Ni mekuwa nikijaribu kuomba naata nimelala,asante baba jumenirejeshea macho yangu ya roho nimeachwa huru,mbarikiwa mchungaji,bishop❤❤❤❤❤ningazama Ila maombi yako yamenitia nguvu🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I love you Prophet George Mukabwa. In the Mighty Name of the Lord God❤❤❤❤❤❤Oye St Pölten Niederoesterreich niko nawe kupitia jina la Mungu..❤❤❤❤❤
Baba Mungu azidi kukutunza ili uzidi kunilisha chakula adimu ,umenifumbua macho hapo kwenye Neno la kumtafuta Mungu au namna ya kumtafuta Mungu kweli tumekuwa tukienda kinyume kabisa tumekuwa tukiomba tunakwangua Koo bila neno la kusimamia tinasoma maandiko lakini hatujui namna ya kuhusisha neno yaani hatu connect neno ktk kuomba so unakuta unasoma ndiyo Ila unapoanza kuomba unaomba kavu nafsi bila kuhusisha neno linalohusu unachokiomba
Ee M/Mungu nisaidie mwanao
Jamani natamani ningekua mwanza watu wa mwanza ma mtumishi.daa mungu nisaidie
HONGERENI WATU WA MUNGU WA ONLINE KWA KULIKE NAOMBA TWENDELEE KULIKE👍
Ni mekuwa nikijaribu kuomba naata nimelala,asante baba jumenirejeshea macho yangu ya roho nimeachwa huru,mbarikiwa mchungaji,bishop❤❤❤❤❤ningazama Ila maombi yako yamenitia nguvu🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I love you Prophet George Mukabwa. In the Mighty Name of the Lord God❤❤❤❤❤❤Oye St Pölten Niederoesterreich niko nawe kupitia jina la Mungu..❤❤❤❤❤
May God grant you more knowledge
Mungu akubariki sanasana mtumishi wa Mungu
1• kusudi la agano
2•pata neno la agano
3•pata masharti ya agano
4• towa zabihu (sacrifice)
5• mda wa agano
Mungu akuzidishie upako mtumishi 🙏🏾
Amina
Hakika mungu hataliacha kanisa bado ana watumishi wake barikiwa pastor mungu akuongeze zaidi na akukuze
Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen
UBARIKIWE SANA BABA NIPO MUHEZA-TANGA MAUBIRI YAKO YANANIBARIKI SANA BABA MUNGU AKUTUNZE
Barikiwa n'a Mungu mtumishi wa MUNGU
Nimesaidika sana mungu akupe maisha marefu uzidi kutulisha neno
Moja tika ya watumishi walio tumia na Mungu kunijenga na nikajenga, Nakupenda sana Sir.
Amina mtumishi nina furaha mno kuabudu kanisa la JRC
Sawa,sawa,sawa,nakuelewa mtumishi wa Bwana🙏🙏🙏
Bwana yesu asifiwe
mtumishi ubarikiwe sana mafundisho ni ya tofauti sana yamenivutia mno
Nabarikiwa nikiwa Kenya sana
Amen Amen nabarikiwa
Mtumishi barikiwa sana kabisa
Baba nimebarikiwa sana
Santé kwa neno nzuri
Amen amen
Asante pastor nimepata kitu hapa barikiwa sana
Bwn yesu naomba ni hurumie daima nipe toba na rehema kila wakati kila saa,
Ameen Ameen ubarikiwe Sana Mchungaji hakika nimejifunza mengi kupitia kwako
Mungu azidi kukujaza Mafuta katika Utumishi huu uliotukuka
Haleluyaaaaay nabarikiwa mnoooooo
MUNGU akubariki
Asante Bwana kwa wema wako
Asante Pastor Mungu akubariki na aendelee kukujaza mafuta yake ili ulitimize kusudi alilokuitia katika utumishi wake,
Karibu Kenya
Nabarikiwa sana na Mafundisho yako
Kabisa.asante
Ubarikiwe
Amen amen mungu akubariki🙏🙏🙏
Ameen
Tuombe Kwa kusudi la Mungu mafundisho mazuri Sana 🙏
Barikiwa sana pastor,
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu, haya mafundisho ni adimu sana kwenye kanisa la sasa
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Amen mpakwa mafuta wa bw
Somo hili limenibariki sana Mungu aendelee kukufanya Baraka mtumishi wa Mungu
Hallelujah hallelujah 🙏
Mungu anakuona ,pepo yako kaiandaa Mungu akubaliki sana
Amen mtumishi ubarikiwe sana mafundisho mazuri kweli
Nakubari mafundisho yako sana. huyu ni mteule wa kweli. Mungu atubariki amiin❤
Mungu azidi kukutumia
Baba Mungu azidi kukutunza ili uzidi kunilisha chakula adimu ,umenifumbua macho hapo kwenye Neno la kumtafuta Mungu au namna ya kumtafuta Mungu kweli tumekuwa tukienda kinyume kabisa tumekuwa tukiomba tunakwangua Koo bila neno la kusimamia tinasoma maandiko lakini hatujui namna ya kuhusisha neno yaani hatu connect neno ktk kuomba so unakuta unasoma ndiyo Ila unapoanza kuomba unaomba kavu nafsi bila kuhusisha neno linalohusu unachokiomba
Nashindwa kueleza kwa jinsi nilivyofunguliwa na neno Hilo mchungaji MUNGU akulinde na akupe Maisha marefu
Amen
Amen pastor God bless you
Mahubiri yako mazuri sana. Nawezaje kujiunganisha na madhabahu yako?
Ila ukweli nawaonea wivu mnaoabudu hapo JRC ingekuwa rahisi kuhamia Mwanza hakika ningehamia ili tu niabudu hapo.
TWENDELEE KULIKE WAPENDWA👍
Mwalimu nakuomba ukiwa unasoma mafungu ya bibilia naomba utuwekee kwenye sikrini au ututajie kitabu unachosoma
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
ndoman huwa naon maisha ni nadhiri ambayo ukiweka ni mpak kufa
Unayajua maombi ya kifafa wewe?😂😂
Hahahaha MAOMBI YA KIFAFA
Ameen
Paster you are blessings to me and my ministry of Jesus christ
Amen
Ameen
Ubarikiwe sana mutumishi
Ameen
Amen amen amen 🙏🙏🙏❤️❤️❤️