosa chakula wala kiu ya kukosa maji bali njaa na kiu ya kukosa neno la Mungu. Watu watatoka mashariki hadi magharibi, kaskazini hadi kusini wasipate kulisikia...!" Na wakati huo, makanisa yatakua yanafunguliwa, watu wanaingia wanasifu na kuimba!!
What's wrong with arch. Bishop's Gamanywa voice. Haisikiki kabisaa.
Watumishi amkeni vita ya gaza sio ya waislam na wakristo bali ni vita ya jewish dhidi ya maeneo ya wanayoishi waislam na wakristo pia.
Tusikubali vita hii kuipa mitazamo ya kidini, kinacoendelea islael na palestin ni zaidi ya unyama.
Martha Togoro tupo pamoja Watumishi wa Mungu