Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Poleni sana Wodogo zangu. MUNGU Ailaze. Roho ya marehemu maali pema.
Poleni sana watoto wa tesa mwenyezi MUNGU awape subra kwa wakati huu mgumu hata sisi mashabiki wa tesa tumeumia sana
nimebarikiwa sana kumwona mtumishi wetu baraka katuwakirisha ..nawapa pole wafiwa wote kwa kipindi hiki kigumu pumzika kwa amani kipenzi cha wengi mama
Allah awape nguvu familia 😭 mama pumzika kwa amani...inauma ila Mola yupo nanyi😭 mupate subra InshaAllah
Poleni Sana dadangu Kwa kumpteza mama yenu kipenzi tumeumia Sana Kwa kweli hili Ni pigo😢😢😢
Mungu azidi kuwapa ndugu dada zangu kwakumpotea mama yenu mzazi sio jambo raisi kumpoteza mzazi tena mama 😢😢😢😢😢😢
Pumzika kwa amani mama tesa..we will miss you..cjui huba itakuwaje bila wewe😢😢😢from 254..poleni wa tanzanian..
Uwiiii Rashid all the way from Kenya😢😢..thanks thanks alot
Poleni watoto na jamaa wa Tesa..kuondokewa na mama ni pigo kubwa jamani...i can relate..its 9yrs niw tokea mamangu aende mbele za haki..
Mwenyez mungu awatie nguvu Happy na rita na wote mlioguswa namsiba huu polen sana
Poleni Sana wanangu... MUNGU awape TUMAINI wanangu🙏
Poleni sana Mungu awatie nguvu Tanzania yote kwa jumla😢😢😢
Kutoka Nairobi poleni sana;I will mis mama Tesa
Tess alikuwa mikono salama Kwa mtumishí wa mungu mwamposa
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina
Poleni sana watoto na wafuwa wote Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mtakachopitia
Poleni watoto wa tesa ndugu nahata wasaniii wote 😭😭 kwakweli inahuzunisha sana mama devi wa huba tutakumiss mamaa 😢😢 mashabiki zako tunalia
Mungu awape faraja wanafamilia wote ktk kipindi kigumu mnachokipitia Tuzidi kumuombea mpendwa wetu apumzike kwa Amani
Poleni sana
Poleni sana watoto wa tesa ndugu na jamaa wote Mungu awatie nguvu
Poleni sana na ssi imetuuma mungu awape nguvu 😢😢
Happy na Babra poleni sana Mungu awatie nguvu🙏🙏
mungu awatie nguvu watoto wa marehemu
Poleni Mungu ailaze roho ya marehemuTessa mahali pema mbinguni. 😂😭😭😭😭😭
Kutoka Mombasa, Majengo, poleni sana jirani zetu.
Poleni sana wafiwa
Mungu ampe pumziko la milele 😭😭😭 kiukweli imeniuma.lakini kazi ya Mungu haina makosa.Mungu awape nguvu wote mlioguswa na msiba wa Mama yetu.
Poleni sana watoto wa marehemu mungu awape nguvu
Poleni Sana wapendwa cha muhimu muombee kwa mwenyezi mungu mpokee
Poleni sana,may God give u comfort n strength, nko KENYA
Kutoka KSA poleni sana Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu
Mungu awatie nguvu ndugu zangu
pole Sana kazi ya mungu haina makosa
Jamani Mungu amlaze mahara pema peponi.
😢😭😭poleni sana nisisi tulio fiwa na wazazi ndo tunajua mnacho kipitia kwa sasa😭😭😭💔
nikweli kabisa
Polen sanaa jamn kifo hakina mwenyew apumzike kwa amani
Poleni wafiwa wote mungu awape subra
Pole ni sana dunguzangu mungu awatie nguvu na faraja😢😢😢😢😢
Kutoka oman pole sana allah awape subra
Mungu amurehem mama huyo poleni sana
Pole sana wana tathinia na watanzania wrote kwa kumpoteza mama yetu
Poleni sana watoto wa Tessa MUNGU Awatie nguvu
Polen San mungu awape nguv dada zang😢😢😢
Nashindwa hata kutamka chochote nimeumia Sana mama yetu kipenz kutuacha ghafla, nendamamanenda kapumzike kwa amani kipenz cha wengi🙏🙏🙏😭😭😭😭
Rashid Abdal you are my favorite
Rashid wewe ni mtu mwamana sana🫶🫶 poleni sana watu wa huba
Mmoja Wao kanishtua Wana faanana Sana
Poline watoto wa marehem Mungu awatue Nguvu
Poleni sana watoto wa marehemu
Poleni sana Mungu awatie nguvu
Tausiii nakuonaaaa poleni sanaaaa wapendwa kila nafsi itaonja kifo mungu naomba unipe mwisho mwemaa😢
Ila wewe kwahio hapo umemuona tausi tu unajambo
@@MohammedJaxksonlee mimi huwa nampenda 2 huyo dada ata nilivyo muona nimempa hai
poleni sana mungu awatie nguvu kwa msiba huu mzito kama masihara jamn
Poleni Sana
Polen sana mung awatie nguvu
Poleni sana kwa familia 😭😭
Poleni Allah aweke loho yake mahari pema peponi tessa 😭😭😭
Kufiwa na mtu wako WA karibu ,kusikie Tu kwa wenzako, ila usiombe yakukutee, nawapa pole Sana watoto WA Tesa 😭😭😭
𝐏𝐨𝐥𝐞𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚
Kifo ni fumbo kesho hatujui ni nani😢😢😢😢😢
Tunaona sura halisi za wasaniii.....
Happy wangu Mungu akutie nguvu😢
Polen wadogo zangu najua mnachoptia
Poleni sana, tesa tutamumiss sana
Poleni sana jamani
Poleni sana wafiwa wote
Poreni sana sisi wote njonjiya 😢😢
Poleni sana mbere yake nyuma yetu
Poleni jaman mzazi anauma maumivu yake hayaelezeki
Huyu kushoto anafanana na mama ake balaaa hadi anavyoweka mdomo wamechoka masikini poleni jamani mama anaumaaa
Sana wanafanana mpaka sauti mpaka kutembea poleni sn happy Na Lita😭
Nimcheshi uyo hata akujue leo mim nlikua shoga angu gafla tu yani 😢
Uko wapi kuruthum nimekumiss namba umebadilisha@@Kuruthum-v8j
Wape pole ndugu wa buguruni bondeni kwa mm tedi
Heppy na Rita poleni sana Mungu ndiye kila kitu
Polen Sana wapendwa 😢😢😢😢
Watu story nyingi msibani jaman 😢😢😢
Poleni Sana Sana 😢😢
Polen sana jaman daa
Polen xana nduguzo wote
Poleni sana 😢😢
Kama masihara jaman kifo hiki Allah ampe kauli thabit
Huyo mwingine kafanana sana na mama ake
polenisanisana
Woi;I cant believe mama Tesa is no more,;R.I.P mama
Mi ata nmeshndwa kueleza, hve been crying siku nzima😢
Polen sn familia
I thought ni kwa movie kumbe ni serious 😭😭😭😭so huba will end
Poleni
POLENI SAN ALLAH AWANJAZE NGUVU NA SUBRA
Poleni jaman
Wasanii n wengi sana mbona msibani wachache
Kwenye msiba waliofiwa utawajua
😢😢Polen sana
Polen sana wadada 😭😭😭🤲🙏🙏🙏🙏
Nisaidieni kuelewa mazishi ni leo? Tessa alikuwa Mkristu ? 😢
mung amlaze pema mama ggres nampenda ssna kwakwel
wasanii mmeenda msibani kumsindikiza mwenzenu kumbe wengne ndo mmepata nafasi ya kutaka kujulikana mmeenda kujionesha yaan mh! mnataka mpate umaarufu mcbn hyo cio heshima jaman
Wenye uchungu ndio wataelewa
Wote ni wakwake na kwske tutarejea polen sn
R.i.p
😭😭😭😭😭
🙏🙏🙏🙏😭❤❤❤
Kumbe hila filter wasanii wetu wa kawaida tu
Nipo Omani jamani tualia wote huyo mama yetu wetu
Jistirini bas angalau kipind cha msiba
Acheni kufuruu iyo mwamposa umuunguu kaitowa wp
Wasanii ni kucheka tu
Kutoka saudia poleni nyote
Poleni sana wafiwa wote Allah awatie nguvu😢😢