WATU WATATU WALIOPEWA MITIHANI NA ALLAH, KHUTBA IJUMAA SHEIKH KISHK.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Khutba hii ilitolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary Temeke Mwaka 24/05/2013, Mada inazungumzia juu ya juu ya Watu watatu waliopewa mitihani na Allah, ni watu gani? fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika, pia tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni InshaAllah

Комментарии • 25

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад +1

    Mashallah tabaraka llah 👍 Jazaka llahu Khair ✍️💖

  • @moonathansania6143
    @moonathansania6143 2 года назад +3

    Mashaalla mashaalla tabaraka rahman Allah atuzidishie Iman na takwa waislam wote atudumishe kwenye kufanya ibada Allah atupe mapenzi huruma tusaidiane kwa ajili ya Alla Allah akuweke shekhe kishkii

  • @ala1608
    @ala1608 2 года назад +2

    Allah akujalie muke mwema atakae kutizama vizuli 🤲🤲🙏

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Masha Allah Alhamdulillah, M/Mungu Awajaalie Mwisho Mwema Amiiin.

  • @abunahyan6129
    @abunahyan6129 2 года назад +3

    SubhanaAllah 😢 Mawaidha mazito Allah atupe moyo wa kuwasaidia wenye matatizo na atujaalie ni wenye kushika kamba ya Allah.

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Год назад

    ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru Hakika mwenyezi MUNGU anatupenda Yaa ALLAH nakuomba utupe kufikiri kabla ya kutenda Yaa ALLAH naomba utupe hidaya hadi mwisho wa uhai wetu

  • @aishakimanga-bj8kc
    @aishakimanga-bj8kc Год назад

    Masha'Allah TabarakaAllah Allah amjaze elmu Abubakar ampe mke mwema ambae atakabiliana na madhaifu yke

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Год назад

    mashallah mashallah mashallah allah akujalie kila kher Katika maisha yake ameen inshallah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 9 месяцев назад

    Oooh allah nijaalie niwe ni miongoni mwa wenye kufaulu kwa Mola wetu mtukufu

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 2 года назад +1

    Allah akupe la kheri sheki

  • @jumakiuta6093
    @jumakiuta6093 2 года назад +1

    Masha Allah kwa mawa idha yenye mazingatio

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 Год назад

    ALLAAH atupe mwisho mwema

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭subhaana لله.

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 года назад +1

    MashaAllah tabarakaAllah 😰😰😰😭🥰

  • @fatumansabimana5182
    @fatumansabimana5182 2 года назад +1

    Allahu akbar😭😭😭😭

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 9 месяцев назад

    Subhanallah allah

  • @MWAMVITAAHMADI-wh2qo
    @MWAMVITAAHMADI-wh2qo Год назад +1

    Mashallah

    • @nyiranshutidjamila2410
      @nyiranshutidjamila2410 Год назад

      Manshallah,Allah, akupe mwisho mwema ,na ,akupe muke mwema ,mucamungu ,manshallah

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 2 года назад

    Mashaallah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 года назад +3

    ALLAHU AKBAR

  • @almasmussa1987
    @almasmussa1987 2 года назад +1

    Inshallah

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад

    Duh, huo kwl ni mtihani

  • @nadiahassan7993
    @nadiahassan7993 Год назад

    Plz update us if the blind guy got married

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 2 года назад +1

    SubhannaAllah 🥹

  • @RojaMoo-zh2cv
    @RojaMoo-zh2cv Год назад

    Allah Akbar